Tabia 5 Kubwa Zinazopoteza Fedha Zako Na Jinsi Ya Kuzishinda.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @kayombog1694
    @kayombog1694 3 ปีที่แล้ว +11

    1.Impulse purchasing
    Kununua vitu bila mpangilio!
    2. Kutokuwa na budget
    Bajeti nauli , vocha nk
    3. Mikopo bila mpangilio
    Hata kama hauhitaji
    4. Expecting miracles
    No strategies to overcome poverty
    5. Entitlement mentality
    Kufikiri wengine wanatakiwa kufanikiwa ndio wakusaidie wewe
    You're blessed!

  • @nataliasr3013
    @nataliasr3013 9 หลายเดือนก่อน

    Mm natumia pesa zangu pasipo na mpangilio sahihi hivyo najikuta pesa kupotea Asante sana kwakipindi chako nimejifunza namna ya kuwa na bajeti Asante kaka joel

  • @saidmwangasama
    @saidmwangasama ปีที่แล้ว

    Asante kaka nimefanikiwa kwa kiwango kupitia wewe na sasa nipo sawa kifeza,mungu akulinde kaka by exaud, kalibu kwetu mkowa wa songwe mboz mrowo

  • @redmastv9584
    @redmastv9584 3 ปีที่แล้ว +3

    NANAUKA THE GENIUS❤️

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 ปีที่แล้ว +2

    Wangwani,solo nzuri Sana Kaka angu hongera

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mkuu kwa kutupa Elimu hii Ubarikiwe sana 🙏💎

  • @godblessappiah9428
    @godblessappiah9428 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizi tabia zote zimeniathiri sana brother

  • @furahairene1829
    @furahairene1829 3 ปีที่แล้ว +1

    Oooh thanks Aki Mara nyingi budget inanishinda dhow nmeona njia za kuifatilza tangu nifuatilie masomo yako bro,barikiwa

  • @restutamjuni4739
    @restutamjuni4739 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana

  • @paulinambelwa6188
    @paulinambelwa6188 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda san kaka joel mungu akubariki sana

  • @alanluwumba5104
    @alanluwumba5104 3 ปีที่แล้ว +1

    Matumiz ya kifedha ni elimu good sana

  • @maliselinapetro4168
    @maliselinapetro4168 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana My mentor
    Najifunza mengi Sana kupitiaa wewe
    Mungu akubariki Sana.

  • @merykyungai2551
    @merykyungai2551 ปีที่แล้ว

    Asante ubarikiwe kuliko jana

  • @ErNesto-ty9yz
    @ErNesto-ty9yz 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuko pamoja kaka Joel Nanauka

  • @williammasese7737
    @williammasese7737 3 ปีที่แล้ว

    Impulse purchasing
    Kutokea na Budget
    Hizi vitu vinanitesa sana nimeshajaribu sana kubadilika lakini zinanishinda

  • @macksemuyango6108
    @macksemuyango6108 3 ปีที่แล้ว +1

    Habari yako Mwalimu wangu,,,, namba hiyo unayoitoa hapo kwa ajili ya kupata vitabu haipokelewiiiiii!!!

  • @robertemmanuel1685
    @robertemmanuel1685 3 ปีที่แล้ว

    Nice lesson 🤝

  • @nkungwiprimary2363
    @nkungwiprimary2363 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed Joel Nanauka

  • @mwafrikaissa491
    @mwafrikaissa491 3 ปีที่แล้ว +1

    I'm the first today, big up mr nanauka

    • @mariammaligwa8887
      @mariammaligwa8887 3 ปีที่แล้ว

      Hii ya tano ilikuwa inanihusu sana mm lkn kwa Sasa unanifungua sana na masomo yako nimetoka na najitahd kusimama kbsa

  • @ezironvyats433
    @ezironvyats433 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa malifaa

  • @shedrackkiluswa5902
    @shedrackkiluswa5902 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu nashukuru najitahidi sana kutaka kuwa na nidhamu na fedha lkn nashindwa nashindwa kujizuia kumsaidia mtu nikipata hela wanakuja wengi kweli wengine ni ndugu nifanyeje

  • @adelinakibejile4696
    @adelinakibejile4696 2 ปีที่แล้ว

    Thank u kaka

  • @venajah3033
    @venajah3033 3 ปีที่แล้ว

    Asant kk

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sanaa

  • @unique1brand984
    @unique1brand984 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @michaelkayoka1615
    @michaelkayoka1615 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @maribasimon6993
    @maribasimon6993 3 ปีที่แล้ว

    Thank you

  • @muhillukelliy5992
    @muhillukelliy5992 3 ปีที่แล้ว +1

    dahh kk umenena yani yote uliyosem hpo yananigusa nifanyeje nitoke huko kaka nanauka?

  • @zawadishiga1123
    @zawadishiga1123 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed

  • @azizaisack2572
    @azizaisack2572 3 ปีที่แล้ว

    Somo zur san

  • @ashakhamis3006
    @ashakhamis3006 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenifunza mambo muhim mwalim

  • @jumamaabad5430
    @jumamaabad5430 3 ปีที่แล้ว

    Namba haipatikani tunahitaji vitabu

  • @alfredkenz380
    @alfredkenz380 3 ปีที่แล้ว

    Staying without budget

  • @micky6touch523
    @micky6touch523 3 ปีที่แล้ว

    Namb za simu please # joelNanauka#

  • @mussaukwaju6495
    @mussaukwaju6495 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro samahani ila namba inaita tu haipokelewi na kwenye watsup last visit ni 4 apr bro ama kuna namba nyingine

  • @jenipherrio7941
    @jenipherrio7941 3 ปีที่แล้ว

    Ahsant kaka umenifundisha Yani kila kinonacho lazma ninunue Nia Sina Tania yakupanga bajet

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 3 ปีที่แล้ว

    Somo muhimu kwa anaejielewa anaetamani kufanikiwa nimelirudia kama mara 4 hivi nimejifunza vingi

  • @nimubonainnocent2183
    @nimubonainnocent2183 2 ปีที่แล้ว

    Iyo badget mim kiwukweli nashwinda kupangiliya sababu mimi ni mufanya kazi najitegemeya namanisha Sina mushahara malum sasa nifanye je

  • @harunmwazembe9980
    @harunmwazembe9980 3 ปีที่แล้ว +1

    Tabia inayochangia mimi kutokufanikiwa ni kutokua na BAJETI na impulse purchasing.
    Kuna wakati nanunua kitu kwasababu flani mf, saiv diary yangu imeisha nataka ninunue lkn haipo kwenye budget, na hii pia ni impluse purchasing?

    • @elinileabukhay8650
      @elinileabukhay8650 3 ปีที่แล้ว

      Hapana sio impulse purchase ila iingize kwenye zile asilimia 30 za wants kwenye budget yako ijayo

  • @kinglugano6475
    @kinglugano6475 3 ปีที่แล้ว

    No bajet😭😭😭😭

  • @uwezobarton8764
    @uwezobarton8764 3 ปีที่แล้ว

    Kushinda kujizuia kununua vitu bila mpangilio

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 11 หลายเดือนก่อน

    Kama sisi wadada tunavyopenda nunua nguo, viatu, mapochi utafir una duka nyumbani kwako.

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 ปีที่แล้ว

    Nitarekebisha #1 and #2 maana ndo tabia hasaa zinazonisumbua.

  • @isackmaloha-vk7hm
    @isackmaloha-vk7hm ปีที่แล้ว

    Ziko mbili ambazo ni kukosa bajeti na kupenda kununua vitukwa just watu wanione

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 3 ปีที่แล้ว

    Tabia ya kutokupanga bajeti