MPANZU NI MCHEZAJI MPYA WA SIMBA | WAKALA WAKE TOBOA SIRI YOTE| ONANA, FREDDY WAKALIA KUTI KAVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • • MPANZU NI MCHEZAJI MPY...

ความคิดเห็น • 12

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v หลายเดือนก่อน +2

    Moodewji faya maamuzi tu sasa kwa Elie Mpanzu wewe ni Boss kweri kweri hakuna la kushindikana japo upande wa pili wanakubeza ila wanakujuwa vizuriii mlete Mpanzu Simba tutafurahiii❤❤❤❤❤

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama ni mwingi sana oyooo 💪🦁💪💪🦁💪 mpanzu welcome to simba

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka หลายเดือนก่อน +2

    Mo dewij tufanyie mambo mashabiki tufrahi

  • @bakarimwachanga8803
    @bakarimwachanga8803 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mbona mnawatia kihoma na kibaridi hao yangaaaa,magoma tu kawatoa kamasutra za kutosha

  • @Kilala-bz7gf
    @Kilala-bz7gf หลายเดือนก่อน +2

    huyu jamaa ni mchezaji hasaa

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u หลายเดือนก่อน +1

    Mpanzu ni wetu ndani ya mnyama

  • @RostamRostamRostamRostam
    @RostamRostamRostamRostam หลายเดือนก่อน +1

    Ata mm namtaka mpanzu bila mpanzu atuendi baba rostam Mozambique nangade

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 หลายเดือนก่อน +1

    Mabosi wetu wa Simba muwe serious mkicheza na usajili tutaumoa mwaka wa nne mfululizo.. .Bosi wa Yanga amesajili majembe pamoja na Yanga kuwa bora sana Dola 250,000 si kitu Kwa Tajiri MO.

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 หลายเดือนก่อน +1

    Imeisha iyo

  • @IlyasaJuma-cc3ee
    @IlyasaJuma-cc3ee หลายเดือนก่อน +1

    Hii imeenda 😅😅😅

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp หลายเดือนก่อน +1

    Mpanzu ni bonge la mchezaji kalibu simba

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx หลายเดือนก่อน

    Msilete janja mpanzu aletwe toeni mpunga mchezaji bora huwezi mpata kwa kitonga kwasasa wapo ghari 600 nakuendelea