Mbali na Singita Sabora Lodge, nyingine zote za kawaida sana.. Kwa Arusha sijaona Mt Meru presidential rooms zao ni 1m, kuna moja hiv Barnaba anaifaham kwenye wimbo wake wa tunafanana kulala usiku mmoja ni 1500USD kwa kichwa mkilala wawili ni 3000$, 6M tsh, The Manor at Ngorongoro.. Zipo nyingi sana, TEMBEA KISHA FANYA UCHUNGUZI.. Naamini pia Singita wanayo moja hivi ambayo ndiyo expensive kuliko zote hapa TZ
Yan hotel ya laki na nusu unaweka kwenye list ya hotel za garama TZ. Kwanza hujui hotel na lodges tofauti yake. Then fanya research vizuri kabla ya kupost habari. Hotel ya kuanzia tsh 800000/= per night tena standard room ndio ingeweza kuwa no 10. Izo za laki tano ni kama guest house.
Asante sana nimefanikiwa kulipakuwa hadi imenilazimu kusubcribe good work karibuni zanzibar niliingia kucheki hiyo video nilitka kuona je park hayat znz ipo msingeiweka ninge dislike. maana gharama zake kwa mwezi nanunua kiwanja najenga nyumba na nununua hadi magari
Achakutudanganya Zanzibar Kuna hotel kubwa na Bei ghal ujataja Kama melia ziko mbili Kuna paradise sea Clif na nyingine utafiti wako zero na park haytt Niya kwanzaaa
Pitia upya takwimu zako. Hizo ni hotel za bei ya chini na bei ya kati. Maana kwenye hotel za bei ghari Tanzania kwenye top ten labda hotel mbili tu kati ya ulizozitaja ndio zinaweza kushika nafasi ya Tisa na kumi tena labda.
I think umesoma mahali ndio ukaandika! Fanya utafiti then kwenye list yako mpya weka Thanda private island,mnemba island, kukusaidia ingia kwenye website ya leading hotels of the world utapata hotels exp na lodges zake! Thanda island unalipa million 22 tzs sawa na 11000$ per night na unatakiwa ulipe for a week ndio uende. So calculate then tuekee list mpya
mkuu katika zote nimeona moja ndo umepatia japo sio hotel ni logde....... kumbuka kuna hotel (zinakuaga town) na logde (zinakua expose karibu na nature flan tulivu au unaeza sema porin).... tunaomba utuletee hotel then lodge....
Sifael Mugitu hamna hotel apo kama hyat regency ile ni kwa ajili ya mikutano sanasana wanaitumia kwa events mbalimbali ila hizi nyengne based on luxuries ndomana unaona ni kubwa na maeneo yake kama yamejitenga tenga
Taarifa yako si sahihi, kupata ukweli zaidi nenda app ya Trip advisor, haiwezekani top 9 inaingia hotel ya Laki moja na..... Kuna hotel kama: Residence Zanzibar Diamond lagema star of the East Riu Palace Melia Hyatt regency Dar es salaam Blue bay Verde by Azam Jipange bro
Ungesema namba moja singita properties zikiwemo sasakwa lodge, serengeti house, sabora tented camp, singita mara, singita expolore and faru faru lodge. ikifuatiwa na nyingine kama crater lodge, mnemba, mwiba lodge, legendary lodge in arusha. The residence zanzibar, baraza znz, essque zalu znz, melia, la gemma, star of the east, thanda island, na nyingine
Edo Hakuna kitu ulicho jaribu kutufahamisha zaidi ya kutudanganya juu ya hili. Kuna resort kulala tu kwa siku ni zaidi ya 18million sasa wewe hizi takwimu zako cjui umetoa wapi
This list Is trash, aiseee, nenda kafanye research tena, Sasakwa lodge kuna room ya $20,000 pale convert kwenye pesa yetu utaona ni bei gani, in short hiyo iko mbali sana na ukweli
Sasakwa Lodge singita grumet end beyond ngorongoro na 4 sessions nizamoto
hoteli ghali zaidi ni ile nyumba yangu ya makuti ya mnazi na kitanda cha kamba ya usumba , usingizi murrrrruaa
Mngenipa tenda ya kuwasambazia kuku wa kienyeji ingependeza zaidi
Kama hujawaelewa Hawa jamaa kama Mimi....
Hit big like
Mbali na Singita Sabora Lodge, nyingine zote za kawaida sana..
Kwa Arusha sijaona Mt Meru presidential rooms zao ni 1m, kuna moja hiv Barnaba anaifaham kwenye wimbo wake wa tunafanana kulala usiku mmoja ni 1500USD kwa kichwa mkilala wawili ni 3000$, 6M tsh, The Manor at Ngorongoro..
Zipo nyingi sana, TEMBEA KISHA FANYA UCHUNGUZI..
Naamini pia Singita wanayo moja hivi ambayo ndiyo expensive kuliko zote hapa TZ
Nice song I like
Yan hotel ya laki na nusu unaweka kwenye list ya hotel za garama TZ. Kwanza hujui hotel na lodges tofauti yake. Then fanya research vizuri kabla ya kupost habari. Hotel ya kuanzia tsh 800000/= per night tena standard room ndio ingeweza kuwa no 10. Izo za laki tano ni kama guest house.
Dahhh, milioni 4 na laki 6 zidisha kwa mwezi mmoja tu napata nyumba ya maana na gari la kutembelea
Unaondoka na kitanda na godoro au unaacha... Au huko usiku unakuwa mrefu Sana zaidi SAA 96?
Yan hili beat ninilikuwa nalitafuta kitambo sanaaa asante mzee baba
omary njelu umefanikiwa kulipakua bro.. au niku tumie.
Asante sana nimefanikiwa kulipakuwa hadi imenilazimu kusubcribe good work karibuni zanzibar niliingia kucheki hiyo video nilitka kuona je park hayat znz ipo msingeiweka ninge dislike. maana gharama zake kwa mwezi nanunua kiwanja najenga nyumba na nununua hadi magari
omary njelu sawa bro Asante
sorry nimesahau kusubscribe
Achakutudanganya Zanzibar Kuna hotel kubwa na Bei ghal ujataja Kama melia ziko mbili Kuna paradise sea Clif na nyingine utafiti wako zero na park haytt Niya kwanzaaa
Pitia upya takwimu zako.
Hizo ni hotel za bei ya chini na bei ya kati. Maana kwenye hotel za bei ghari Tanzania kwenye top ten labda hotel mbili tu kati ya ulizozitaja ndio zinaweza kushika nafasi ya Tisa na kumi tena labda.
I like feed song from the alan work
+Ahmed Bob thank Ahmed you can subscribe more for next videos
I like them
Anazingua bhana
edo TV nmependa sana majibu yako kwa fans wako, big up
+Mbwilo Tv Asante aisee
I think umesoma mahali ndio ukaandika! Fanya utafiti then kwenye list yako mpya weka Thanda private island,mnemba island, kukusaidia ingia kwenye website ya leading hotels of the world utapata hotels exp na lodges zake! Thanda island unalipa million 22 tzs sawa na 11000$ per night na unatakiwa ulipe for a week ndio uende. So calculate then tuekee list mpya
Zuma Ndaro
mkuu katika zote nimeona moja ndo umepatia japo sio hotel ni logde....... kumbuka kuna hotel (zinakuaga town) na logde (zinakua expose karibu na nature flan tulivu au unaeza sema porin).... tunaomba utuletee hotel then lodge....
Unapuyangaaaaa
kwagara kubwa hivyo Mmm wageji ni kwa wingi sana inaonekana maana garama iko juu sana,lazima itakuwa na wingi mkubwa wa wateja.
asee naww unayajua mahotel duh hatar sana
Next time tumia background aong ya kitanzania. Acha hizo za wazungu
+Davis Alphonce okay sawa .. asante kwa maoni
hata kwa upande wa lodge pia hajui kitu, mfano Endboyond Ngorongoro ni dola 3000.00 sawa na tsh 6,780,000...
This is just stupid, The Manta underwater room hotel is 3.8 mil per night, the manta resort is 1.5 m per night so how can you forget this?
+Haji Khamis its Okay sir we didn't under go deep research we are sorry for showing this
an kuna channel zingine ni upuuzi mtupu😂😂😂😂😂.....kwann msi ige mfano kwa mwenzenu @ Milard ayo
mbon hamtaji ziko wap
Umesahau laz lagoon hotel laki 7 kwa siku moja
Kuna Ngorongoro Crater Lodge ni ghali zaidi ya hizo za mwanzo Tsh 2400000 kwa kichwa kwa siku
+Harry Lucas sawa bro
Duh! Kwahiyo Hyyat Regency na Serena hazipo kwenye top 9! Siamini
Sifael Mugitu hamna hotel apo kama hyat regency ile ni kwa ajili ya mikutano sanasana wanaitumia kwa events mbalimbali ila hizi nyengne based on luxuries ndomana unaona ni kubwa na maeneo yake kama yamejitenga tenga
How much
asante ila ungekuwa unasema hii sh.hizi na iko wapi sio wote twajua maeneo kwa picha
+Maryam Elyas Asante kwa maoni yako next video itakuwa improve na full description usihau ku subcribe for next video
yap
Mbona hamtaji maeneo zilipo
nice
+James Alex asante aisee
Unaifaham bei ya #ngurdoto lodge kwel wew mount meru Serena hotel
Sasa itafkia singita
Taarifa yako si sahihi, kupata ukweli zaidi nenda app ya Trip advisor, haiwezekani top 9 inaingia hotel ya Laki moja na..... Kuna hotel kama:
Residence Zanzibar
Diamond lagema star of the East
Riu Palace
Melia
Hyatt regency Dar es salaam
Blue bay
Verde by Azam
Jipange bro
Ungesema namba moja singita properties zikiwemo sasakwa lodge, serengeti house, sabora tented camp, singita mara, singita expolore and faru faru lodge. ikifuatiwa na nyingine kama crater lodge, mnemba, mwiba lodge, legendary lodge in arusha. The residence zanzibar, baraza znz, essque zalu znz, melia, la gemma, star of the east, thanda island, na nyingine
+bushmen datoga sawa mr. Unaeza Ziona kwa video ijayo asante kwa maoni .. tuma kile ungependa kukiona via rattus922@gmail.com
the best hotel in tanzania according to trip advaiser and ccn hotel bora ni baraza spa and resot hotel from zanzibar
Kaka habari yako....
Naweza kuwasiliana na wewe tafadhali?
Nyongeza kidogo Crater Lodge by &Beyond 4M tsh
Sabora iko Serengeti
haujatembea bado kuna hotel za milioni zaidi ya 30 kwa night 1
Mbona zote Zanzibar 😆😆😆
Ixi mbona za zanzibar tu zaa dar zipo wapi
Du kwa usawa huu bola nilale nje nisubili miaka mitano ijayo
+Askof wa dar haaah!!
mkonge mbona sijaiyona
paah
mbona aman 5 star ata mmoja
#where you put hyyat regency and a Serena?
on next list brother
where is the hyatt region the kilimanjaro
Napoko taken
Inshallah ntacom
nimepamc Tanzania jmn hoter nzur ila kama auna chapaa utafanyaje
Edo Hakuna kitu ulicho jaribu kutufahamisha zaidi ya kutudanganya juu ya hili. Kuna resort kulala tu kwa siku ni zaidi ya 18million sasa wewe hizi takwimu zako cjui umetoa wapi
+The Insight Tanzania Safaris ilikua ni kwa mtazamo wangu.. unaweza tuma kile ungependa kukiona via rattus922@gmail.com
Jaribu kuulizia Diamond lagema bei ya mwisho kabisa Wana charge ngapi then nitakupa Lodge na resort kubwa Tanzania.
Nice ..can i get your cintacts?
Yes, sure
Fanya Reseach kwanza sio unaandika tu
+Abdulhakiim Maskiry sawa mkuu
+Abdulhakiim Maskiry sawa mkuu
+Abdulhakiim Maskiry sawa mkuu
+Abdulhakiim Maskiry sawa mkuu
Hpo mm cyamini kuna htl znz ni garama kubwa kuliko iyo namba 1 tena nyingi tu ingien google muangalie km Resident htl na nyengne.
+faba bin dawood mkuu hotel zote apo ni za mainland Tanzania..
Mkuu ya 9-5 zote ni Zanzibar
White sand hotel cjaiona hapo
It doesn't a matter
This list Is trash, aiseee, nenda kafanye research tena, Sasakwa lodge kuna room ya $20,000 pale convert kwenye pesa yetu utaona ni bei gani, in short hiyo iko mbali sana na ukweli
+magoti mtani sawa mkuu
hotel na lodge ni vitu viwili tofauti aisee. Thumbs down
Umekurupuka wewe hujui kitu
weeeee! hoteli nzuri ipo semtema aaaa
yap
kwagara kubwa hivyo Mmm wageji ni kwa wingi sana inaonekana maana garama iko juu sana,lazima itakuwa na wingi mkubwa wa wateja.
+Carolina Mushi asante mkuu