🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masha'allah Masha'allah

  • @AnuariMwago-o3x
    @AnuariMwago-o3x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @katobirch4759
    @katobirch4759 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji katikati ya wanawake unafanya nini?

  • @beckasmart9738
    @beckasmart9738 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio laaila aila bhana

  • @VumiSalum
    @VumiSalum 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pigen miswaki kwanza mnanuka midomo km Huna kz kakojoe ukulele kz ya kubwbwaja tu mnaona done haooo

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Swali ambalo najiulizaaaa Ni kwann wanawake 98% na Wanaume ni 2%. 😢😭😭😭.

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huu nimtihan kwakweli

  • @beckasmart9738
    @beckasmart9738 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sio muammad lasulu

  • @almasiALMASI-h3x
    @almasiALMASI-h3x 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mnaleta fitna ktk miji. Mnatembeza wake za watu hovyo.

    • @AnuariMwago-o3x
      @AnuariMwago-o3x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We nawe ujui kitu Bola unyamaze

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuna mama Ako mzazi pale fitina tuu ndo maana unavaa jinzii la elf 5 hubadilishi

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ata mufanye huyo c Sharifu na hawipo sharifu

  • @Users2523
    @Users2523 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnachanganya dini na siasa??

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mazinge umegeuka mung'unye

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Izo dhikiri za Tumbatu vipi?

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dokitori wawapi ulongo tu

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wee ni sharifu kilugha na kisheria, afu acha kuwatapeli waislam kwa mgongo wa dini

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha atupali sisi

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa hivi niwakati wa sherehi za halloween ambao ni sherehi za shetani upako unatolewa sasa hivi wakati ambao wazungu wafuasi wa shetani wanasherehi

  • @mjakazijuma
    @mjakazijuma ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu kama hawa ni kizibitiwa tu
    Maana watu sasa wanaifanya dini kama kichaka cha kufanya chochote wanachotaka kufanya
    Mara nyengine huenda ikawa ata sio waislam Nia Yao ni kuichafua dini tu

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wajinga ndio waliwao

  • @shaban6644
    @shaban6644 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni Vichekesho na Masikitiko.

  • @salimkomba
    @salimkomba 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa mbaya sn .utapeli mtupu

  • @RahimMsham
    @RahimMsham 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msimamishen haraka apo kuna tatizo

  • @twaibutwabibu8809
    @twaibutwabibu8809 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

  • @bobbsalumnyalu1114
    @bobbsalumnyalu1114 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kijana akapimwe akili

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kakosea wapi hapo wale kina dula makabila Mbona mnawaunga mkono hamsemi

  • @SalumFuraha
    @SalumFuraha 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hyu sasa anapoelekea siko

    • @AishaIssa-ld8lw
      @AishaIssa-ld8lw 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siko kwann hiv nyie mnamawasiliano na mungu kuwa mnaingia peponi Moja Kwa Moja tizama madhaifu Yako kwanza achana na yawenzako