#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 31

  • @LesiaNamialano
    @LesiaNamialano 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Awabariki sana yani nasikia injili ihi Mpaka naliya sana nafatilia Nikiwa marekani

  • @mwajumasakina9599
    @mwajumasakina9599 9 หลายเดือนก่อน +2

    Waimbaji mumeubariki moyo wangu na jinsi mnavyo mwabudu Bwana Yesu, barikiweni sana mpaka mushangae💚🧡💛❤💙🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @MizpahGoodnewsTanzania
    @MizpahGoodnewsTanzania 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uje na Mwanza pia mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana.

  • @rachelpaschal9378
    @rachelpaschal9378 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aminaaa

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho

  • @AdellaSanga
    @AdellaSanga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sn mtumishi

  • @benjaminimtafya8707
    @benjaminimtafya8707 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki sana Kwa huo utumishi.

  • @vumiliawambula1716
    @vumiliawambula1716 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina Sana watumishi wa Mungu

    • @margarethsaumu5602
      @margarethsaumu5602 9 หลายเดือนก่อน

      Asante mtumishi wa Mungu kwa habari njema hizi. Mungu tusaidie tuweze kuwa na ushirika mzuri na Yesu tusije tukajikuta majina yetu, hayapo kwenye kitabu cha uzima.

  • @BaltazarSavin-u3i
    @BaltazarSavin-u3i 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU

  • @WitnessSamson-qc9ie
    @WitnessSamson-qc9ie 9 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 9 หลายเดือนก่อน

    Halleluya

  • @LesiaNamialano
    @LesiaNamialano 9 หลายเดือนก่อน

    Mwambiye mtumishi aje USA

  • @tabithaibrahim8493
    @tabithaibrahim8493 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi naishi Mbeya nitakpataje hicho Kitabu?

  • @fridafrancis1960
    @fridafrancis1960 9 หลายเดือนก่อน

    Ni Arusha sehemu gani?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  9 หลายเดือนก่อน

      Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza jirani na kambi ya chupa

  • @MAONYOTVTANZANIA
    @MAONYOTVTANZANIA 9 หลายเดือนก่อน

    Arusha sehemu gani tuhudhurie jamani promover ?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  9 หลายเดือนก่อน +1

      Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza karibu na kambi ya chupa

  • @BeatriceMwakyelu
    @BeatriceMwakyelu 9 หลายเดือนก่อน

    Sehemu gani mpo?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  9 หลายเดือนก่อน

      Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza

  • @oliverbernad5570
    @oliverbernad5570 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona MCH mwenyeji haonekani mkutanoni

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 หลายเดือนก่อน

      Ukimwona itakuwaje?

    • @revojomo
      @revojomo 9 หลายเดือนก่อน

      Amekuwa na dharura kidogo

    • @pastorpetermageta6833
      @pastorpetermageta6833 9 หลายเดือนก่อน

      Anakuwaje na dharura wakati wageni wapo kwake

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 9 หลายเดือนก่อน

      Amekaa hapo. Sema tu humjui.

    • @nallymwamba1330
      @nallymwamba1330 9 หลายเดือนก่อน

      Mwamba ni mtoto wangu JINA la ukoo

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @BeatriceMwakyelu
    @BeatriceMwakyelu 9 หลายเดือนก่อน

    Sehemu gani mpo?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  9 หลายเดือนก่อน

      Arusha Sehemu ni Maretu ukumbi wa Piazza

  • @rahelkimario1497
    @rahelkimario1497 9 หลายเดือนก่อน +2

    Amen