MGOMO KARIAKOO, MADUKA YOTE YAFUNGWA, ZIGO LA LAWAMA TRA "MILIONI 15 "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 3 หลายเดือนก่อน +13

    TRA wanakula rushwa kupora mitaji ya wafanyabiashara wanajiwekea mifukoni na kwenda kujenga kwao manyanyaso ya haliyajuu

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 3 หลายเดือนก่อน +8

    This country forgot about democracy...now wanatumia udikteta kuongoza raia...tunataka haki zetu, na TRA mjiangalie , bidhaa haziokotwi uje kujizolea... Dill na hao wavamizi nchini kwetu .. acheni kuwaonea watanzania halisi

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 หลายเดือนก่อน +15

    kichwa kisichokua na akili ni mzigo kwa shingo ila roma

  • @OlaisMoses
    @OlaisMoses 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi naona waziri wa fedha awe mfanya biashara hawa watu wanao toka darasani na kuingia TRA hawana uzoefu wa biashara

  • @XPOSED255
    @XPOSED255 3 หลายเดือนก่อน +19

    MAKONDA PEKE YAKE NDIE ANAEIWEZA DAR angetatua fasta tu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน +6

    T RA n Mungu, Mtu kariakoo tena serkali mnatesa rai

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 หลายเดือนก่อน +8

    Msifungue maduka
    Ngoja waone muhimu wenu, atapata wapi pesa za kuishi maisha yao ya kitajiri? Kuendesha V8

    • @BraveMajaliwa-gf7ru
      @BraveMajaliwa-gf7ru 3 หลายเดือนก่อน

      Wanaofunga ndo wanateseka maana serikali ina vyanzo vingi vya kupata pesa

    • @issaalfani1030
      @issaalfani1030 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@BraveMajaliwa-gf7ru hujui kitu hapo Serikali matumbo joto CAG kila mwaka anatoa tarifa ya upotevu ya maTilion wewe nimoja kati ya wale majizi nini

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mama alitakiwa amtumbue mwiguru .kubebana ndio shiida.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu alijipiga Rossi kichwani kwa sababu ya TRA. Ni WAKORA hao TRA, wanasumbua watu. TRA Washenzi kweli kweli.

  • @ManJames-bi2oj
    @ManJames-bi2oj 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kwakweli tra ni kero sijui watu wakifirisika watafanya bihashara wao

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiweka pesa unakatwa, ukitoa unakatwa, ukitumiwa wanakata, ukinunua kitu wanakata, ukifungua kiduka washenzi wanajaa kama mlitafuta wote CAG kila mwaka anatangaza upotevu wa Matilion na wanao ziiba wanahamishwa tu mikoa na sio kufungwa au kutaifisha mali zao ila mTanzania anae jihangaikia amekua wakunyonywa kila siku

  • @edishaa3108
    @edishaa3108 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na wao wafunguwe maduka yao halafu wauze wenyewe

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 หลายเดือนก่อน +4

    ndiomana tulivopata uhuru watanzania mlinyimwa elimu si ndio mlisoma mwisho darasa la nne 😁😁🤣🤣

  • @JoyceMourice
    @JoyceMourice 3 หลายเดือนก่อน

    Wanakera Sana Kodi zimekuwa nyingi mno kwenye cm ukatwe Kodi mara taka mara service Lev mara reseni KERO mama unaipeleka wap hii nchii jamani angalia masikini Tanzania aina matajili kiasi icho

  • @zebedayobiswalo1924
    @zebedayobiswalo1924 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nchi ya kipuuzi sana

  • @isamony58
    @isamony58 3 หลายเดือนก่อน +5

    Magufuli TUNAKUKUMBUKA daimaa raisi wawanyongo huyu mama na watu wake nishidaa

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huna kumbukumbu wewe. Aliweka task force kali sana KARIAKOO. Walikuwa wanaumizwa kichizi...

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 3 หลายเดือนก่อน

      Nawewe umekufa akili

    • @philemornmutta1597
      @philemornmutta1597 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona hawakufunga maduka ilikuwa hivyo unavodai​@@TamuzaKale

    • @philemornmutta1597
      @philemornmutta1597 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Sheba4651wewe ni mnufaika wa zama hizi kula Kwa ujanja ujanja

    • @elijuskikoto392
      @elijuskikoto392 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salehesalehe2967huyo magufuli wako ndo alikuwa hafai kabisaa

  • @IbrahimHassan-by5ym
    @IbrahimHassan-by5ym 3 หลายเดือนก่อน

    maendeleo yaanze kwa Raiya , ili waridhike ndio serikali ipate maendeleo , sasa tukimbana Raiya(mfanya biashara ) ujanja ujanja hautoishaaaa TZ

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samia hataki kwenda kuwasikiliza anamtuma watu anakosea sana Hilo ni tatizo naagiza Raisi Samia kawasikilize acha kujiweka mbali na Wana nchi wako nchi hujengwa kwa kazi kama hizo TRA ni kitu gani ? Lekebisha eneo hilo

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mwigulu ameshindwa kuwasimamia TRA .

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 3 หลายเดือนก่อน

    Hii tanzania itakuwa tu kama kenya 🇰🇪

  • @elijuskikoto392
    @elijuskikoto392 3 หลายเดือนก่อน

    TRA ni shida Sana hapa nchini dah

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 3 หลายเดือนก่อน +1

    jamani mbona tunanua biashara dubai na hakuna risiti. hii lazima ya kukaguana na kulazimishana risiti tunaiga kwa nani.
    afrika ngumu sana kufanya biashara

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtaani nako kuna hawa wa leseni,tusiojuwa nao tunawaita TRA,wanakamata bila utaratibu ukiwapa 20 wanakuachia,wakikupeleka ofisini nako unalipia wakidai ni fine,hata rising hupewi,ni wizi mtupu,kuna maduka mengine ukiyatizama hayastahili kulipa hata 20 kwa mwaka,kuna haja ya kuwatizama watu hawa

    • @Immahjr
      @Immahjr 3 หลายเดือนก่อน

      Hao ni Maafisa masoko "Manispaa"

    • @AnthonySindabaha-de3xb
      @AnthonySindabaha-de3xb 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Immahjr nao njaa tuu mie nawajua

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 3 หลายเดือนก่อน +1

    Midhari TRA wamemwaga unga basi wafanya biashara wamemwaga mboga ubaya ubaya tu .

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini mzigo usi chukuliww kodi toka ukiwa bandarini ya nini mje funga maduka ya watu😢

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 หลายเดือนก่อน +1

    Swala kama hili ni aibu kwa viongoz , inawezekanaje mtu analipichwa athabu kubwa vile , ina maama Mizgo haithibitiwi kutoka bandarin mpka mzigo unapigwa fail kubwa vle

  • @Kalosishabani
    @Kalosishabani 3 หลายเดือนก่อน +2

    TRA kiukweli ni kero

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 3 หลายเดือนก่อน

    Mzigo wenyewe ukifika bandarini tayali unalipwa kodo uhunintu

  • @tasukutechnologies2573
    @tasukutechnologies2573 3 หลายเดือนก่อน

    TRA ni donda ndugu

  • @IbrahimHassan-by5ym
    @IbrahimHassan-by5ym 3 หลายเดือนก่อน

    it's fact kwamba Wafanya biashara waeleweshwe wanacholipia kwanza ni MIZIGO yao ama eneo la kufanyia BIAshara, sasa kama mizigo imeshalipiwa bandarini Madukani wanalipia nini?

  • @KenedyDesigner
    @KenedyDesigner 3 หลายเดือนก่อน

    MABOSI WENU WA MADUKA HAWAWATAKI MACHINGA KAKA NA NDIO MAANA WAMWFUNGA

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 หลายเดือนก่อน

    Tra ni tatizo kubwa sana kwa wafanyabishara . Kuna gesti nyingi awalipi kodi na hata risiti awatoi.. unandikiwa kikaratasi. Tra warekebishe na kuangalia hayo malalamiko.

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 3 หลายเดือนก่อน

    TRA ni wezi tu

  • @AkyooGood
    @AkyooGood 3 หลายเดือนก่อน

    Hamsha hamsha

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 3 หลายเดือนก่อน

    Tra ianze ajiri vijana waliokaa mtaani na kufanya biashara hivi vitoto vilivyo toka shule havielewi

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi viongozi wa TRA nilini mtaumaliza Huu mgogolo maana imekuwasawa na kidonda ndugu

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 3 หลายเดือนก่อน

    Toen rizit zinazotakiwa

  • @seliankibasisi5047
    @seliankibasisi5047 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nafikir kugoma sio tatzo ila kero zisemwe zisikike, sio unasema kodi nyingi. Taja kodi zote wajue mnalipa kodi mara ngapi?

    • @Alexismadimo
      @Alexismadimo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wenywe walioweka kodi wanajua

    • @seliankibasisi5047
      @seliankibasisi5047 3 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi wenyewe mnaijua wapigaji ni wengi. Huenda kuna kodi zingne hata hazijulikani

  • @simsotv2261
    @simsotv2261 3 หลายเดือนก่อน

    Bora sisi wakenya tunajitambua

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂ila wabongo, eti wakenya tunajitambua😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 หลายเดือนก่อน

    Mwiguru kaza kabsa njoo na huku mwz nenda Arusha ddm na sehem zingine

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 3 หลายเดือนก่อน

    acheni kulalamika wapumbavu nyinyi.... toeni hiyo pesa tufanye kampeni ya Mama!!

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 3 หลายเดือนก่อน

    TRA wafungue biashara darasa, wafungue hardware, saloon, chakula, vipodozi wananchi tukajifunze😂😂😂

  • @banegatv5553
    @banegatv5553 3 หลายเดือนก่อน

    Noma sana

  • @SportfixafricaTv
    @SportfixafricaTv 3 หลายเดือนก่อน

    Mara hulali usiku kuandikiana mamasage wafunge leseni basi tuone hapa tutafunga maduka mpaka kieleweke

  • @musamakasi7035
    @musamakasi7035 3 หลายเดือนก่อน

    Rais aende akawasikilize wananchi asitumie watu mbona kusafir huwa hatumi wawakilishi hapa anashindwa nn kwenda

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 3 หลายเดือนก่อน

    Alooooh

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 หลายเดือนก่อน

    Hatari kwweli

  • @elijahbaraka9470
    @elijahbaraka9470 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo yale yakenya aya.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    WENZENU KENYA HAMJAWAONAAA?
    WASIWAFANYE NYIE WAJIÑGA. AMKENI
    NA NYINYI MSIWE WATU WA NDIYOO.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 หลายเดือนก่อน

    HII SERIKALI AU MATOPE? YAANI FINE MILIONI 15 AU MIE NDIO SIJAELEWA?

  • @BraveMajaliwa-gf7ru
    @BraveMajaliwa-gf7ru 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Tanzania 🇹🇿 wanaanza kuiga wakenya 😂😂😂na wenyewe wafike mpaka bungeni na farasi 😂

  • @annamwanyelele9084
    @annamwanyelele9084 3 หลายเดือนก่อน

    TRA nikero nikero nikero tena nikero Wana njaa Wana njaa utazani vifyele vya nguruwe

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi hain uongoz ten wanchi hawapew haki zao kw hak ,kiongz kutw kuzurul ulaya

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu amezaliwa na hii serikali hana kwao

  • @rajabusalumu1862
    @rajabusalumu1862 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂 hbr za vitambi zinatokea wapi jmn

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 หลายเดือนก่อน

    Wanaaribu uchumi wa Nchi. Mama Samia angalie mambo haya. NCHI ipo pabaya. Ndiyo wakutane na Rais maana ndiyo mwenye kauli ya mwisho.

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 3 หลายเดือนก่อน

    Kuweni kama KENYA tu watu tulale barabarani wote

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

    FUNGEN MADUKA ILA MTAKAPO TAKIWA KURUDISHA HIYO MIKOPO MLO KOPA BENK MSIJE KIANZA KULIA WE MSHA AMBIWA SWALA LENU LINASHUGHULIKIWA SAS SHIDA NINI😢😢😢

  • @evelynsalila
    @evelynsalila 3 หลายเดือนก่อน +2

    Selikali inaua soko la kariakoo

  • @ManJames-bi2oj
    @ManJames-bi2oj 3 หลายเดือนก่อน

    Tra mnawafirisi wafanya bihashara

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 3 หลายเดือนก่อน

    #KUFATANAFATANA

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน

    sisi tunampenda sana raisi wetu mama samia suluhu hasan,awe makini na akina MWIGULU wana agenda zao za 2025!!naomba ajifunze kwa mstaafu KIKWETE,alifuta kodi zenye kero kwa wafanyabiashara

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tangu lini mtu akamchikia mbwa wake anayemtafutia kitoweo?

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 3 หลายเดือนก่อน

      unampenda wew huyo rais wako

  • @honestmosha6203
    @honestmosha6203 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa siyo mtanzania kujumua??? Kkoo kuna foreigners wengi ila sidhani kama wanavibali vya kuishi nchini

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 3 หลายเดือนก่อน

    NCHI YENYE VIONGOZI WASHENZI KABISA HII WIZITU NA UONEVU LOL

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini hamtaki kutoa risiti nyie wapumbavu, wafanyakazi wote wa serikali wanakatwa kodi Pay As You Earn(P.A.Y.E) afu mnaleta upuuzi na aliyenyuma yenu ni lile kundi lililomtoa Daniel Chongolo ukatibu mkuu ccm,lipeni kodi serikalini acheni kukwepa kodi na kutokutoa risiti

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

      Hii nchi iuzwe tu maana mi mwenyewe nachangia 80000 kila mwezi

    • @smallscaleminingsupplies9670
      @smallscaleminingsupplies9670 3 หลายเดือนก่อน

      Unajua wafanyabiashara wanalipa kiasi gani

    • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
      @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 หลายเดือนก่อน

      @@smallscaleminingsupplies9670 tuliza kinyeo shoga mkubwa unafirwa nini wewe unauliza swali linalonuka mavi kama hilo yani watu wote wanakuona mpumbavu wanatakiwa kulipa kodi kutokana na wanachoingiza ndio maana wanatakiwa watoe risiti, maduka mengi kariakoo hawatoi risiti afu unaleta meseji za kishoga apa YESU ALIE HAI Alisema yakaisari(serikali) mpeni kaisari na Ya MUNGU Mpeni MUNGU wafanyabiashara ni wakina nani wakwepe kodi, Huku Wafanyakazi Wanalipa kodi P.A.Y.E bila shuruti pumbavu zenu wafanya biashara mnaokwepa kulipa kodi serikali Ambayo Hata BWANA YESU ALIE HAI Ameiridhia

  • @FatumaMawingu
    @FatumaMawingu 3 หลายเดือนก่อน

    Ngoja nicheke
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂😂
    😂

  • @jumaseif548
    @jumaseif548 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha waziri wa fedha akusanye pesa ili wananchi wafe na njaa wawatawale marehemu

  • @JoyceMourice
    @JoyceMourice 3 หลายเดือนก่อน

    Chanzo Cha yote haya ni mwiguru nchemba uyu wazili ni tatizo Toka akae icho kitengo tozo ni nyingi mno.

  • @Keyjop
    @Keyjop 3 หลายเดือนก่อน

    TrA bana asa huo SI uroho Sasa kuanza kiwaingia raia Hadi mfukoni

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 หลายเดือนก่อน

    Ramadhani Ntonzwe pumzika kwa amani.

  • @danielamosi6871
    @danielamosi6871 3 หลายเดือนก่อน

    Tax

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน

    Samia mizigo yako uliyookota majalalani,mfano Chalamila sijui ulimuokota wapi ,full time Chalamila ni mzaha.

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 3 หลายเดือนก่อน

    TRA au serikali ikusanye kodi na iwe na watu waaminifu na hiyo kodi isidsi hela nyingi ambazo zinaleta hii hali iwe ya wastani pia mlipaji ajiridhishe na ajisikie kilipa.mfano mabango yaliyokuwepo ya electonic yamemebaki mafremu tu serikali inafaidi nini.rushwa pia inawaumiza wengi.Naipenda nchi yangu nzuri sana nilichoona kwenye Media kuwa Tz Kenya Uganda hali ni hiyo nimeumia.aliyekwazika anisamehe

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 หลายเดือนก่อน

    Mmepandisha kodii mafuta juu bandari zetu lakini bidhaa kununua tz bora ukanunue Uganda wakati mizigo yao wanapitishia kwetu mbona bei zao ni rafiki

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya hovyo sana hadi kichefuchefu

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii mambo ya risiti Kwa nchi hii yatasumbua kila kukicha ni Bora serikali wakaangalia ni mfumo gani mzuri wa kukusanya Kodi Kwa wafanyabiashara bila hivo itakua ni kero

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona serikali RTC ilishindwa maduka,mnatesa rai rudisheni RTC, ubabe wao police n w kwao,

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 3 หลายเดือนก่อน

    TRA wakija wanataza rushwa tuuu😂😂😂😂

  • @annamwanyelele9084
    @annamwanyelele9084 3 หลายเดือนก่อน

    TRA hawana tofauti na vifyele vya nguruwe njaa kali

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 3 หลายเดือนก่อน

    Hi nchi ngumu sana

  • @Dativanyakato
    @Dativanyakato 3 หลายเดือนก่อน

    Apa ndotunamkumbuka Magufuli jaman

  • @zakayomkemwa6283
    @zakayomkemwa6283 3 หลายเดือนก่อน

    Kidata ndio tatizo aondolewe

  • @zully756
    @zully756 3 หลายเดือนก่อน

    Pigeni

  • @gweahshoo5120
    @gweahshoo5120 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania muwe na uzalendo na committed kwa nchi yenu msifate mkumbo..nchi km china imeendelea kwa wananchi kuwa very committed..Tz watu hawatak kulipa kodi lakin wao ndio wa kwanza kutaka maisha bora...

  • @FarssiAli
    @FarssiAli 3 หลายเดือนก่อน

    Aise noma sana 😮😮😮😮