😹😹Amna ukwel ..saikolojia tu mm ni f na Amna sifa Ata Moja ilo endana nayo... Kuna vtu akigusa ambavyo vinalenga maisha Yako unaona ni kwel .. lkn vngn havipo at least sifa za zodical sign zk at least kwa u valid kuliko heruf za majina
Aisee kwenye M wee jamaa umenipatia kabisaa ukweli mm kazin hua nikipewa kazi nafanya kwa wakat bila ubabaishaji na hua sipend kuongea kazin lbd kwa issues muhimu na nikitoa kazi mtu akaharibu aisee hua nanyoosha hasa
Naitwa arafatt 💪 wenye majina yanayo anzia na "A" weka likes Sasa twende kaziii wadau nmekuwa wakwanza kuangalia video hii😃😃💪💪💥💥
Abraham
ABUBAKARY💪
Abdullah
Amina🙋
Ann
Wenye majina yanayo anzia na herufi "E" weka likest🫵👊🤝🦾
Justine Shedy mbona nime download hiyo Absalom Familly lakin nikiingia kuangalia movie wananigomea au kwakua nipo nje ya Tz?
Tunao anza na elf s tujuwane hapa👈
Sifa hizi ulizisema kwangu ziko sahihi kabisa
Bro nakubaliana na A na L umegonga ndipo, msanii hizi sifa zote minazi daaah👏👏
Dah kaka hujapindisha mule mule I hujakosea 🙌🙌🙌
Hujakosea hata kidogo daa asante sana
Sasa twende kazi 🥰🥰
Hahaaahaaaaaa, Justine Shedi bana, umenichekesha sana kaka,.. nipe like na love,,, pia ipin comment yangu..
Hhhah "ety kwa tafiti zisizo rasmin" 😂😂 nakukubali bro👍
D,,, babies here we go❤❤
Mimi ni herufi E karibia yote uliyo taka yako ndani yangu
Sasa twende kazi
Jinalangu Peter naomba utueleze gisi tunabebwaka nyota ya maisha zetu. tafazali utuambiye.
Dah herufi A umepatia
Issa kweli huyu mtangazaji naeza sema mchawi,mana napenda Sana watu n kuwasaidia,sipendi kumuona mtu anapata shida.
Ipo sawa but herufi ya jina langu haujaifikia
Mwanangu nakukubal sana
Kusema tu ukweli ya "M" kwangu ni kweli kabisa but that is a ancestor name I wanted to see R may first name
1
J ni kwel ata mimi nipo ivo ivo
SASA TWENDE KAZIIIIII Huku nimepona ngj niangalie muendelezo wangu wa N
Jamani haoooo kwenye J niko hivyo ila Sina hasira 😂
Kabisa!
Naomba unisaidiee maana ya jina Gasiano
Naisubiria herufi N kwa hamu
Yah tena sana mwamba tuchape nyingine
Naitwa linda
Hapo kwenye E umemaliza yote kaka pia kipaji kipo
E inaendana na tabia yangu
😀😀tutajuwaje kam hauna asira
ahsante kwa herufi E, humo humo
Yupo sawa
Kabisa yani
J na I ni kweli
Daaaah ebana eeeee yan kwenye erufi yangu E ulivyo ongea namm niko na tabia izo
No kweli j
Exactly hiyo ndio tabiy yng
I na J sahihi kabisaaa😊
Du! Ebwana na mwanamke anaitwa hamida ya alivyosema justinshed niivyo ivyo wallah alafu tatizo linakuja mm na jina langu huanzwa na herufi A.
J✅ hasira zakaribu hatunaga❌
Huyu C ni mm kabisa yani😂😂
Annastacia/Carolyn 🙏
Kwenye herufi B uko Makini
Naomba video inayohusu mwezi
J aisee kweli
Kigwasa 💪💪💪💪💪
Good talent
L is correct
Hivi kinachotabiri tabia zako ni nyota(zodiac sign) au jina?
Both dear
hasira za karibu mmetuonea
Ni kweli
Naomba pia kujua Kuna nn kweny miez?
Mfano January Ina siku 31 na February inasiku 28 ,, why ?
Kuna nn hapo na Nan aliweka huu utaratibu?
Kwenye E nikweli kabisa
Duh umenipatia asaaa herufi F😂😂
🤣🤣
Hello J 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Herufi E E nikweli kabisaa hapa najiona meme kabisaa
Ngoja nisikilize E
Love love J 💞
Herufi l ni kweli kabisa
Mwingine ana majina mawili imekaaje hapo
Herufi M
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Kama una majina 3 na zaidi inakuaje ?hapo
herufi o naitaj kujua
Herufi b
Herufi t natamani kujua inazengumza nini kuhusu mini
👍
K hapo ndo kabisa kabisa
M kwenye kazi hapo kweli hata kama tunaona dalili yakuzungu kupewa malipo yetu kama tumesha liwasha mpka kazi iishe ndio nakuwa naamani
F ni ukweli kabisa
😹😹Amna ukwel ..saikolojia tu mm ni f na Amna sifa Ata Moja ilo endana nayo... Kuna vtu akigusa ambavyo vinalenga maisha Yako unaona ni kwel .. lkn vngn havipo at least sifa za zodical sign zk at least kwa u valid kuliko heruf za majina
Justin bna😹😆
Jina langu M
Aisee kwenye M wee jamaa umenipatia kabisaa ukweli mm kazin hua nikipewa kazi nafanya kwa wakat bila ubabaishaji na hua sipend kuongea kazin lbd kwa issues muhimu na nikitoa kazi mtu akaharibu aisee hua nanyoosha hasa
Au cyo
Erufi H
F uongo😆😆