Kaka kwema samahan naomba kuuliza mm jina langu sharifu lakn nilipo zaliwa mama alikua mbali na baba yangu mama ikabidi aniite jina ismail lakn baada ya miezi 4 alivo nipeleka kwa baba bas baba akanipa jina ambalo nii sharifu akadai hili la mwanzo liachwe ambalo nii Ismail bas tokea hapo naitwa Sharifu sasa nataka kujua sayali yangu ipo kwenye jina lip hapo nakuomba nisaidie kaka nakufatilia sana pia natamani siku nionane na ww
Me naitwa Godbless ninamwanamke Ana herufi L na alikua anaishi na mwanaume akaachika nimweupe na nampenda sana nafanyaje naomba ushauri wako
UNANISEMA MIMI SASA🤣🤣🤣🙏🙏🙏
Asante G❤❤❤❤
Kila kitu ni kweli unacho ongea ni kweli cz mm jina langu ni Godfrey
Tuko pamoja Babu
mkuu hapo kwenye pete sijakuelewa umesema ni pete ya nini ?
Vp nikiwa na letter g halafu nikawa na mke wa letter c
Nimeipenda sana hiyoo herufi g ila ndoo nshachelewa
Thanks lecture for teaching me
Nimesha muoa wa R lakin nimwamke aliwahi kuishi na mwanaume na kuachika
Kaka kwema samahan naomba kuuliza mm jina langu sharifu lakn nilipo zaliwa mama alikua mbali na baba yangu mama ikabidi aniite jina ismail lakn baada ya miezi 4 alivo nipeleka kwa baba bas baba akanipa jina ambalo nii sharifu akadai hili la mwanzo liachwe ambalo nii Ismail bas tokea hapo naitwa Sharifu sasa nataka kujua sayali yangu ipo kwenye jina lip hapo nakuomba nisaidie kaka nakufatilia sana pia natamani siku nionane na ww
Mimi ni G Dr allykk lakini nimeoa mwanamke mwenye herufi C ikoje hapo doctor?? Tuko sawa??
🕊 Glegory 2022🕊 eg 25 Siku ya happy birthday yake ndio tume mzika 🕊
Hapa ninamtoto god kila siku asubuhi na mapema watoto wanajaa nyumbani kuja kumtafuta god
Du
Kama nishaoa R nifanyeje
Nilipewa linalo anza na M baad ya miak 3 nikabatizwa linalo anza na G apo vp
no