Brother justin hapo kwenye September... ndio uwalisia wangu kufikia sasa najua kuongea kiswahili ila mim sio mtanzania.. kifaransa kispania kingereza...🇲🇿🇲🇿💯💯good work kaka....
Asante sana Justin, nilizaliwa May na naweza kusema kuna qualities umetaja zinazonihusu kabisaa. Haijamatch at 100% ila nawezasema asilimia kubwa ni sahihi
November umepatia sana ila kuhusu kupenda kukaa ndani kwa mimi hapana. Napenda outdoor activities. Napenda kutoka na kufurahia mazingira ya nje ila kwa malengo siyo kuzutura tu. Napenda kuona matokeo ya kazi na siyo ubabaidhaji. Napata tabu kidogo kueleweka hasa kwa watu wasioona mbali.
Mmhh. Mze hujakosea kabisa kuhusu kuzaliwa kwangu mwezi October Kila kitu ulicho Sema ni sahii na mdiovyo nilivyo duh. Mungu mkubwa na akubariki mze baba.
April kwel kbsa yaaan mm npo hv hv mpka watu wananionaga na dharau then napenda kufanya maamuz wakat nikiwa na hasir then baadae Nataman nibadilishe Ayo maamuz🥺🥺🥺
Mwez wa kumi na moja,duuu,its true eg leo tu mpaka nangalia hii video saa nne kasoro,,nimetoka njee kununua machungwa na vocha pekee the whole day nipo ndan,na most of time sitoki,njee,na sijawah kukata tamaa ktk jambo kirahisii,😁
Huyu jamaa ni noma mwezi November katuchambua kama karanga... Hapo kwenye mawazo mengi na kupenda kukaa ndani naweza nikakaa ndani kuanzia asubuh mpaka jioni
Nakubaliana 100% kwa sisi tulio zaliwa mwezi june ni watu tunaopenda kweli na hakika tunawivu na asant kwa kufungua akili yang, kumbe sisi ni watu wa sanaa heee!
Hapo mwezi wa NNE nakubaliana 95%
Hawafi Moyo kirahisi na wabunifu🇰🇪🔥🇰🇪👍
nikwel babis mwezi 4 tupo
Ddah Yan mm mwenyew nashangaa ametaja sifa ambazo ninazo kabisaaa😭😭
Waoohh ndo mwezi wangu na nimepitia mambo mengi sanaa finnally niko njema
Dah Mimi kabisaa,, Hawa jamaa.. Wanajuaje,, mwezi wa 4
Tulitakiwa Kuwa bungeni kabisaa, Maana tumezaliwa na uongozi ndani yetu!!! 💯
May nipo mwenyewe au gonna like kama upo
July waaaa Exceedingly Expectations 🔥💥💥💯
😂😂😂😂
Brother justin hapo kwenye September... ndio uwalisia wangu kufikia sasa najua kuongea kiswahili ila mim sio mtanzania.. kifaransa kispania kingereza...🇲🇿🇲🇿💯💯good work kaka....
Très bien frérot. Moi aussi suis doué avec les langues
Mjibu Sasa huyo kakuandikia kifaransa hapo
..
Kabisa
@@islachristabinastaravista8104 🤣🤣🤣🤣🤣
Asante sana Justin, nilizaliwa May na naweza kusema kuna qualities umetaja zinazonihusu kabisaa. Haijamatch at 100% ila nawezasema asilimia kubwa ni sahihi
Duh! July ni yenyewe kabisa!!
@@berthakapelle9750 August kapatia saaaaaaan
January Nakukubali kaka endelea kutupakulia big up
Martin luther king jr
Tundu Lissu
Mama samia!!
Mwezi wa tatu ni ukweli...❤..
January mbn mmenipita jmn
November umepatia sana ila kuhusu kupenda kukaa ndani kwa mimi hapana. Napenda outdoor activities. Napenda kutoka na kufurahia mazingira ya nje ila kwa malengo siyo kuzutura tu. Napenda kuona matokeo ya kazi na siyo ubabaidhaji. Napata tabu kidogo kueleweka hasa kwa watu wasioona mbali.
kaka February nimekubali 100%%
Hapo mwezi April ni mimi kabisà, salute saan br
💯💯 july twende kazi
Katupatiaaa
February nimezaliwa but najiona ninasifa za November 😂
July sawa kabisaaa❤❤❤
May umetisha kama umeusemeya moyo wangu hapa nilipo Mimi ni journalist 🙌🙌🙌🔥🔥💯💯
Unyamaaa
Kabisaa aisee 😂😂😂
April inanifanya wengi wanifate kw kutaka Ushauri...
Thnx Shedy
November aiseee kilakitu ni kilekile bigup sana yan ni mimi mulemule nawaza sana napenda kukaa ndan yn duuuuh🤭🤭❤️❤️❤️❤️
Mwezi August tujuane apo tuzidi like kuliko wote
Mbona umejificha Sanaa Kaka
Ukweli Kwa December Niko na hasira ya karibu,pia napenda kuhelp watu sana
Skpng mdada
My twin
Team july tufanye comedy kwa pa1 hii iwe suprise kwa justin shedy sasa twende kazi🔥🔥
Stay blessed man of God
Mmhh. Mze hujakosea kabisa kuhusu kuzaliwa kwangu mwezi October Kila kitu ulicho Sema ni sahii na mdiovyo nilivyo duh. Mungu mkubwa na akubariki mze baba.
October nahisi ni wote
18-10-1995 hapa
Mwezi wa 10 mm hapa sifa zooote ni zangu haki ya Mungu.
2liozaliwa mwez 7 2kikuonatu tunakujudge ha2namuda wakupoteza 😂😂😂😂😂
January are💯
February 💯
July 💯
September 💯
November 💯
December 💯
Are most likely 💗🙏
March twende kazi
Ahsante mm ni october niko hivyo 90%,
Team March tupoo kuna ka ukweli jameni
@@sharifaalishariff8837Yani mwanangu mtupu ad ktka July pia yuko ivoo
Oyoooooooo mwez wa tisa hatuonyeshi hisia kirahisi jaman na tupo makini 👍💪💪💪
mwez wanne nip mmm mwezio tuju wane ametisha yan tuko ivo
Htr..
Htr..
Ni kweli❤
Nakubali sna kuhusu mwezi wasita
Umenigusa kabisa
Tujuane😄😄
Oooh Jamani mwezi wa nane mlemle,,,,,kipaji kipo tena cha uchoraji
🙏🙏🙏🙏🙏 Barikiwa
July... ❤️
Salma ❤
May Mimi napenda kusafiri napenda kuigiza napenda kujionyesha yaani mwezi may ni Mimi kabisa kaka unaneema ya kipekeee yaku fasiri ❤
October 100% trueee
Kama wewe ni October tukutane Kwa like
👍
Kweli kabisa hata Mimi sifa zote ninazo hapo alizo zitaja
17oct ..I love being a libra
,
Yeeeeeee
Huyu mama nihatali
Dah mwezi huu tumezaliw na watu maarufu Sana na Wana mafanikio ila hizi sifa za mwezi October ninazo kabisa
Septembre 🥰🥰🥰🥰 ukwel mutup for me
Hapo September 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
May is the famous month.
Ahahaha🤣🤣🤣team july tujuane jamani.Justine Shed ametupatia kabisa👏👏👏🔥🔥🔥
Uhakika
😂kabisa
Kwanza umenifanya niwe sasa na uwakika na mwezi nilio zaliwa maan tabia zangu umezitaja kama vile wanijua very very nice
Tujuane watu wa mwezi July
July tunanini sijasikia vzr
Huu sio uaguzi wa nyota ni tafiti za wataalamu. Mwezi September 🔥
nomaaa sanaa
Septembr nimekubali ni mimi kabisa
Dhaaaa desember 10000%👍
Kaka upo vizuri sana... Mimi ni december.. Ujakosea hata kimoja.
Pa1
Mwezi wa 3. Ni ukweli mtupu✅✅✅
Kweli aipingwi
daah iyo (November)
December people we are the champion
💯
FEBRUARY nimekuelewa sana kk, 14th Feb. Wote like zenu hapa mmeikubali hii...
Mzee kwel November huwa na penda kukaa ndan na nina mawaz Sana 😂😂😂😂😂💪❤
Kweliii
Na wew kama mm
Mawazo chungu mzima tunajikaza kisabuni 😊😊😊
Yaan humo humo
Hapo najiona ni mim kabisaaaaaa😂🙌
Kwa mwz wa December umesema kweli maana najijua 😁😁
December waoooh ndivyo nilivyooo kabisaa
Daaah wale wa mwezi June apo kwenye kujifanya don't care lakni kumbe tunaumia ni kweli kabisa 100%
Tuko rada Boss ukiweka tunapata kazi safi
Yup nadhani ni ukweli kuhusu mimi December ✍🏾🙏🏾
Kwel kak
Kweli ila kuna vitu umesema desemba nimevikubali 💯% pamoja sana
Mwezi wa pili nakubali sana yani ni mimi mulemule💝
❤mwezi wa pili jamniiiii ahsant mungu
February mimi hapa hivi umeongelelea mambo kunihusu
Ulikua wap pacha ?
Jastini ni kweli nimezaliwa mwezi wa tano tabia zote za mwezi wa tano ninazo big up
Poa brother
Si uwongo hata mm npo hvyo
Acheni kupotosha watu, mafanikio ya kitu chochote yanatafutwa na hayategemei mwezi uliozaliwa. Ni kupambania tu, over.
Aseee wa2 wa jina lako ni shida hamuelewagi nyinyi
@@husnalalu008 kipi sijaelewa mamy?
Haha😀🤣 kwamba wewe hutafuti
@@husnalalu008 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwezi wako umekupa makasiriko nini😅😅
Mwezi WA sita1000000👋
Asante 😍
October mbon sifa zangu kbsa sio uongo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ni kwelii kabisa 🙌
June🥀🌹🌹🌹🥀🥀🥀kujfanya dontcare but pembeni nalia mwenyewe pia kujali wengine kupitiliza ila mwisho wa siku nalipwa kwa mabaya😂
January jomon woooooh 💕💕💕💕💕😋😋😋
Wanangu wa mwezi wa 7 tujuane kwa like sasa twende kazi
Nakubali
✌️
Najkubal Tena Mimi ni. 7/7 yaan tarehe. Na mwez sawa
@@neemadaud7470 your twins wng
@@youngchuda1568 jaman acha bas Mungu wangu hongera upo wap wewe?
Ni kweli kabisa sifa zote ni zangu September hi
Ukweli kabisa kuusu mwez October nandivyo tulivyo💕
Mimi mbona huwa napenda kukaa ndani
Kijana wangu kabisaa🙏
September❤❤❤❤
Asalaam aleikum asantemi musomo huo mimi ninayo mcha ganyiko ya viswa izho zote nitambie mafanyikio gani kwangu nipe ansa asalaam aleikum warahumatula hi Wabarakatuh nice
Ukweli Kwa watu wa November, Mimi napenda sana ndani kabisa, na nafikiria tafauti kabisa na watu wengine
Mimi pia jmny kukaa ndani ndo kipaumbele changu Kwa kwel
Ata Mimi sio mwezi uwo lakin napenda Sana kukaa ndani
April kwel kbsa yaaan mm npo hv hv mpka watu wananionaga na dharau then napenda kufanya maamuz wakat nikiwa na hasir then baadae Nataman nibadilishe Ayo maamuz🥺🥺🥺
Mwez wa kumi na moja,duuu,its true eg leo tu mpaka nangalia hii video saa nne kasoro,,nimetoka njee kununua machungwa na vocha pekee the whole day nipo ndan,na most of time sitoki,njee,na sijawah kukata tamaa ktk jambo kirahisii,😁
Huyu jamaa ni noma mwezi November katuchambua kama karanga... Hapo kwenye mawazo mengi na kupenda kukaa ndani naweza nikakaa ndani kuanzia asubuh mpaka jioni
Agost n mimi yan vyote vyangu❤❤❤❤
Kweli jamani kwenye burudani hata nikiwa mwenyewe na cheza😂😂 february
Dah hapo kwenye November 99% ni hivyohivyo
very true
Perfect 👍
Mwez w 10 jaman jamn ....oy Justine ...we makin kichiz .....✊
January ll❤
Kabisa yana ni kweli umegusa kweny kipaji cha usanaa napenda san mm kuimba jamn 🎉
😂😂😂😂 Hahaha umepatia uncle
😂 😂 Kweli may jaman Ani kama umenizaa unavyo nijua but why daaaah big up brother
Mwezi may yaani umenizungumzia kabisa.😂😂😂😂
Mwezi wapiri kweri nimeshuhudia asante sana
Nakubaliana 100% kwa sisi tulio zaliwa mwezi june ni watu tunaopenda kweli na hakika tunawivu na asant kwa kufungua akili yang, kumbe sisi ni watu wa sanaa heee!
Kabisa kaka
True manzi yangu ana izo tabia kbs
Mashallah mashallah 😍 apo kwenye October 😂😂Yani
It's true abt August 👌
Mwez wa 8💪💪
January
Asante nikweli najivunia kwakuzaliwa mwezi wa February
Ipo sawa 12
Jamani ehh kweli mimi ni wa february na maneno ambayo unasema yanaenda kabis na matendo yang salutu kwako bro nakufata kutokeya Burundi🇧🇮
Mmmmh ni kweli Mr Justine MMI kazaliwa Mwezi Déc 18ulosema ni kweli...
Hapo kwny June jaman najiona mimi kabisa mmmmh ...
August kweli kabisa
Ila nikuangalia kwangu Kuna utofauti kidogo sana
Hapo januari ni kweli kabisa
💯💯♥️♥️ February yooooooh
Am the first to watch this 🙌🙌
It sounds true especially hapo Kwa October and my features nimezisikia .
Good 👍
That's is true July born
Asante Sana November aprl augst umetisha
Mwenzi wa Saba na kubaliana asilimia mia Moja kabisa. The month of July that is true according to me because that is the way I am.
Justine umenigusa kunako December🔥🔥🔥
Daah April yaan mm kabsa
Hawa kweli nmekubali December
Huo mwamba yuko vizuri
😂😂😂😂😂...Kama hajasikia sifa alizonazo atulie....asibishane na wataalamu????😂😂😂😂😂
JULY PEOPLES TWENDE KAZI
July tupo
Umezungumzia mazuri tu japo ni kweli ila mabaya umeyaficha 😂😂😂
Mwezi September umepatia san na wezi July 👏👏👏
Nipo hapa ila sipendi michezo
Nimekupenda
Umepatia February