Brother Nassir - Taaban (Official Lyrics Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 548

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  5 ปีที่แล้ว +120

    DOWNLOAD ON BOOM PLAY. - www.boomplaymusic.com/share/album/7288483?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
    .
    ITUNES
    itunes.apple.com/album/id1497097610?ls=1&app=itunes
    .
    SPOTIFY
    open.spotify.com/album/4KTcMM3LJ8tPmHk7ijUajC
    .
    APPLE MUSIC
    itunes.apple.com/album/id/1497097610
    .
    Follow Him On Instagram
    connect With Brother Nassir On Instagram
    instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x

    • @brotherhamedofficial
      @brotherhamedofficial 5 ปีที่แล้ว +5

      Brother nassir lini unakuja tena marahii nimekukosa sijapata colabo na wewe mimi brother Hamed

    • @saidisalim7326
      @saidisalim7326 5 ปีที่แล้ว +7

      Unaimba nyimbo na zitakutia moton zinduka moto Wa Allah hauna usupastaa, unatafuta laana na ghadhabu za Allah unaziweza

    • @haithamahmed4873
      @haithamahmed4873 5 ปีที่แล้ว +2

      @@saidisalim7326 bro hutaki usiskize.... Unahakika wewe utafika huko?

    • @mariamhussein1347
      @mariamhussein1347 5 ปีที่แล้ว

      Ma Shaa Allah

    • @asmabintikiwa1826
      @asmabintikiwa1826 5 ปีที่แล้ว +2

      Acha kupoteza mdundo ya nn soma mashairi inatosha Dunia isikuhadae

  • @alphakuzcuoglu5410
    @alphakuzcuoglu5410 4 ปีที่แล้ว +14

    Weweeeee bro nakuaminia keep it up I love your songs 😘😘mungu akuzidishieee Inshaallah

  • @mohamedalwy330
    @mohamedalwy330 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa hakuwa anampenda sana mungu wala mtume Muhammad s.a.w alikuwa anautafuta umaarufu tu na keshupata. Maana huko nyuma alipokuwa kihojiwa na vyombo vya habari alikuwa akisema kuna tofauti kubwa kati ya nyimbo na nasheed lkini sai watu wakimpa nasaha juu yakupotea kwake anadai kuwa hakuna tofauti . Hamuoni ka huo wake ni unafik tu anatake pesa hamtali mola wake alomuumba wala mtume.pia haujali uislamu wala waisilamu

  • @babj_0059
    @babj_0059 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ni nzuri sana 👍 hongera brother nassir, mungu akupe kipaji ❤️

  • @rukiabilali4645
    @rukiabilali4645 5 ปีที่แล้ว +4

    👌👌👌👌👌👌👌👌😻😻😻Ahadi nishakuwa kuwa nawe maisha

  • @rayyanswaleh5813
    @rayyanswaleh5813 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani maneno madogo madogo tu yanayowatetemesha warembo...yaani bro ww ndiye umeimaliza bcz maneno simple beat nayo kiboko alafu sasa flow...boy uko smooth sanaaaaaaaa

  • @MarymnkondolahFarhatynko-sk8bh
    @MarymnkondolahFarhatynko-sk8bh ปีที่แล้ว

    Maashalla nyimbo nzur Allah akuzidishie Kila la kher

  • @juddiedon713
    @juddiedon713 2 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda hiki nyimbo haki💪💪💪💪

  • @mytima2044
    @mytima2044 4 ปีที่แล้ว +2

    Baningi umeweza bro engeza bidiii tupe vitu tuuguwe

  • @suleimanshaban2140
    @suleimanshaban2140 5 ปีที่แล้ว +17

    Kwaajili ya ALLAH ,,, achana na aina hii ya nashid,,,,utajuta baadae,,,,,,,,

  • @abdulrahmanmohamedaboud735
    @abdulrahmanmohamedaboud735 5 ปีที่แล้ว +4

    Ndugiyangu mchemola unapokwenda sio kwema haifai wallah nilikua nasikiza nasheed zako za kitambo zilikua nzuri acha hizi ala za music

  • @atoshninedolla2365
    @atoshninedolla2365 4 ปีที่แล้ว +4

    Brother Nassir Masha Allah mzangu

  • @rabiawaziri1854
    @rabiawaziri1854 5 ปีที่แล้ว +1

    Brother nassir mimi nilikua shabiki wako wa mwanzo nipo unguja nilikua nikifungua nasheed zako nafarajika sana kama mauti ile vumilia moyo wangu naugua mahaba ya bwana nanyengine nyingi. Lakini naona hafla umebadilika imekua unataka kujifananisha nakina mboso nimeskitika sana kwakweli.
    Mimi nimemmis brother nassir yulee wa anasheed zenye maneno matam ya kumfanya mtu awe na imani na MWENYEZI MUNGU yani anasheed zako nyingi zilikua ni mawaidha wallah

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 5 ปีที่แล้ว +6

    Mbona unapotea Shieck Nasiri ilikua wenda vizuri saana nyimbo za kumsifu Allaah sasa huyu ni ibilisi gani jamani inshaallaah Mwenye Ezi Mungu akuongoze

  • @sumayyabawazir7484
    @sumayyabawazir7484 4 ปีที่แล้ว

    Hii dunia ni pesa tu... So nw aona myb he's making money move.. ndio akatoa wimbo. Allah amuongoze na atuongoze sote..

  • @onesterchulla3711
    @onesterchulla3711 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwel mungu akujalie nyimbo zako nzur saaana

  • @nuryusuf93
    @nuryusuf93 4 ปีที่แล้ว +11

    Huna tofauti na diamond mrudie Allah dunia si chochote ni Maputo ittakullah

    • @sadkambona255
      @sadkambona255 4 ปีที่แล้ว

      Nur Yusuf

    • @mahmudseif4256
      @mahmudseif4256 4 ปีที่แล้ว +1

      ye kama hana tofauti na diamond we huna tofauti na harmonize

    • @kareenwesonga1760
      @kareenwesonga1760 4 ปีที่แล้ว

      @@mahmudseif4256 🤣🤣🤣🤣wah mmefikisha harmonize

    • @tunu1241
      @tunu1241 3 ปีที่แล้ว

      @@mahmudseif4256 😂😂😂😂😂

  • @am_all_the_way_up1980
    @am_all_the_way_up1980 5 ปีที่แล้ว +3

    Achana na brother nassir uko juu bloody 🙏💪

  • @hasna20p72
    @hasna20p72 5 ปีที่แล้ว +7

    Jamani hii nyimbo alimtungia mke wake sasa akamua kuiweka hadharani ili aiangalie itakuwaje kwa wengine jmn

    • @sugarboy3586
      @sugarboy3586 5 ปีที่แล้ว

      Kwanini mnalan bro nasir kakosea nn jaman

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 ปีที่แล้ว

      Pia m nashangaa, Na ilhali n mashairi tu simple KwanI ametukana kama hao wasanii wngne jamanii??

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 ปีที่แล้ว

      Ndo mwanzo wa kutukana kwn hat mtto huanza kukaa kisha kutamba kisha kutembea sasa alikua msoma nasheed mzur lkn ssss hizo ni nyimbo

  • @khalfanalmazidy9721
    @khalfanalmazidy9721 5 ปีที่แล้ว +17

    brother nassir dah unapotea sasa umekuwa Kama mzee yussuf unaimba tarab sasa subhanllah

    • @nassoraly7234
      @nassoraly7234 5 ปีที่แล้ว

      Naona anaimba tarabu saiv dah hatari

    • @aishasaid5702
      @aishasaid5702 5 ปีที่แล้ว +1

      Mzee yussuph ameshaacha

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 5 ปีที่แล้ว

      Na ww shabiki wa mpira vipi? Hilo linamfurahisha mola wako ee

    • @sahraasaraah4112
      @sahraasaraah4112 5 ปีที่แล้ว

      Mashallah shukran 😂😄🙏

    • @sugarboy3586
      @sugarboy3586 5 ปีที่แล้ว

      Sio tarab hiyo yuko vizur nn kosa laka mm mfuas wake harith al mendhry

  • @hawaosman4316
    @hawaosman4316 3 ปีที่แล้ว +6

    Really like your songs bro I like following your nasheed uko swa mashaallah we love you bro💖

  • @eliyantv4386
    @eliyantv4386 5 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah nyimbo inafundisha kuhusu ndoa like more this song

  • @fatmarashid249
    @fatmarashid249 4 ปีที่แล้ว +5

    Mtambue mola wako bro mtaje mungu wak co aamitabaattan

  • @rukiamohammed-g7b
    @rukiamohammed-g7b หลายเดือนก่อน

    Jamn wimb mzur san naupend ❤❤❤❤

  • @zeinabjuma6787
    @zeinabjuma6787 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah Brother Nassir ur nasheeds r wooooooow!!!!!❤️❤️❤️

  • @ahmedlao7273
    @ahmedlao7273 5 ปีที่แล้ว +12

    Zingatia zangatia
    isikughuri dunia
    Elewa twapia njia
    Hakuna wa kubakia

  • @damtuali3612
    @damtuali3612 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu sasa ni Mbosso kabisa.. Wallahi huku siko unakoelekea.

    • @Latifa270
      @Latifa270 5 ปีที่แล้ว

      Usimfananishe bro nassir na mbosso , mbosso nyimbo zake ni as matusi while bro nassir zake ni zakumsifu mke wake wanafanya wavulana waowe

    • @konkimaster9662
      @konkimaster9662 4 ปีที่แล้ว

      Yh that is ttue

    • @qudratv9169
      @qudratv9169 4 ปีที่แล้ว

      @@Latifa270 wee n kiazi

  • @mineyahmad6225
    @mineyahmad6225 5 ปีที่แล้ว +7

    Laazim tartiiib 😍😍mashaallah mashaallah mashaallah yaaani hukoseagi Hasbiyallah 💞💞

  • @aminafadhili4392
    @aminafadhili4392 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Masha Allah nimeipenda

  • @baroncarter5893
    @baroncarter5893 5 ปีที่แล้ว +9

    People who judge others tell more about Who They Are, than Who They Judge.
    Brother nice song🙌🙌🙌

  • @الديرهعشقي
    @الديرهعشقي 4 ปีที่แล้ว

    Weeeeee si hiivo sawa hiyo💓💓👆

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 5 ปีที่แล้ว

    Sifa zako Naasir zilikua juu saana lakini mbona sasa washuka chini??? Mbona humtaji Mtume tena wala humsifu tena Allaaah jamani???? Twakuombea utoke kwenye huyo ibilisi aliekuingia inshaallaah umkumbuke Allaaah na umtaje kwenye Qaswiida zako Kama ulivyokua ukimtaja saana kwa wingi amiiin

  • @shakiraaswalah9917
    @shakiraaswalah9917 5 ปีที่แล้ว

    Bora yy kuliko mbosso wenu huyo ambae mwamsikiza na kuimba nyimbo zake

  • @mollelamina2744
    @mollelamina2744 ปีที่แล้ว

    Endelea kuwakerrrraaaaaaa❤

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 5 ปีที่แล้ว

    Sikio la kufa,,,,,, mungu akipenda atasikia.

  • @samarmuhidin8819
    @samarmuhidin8819 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah bro amitabachan tena😱😱
    Huo mwanamke akutia wazimu walahy🤣🤣

    • @samarmuhidin8819
      @samarmuhidin8819 4 ปีที่แล้ว

      Daah bro I love that song wallahy

    • @tunu1241
      @tunu1241 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @alphakuzcuoglu5410
    @alphakuzcuoglu5410 3 ปีที่แล้ว +1

    Its a beautiful song MashAllah yani hadi raha alafu jamani nyie haters kwan bro kaletwa duniani ili awaimbie Nasheed au supporting someone's work wont ruin yours keep it up bro fans wako tupo support kama yotreeee love all da way from 🇹🇿🇹🇿

  • @princesslatty8836
    @princesslatty8836 5 ปีที่แล้ว

    Ebu tuache unafki ww kam hupend mzki au anachokifany kwann unapoteza mda wako kumaliza mb zako kuskilza kazi zake yan mpka unaweka mb zako na kumskiliza nikias gan unamkubal ebu muachan mtot wawat afanye kazi mungu mwenyew ndo anajua anachokifany kwan uliambia ukikaa bila kuimba ndo utaingia peponi au mtu akiimba ndo kwamba mungu kamsahau ebu tuachen ushamba bna ulitaka akakabe au

  • @felisteralphonce8638
    @felisteralphonce8638 4 ปีที่แล้ว +7

    Cant stop listening to this big up sana bro nassir

    • @felisteralphonce8638
      @felisteralphonce8638 4 ปีที่แล้ว

      Its ur fan from mwanz naskiza nyimbo zako na nazpenda sana unafanya vdhur hasa huu ndo best

  • @samiaismailmsabah8509
    @samiaismailmsabah8509 3 ปีที่แล้ว

    Brother Nasir mung anajuwa nnavyokupendatenasana

  • @ashurarajabu5143
    @ashurarajabu5143 5 ปีที่แล้ว +7

    😔ungerud
    Katika uhai wangu hayaat
    Nakupenda mama
    Pepo ya dunia ni mama
    Nakupenda Ramadan
    Ingekuwa vzr sana akhy ila uku
    ALLAH akuongoe.

  • @hishamabrar3045
    @hishamabrar3045 5 ปีที่แล้ว +5

    Uko juu broda wllhy mahasidi mungu awaepushe

  • @cutelady7410
    @cutelady7410 5 ปีที่แล้ว +3

    Bro nyimbo nzur mashallah

  • @AbdyDaher
    @AbdyDaher 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani ww unakelekwa,Naninn❤😢

  • @hajihija1903
    @hajihija1903 2 ปีที่แล้ว

    Hapa uyo Diamond akasome chuo kikuuuu maneno Kama yote

  • @rayajaffar6005
    @rayajaffar6005 4 ปีที่แล้ว

    Hazina tofauti na nyimbo za diamond sababu unatuma ala za mziki,napenginebwebunafnya kufru kubwa bcz unamtaja mungu

  • @sameersabran5351
    @sameersabran5351 4 ปีที่แล้ว +10

    Best Song brother 💥💥

  • @habibmayike7463
    @habibmayike7463 2 ปีที่แล้ว +5

    Talenteeed bro🔥🔥💯

  • @salumsaid9471
    @salumsaid9471 5 ปีที่แล้ว +16

    Naomba tu nikuulize hivi ndio huta kariri Tena anashid?au haya niyamda tu please come back to anashid we love you brother Nassir in anashid you are the Best.im from Zanzibar.

    • @rabiawaziri1854
      @rabiawaziri1854 5 ปีที่แล้ว

      Wallah brother nassir you the best katika nashid rudi achana nako huko

    • @Kingatomic_001
      @Kingatomic_001 4 ปีที่แล้ว

      An advice bro never read commentsb .They are all jealous

  • @aminabadawy475
    @aminabadawy475 4 ปีที่แล้ว +2

    Keep ahinning beo...you're nur mashallah..ignore ma haters...so much negativity and hate in our society...waswahili twapenda kujidai wacha Mungu lakini roho chafu na chuki...kazi kujua kususa wengine ilhali machafu yetu yamezidi...unafik tu umejaa

    • @mahmudseif4256
      @mahmudseif4256 4 ปีที่แล้ว +1

      kabsaaa i totally agree kina sisi hao

  • @fatumasilaji4467
    @fatumasilaji4467 5 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda bure 💋💞💞💞

  • @husnaabdul1304
    @husnaabdul1304 5 ปีที่แล้ว +2

    Huko unakoelekea ni kubaya ilikuwa ukiwaongoza watu kwa nasheed zako kumsifu ALLAH na sasa unapotosha watu brother rudi ulipokuweko mwanzo

    • @magretndagiwe8874
      @magretndagiwe8874 3 ปีที่แล้ว

      Xaxa kampotosh Nan mbon nyimbo nzull hata mashehe wamesema hiii Ina maadil hajaimba matusi Wala nini

  • @fathisaidantifati1426
    @fathisaidantifati1426 2 ปีที่แล้ว +1

    You are exceptional wallah you are the best I like your songs no longer speaks yourself I am Comorian in case 🎉💘❤️💕

  • @amirhassan5618
    @amirhassan5618 5 ปีที่แล้ว +1

    💪 Bravo hivi ndo vitu Nataka ❤ Haya uje Tanga uchukue mke wa pili Bureee..!! Yani kiamita bachan 💃

    • @duniaileile5522
      @duniaileile5522 5 ปีที่แล้ว

      Nyote wagonjwa
      Na gonjwa zaid ni kufanya maskhara na sheria za allah
      Lkn siku zingalipo allah atupe stara tu

  • @nasradada7050
    @nasradada7050 5 ปีที่แล้ว

    MA sha Allah mahaba niuwe taratibu brother bajunboy ume maliza watu na iyo song. Mi mwenyewe hapa..... Tabani ila sina mwenye kumimbia🎶👌

    • @duniaileile5522
      @duniaileile5522 5 ปีที่แล้ว

      Nasra Dada na wewe pia twakuombea allah akupe hidaya na sote kwa ujumla

  • @anissaabdalla9137
    @anissaabdalla9137 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndio. Kwanza yeye aowe tangu ampate. Huyo amina cjui ndio nani amekuwa hataki tena nasheed me ata cielewi au kakuloga Huyo wifi yetu ati kaka nassir

    • @naimayusuf7104
      @naimayusuf7104 5 ปีที่แล้ว

      Anissa Abdalla 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukiamajengo2079
    @rukiamajengo2079 3 ปีที่แล้ว +1

    wooow I like dis nice sanaaa

  • @luqmanjumanne4667
    @luqmanjumanne4667 5 ปีที่แล้ว +3

    Maa sha allah ipoo njema saana Hongera saana broh pa1 saaana

  • @moyohassani1223
    @moyohassani1223 2 ปีที่แล้ว +2

    Masahalllah masahalllah am I love with this song baraka llahu fik

  • @mbaroukkhamis7519
    @mbaroukkhamis7519 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna alie kamilika kila mmoja na madhaifu yake so tuomben mwisho mwema na kufanya mema dunia hadaa

  • @ahmedomar2311
    @ahmedomar2311 5 ปีที่แล้ว +4

    Hehehe kimewaka tena mambo ni moto🔥🔥🔥

  • @Hassan2023-x2e
    @Hassan2023-x2e ปีที่แล้ว

    Ndungu yangu MASHA allah

  • @taarabsalim2832
    @taarabsalim2832 4 ปีที่แล้ว +5

    Wow mashaallah very nice mashaallah tabaarakallah 👌👌

  • @omyomar3595
    @omyomar3595 3 ปีที่แล้ว

    Wewewewe😁😝😍🎄🎀🎁🎂🎆🎇🎶🎤🎸🎷🐰 amatabachan

  • @bakarimohamed4471
    @bakarimohamed4471 5 หลายเดือนก่อน

    wooooh ni song ambayo imetulia san

  • @ambarmuhidin8233
    @ambarmuhidin8233 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah bro keep it up 👊 fanya kitakacho kufanya uwe happy ☺😊 we are here to support u🙌🙌

  • @yussufabdul-rahman5601
    @yussufabdul-rahman5601 5 ปีที่แล้ว +8

    Wadau alfu hebu tuelewe saiv broo wetu haimbi nasheed tena saiv ni msanii chipkiz wa bongo fleva au Mombasa fleva cjui😂😂 kwaiyo mcje mukzni nasheed kwa wle wacyo elewa hiz ni nymbo sw jmn😋🙏

    • @fahadally8103
      @fahadally8103 5 ปีที่แล้ว

      YUSSUF ABDUL-RAHMAN Mombasa fleva😂😂😂😂

    • @AminaAmina-bs1qp
      @AminaAmina-bs1qp 5 ปีที่แล้ว

      Nikwel mtihan

  • @dszltn4705
    @dszltn4705 5 ปีที่แล้ว

    Am suprised by people commenting and judging why are you even listening...no one has forced anyone to listen to his music....if he sings he knows what hes doing.....you might be here judging and you are a big sinner...

  • @mariyamm9695
    @mariyamm9695 5 ปีที่แล้ว +2

    Subhana llah mwogope Allah kaka unako elekea huko nikubaya ifute hii songs

  • @shadyaismail4899
    @shadyaismail4899 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuongoze katik njia sahihi

  • @fayzafaraj9196
    @fayzafaraj9196 3 ปีที่แล้ว +13

    This song is rent free in my head

  • @khalilkhalid3691
    @khalilkhalid3691 4 ปีที่แล้ว +2

    V ncy imbaa babangu❤️

  • @truphosaandia4328
    @truphosaandia4328 11 หลายเดือนก่อน

    Oooh my gudness ❤❤❤

  • @hazarealke8128
    @hazarealke8128 5 ปีที่แล้ว +5

    Unauguwa mahaba kaka

  • @fatmafawz2890
    @fatmafawz2890 4 ปีที่แล้ว

    Hoiii taaban nzurii saaanaa lovely song

  • @Abdul-je9ul
    @Abdul-je9ul 2 ปีที่แล้ว +1

    Ohh dawa yangu

  • @maydashaineng9403
    @maydashaineng9403 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali brooo nasirrrrrr

  • @alimcheni2400
    @alimcheni2400 5 ปีที่แล้ว +1

    Umenigusa bro Nassir, forwad ever

  • @jajeykamama6052
    @jajeykamama6052 5 ปีที่แล้ว

    Mama kweli unaangalia hali yake kweli ninakuhurumia sana bro

  • @543494
    @543494 4 ปีที่แล้ว +2

    Love the song hello from the cowboys city texas usa

  • @ahmedsayyid2546
    @ahmedsayyid2546 4 ปีที่แล้ว +6

    Ma shaa Allah...superb

  • @rehemajuma8871
    @rehemajuma8871 5 ปีที่แล้ว

    mnajua.km mmezidi kuongea alaf cdhan km ht mnachokionge mnakijua kuimba hv haimaanishi km.kamuacha mungu mm kwa upande wangu nahic km.kamuimbia wife wake Sasa kutajwa Amitabhachani isiwe sababu y kumshushia mineno kaka imba cha msingi ucmsahau mungu tu

  • @adammakoye4198
    @adammakoye4198 5 ปีที่แล้ว +7

    HII NDIYO DUNIA WALLAH MNAJUWA MOYO UKISHA TIA KUTU MASIKIO HUWA HAYASIKII UTAMU WA DUNIA MUOMBENI DUA DUNIA IMEMNYOOKEA UTAM KESHA UPATA

  • @shakiraaswalah9917
    @shakiraaswalah9917 5 ปีที่แล้ว

    Sasa muna nini nyinyi hamuezi sifu kitu mpaka muponde kisha nyinyi mwaimba kama yy mwaona ni sawa nyamazeni si sawa pia nyamazeni kuponda tuu mwajua imbeni nyinyi basii

  • @daddyjamil6276
    @daddyjamil6276 5 ปีที่แล้ว +20

    Hizi zote ni footstep za shetwan,ala zozote za music ni haraam na kwenye dini yetu hakuna,there is no difference na wakristo wakiimba choir zao church,ndio wengi wakianza nasheed huingia kwa music alafu,Allah atuongoze sote jamii muslim

  • @fahadally8103
    @fahadally8103 5 ปีที่แล้ว +7

    brother ukitoa ngoma nyingine usisahau kumtaja kreshi 😁😁😁😁😁😁

  • @hamidasultan3877
    @hamidasultan3877 4 ปีที่แล้ว

    Wewe brother nasirr mm nimtoto lkn hovo sivo unataka kua diamond au vp waimba manae

  • @samerabasalmah9607
    @samerabasalmah9607 5 ปีที่แล้ว +6

    ماشاءالله كل اغانييك رووعه

  • @iddeydarusi9357
    @iddeydarusi9357 4 ปีที่แล้ว

    Bongo flavour hii😫😫😫😫😫😫

  • @yussufabdul-rahman5601
    @yussufabdul-rahman5601 5 ปีที่แล้ว

    Oyoo kla cku zkizidi jamaa anaendlea kushindana ña mboso taratibu mbaba endlea mwisho tutakusaini WCB au labo yyte ile ya mzki😂😁😁😁😀

  • @azammarine2296
    @azammarine2296 4 ปีที่แล้ว

    Brother punguza Sasa umekuwa unaimba Wimbo

  • @shaficabdalaziiz218
    @shaficabdalaziiz218 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahah im ur fan from zenzibar but thats abdolutely song like others whch we hear from diamond, lava lava and mboso. Congrts, u've enterd the next level.

  • @shakaalasmi
    @shakaalasmi 4 ปีที่แล้ว +9

    Keep it up Brother wish you all the best 👍

  • @aminakassim7149
    @aminakassim7149 4 ปีที่แล้ว +12

    I love your songs....❤❤❤

  • @maxamedcx
    @maxamedcx 4 ปีที่แล้ว +3

    Bro muogope Allah Rudi kwa nasheed

  • @ChristinaSamweli-wd6vx
    @ChristinaSamweli-wd6vx 5 หลายเดือนก่อน

    Wow wow brother nassir 🎉

  • @MishaSaid-rm7zw
    @MishaSaid-rm7zw ปีที่แล้ว

    Mashallah nawez kujiung group lak

  • @QueenLady45-hh5dh
    @QueenLady45-hh5dh 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ love you my brother Nassir

  • @thabitisimba1143
    @thabitisimba1143 5 ปีที่แล้ว

    ndugu vp yaan kila nasheed nayo fungua nakutana na muziki wallah unachukiza na wala siwezi sikiliza nafungua nakuta huu upuuz nakata ebu badikika mja huu ni moto hakika

  • @shamimwainaina4512
    @shamimwainaina4512 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful song brother Nassir