Brother Nassir - Hayaty Haluwa Yangu (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  5 ปีที่แล้ว +313

    Download Hayaty Haluwa Yangu On Itunes And #boomplay #Music
    music.apple.com/ke/album/hayaty-haluwa-yangu-single/1471949144
    .
    .
    Boomplay
    www.boomplaymusic.com/share/music/7017788?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
    .
    Spotify - Brother Nassir open.spotify.com/track/3torepZFRLPpNNxbEXlB9D
    connect With Brother Nassir On Instagram
    instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x

    • @ikramshiraz9045
      @ikramshiraz9045 5 ปีที่แล้ว +2

      Brother Nassir A.A add this On Apple music 😭😩😪 please thank u

    • @nasraalismailiy5188
      @nasraalismailiy5188 5 ปีที่แล้ว +5

      mashaAllah mashaAllah nimeipenda sana Allah akuzidishie kheri muishi muzikane yaarab 🤲

    • @mwasityyusuph5000
      @mwasityyusuph5000 5 ปีที่แล้ว +3

      mbona naudownload inakataa maana nataka niwe nausikiliza kila saa

    • @mkaliwacoast5476
      @mkaliwacoast5476 5 ปีที่แล้ว +2

      Brother Nassir #TopBro

    • @fatmaabdallah2988
      @fatmaabdallah2988 5 ปีที่แล้ว +2

      mbn nkitka kudowld sipat

  • @gamarsaid8406
    @gamarsaid8406 5 ปีที่แล้ว +15

    Brother nassir plz tumrudie mungu acha kuimba ni dhambi plz nakuomba endelea na nasheed plz Allah akufanyie wepesi inshallah

  • @beachrestaurant7928
    @beachrestaurant7928 5 ปีที่แล้ว +9

    Allah humuongoa amtakae... usijaribu kimwambia mwanadam mwenzako kua kapotea... chamsingi kuombeana hatma njema.. tukumbushane bt kw njia ya hekma..

  • @salmarashid3492
    @salmarashid3492 4 ปีที่แล้ว +203

    My husband's name is Nassir,, this is the surprise he gave me on our wedding day 😍❤️

    • @s_1804_
      @s_1804_ 4 ปีที่แล้ว +11

      Ma sha Allah tabaarakAllah. May Allah bless your marriage💜

    • @salekhvidal8346
      @salekhvidal8346 4 ปีที่แล้ว +5

      Congrats

    • @salmarashid3492
      @salmarashid3492 4 ปีที่แล้ว +4

      @@s_1804_ aamin, aamiin 🙏

    • @salmarashid3492
      @salmarashid3492 4 ปีที่แล้ว +3

      @@salekhvidal8346 thnx

    • @chocolatekidd6361
      @chocolatekidd6361 4 ปีที่แล้ว +4

      Mabrouk ♨️♨️

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 ปีที่แล้ว +24

    Br. Nassir unapotea.
    Ala za muziki hazikubaliki Kiislam.

    • @FIVESTARCYBER-n9f
      @FIVESTARCYBER-n9f 4 หลายเดือนก่อน +1

      kashaangamia, mungu amuongoze

  • @shekhahuwel7204
    @shekhahuwel7204 4 ปีที่แล้ว +3

    Brother naseer unaimba vzur walaa usijal mm niko upande wakoo fanya kile ukipendachoo ila angalia usijibadil ww ni nan na usisahau hloo,,,,,unaweza mm no one fan wakooo

  • @lunnestokidela1169
    @lunnestokidela1169 2 ปีที่แล้ว +2

    Aki mapenzi wewe 😥😥, brother nassir mob love from malindi Kenya

  • @aliyambarak5024
    @aliyambarak5024 5 ปีที่แล้ว +136

    Mskn unaingia taratibu kwenye nyimbo za kidunia daah,rudi tusikie unavyo msifu rasuli,unajua ww pekee ni kiasi gani unampenda mkeo msifie moyoni,na rasuli msifie hadharani,we need you back brother Nassir.

    • @semeningulangwa7111
      @semeningulangwa7111 5 ปีที่แล้ว +4

      Swadaqta,ebu rudi kwenye mstar wapi unakoelekea? Fuata maelekezo ya Dini kupitia Shekhe Yusuf Abdi.Ni ushaur tyuuuuu

    • @IBRAHMEDIATZ
      @IBRAHMEDIATZ 5 ปีที่แล้ว +2

      th-cam.com/video/dZhHp9eLLYg/w-d-xo.html
      TIZAMA SWAHIBU WAKE BROTHER NASSIR SH.YUSUF ABDI AKIMSEMA KUHUSU KUINGIA KATIKA MZIKI

    • @mgenibakari3987
      @mgenibakari3987 5 ปีที่แล้ว +1

      Aliya Mbarak kabsa anapotoka.... Mungu umuongoze njia

    • @saumujumaa9674
      @saumujumaa9674 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndio inafaaa ajuwe ukweli wa kiduni 😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂 ukipata mke ndio utajua mngi sanaaa

    • @mwajumaomary1716
      @mwajumaomary1716 5 ปีที่แล้ว

      @@IBRAHMEDIATZ l

  • @JumaShaban-ec9ki
    @JumaShaban-ec9ki ปีที่แล้ว

    Daah aisee cjui lini atatokea wakufuta maumivu na kutu ndani ya moyo wangu. Nimetokea kuyaogopa sana neno love. Ok ngoja niwe mpole huwenda akatokea mbora zaidi na tabibu

  • @abdulahisaid3264
    @abdulahisaid3264 4 ปีที่แล้ว +19

    Mabruk brother nasir wewe ndio moja ambao wamsifu mungu pamoja na mtume wake lakini siku hizi subhanallah

  • @ghalyathabiti
    @ghalyathabiti ปีที่แล้ว +1

    Haki hii nyimbo yanikosha sio Siri ........ hongera sana

  • @ruuhyjuma3015
    @ruuhyjuma3015 5 ปีที่แล้ว +63

    Allah akuongoe ww pmj n cc. Neema Allah anatupa na nd hizhiz tunazitumia kumuasi!!

  • @randossnazario7576
    @randossnazario7576 5 ปีที่แล้ว +72

    Huu ni muziki kama tu kina diamond na harmonize! May Allah guide you brother! Huku tunapotea sana SubhanaAllah

    • @aminaahmed1216
      @aminaahmed1216 5 ปีที่แล้ว

      True

    • @zadadee1094
      @zadadee1094 5 ปีที่แล้ว

      Kuna musiki mchafu na music wa heshima ,,,

    • @mrjagenmuuz5704
      @mrjagenmuuz5704 5 ปีที่แล้ว

      @@zadadee1094 hııı haına tofauty na kına mboso daımond nakın aalı kıba kasoro hajatıa wanawake tuu

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว

      Kwan mlizan kawida

    • @mohammedAli-zs8kw
      @mohammedAli-zs8kw 5 ปีที่แล้ว +1

      c vby jmni , kwn ni tusi kumsifu mkeo

  • @nadyawilliams1858
    @nadyawilliams1858 5 ปีที่แล้ว +25

    Hes Human and has a Heart too, even mahir Zain did sing " For The Rest Of My Life"Nice Melody to our ears Brother Nassir, twakuombeya kila lakheri.

  • @mshebe100
    @mshebe100 4 ปีที่แล้ว

    mskn unaingia katika nyimbo za dunia DAAHunapotea mdogomdogo[MZAHA MZAHA hutumbua usaa yatilie maanani bro usijichukulie umefika sikwa ubaya kama nimekukosea nisamehe

  • @darey4912
    @darey4912 3 ปีที่แล้ว +3

    Naskiliza huu wimbo kwa siku mala 30 naenjoy wallah naenjoy sanaa yaan nikiingia youtube lzm nckilize wallah

  • @innalillahwainnailaykhiraj1778
    @innalillahwainnailaykhiraj1778 5 ปีที่แล้ว +1

    hakika ma shaa Allah wimbo mzuri yani sisi wanawake ni dhaifu laiti tukipewa maneno haya na waume wallah utajikuta tajiri japo masikini utashiba hali ya kua unanjaa

  • @hapswarasheed2014
    @hapswarasheed2014 5 ปีที่แล้ว +151

    Nipe like kama umeisikiliza zaidi ya mara kumi

  • @nahyaseif5619
    @nahyaseif5619 5 ปีที่แล้ว +1

    Yh brother nassir nasheeds ni nzur mimi ni fan mkubwa sana ila hapa bro huu ni music ni haramu katika uislamu tafadhal jirekebishe tunakupenda sanaaaa

  • @swalha8456
    @swalha8456 5 ปีที่แล้ว +5

    Tunakupenda sana unapoimba nashid rudi unakotoka broo unatuangusha hatupendi uweivi tunataka ufanikiwe duniani nakhera love you

  • @saidnassor5126
    @saidnassor5126 5 ปีที่แล้ว

    Jamani tusimchukie brother nassir tuchukie kitendo alichokifanya kwani mwanaadam nimwenye kukosea tunachotakiwa kufanya nikumuombea dua arudi kwamola wetu inshaallah

  • @jamalking409
    @jamalking409 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashallaah zaidi mara 100 narudi @brother nassir

  • @LeilaJamal-hn7bk
    @LeilaJamal-hn7bk ปีที่แล้ว

    Mashaallah....siku ikifka harusi yang inshaallah lazma niiweke

  • @mamusele7386
    @mamusele7386 5 ปีที่แล้ว +88

    Please brother nasir twakupenda sana kwa ajili ya allah. Lkn unatuangusha sana kwa hiz nyimbo zako rud na annashid zako tafadhal kaka

    • @adamuabubakari7735
      @adamuabubakari7735 5 ปีที่แล้ว

      Vizuri umemwambia Nasheed ni beautiful

    • @khadijajuma2790
      @khadijajuma2790 5 ปีที่แล้ว +3

      Swdakta yani nimejkuta kutolike nyimbo za brother nassir 7bu ya huo mziki

    • @rayyanmohammed9141
      @rayyanmohammed9141 5 ปีที่แล้ว +6

      Mamu Sele .......Asallam aleikum warhmatullah wabarakatuh hii ni nasheed Kama nasheed zengine wala hajakosea yuko sawa kabisa si makosa mtu kumuimbia mkewe na Hana makosa wala musimfananishe na kina diamond na lavalava...... Brother nassir keeep it up brow ur right ur not wrong Hakuna makosa mtu kumuimbia mkewe wengine ni wivu wawasumbua tu

    • @suleimansuleimanmwanjama2761
      @suleimansuleimanmwanjama2761 5 ปีที่แล้ว +6

      @@rayyanmohammed9141 ww wajua nasheed ama wasema 2 nani kakuambia simakosa kuimbia mke. Hiyo si nasheed wimbo tu hala za mziki ziko ndan iko na makosa

    • @khadijahamisi9225
      @khadijahamisi9225 5 ปีที่แล้ว +3

      Nyinyi mwajua makosa ama kwani hakuna nasheed ambayo yasema "umpende mke wako kwa siri na hadharani?" Alafu hiyo ni
      nasheed

  • @nakshigwal
    @nakshigwal 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah mpka Raha jamani 💞❤

  • @smila0
    @smila0 5 ปีที่แล้ว +42

    Beautiful mashaALLAH,,,even Allah says men should praise their wives in secret and Public, Appreciating Allah's Gift of life is part of worship Jamaani..Brother Nassir is doing nothing wrong here,,,am liking this, Keep going up InshaALLAH Humble Nassir.

    • @halimaabdi822
      @halimaabdi822 5 ปีที่แล้ว

      Faiza Ahmed Shah he is doing wrong because allah never said you should sing do you get it

    • @smila0
      @smila0 5 ปีที่แล้ว +2

      Halima Abdi wen he sang wasia en how wife en husband shud treat their wives l never heard anyone complaining that it's a song en not nasheed..so is it that coz he's expressing how happy his life has become that now it's music en not right?Let's be realistic dear.

  • @abdusaalim5228
    @abdusaalim5228 4 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallaah shukrani inahuzunisha hii nyimbo pia inastarehesha

  • @mohammadabdalla3929
    @mohammadabdalla3929 5 ปีที่แล้ว +21

    Assalamaleikum ndugu yangu wote wanaosifu huu mziki siku ya qiyama watakutenga bro tunakuomba urudi kwa nasheed.. MashaAllah umebarikiwa na sauti ila iblis anachukua waja wa Allah polepole bila kujielewa

    • @javoabshirbwana9305
      @javoabshirbwana9305 5 ปีที่แล้ว

      Achaa weweee kosa gni umeliona zitooo hapo tuacheni porojo ...ingekua dhambi mwenyezimungu aziweka wazi hao wenye kumdiss NASSIR eti arudi nyumaa wao dhambi wayafabyaoo hasemekii

    • @zamdaibrahim6401
      @zamdaibrahim6401 5 ปีที่แล้ว

      duuh anajielewa uyo

    • @urbandigitaltz
      @urbandigitaltz 5 ปีที่แล้ว

      Javo unajielewa vizuri huyu ni ndugu yetu katika uislam tunahaki ya kumwambia

    • @azizomar3430
      @azizomar3430 5 ปีที่แล้ว

      online kamwambie diamond na ali kiba😂

    • @ochuboy7530
      @ochuboy7530 5 ปีที่แล้ว

      Mohammad Abdalla shkh yani hapo ndio kama gali limewaka

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah maneno kutu lkn twakuomba kwa ajili ya Allah turundishe dufu ztu za kislamu hii bdo nni tena kaa azifanani na za kina wcb please brother we love you so much

  • @terrywanza
    @terrywanza 5 ปีที่แล้ว +15

    MashaAllah nataka halali wangu pia InshaAllah
    Beautiful

  • @nduwimanamwamvuwa
    @nduwimanamwamvuwa ปีที่แล้ว

    Yani unajuwa kuimba sana mungu akubariki na akuekeye wepesi kila laheri

  • @msabahhassan7036
    @msabahhassan7036 5 ปีที่แล้ว +5

    Hii ni nyimbo kabisa haina tofauti na kizazi kipya,pole sana bro.Nassir

  • @abdallahibrahim5870
    @abdallahibrahim5870 3 ปีที่แล้ว

    Marshallah kiswahili kisafi sana sikujuwa kama sisi wamombasa kiswahili chetu kitamu kuliko cha tanzania

  • @asiamustafa384
    @asiamustafa384 5 ปีที่แล้ว +19

    Mashallah Brother Nassir you never go wrong with your words, vocals aaaaaaa!!! am screaming 😱🙌👏👌

  • @riphatmuhene9615
    @riphatmuhene9615 5 ปีที่แล้ว +1

    Music rijzu min amali shaytwaaan... Pole sana mungu asikupeleke huko kwenye ukafiri

  • @khamismaestro
    @khamismaestro 5 ปีที่แล้ว +4

    Brother Nassir rudi kaka sisi waislam tunaumia mmoja wetu akipotea siko unako kwenda brother please!!!

  • @mohammadomaryshembilu797
    @mohammadomaryshembilu797 5 ปีที่แล้ว +1

    vipi tena huu simziki bradher laa tazhab

  • @shayraniismail4164
    @shayraniismail4164 5 ปีที่แล้ว +8

    Brother nasir mapenz ya mke yanakuchangany mpk unaimb miziki
    Mashair hayo muimbie ndan mkiwa wawili we msfie hadharan utanyang'anywa shekh

  • @walidluhizo755
    @walidluhizo755 5 ปีที่แล้ว

    Acheni wivuuu humu ndanii kwani kumsifia mkewe hadharani kosa ama kila kitu kina nafas yake kwake allah na mkewe mimi naona sawa tu hata km so nasheed bt mtu anafanya alipendalooo ila hajamkufuru allah nd kikubwa,so mind ur mistakes guys,Nimesema kwel broh nasir watu hawakoc la kuongea so keep it up broh love ur work

  • @killoosuman2945
    @killoosuman2945 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mbona mwapata shida hamuelewi siku zote wanaojua ndiyo wanao haribu sasa huu si muzk kabisa bongo kulevya msiba kwakweli

  • @hamisaally2230
    @hamisaally2230 3 ปีที่แล้ว +23

    I can’t get tired of listening to this it’s heart warming for sure🥰

    • @najmaali8137
      @najmaali8137 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @nadhiramohd9671
    @nadhiramohd9671 5 ปีที่แล้ว +1

    Brother Nasser usiende kwenye nyimbo roho zinatuuma hatutamani kukukosa rudi tuje tumtaje Allah na mtume wake 😥😥

  • @mercykyallo8607
    @mercykyallo8607 5 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo mzuri sana ♥️ you are so talented! God bless you more!

  • @Jaynis01
    @Jaynis01 5 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah brouwh hii kaly bado Mtoto mzury hapo ufunge mchezo..twakuchukua Wasafy

  • @sleimanhemed6109
    @sleimanhemed6109 5 ปีที่แล้ว +62

    Kwan brother nassir umesahau kua nashidi ndio zimekupa umarufu mpaka umefika hapo sis tunakushuuru achana na mzic

    • @adventureheads3657
      @adventureheads3657 5 ปีที่แล้ว +6

      Before you correct people correct your self brother look at your hair cut from your dp photo. ..

    • @FaxalMedia
      @FaxalMedia 5 ปีที่แล้ว +5

      @@adventureheads3657 who said u can't correct others while u are in mistake! If it was like that then no one would correct others coz we all do mistakes

    • @FaxalMedia
      @FaxalMedia 5 ปีที่แล้ว +4

      @sleiman thanks for advising the brother nd may Allah guide us all!

    • @IBRAHMEDIATZ
      @IBRAHMEDIATZ 5 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/dZhHp9eLLYg/w-d-xo.html
      TIZAMA SWAHIBU WAKE BROTHER NASSIR SH.YUSUF ABDI AKIMSEMA KUHUSU KUINGIA KATIKA MZIKI

  • @mankipaso7236
    @mankipaso7236 5 ปีที่แล้ว

    Wow Mash llh brother nasri Allah akupe kipaji zaidi wacha wasio jua wanao sema waimba nyimbo

  • @ahmedjumabhalo212
    @ahmedjumabhalo212 5 ปีที่แล้ว +4

    BN best in Town. You never disappoint MASHAALLAH. Tazameni hapo second 0.31.

    • @nabztimimy630
      @nabztimimy630 5 ปีที่แล้ว +1

      Anchor 001 sio uko top bloody bhalo

  • @aminanuru6526
    @aminanuru6526 4 ปีที่แล้ว +1

    Wllahi wanifanya nimiss mumewangu , nyimbo hii sichoki kuisikiza

  • @swafaamohamed9603
    @swafaamohamed9603 5 ปีที่แล้ว +9

    Damn!nice song with good meaning...Ur wife must be proud.

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 3 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah wimbo huu unanikosha

  • @oficialzaujath2919
    @oficialzaujath2919 5 ปีที่แล้ว +6

    Hainatofauti na nyimbo anazoimba mboso

  • @alaminali4594
    @alaminali4594 5 ปีที่แล้ว +2

    Roho yangu hutulia kila nnapoiskia, Safi sana @Brother Nassir

    • @hawa4968
      @hawa4968 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera yako

  • @twaflemohamed3875
    @twaflemohamed3875 5 ปีที่แล้ว +11

    Asalaamu aleikum nasikitika Sana ndugu ygu Jana ulikua waimba nyimbo za nashid nzuri lkn ss wimbo zako niza mahaba tubu kwa Allah urudi km ulivokua Hazikupendezi hzi wimbo

  • @nurdinhamzahamza8758
    @nurdinhamzahamza8758 5 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum W.W Brother Nasir mengi twajua ya mekukwamisha but don't worry tukonawe huenda Allah akashusha rehma zake Wenye wivu acha waongee

  • @holywater2855
    @holywater2855 5 ปีที่แล้ว +9

    First to view.. umeuwa brother umekill wacha kukanyaga! Win bro! You are one in a millioni ,unaponiita huny ooo ni raxaaaaaaaaa....

  • @mgenisuleiman56
    @mgenisuleiman56 4 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru manani kwa kunipa mume mwema my sweety my no.1 jamani nikiisikiliza namtamani mume wangu kwani yuko mbali na mimi kutafuta rizki💋💋😘😘🌹🌹🌹

  • @herbybramo17
    @herbybramo17 5 ปีที่แล้ว +14

    Afu Brother Uko Vizuri MashaAllah cjui wajua Hilo! Yani nakutambua Mara Zote! Hutubwagi uzuri wako! Vibao vizito AlHabib! Mabrouk❤

    • @urbandigitaltz
      @urbandigitaltz 5 ปีที่แล้ว +1

      Nasikitika wengi wanao msapoti bi wakiristo kwa hiyo tunamuomba ndugu yetu arudi nyuma alipo toka

    • @officialhauzimi
      @officialhauzimi 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenye huu wimbo audio jmn anitumie 0789669473

  • @Muhammad-g1n8d
    @Muhammad-g1n8d 4 ปีที่แล้ว

    Sheitwan akitaka kumpoteza mtu anampambia mambo yake mpaka ajisahau. Allah akuongozecna atuongoze na sote. Ameen

  • @mamyishakhk5746
    @mamyishakhk5746 5 ปีที่แล้ว +32

    This is a song,ukweli sijapendaa Kaka imba nasheed hi ni nyimbo kabisaaa

    • @diywithhassy3773
      @diywithhassy3773 4 ปีที่แล้ว

      ka hujapenda usiskilize full stop...

    • @moviearchives9613
      @moviearchives9613 4 ปีที่แล้ว

      Yah ...its a song...sadly,most of this nasheeds contain musical instrunments

  • @khalfanalmazidy9721
    @khalfanalmazidy9721 5 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah safi Sana mzuri wallahi Allah akuzidishie kipaji uzid kutupa yaukweli wallah

  • @kimwalove
    @kimwalove 5 ปีที่แล้ว +7

    Mdogo wangu mie nimekukubali kuanzia siku ya kwanza

  • @أمفاطمة-ل2ح
    @أمفاطمة-ل2ح 5 ปีที่แล้ว

    Inna lillaahi wa Inna ilaihi raajiun maskini nakuhurumia nashid zako zilikua hazikupi maisha?

  • @sayyidasoilihi4452
    @sayyidasoilihi4452 5 ปีที่แล้ว +18

    Waouh mashallah! This Nasheed is wonderful, it's a pity i can't understand it! (I'm french) 😥😥

  • @saiidridhiwaani6637
    @saiidridhiwaani6637 5 ปีที่แล้ว +1

    na nDiO Maana tukaaMbiwa kwaMba anashiD zinazOkubaLika katika Dini hazina aLa yeyOte ya Mziki , pinDi ukiinGiza MDunDO au chOchOte kiLe baada ya sauti siO nasheeD tena ishakua Mziki kaMa wa kina DiaMOnD ,,, ALLah atunusuuLu na Akhwii brOther Nassir wewe ni kiOO cha jaMii hebu MuiGe basi shekh Yusuf abdi

    • @qadirintisar3684
      @qadirintisar3684 5 ปีที่แล้ว

      Swadakta mfano ata izo qaswida za qadiria ni mziki pia sindio au nipo Rong??

  • @rayyakhalfan4983
    @rayyakhalfan4983 5 ปีที่แล้ว +9

    Anaekupenda ni yule anaekukataza katika shari, asiyekupenda ni yule anaekusifia kwenye makosa, usihadaike na comments nyingi za kukusifia, kheri ya wachache wanaokusifia katika kheri kuliko wengi wanaokusifia katika shari, rudi katika misingi ya dini ya Islam.

  • @mariamumapunda4614
    @mariamumapunda4614 4 ปีที่แล้ว

    Huku kwenda kwa wakat unaharbu ladha rud kwenye nashid naona unamaliza mb zangu tu

  • @rayyansaid313
    @rayyansaid313 5 ปีที่แล้ว +7

    Ma sha Allah ajab👌👌👏👏👏❤ Mungu akuzidishie big bro 😍😍😍🤗🤗🤗💞💞💞💞💞

  • @hafidhamana325
    @hafidhamana325 4 ปีที่แล้ว

    Natena uniamini sitakwacha daima hadi tuingie peponi na hashima inshallah

  • @turbodring176
    @turbodring176 5 ปีที่แล้ว +4

    umeifanya siku yangu iwe nzur mashallah

  • @gladysnyokabi1939
    @gladysnyokabi1939 4 ปีที่แล้ว +2

    What's with all the negative comments from muslim Brothers and sisters? Its just a love song, what's the big deal?0%profanity
    0%nudity... Brother nassir continue sharing love through music

  • @shahzaadmuhammad5375
    @shahzaadmuhammad5375 5 ปีที่แล้ว +33

    Kashapotea huyoo jamani hamuona hata ili nalo mjua yakwamba Allah atakwenda kutuhoji Siku ya mwisha allahu akbar

    • @mohammedAli-zs8kw
      @mohammedAli-zs8kw 5 ปีที่แล้ว +1

      Shahzaad Muhammad c vby kumsifu mke wko c matusi

    • @arabianillusionsworld734
      @arabianillusionsworld734 5 ปีที่แล้ว +1

      We unasema kapotea , Je wewe unajua ukoelekea? Why unatoa conclusion? Only Allah s.w.a can judge him

    • @yusufnalanda4186
      @yusufnalanda4186 4 ปีที่แล้ว

      ivi wewe umejua jee kama amepoteya wewe ndiye mumiliki wa vitabu vya hukumu ?

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 5 ปีที่แล้ว

    Dahh kiqonqo kittam sana ichi cha Halua.
    Sijui kile cha tende kikitoka itakuaje !

  • @nasraabdullahi3188
    @nasraabdullahi3188 5 ปีที่แล้ว +224

    His wife is the lucky 😂❤️💯

    • @naimaahmed4009
      @naimaahmed4009 5 ปีที่แล้ว +3

      Nasra Abdullahi Yah she is lucky

    • @veedovf9
      @veedovf9 5 ปีที่แล้ว +8

      Somali ma igaga so horesa meshan😂😂😂
      ilahey ha idin dayo

    • @zaitungulam24
      @zaitungulam24 5 ปีที่แล้ว +3

      She’s the luckiest girl in the world damn😂

    • @thehalal101
      @thehalal101 5 ปีที่แล้ว +1

      @@zaitungulam24 I'm cry Walah😥😥 she's the lucky one 🙄🙄

    • @nasraabdullahi3188
      @nasraabdullahi3188 5 ปีที่แล้ว +1

      Veedo V F mxaa kale😂

  • @RahmaMinja
    @RahmaMinja 2 หลายเดือนก่อน

    Me mziki numeupenda ila wa waache wicu na maisha ya wat

  • @halimakhamis536
    @halimakhamis536 5 ปีที่แล้ว +56

    Aaaa 👬brother nassir unatuangusha saiv huna tofaut na mboso ahhh mtihn

  • @_Nassor_said_
    @_Nassor_said_ 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kaka uko vizuri kwenye uandishi wako wa nyimbo nimesikiliza only one day nanimeiishika

  • @aminaibrahim8106
    @aminaibrahim8106 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa Allah ,brother nassir kweli mtamu kama halua

  • @rahikmohamed923
    @rahikmohamed923 3 ปีที่แล้ว

    Roho yangu y
    ime powa wewe wangu maridiya. You have à great voice

  • @peacemnp787
    @peacemnp787 5 ปีที่แล้ว +4

    ماشاءالله ادام الله فرحتك يا أخي الكريم لقد ابهرتنا سابقا بانشودة أمي😢 أحبك 💖 أين هي الآن كرمة هذه ؟

  • @shammyshammy5213
    @shammyshammy5213 2 ปีที่แล้ว

    Im fatmah anytime nikiskia huu wimbo aaah jamani moyo watulia utafikiri mm ndio nilikuwa naimbiwa 😂 looking forward to hear this record on my wedding day inshallah

  • @zainabmfinanga1432
    @zainabmfinanga1432 5 ปีที่แล้ว +89

    Nn kimekupata broo umefika mbali sana Rudi Kwa nashed zako

  • @starboy-vu8iq
    @starboy-vu8iq 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ajjab sana Braza umenimaliza

  • @naimafarouq4378
    @naimafarouq4378 5 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah brother nasser nahisi imekuwaje ukaamua hivi, qasida zinatufikisha hapa? Ulipokuwa na sheikh Yusuf Abdi ulikuwa na nasheed za kutupa moyo leo hii nyumba kama za kina mbosso japo zako hazina matumizi lakini zinatufanya tutoke katika aqida ya uislam na pia kushusha Iman zetu, nakunasihi ujikite katika mipaka ya Allah

    • @sadaabdallah5981
      @sadaabdallah5981 5 ปีที่แล้ว +1

      Huu mziki umefanana na ya diamond platnumz uitwao sikomi Allah akuongoe brodah

    • @rayyakhalfan4983
      @rayyakhalfan4983 5 ปีที่แล้ว

      Sahih @ukhty naima

  • @alisam6870
    @alisam6870 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah nikisikiliza nasheed hii moyo wangu hutulia

  • @zoozoodxb2433
    @zoozoodxb2433 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah you are soo talented.keep up the good work.barakaAllah fiik

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah super voice masha Allah my brother mungu akupe afia ameen thuma ameen

  • @mariamosiago9947
    @mariamosiago9947 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah Mashallah. Wimbo nzuri sana 😭😭😭❤️❤️❤️

  • @khadijaabdulrahmanabdallah7494
    @khadijaabdulrahmanabdallah7494 4 ปีที่แล้ว

    Cool yuwamuimbia mkewe mwacheni too mahaba hayoo

  • @navabdi9504
    @navabdi9504 4 ปีที่แล้ว +3

    May allah keep brother nassir nd his wife safe amin

  • @nathgovi
    @nathgovi 5 ปีที่แล้ว

    umejaliwa rehema ndugu, mkeo malikia msifie hadi ikilazimu kufa

  • @thumaiyaomar3639
    @thumaiyaomar3639 5 ปีที่แล้ว +4

    Duh ! brother nassr hii nyimbo au nashid maan sielewi

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 5 ปีที่แล้ว

      Hii mbna nyimbo haina tofauti hata na ya diamond

  • @ilhammohd7170
    @ilhammohd7170 4 ปีที่แล้ว

    Dah ndugu yangu dunia inakuziomea

  • @muhidinmohamed6149
    @muhidinmohamed6149 5 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah nakukubali miaka mia bro ila kaxi yangu hujanifanyia

  • @hodhanabdullahi883
    @hodhanabdullahi883 5 ปีที่แล้ว

    Wenye kusema kapotoka kila mtu na kaburi lake! Kila mtu na amali zake...keep going brother nassir♡

    • @abdulrazakmohamed7713
      @abdulrazakmohamed7713 5 ปีที่แล้ว +2

      hodhan abdullahi kwani mtume alikosea wapi
      Aliposemaa al dinu nasiha hawafanyi jambo la kosa ila ni kusihii na si vibaya hivyoo

  • @adam_pkfr
    @adam_pkfr 5 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah bro 💖💖🔥 njoo nikufunze parkour ndo ibambe zaidi ausio,lKo Love ❤️.

  • @asmaally4434
    @asmaally4434 5 ปีที่แล้ว

    brother nassir hongera nimeipenda sana hii mashaallah Allah akuzidishie kipaji

  • @nawalsuleiman8344
    @nawalsuleiman8344 5 ปีที่แล้ว +4

    @brother Nasser..plz rudi nyuma hata hazikupendezi kuimba hvi.na mwisho watufungia kijicho..dini yatufunza hvo kweli??

    • @muiinali8226
      @muiinali8226 5 ปีที่แล้ว

      So sad mwisho atufungia kijicho 😂😂😂😂

  • @fathumamohammed3073
    @fathumamohammed3073 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzidishie kipaji

  • @khadijaqatar9080
    @khadijaqatar9080 5 ปีที่แล้ว +5

    Subhanallah!! brother nassir unaelekea wapi?? Huku sio kw Allah pliz

  • @omarmuller2872
    @omarmuller2872 5 ปีที่แล้ว

    Nakuusia ndugu yangu achana na muziki rudi katika nasheed kama mwanzo Allah atakusadia juu ya hilo