ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Baba,Mungu akubariki sana,nimekuelewa.Naitwa Anthony Singinali,nipo Iringa.Nakutakia mema daima Katika huduma,Mungu akuongeze daima
Asante yesu
Asante sana
Thank you fr for the great teachings. My life has improved because of your teachings and preaching.
Kabisa virivyo kataa nikuviacha unasonga mbere 😂❤❤
❤
Mtumishi wa Bwana Yesu nakupendaga Sana jinsi unavyofundisha na naiona Nia yako ya ndani ya kutaka watu waelewe unavyomaanisha kwao
My role model
aminaa mtumishi🙏🙏
Mungu akutunze, ahsante kwa mafundisho yako♥️♥️💖🙏
Amani na salama
Kutoka Kenya nimebarikiwa sana mungu akuongoze padri
Ubarikiwe sana , tatika yote mtumishi wa mungu
VIACHE WAACHE. BE BLESSED MAN OF GOD
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Mungu akupe maisha ya marefu
Napenda namna anavyoongea kinyumbani kusisitiza jambo mimi ni Mwiraqw kutoka Karatu ila napenda namna Padre anavyofundisha hata kwa kihaya sielewi lakini napenda akielewesha kihaya
Aamen
Maisha yangu imegushwa zaidi
Natamani kukutana na huyu mtumishi kwa kweli... Nawiwa.. Walau nipate ratiba ya ziara zake nikutane nae huko.
Mimi napenda mahubiri yake
Baba,Mungu akubariki sana,nimekuelewa.Naitwa Anthony Singinali,nipo Iringa.Nakutakia mema daima Katika huduma,Mungu akuongeze daima
Asante yesu
Asante sana
Thank you fr for the great teachings. My life has improved because of your teachings and preaching.
Kabisa virivyo kataa nikuviacha unasonga mbere 😂❤❤
❤
Mtumishi wa Bwana Yesu nakupendaga Sana jinsi unavyofundisha na naiona Nia yako ya ndani ya kutaka watu waelewe unavyomaanisha kwao
My role model
aminaa mtumishi🙏🙏
Mungu akutunze, ahsante kwa mafundisho yako♥️♥️💖🙏
Amani na salama
Kutoka Kenya nimebarikiwa sana mungu akuongoze padri
Ubarikiwe sana , tatika yote mtumishi wa mungu
VIACHE WAACHE. BE BLESSED MAN OF GOD
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Mungu akupe maisha ya marefu
Napenda namna anavyoongea kinyumbani kusisitiza jambo mimi ni Mwiraqw kutoka Karatu ila napenda namna Padre anavyofundisha hata kwa kihaya sielewi lakini napenda akielewesha kihaya
Aamen
Maisha yangu imegushwa zaidi
Natamani kukutana na huyu mtumishi kwa kweli... Nawiwa..
Walau nipate ratiba ya ziara zake nikutane nae huko.
Mimi napenda mahubiri yake