ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ubarikiiwe mtumishi ukionamzigua kaokoka ni kwaneema ya mungu nami walinyanyapaa lakini sasa waniona ndio wa maana katika ukoo
Mungu akubariki sana mchungaji yaani najivunia kuwa mlokole,na Mungu aendelee kukutumia zaidi.
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU alie juu saaana
Yesu akubariki sana 🙏 kwa kuniongezea vitu vingi hakika Yesu ndiye Mungu pekee hakuna Mungu mwingine
Mchungaji Mungu akubariki kweli Yesu ni mwana wa Mungu
Yesu ni Bwana.
Aissee hii ni terrify Story atukuzwe Yesu kristo mwamba wa wokovu wetu atupae uzima wa milele
Dada Neema Bwana Yesu asifiwe Ongera kwa hudumaNi wewe tulikuwa tunaabudi bamoja kilimanjaro kwa Askofu Lazaro
Mtumishi umejibu vizuri juu ya Yesu kuwa Mungu
Mimi Nikati ya matunda yaliyopatikana kwa huduma yake hii mwaka 2009...nilikutafuta sana youtube Mungu akutunze hadi andiko nalikumbuka
NAOMBA namba ya mch daudi wa tanga
Hongra sana Mpendwa
Mungu awe nawe milele
Mimi sijaelewa nini hasa kilimkuta hadi kubadiri nia akatubu? Kuna pengo kwenye maelezo ya mchungaji. Na hili ndo lingekuwa maana ya interview hii.
Wow! Dada Neema hongera kwa kazi njema
Ny tv ampo vizuri kabisa mmekua wakukatakata na kurusha na kukatisha ushuudazenu
Ubarikiwe baba yetu Mungu aendeleee kukuinua
Daaaaaah Barikiwa Sana.
Ubarikiwe mtumishi was mungu from Babati
Nimebarikiwa
Umekosa kitu kikubwa sana kutokuuliza aliokokaje umeuliza vitu vingine tu umetukosesha ushuhuda mkubwa sana
Jamani Yesu ni mwema sana tena sana anaokoa
Yesu ni mwema"ntakuj kanisan kwak kule kange kusali
Huwa nabarikiwa sana na huyu Pastor
Hongera mwanangu!
Mungu akubariki saaana, endelea kumpenda Yesu
Hallelujah
Gombo Kamili(GK) Ubarikiwe Mchungaji. Namkumbuka aliachia neno pale Mwembe mawazo jirani na Chumbageni Central Police.
Mh jamani YESU Kristo mzurri Sana
Barikiwa mchungaji
Nytv
AMENI KUBWA NA MUNGU ATUSAIDIE SS NA WATOTO WETU MAANA HATUNA MWINGINE WA KUTUSAIDIA ZAIDI YA YESU
MUNGU nitendee na mm
Kwakweli huyu mchngaji popote alipo watu wasipoteze fursa wakisikiliza kile akisemacho
Naonaomba namba ya mch daudi dany
Ubarikiiwe mtumishi ukionamzigua kaokoka ni kwaneema ya mungu nami walinyanyapaa lakini sasa waniona ndio wa maana katika ukoo
Mungu akubariki sana mchungaji yaani najivunia kuwa mlokole,na Mungu aendelee kukutumia zaidi.
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU alie juu saaana
Yesu akubariki sana 🙏 kwa kuniongezea vitu vingi hakika Yesu ndiye Mungu pekee hakuna Mungu mwingine
Mchungaji Mungu akubariki kweli Yesu ni mwana wa Mungu
Yesu ni Bwana.
Aissee hii ni terrify Story atukuzwe Yesu kristo mwamba wa wokovu wetu atupae uzima wa milele
Dada Neema Bwana Yesu asifiwe
Ongera kwa huduma
Ni wewe tulikuwa tunaabudi bamoja kilimanjaro kwa Askofu Lazaro