SURATU NNAMLI KWA SAUTI YA Muhammad Bachu | TARAWEHE MOMBASA KENYA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @ahmedmbarouk3463
    @ahmedmbarouk3463 ปีที่แล้ว +11

    Ndo maana wanakupiga vita elimu unayo istoshe hafidh Quran sauti nzuri maashaallah Allah akuhifadhi na maadui wote aammiinn

    • @abuhandhala8952
      @abuhandhala8952 8 หลายเดือนก่อน

      Walahi hawamuezi 😅😅 kwa lolote

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaLlaah! Narudia rudia kusikiliza
    Allaah SubhanaLlaah Wata'ala akuhifadhi

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 ปีที่แล้ว +2

    SubhanaLlaah! Ametulia vizuri,Allaah Subhana Wata'ala akuhifadhi na kila shari hasad na wivu kwa kweli uko vizuri

  • @alimarsahussein-ls7fm
    @alimarsahussein-ls7fm ปีที่แล้ว +1

    Walahi MashaAllah my favorite imam

  • @IamAbraofficial
    @IamAbraofficial ปีที่แล้ว +11

    Sheikh Muhammad unarudi lini Zanzibar, tunakuhitaji wallahi

    • @MuhammadKhamismohammed
      @MuhammadKhamismohammed ปีที่แล้ว +2

      Nasikia mlimfukuza kwaiyo harudi,ila neema ikiondoka ndo unajua umuhimu wake

    • @ismailalmazrui1555
      @ismailalmazrui1555 ปีที่แล้ว

      ​@@MuhammadKhamismohammed tunahitahi neema za vijana wenye kibri kama hawa ambao wanaweza kukitupa kitabu eti kwa sababu yy hakubaliani nacho aljunuun funuun wallah lile neno la allah mtu mjadili kwa maughidhwa hasana haipo twasubiri tujibizane tu mitandaoni na twapenda maana vichwa vya habari vya kila video inayotumwa utasikia majibu kwa fulani na wapambe wake huku ni kufahamishana au ni mechi za kimadhehebu angalau kwa mtu mwenye hikma engeandika muendelezo wa kufahamishana au rai yetu katika hili lkn doh subhanallah hata mtume engekuepo kwa rai yako wacha ushabiki hivyo vichwa vya habari tu na anavyofanya huyo sh mohammed au kwa mm nimwite kijana kwa sababu ni mwanangu nahisi ni sahihi?

    • @saidimadzumba2266
      @saidimadzumba2266 ปีที่แล้ว +1

      ​@@MuhammadKhamismohammed umenena vyema! Nashangaa kwanini huyu ustadhi wanamdhalilisha kwa kumpa majina mabaya, hali analingania haki nakupiga vita uzushi katika dini

    • @kassamruzuru4913
      @kassamruzuru4913 ปีที่แล้ว

      Sio woote wanampinga wapo weny kumpenda na bado wanamuitaji

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +3

    أسأل الله الكريم أن يحفظك من كل سوء، ويردك إلينا سالما ءامنا...........

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah tabbaraq Allah
    Allah akupe umri kaka na akuepushie na kila shari

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +5

    والله رزقك الله صوتا حسنا

  • @JumaSaidi-sb3ss
    @JumaSaidi-sb3ss 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekh moh.d bachu m/mung akuzidishie❤❤❤

  • @RashidAmeir-xr7ox
    @RashidAmeir-xr7ox 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalllah Allah akuzidishie Elimu Sheikh Mohammed Bachu

  • @ramadhanntaruma3202
    @ramadhanntaruma3202 ปีที่แล้ว +5

    Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว

    Maashaallah sheikh Muhammad bachu natamani kulia Kwa sauti Yako nzuriii sana

  • @JumaHija-d9g
    @JumaHija-d9g ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah, mm cna upande maulid nayakubal na kisomo ndio hivi nasikiliza vizuur maanaa haitoshi kadri nnavoisikia Allah amzidishie na sisi atujaalie na vizazi vyetu amiiin

  • @massoudsaid765
    @massoudsaid765 ปีที่แล้ว

    ماشاء االله ماشاء الله ماشاء الله

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

    Maaashaallah. Unasautinzuri

  • @saadaAbdalla1371
    @saadaAbdalla1371 ปีที่แล้ว

    Maashaa Allah

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh wetu tunakupenda na allah akuongoze

  • @ashaalali1221
    @ashaalali1221 ปีที่แล้ว

    M.ALLAH.

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله تبارك الرحمن

  • @khamismussa6258
    @khamismussa6258 ปีที่แล้ว

    Masha Allah ,hapa sheikh nassor bachu katuachia kifaa

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 ปีที่แล้ว

    Baaraka Allaah

  • @abuhandhala8952
    @abuhandhala8952 8 หลายเดือนก่อน

    Unazidi kuwaanguza watu wa maulidi sheikh Bachu Allah Yahfadhak

  • @momsaa08plumbingandelectri7
    @momsaa08plumbingandelectri7 9 หลายเดือนก่อน

    allah akuhifadhi shekh wangu

  • @cosmasjabir001
    @cosmasjabir001 ปีที่แล้ว

    mashaallah sheikh bachu plz come to masjid musa😟😥😥😥

  • @RamadhaniHaji-wn3dd
    @RamadhaniHaji-wn3dd ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah maa shaa Allah

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 ปีที่แล้ว

    Maashallah lakad uutiita Miz mara mimma ahli daaud

  • @jabirothman7133
    @jabirothman7133 ปีที่แล้ว

    Mashllh hkk husinzii Wala huchok daah 😢AALH AKUHIFADH

  • @khamismussa6258
    @khamismussa6258 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh wetu ingawaje vita nikubwa dhidi yako lakini usikate tamaa Allah ako pamoja nawe

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว +1

    Barakallah fikhi🙏

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 ปีที่แล้ว +2

    MAASHAAALLAAH. BURDAAN KABISA

  • @universitylink
    @universitylink ปีที่แล้ว

    Mashaallah, tabarakallah

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +4

    A alykum sauti mzuri sheikh allah akuzidishie uzima na umri mrefu uweze kutuelimisha zaidi na zaidi mara hii zanzibar hatukupati hata kumi moja?maana tumekumiss mara hii tangia ramadhan ianze

    • @ukweli19
      @ukweli19 ปีที่แล้ว

      Wazanzibar kuweni na subra mwaka huu RAMADHAN hii 2023 zamu watu wa Mombasa..

    • @tocaworld7864
      @tocaworld7864 ปีที่แล้ว

      Aamin Allah amuhifadhi .

  • @FatmaNicoderm
    @FatmaNicoderm 6 หลายเดือนก่อน

    Kijana unasoma mahadh ya msomaji gani dah Mashallah walahaula walukwata billah

  • @cosmasjabir001
    @cosmasjabir001 ปีที่แล้ว

    allah he\she feel good

  • @idrissamakungu5966
    @idrissamakungu5966 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH

  • @nasirsalafi8985
    @nasirsalafi8985 ปีที่แล้ว

    Bismi mAshallah

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ❤

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya9091 ปีที่แล้ว

    Mash Allah barakh Allah fikh

  • @mussabinyussuf945
    @mussabinyussuf945 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi👋👋

  • @abdallagaza6864
    @abdallagaza6864 ปีที่แล้ว

    Masha Allah ❤

  • @nasrajuma6918
    @nasrajuma6918 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate ปีที่แล้ว

    Muhammad Bachu naomba ufanye clip kuhusu Kusoma Qur'an na Maqamat

  • @binismail8527
    @binismail8527 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว

    Qiraaaah kamilla Maashaallah swautaah jamilla,helluwah min hallawah tully habu habu💯👌🤝

    • @ukweli19
      @ukweli19 ปีที่แล้ว

      Qiraaah mashallah sheikh wetu allah amlinde vijicho vilivyotawala kila corner..

  • @tocaworld7864
    @tocaworld7864 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Tabarakallah, muhammad bachu Allah akuhifadhi.Nataka nimone Diwani akiswalisha Asome Quran kama hivi. Subutu asome labda kitabu cha Barazanji ndio Amehifadhi😂😂😂.

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @ukweli19
      @ukweli19 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @ismailalmazrui1555
      @ismailalmazrui1555 ปีที่แล้ว

      Ndio mumepata cha kucheka hapo barzanji alipokitupa huko mbele ya hadhara na camera ni kibri au ni nini hile weka mkono kifuani kisha jiulize hili suali jijibu mwenyewe kwani quran kila anaesoma ameongoka kuna mshairi anasema كم قارئ في الناس يحمد ذكره،،،،ويكون عند الله غير شهيد

    • @tocaworld7864
      @tocaworld7864 ปีที่แล้ว

      @Ismail Almazrui kitabu cha Barazanji chafundisha shirki tuu. Ndio manaa hakina maana hata mojaa. Hawa walimu wa twarrikka wana ushirikina katika mambo mingi sana mpaka makaburini wanabudu.

    • @ismailalmazrui1555
      @ismailalmazrui1555 ปีที่แล้ว

      @@tocaworld7864 hio ni imani yako akhui kwani hata quran watu wanatumia kwa mambo yao kwani ukisikia mganga anakupigia ayatul kursiu na kumbe anafanya ushirikina kama kushawahi kuona shams lma3aarif na al awfaaq vimejaa maneno ya allah lkn watu wanayatumia vibaya kwa hio imani yako ndio inakupeleka unapotaka ila ninachotaka kusema na kama unataka kuelewa au hutaki ni kwamba kitabu chochote wacha vya kiislamu hata vya kikristo kukitupa mbele ya malaa na umma wa watu na makamera ni kibri kikubwa lkn kwa sababu ww ni sh wako kila analofanya utaona sahihi hata akikuambia tuingie kisimani utasema hewallah shee waambie hao wengine wafanye unachosema,,,fikiri kwa makini ndugu yangu

  • @khamisfadhil4393
    @khamisfadhil4393 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @aliali-ji9ym
    @aliali-ji9ym ปีที่แล้ว

    Mabrouk mabrouk

  • @aminuddinwacate
    @aminuddinwacate ปีที่แล้ว

    Maqam Ajamy

  • @Khasai-ng4qi
    @Khasai-ng4qi ปีที่แล้ว

    Mashaallah ,najuwa kusoma qur an .km hutaki baki nachuk yak

  • @omarmohammed5108
    @omarmohammed5108 ปีที่แล้ว +1

    Sms si inaendeleza mambo yaleyale yanyerere kuwafukuza au kuwapoteza mashekhe

  • @rashid3562
    @rashid3562 ปีที่แล้ว +1

    Ubishi mwingi mpk huna amani Kila kitu unafanya Kwa woga il usikoseye ukapigwa raddi

  • @NabeelSaid-f6t
    @NabeelSaid-f6t ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @wilsheremagadiali4998
    @wilsheremagadiali4998 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @hafidhmzee9272
    @hafidhmzee9272 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @FadilaTanzania
    @FadilaTanzania 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @HamadJecha
    @HamadJecha ปีที่แล้ว

    Mashallah