MAULIDI MINNA NDIO MAHALA KWAKE HASWA KWA KUWA PANA HISTORY KUBWA YA MTUME. OTHMAN MAALIM. MAKKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

ความคิดเห็น • 55

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline หลายเดือนก่อน +2

    MaashaaAllah. Shukran Sheikh wetu. Maulid katika mji wa Maulid

  • @MwasharifuSaid
    @MwasharifuSaid หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mwenyezi mungu azipokee hiija zenu

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py หลายเดือนก่อน

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri,, Mola Awakubaliye mahujaji wote hijja maqbuli inshaallah

  • @sheikh_abdulkarim
    @sheikh_abdulkarim หลายเดือนก่อน +2

    Watu wazito hao watu wakubwa waliosomeshwa na wakasomesha hawawezi kufanya jambo la kipuuzi wamefanya jambo lenye mbolea Makka mashaaallah
    Maulid atutayaacha mpaka qiyama na tutamsomea maulid mtume peponi inshaallah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Amiin insha Allah

    • @user-zr2pn5uv8b
      @user-zr2pn5uv8b หลายเดือนก่อน

      peponi kuna kusoma Maulid

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      @@user-zr2pn5uv8b mawahabi wapotoshaji ilimu hamna akili hakuna amesema Allah awajalie huko peponi wamsomee maulid ndio mana nyinyi mawahabi wajinga vitu watu wakiongea mwaelewa vengine mungu awaongoze kwenye haki awatowe kwenye uwahabi

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv หลายเดือนก่อน

      Amin 🤲 amin Thuma amin 🤲

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy หลายเดือนก่อน

      ALLAHULmustaanu ,wallahi masuufi muna upumbavu mkubwa sana,, ameyasema haya Al imaam shafii rahimahuLLAHUL Ta'alaa,,, enyi mubtadi'aaa zindukeni tunawanasihi acheni kufanya uzushi kama huo katika viwanja kama hivyo., nani aliyewatangulia katika al salafiiyaa wakawa wamefanya haya?? kisha kwa kibri kabisa unasema utasoma maulidi mpaka peponi ,, ALLAHULmustaaan, peponi???? kabisaaa?? Namuomba ALLAH aniepushe mbaali kabisaaa na watu wa namna kama hii.

  • @MwasharifuSaid
    @MwasharifuSaid หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mwenyezi mungu azipokee hiija zenu❤

  • @UsraMohammed-h6p
    @UsraMohammed-h6p หลายเดือนก่อน

    Mashaallh

  • @user-mx4wi8ic5e
    @user-mx4wi8ic5e หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaallah ❤❤❤

  • @shamsulhudahtv7068
    @shamsulhudahtv7068 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah maashaa Allah maashaa Allah ❤❤❤❤

  • @Dhikriqadiriarazaqia
    @Dhikriqadiriarazaqia หลายเดือนก่อน

    Maashallah

  • @dr.mukukihante7673
    @dr.mukukihante7673 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 หลายเดือนก่อน

    acha kuongopea watu ujahili wako,nina kuuliza hii dini tumeamrishwa kufuata yale mtume صلى الله عليه وسلم aliyowafundisha wanafunzi wake,
    Sasa hayo maulidi ni nani ktk maswahaba wa mtume aliyeanza kuyasoma hapo mina?
    mbabebesha watu madhambi!!
    Allaha awaongoze kwenye sunna na muachane na ibada za UZUSHI,

  • @hassanaboud8442
    @hassanaboud8442 หลายเดือนก่อน

    S ❤ A ❤ W ❤

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah หลายเดือนก่อน

    Mawahabi ni kizazi kinachotokana na Mayahudi hawataacha kuchukia mambo mazuri ya kumsifia mtume

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kufanya uovu Makka ni dalili kwamba huo uovu si uovu ، Makkah wapo wezi, wapo wazinifu, wapo washirikina, wapo watu bidaa.
    Kwa hiyo kufanya jambo la bidaa makkah hamujaanza nyie minaendeleza huo ubishi wenu, na sio dalili kuwa hilo jambo ni sahihi

  • @tibaasiligreatmoment8850
    @tibaasiligreatmoment8850 หลายเดือนก่อน

    ولو كان الدين بالعاطفة، لكان جميع أهل البدع على الحق.

    • @zubeiramlanzi2480
      @zubeiramlanzi2480 หลายเดือนก่อน

      أي و الله...نسأل الله العافية..

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy หลายเดือนก่อน

      naam, لقد قيل لك الحقيقة

  • @user-zr2pn5uv8b
    @user-zr2pn5uv8b หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hiyo ni nguzo ya hija au sunna mbona hamuishiwi vituko nyie

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv หลายเดือนก่อน

      Wauliza wakati jibu lako mfukoni mwako.

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama mtume alifanya maulidi hapo mbona mahujjaj hawafanyi acheni kuwazuga mahujaji kuweni wakweli halafu mnasoma Kwa Siri mnajua mkikamatwa ni kesi wazushi wakubwa kwani ni nani asie mpenda mtume

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      Nyinyi mawahabi hamumpendi mtume wallah Nyinyi sawa sawa na mayahudi mukisikia mtume s a w yuwasifiwa inawauma na insha Allah kiyama atujalie tumsome maulid kipenzi cha Allah na kipenzi chetu

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv หลายเดือนก่อน

      Uwislamu mzuri wa mtu ni kuto fwatiliya mambo yasiyo muhusu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      @@jimjam-xg7rv wambie hao mawahabi wenzako kazi yao kufuatilia watu na kukufurisha waisilamu na kuwatia motoni

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy หลายเดือนก่อน

      jamaa wanawaongopea sana watu wao,, wallahi tena ,, hawa watu ni wakukaa nao mbali sana

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 หลายเดือนก่อน

    Pilipili ala mwingine wewe yakuasha aje

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

    Muogopeni mungu nyie masheikh hebu upumbavu huu kaujaribuni hadharani au msikiti wa madina? Hamuogopi hata kuharibu ibada ya hijjah zenu kwa kumzushia ibada za ajabu ajabu?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน +1

      Muogope ww Allah usiokua na adabu upumbavu wako na mtume s a w usitukane wanazuoni wake sasa ww kaa na uwahabi wako wakiyahudi

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ww ndio mungu mbona waingilia kazi ya mungu ww hasidi insha Allah Allah amezikubalia ibada zao na awaingize peponi awaweke na kipenzi chetu amiin

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj we vipi lete hoja mnafanya ibada mtume hakufanya ndio unaona sawa?

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 หลายเดือนก่อน

      @@saba-gv3mj uwahabi ndio nini?

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน

      @selemankishema5780 uwahabi nihicho kikundi chenu kilichoanzishwa na mohammad abdulwahabi mukawauwa waisilamu wenzenu maelfu kwa maelfu saudia ndio nyinyi mawahabi munao pinga maulid kusifiwa kwa mtume s a w alafu nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamzushia mtume tawhed tatu mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawazijui mumezitoa wapi ww wahabi upende usipende ww wahabi

  • @user-id6bo3mu3j
    @user-id6bo3mu3j หลายเดือนก่อน

    Hao wenyewe Hawa fanyi sasanyie wazushi kawaidaida yenu mnashindwa kufanya Ibadan mnakalia ubabaishaji

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj หลายเดือนก่อน +1

      Ibada washafanya na maulid tataaoma ww hasidi usiompenda mtume s a w usituingilie nenda kwa mawahabi wenzako na mayahudi

    • @AbuuHurayra-el1uh
      @AbuuHurayra-el1uh หลายเดือนก่อน +1

      Hao wenyewe kina nani wenye mtume ndio hao hapo wanamswalia na wanasomeana sifa zake na wanashukuru neema za allah miongoni mwa neema ni bwana mtume muhammadi swalla llahu alayhi wasallam

    • @AbuuHurayra-el1uh
      @AbuuHurayra-el1uh หลายเดือนก่อน

      Hija ya mwaka huu babu kubwa ndio quraani imeamrisha tufanye hivi tumtaje sana allah kama tunavyowataja baba zetu au au zaidi mwenye hoja aje kwenye imel yangu tuonane

    • @AbuuHurayra-el1uh
      @AbuuHurayra-el1uh หลายเดือนก่อน +1

      Mwakani tubebe na dufu

    • @AbuuHurayra-el1uh
      @AbuuHurayra-el1uh หลายเดือนก่อน +1

      Hawa wa afrika ndio wenye haqi na mtume muhammadi swalla llahu alayhi wasallam mwakani tunabeba dufu na tutafanya hafla hii ndani ya masjid nnabawi inshaallah

  • @MwasharifuSaid
    @MwasharifuSaid หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mwenyezi mungu azipokee hiija zenu