brother sky kuna watu humu ni pandikizi wana penda sana kukosoa watu ambao sisi kwetu tuna wapa muda na kuwa elewa ally ni nguvu mpya sns anaitaji ulinzi huyu mwamba
@@IbniAbbas-yz3kt Sasa hata yeye kabla haja fichua hayo maovu 🧐 alijua kabsa kama atafanya hivyo itamlazimu kuuwawa🛑 naona ww ndo taalifa hujaierewa. Na uache kukaza hilo fuvu💀 kwani hizo Sheria za mtu akitoa Siri za jeshi auwawe zimeanza baada yayeye kuitenda kosa? JIBU ni hapana zipo kutoka kitambo na zinatekelezwa ☠️ atakufa kishujaa si aliamua kuwa shujaa 🙋na ww usiwe kiazi kukoment tulipo coment na ww uwanja upo wazi tafuta sehemu yako ucoment kivyako vyako😡😡
@@IbniAbbas-yz3kt kwani nimebisha kenge ww 🤐alifanya hivyo huku akijua wazi adhabu yake ni kifo kama akikamatwa🧐 Sasa mbona kama ww ndo huerewi serikalini hawana cha tu mswalie mtume 🤝 wanakunyoaha bila kujari lengo lako cha msingi umekiuka vifungu💀
Ally yupo vizur sna, kazi nzuri
Hongera ally masudi kwa makala nsuri
Naipenda sana wikileaks
brother sky kuna watu humu ni pandikizi wana penda sana kukosoa watu ambao sisi kwetu tuna wapa muda na kuwa elewa ally ni nguvu mpya sns anaitaji ulinzi huyu mwamba
Ally yupo vzr sana kwenye uchambuzi🫡🫡🫡
Free hii naona ya Kulengwa😢😢, so sad
Hayo mashtaka yalikuwa yamchongo alipe kesi ili iwe rahis kumkamata, najiuliza kwa nini hakuenda urusi? Mkewe kampambania sana MAUWA KWA MKE WAKE
Marekani nayo!
Ally yupo visu
Kaka yangu Ali hana litaja jina kwenye France vizuri...
Daaah 😢
Nakumbuka hii habari nilikuwa naifatilia sana back 2010 CNN enzi za akina ANDERSON COOPER & CHRISTIANE AMANPOUR .
Mnaosema Marekani wana demokrasia haya kiko wapi, na wanadhani wamarekani wanafata haki za binadamu
Jamaa anazunguka sana mpaka nachoka kusikiliza
Unataka akae kimya
napenda sn mnaingia deep
Sasa kwanini.wao.hawataki kukosolewa vitazawo nikuuwa raiya ajabu kabisa
Umesahau kusema uyo Chelsea sio jina lake alijipa baada ya kuwa shoga
Hao mashoga marekani ndo zao kupiga raia wasiokuwa na hatia
Apo wamesha msainisha karatasi zote. Hatoongea tena chochote kuhusu siasa
Ila huyo anaenda kufa
Ubalozi wa ikwedaa😂
Sky huyu ali bado
Kachambuee wewe
Mbona ali yupo vizur snaa hususan katika upande wa technology
Labda mambo. Ya technology sikatai. Ila.uchambuzi wa mambo ya kisiasa bado haja mfikia djsmaa
@@BongerwaFanincialservices fagia yako
We mseng.. kachambue wewe na mama ako acha ukum.. kazi kuvunja watu moyo nyie ndo wachaw mnapenda kuwapinga watu hamtoi solution
Nyongeni tu amna namna😡
Hivi umeilewa kweli hii story au una mihemko!sasa mtu alifichua maovu wewe unasema anyongwe tuu😢wee wa hovyo kweli
@@IbniAbbas-yz3kt Sasa hata yeye kabla haja fichua hayo maovu 🧐 alijua kabsa kama atafanya hivyo itamlazimu kuuwawa🛑 naona ww ndo taalifa hujaierewa. Na uache kukaza hilo fuvu💀 kwani hizo Sheria za mtu akitoa Siri za jeshi auwawe zimeanza baada yayeye kuitenda kosa? JIBU ni hapana zipo kutoka kitambo na zinatekelezwa ☠️ atakufa kishujaa si aliamua kuwa shujaa 🙋na ww usiwe kiazi kukoment tulipo coment na ww uwanja upo wazi tafuta sehemu yako ucoment kivyako vyako😡😡
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi😅😂
@@abdulshamids1197 kenge kama kenge unajichekesha👹
@@IbniAbbas-yz3kt kwani nimebisha kenge ww 🤐alifanya hivyo huku akijua wazi adhabu yake ni kifo kama akikamatwa🧐 Sasa mbona kama ww ndo huerewi serikalini hawana cha tu mswalie mtume 🤝 wanakunyoaha bila kujari lengo lako cha msingi umekiuka vifungu💀
Huyu masubi bado kwenye uchambuz
Nenda wew ukachambue
Tofautisha ripoti na uchambuzi.Hii sio Gps mkuu.isitoshe hamna habari inayoenda hewani sns bila sky kujirisha iko sawa.sasa chuki ya nn ndugu yangu.
Ww unaweza au kelel tu
Yangu macho😂😂😂😂
Ally yupo vizur mbona