🛑FRIJI BOVU , AMLIPUA ELLY SASII KUWANYIMA SIMBA PENALT , NA GOLI HALALI LA AZIZ KI SIMBA NI NOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • FRIJI BOVU AWAVULIA KOFIA SIMBA, MWAMUZI AMEWANYIMA PENALTY YA WAZI, YANGA KAZI WAMEIPATA #globaltvonline #footballclub #simba #simbasc #wasafi #yanga #azamfc #live #football #millardayo

ความคิดเห็น • 91

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 หลายเดือนก่อน +1

    Taifa kubwa big up safi sana wachezaji safi sana

  • @MofaKomba
    @MofaKomba หลายเดือนก่อน +2

    simba nguvu moja

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z หลายเดือนก่อน

      Kostwatatufujakiwango simba simbakubwa

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t หลายเดือนก่อน +2

    Hakika siwadai Simba Kwa muda mfupi lkn wamecheza mpira hv ❤❤❤❤❤❤

  • @VerenaRosalia-q8f
    @VerenaRosalia-q8f หลายเดือนก่อน

    Tena naipenda ❤Sana Simba aitowah tokea nikaam

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou หลายเดือนก่อน +2

    Simba wako vizuri sana...wamecheza vizuri..wana muda wa kutuonyesha mpira mzuri..Baba Esta aongeze bidding na utulivu..

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z หลายเดือนก่อน

      Tenaasikate tamaa jitihada muhimu mazoezi yanga kwaurojotuu😅😅😅😅😅

  • @AishaMussa-md6jq
    @AishaMussa-md6jq หลายเดือนก่อน +2

    nikweli kabisa kaka usemayo simba wamecheza mpila mzuli nawamenyimwa penati yanga niwatu wakubebwa tuu hila wanasimba hatuna maneno nadhuluma huwa haidumu sikuzote

  • @MofaKomba
    @MofaKomba หลายเดือนก่อน

    tuwape nafasi simba yeto❤❤❤❤❤❤❤

  • @allyhuyu1892
    @allyhuyu1892 หลายเดือนก่อน +2

    Msimu huu ubingwa ni wa simba full stop asipochukua mniite "haji manara"

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 na mie waniite jina langu tu

  • @Captainome
    @Captainome หลายเดือนก่อน +3

    Kweli kabisa kapombe hakustahiki kucheza kabsa leo bora angeanza kijili,alikuwa mzito sana kurudi.

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z หลายเดือนก่อน

      Sawiyoimepita ilajogoo hafikwautitir

  • @ArafaMkomwele-vi2hp
    @ArafaMkomwele-vi2hp หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana Friji bovu unaongea vitu sahihi huyu refa TFF wamwangalie kwa jicho la tatu katufelisha sana

  • @user-zi7ku2gs3h
    @user-zi7ku2gs3h หลายเดือนก่อน

    Simba wamenyimwa penat

  • @user-nl9xe5bu1x
    @user-nl9xe5bu1x หลายเดือนก่อน +1

    Friji bovu Laway

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah หลายเดือนก่อน

    Refa.aliwanyima.penalti.simba

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 หลายเดือนก่อน

    Kapombe na Hussen ndio wametuangusha saaaana.niwakucheza dk 30

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k หลายเดือนก่อน

    Friji bovu,Nakuelewaga sana,yaani kwa mimi wachambuzi wa soka tanzania hii ni 2 tu ,friji bovu na m'bwaduke,umenifurahisha uchambuzi.

  • @sylvanusshadrack1724
    @sylvanusshadrack1724 หลายเดือนก่อน

    simba hii noma itawatesa sana mbele ya safar uto

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Wakati huo hao uto wamelala au?? Maana mlianza kusema mtawanyoosha kwenye ngao leo kiko wapi

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 หลายเดือนก่อน

    Jamaa yupo vizuri haongei kishabiki sawasawa

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 หลายเดือนก่อน

    Matora ni jiwe kwenye Beanch yupo kula na kunyoa Upara

  • @georgetematema1093
    @georgetematema1093 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu una madini big up

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน

    SIMBA WAMEPIMWA UMRI

  • @edgarcruzee5223
    @edgarcruzee5223 หลายเดือนก่อน

    Kapombe na Shabarara wamechangia tumewachoka walitakiwa dk 30 tu zimbwe taka taka tu

  • @abdallahncabukoroka3202
    @abdallahncabukoroka3202 หลายเดือนก่อน

    toka burundi🇧🇮nakukubari sana friji bovu unaongea ukweri

  • @InnocentKimario-nr1nx
    @InnocentKimario-nr1nx หลายเดือนก่อน

    Kaka usituokote aziza olikua off side na ilikua wazi kabisa

  • @webirowasira7920
    @webirowasira7920 หลายเดือนก่อน +6

    WEWE NA SIMBA YAKO, unasifia sana Simba pamoja na kufungwa

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน +5

      Kasifia wapi wakati unasikia yanga ilivo na complete package, wachezaji walifiti,ndani na nje. Mbona hayo hujasema kaipendelea yanga?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme หลายเดือนก่อน

      Mbona yupo sawa wewe umelewa na mapenzi

    • @Amos-z7z
      @Amos-z7z หลายเดือนก่อน

      Weyanga isifukumbuka jogoo hafikwautitiri

  • @InnocentMwakyange
    @InnocentMwakyange หลายเดือนก่อน

    Hakika ww ni mchambuzi mi nakuelewa sana

  • @emmaernest2185
    @emmaernest2185 หลายเดือนก่อน

    Yanga Huwa mnapenda msifiwe tuu

  • @ANNAKISIGA-pc5qs
    @ANNAKISIGA-pc5qs หลายเดือนก่อน

    Nakuelewaga sana friji bovu huwa hupemd kuficha fichs kama wachambuzi wengine bgp sana

  • @obedkalinga9704
    @obedkalinga9704 หลายเดือนก่อน

    Simba haina foward tusifiche

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน +1

    HUYU MJINGA REFREE SASI MKONO NA MWENZAKE WASICHEZESHE MECHI MILELE WALILENGA KUWAFURAHISHA SIMBA NA MODEWJI MTOA HELA HUU NI UJINGA WAMESBISHA MECHI

  • @Rashidikaria
    @Rashidikaria หลายเดือนก่อน +1

    Simba imenyimwa penati mwenye kujuampira ameona mumebebwa na mpira tumecheza saaaaaaaaana anayekataaaaa akatae tu

    • @shaninaftary2411
      @shaninaftary2411 หลายเดือนก่อน

      Na YANGA TUMENYIMWA GOAL LA AZIZ K , referee amebalance mzani kupunguza kelele game ilibidi Yanga 2-1

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 หลายเดือนก่อน

    Simba imenyimwa penati, na Yanga imenyimwa penati na kupokonywa goli.

  • @user-ct3ff5bu7j
    @user-ct3ff5bu7j หลายเดือนก่อน

    Wewe Simba mjinga unaongea kiushabiki ongea mpira

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c หลายเดือนก่อน

    Mi nakubali simba itabeba Ubingw msimu huu lkn akina kapombe wasubiri

  • @allymombo1392
    @allymombo1392 หลายเดือนก่อน

    Ww hujui bwana

  • @user-vn7ew6di3t
    @user-vn7ew6di3t หลายเดือนก่อน

    Simba amenyimwa penalties,na Aziz key aliotea kuna mkono ulizidi,msichambue kimazoea angalieni marudio

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa หลายเดือนก่อน

    Anachokisifia ni ukweli Kwa sababu Simba tuliyoiona ni mpya wachezaji wapya kocha mpya nadhani umeona mwenyewe

  • @saadzubra0547
    @saadzubra0547 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana sio mchambuzi bali ni shabiki maana anaonyesha kabisa ushabiki wake kwa simba

    • @uswegendile9121
      @uswegendile9121 หลายเดือนก่อน

      Ndio mlivyo mi sjaona baya

  • @RahyaMuhsin-i5h
    @RahyaMuhsin-i5h หลายเดือนก่อน

    Happy 88

  • @allymnyama1386
    @allymnyama1386 หลายเดือนก่อน

    Kwa simba hii ngja izoeane kwa miezi japo mitatu mtaijutia simba hii

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio mchambuzi hata kama Simba imefungwa ila kikosi ni kizuri sana

  • @user-nl9xe5bu1x
    @user-nl9xe5bu1x หลายเดือนก่อน

    Simba watafite mfungaji mwingine , Freddy aondoke , Simba warudi Kwa Rick Banda

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p หลายเดือนก่อน

    Sasa na simba kafungwa goal 2 kakataa no offside

  • @AllanAluma-ss8lb
    @AllanAluma-ss8lb หลายเดือนก่อน

    Hivi simba anao izungumzia ndio iyo Simba nimeiona kwenye game? Au???

  • @user-li6zg6tg7o
    @user-li6zg6tg7o หลายเดือนก่อน

    Ukweli lazima usemwe ndugu zangu tukubali tu

  • @user-kg8up8je9k
    @user-kg8up8je9k หลายเดือนก่อน

    Nyie mnaotukana mnapata faida gani hata pesa hampati

    • @user-bc2wd1sq3k
      @user-bc2wd1sq3k หลายเดือนก่อน

      Aiseee!huu ni utumiaji vibaya wa mitandao,maturity ya nini?mpira ukiisha wachezaji wa tim hii na tim hii wanasalimia vizuri na kupongezana,etc mashabiki Tuscola Pata hata shilingi tunaambulia madhambi ya kutukana jamani!!!tubadilike

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 หลายเดือนก่อน

    huyu refa nikimuona tena ligi kuu bila adhabu ntashangaaaa..sasa unamnyima mtu penalt kama ile???au mpaka mtu avunjwe?

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g หลายเดือนก่อน

    We mbwa hata Young-Africans wamenyimwa penalty Kevin kijiri ndani ya box kacheza rafu mbaya kwa Prince Dube na Off-side za mchongo 2 pia Elisasii kawabeba Simba

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 หลายเดือนก่อน

      Ndo shida ya kushabikia sana timu zenu hata penye ukweli mnakataaa sasa kinachokufanya umwite Mbwa ni nini?

    • @mussaenos3738
      @mussaenos3738 หลายเดือนก่อน

      Kunguru wewe

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o หลายเดือนก่อน

    Mkono ule frig

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน

    HUYU KWELI NDIO MAANA KAJIITA FRIJI BOVU

    • @f.a6043
      @f.a6043 หลายเดือนก่อน

      Ukweli lazima ukuume vizuri unataka chura 🐸 asifiwe kila kukicha

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v หลายเดือนก่อน

    WaGENI SIO WACHEZAJI?

  • @RahyaMuhsin-i5h
    @RahyaMuhsin-i5h หลายเดือนก่อน

    Tutawatesa sana mmekuja na sanda tumewazika

  • @abdalahzungu6264
    @abdalahzungu6264 หลายเดือนก่อน

    Frij bovu wewe ni fundi wa mpira,unajua ndugu

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 หลายเดือนก่อน

    Hata Yanga wamenyimwa penalti kwa hiyo nyie tulia. Kwanza Simba hamjacheza chochote. Watoto wenu wamekata moto mapema kabisa

  • @emmaernest2185
    @emmaernest2185 หลายเดือนก่อน

    Nunuwen tuu wachambuz yanga iyo kawaida yenu

  • @Buysar_fx
    @Buysar_fx หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa na ahmed ally na ao washabiki wote sizan kama wanaakili wanawapotosha sana Wenzao mech 3-0 ile

    • @edsonhiza8519
      @edsonhiza8519 หลายเดือนก่อน

      Acha ukuma wewe nani hana akili 3 ulifunga wew au😅

    • @attaysaid2224
      @attaysaid2224 หลายเดือนก่อน

      Mechi 3 bila za bibi yako labda Yanga Leo wamecheza na refa kuanzia wachezaji mpaka benchi lao la ufundi wanalalamika tu wamefikiwa leo

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 หลายเดือนก่อน

      Wanayanga wooote ndiyo hawana akili kasoro Mzee manara na kikwete tu wewe akili utaipata wapi subirini Simba izoeane maana hiyo mibabu yenu mtaifukuza yote hapo Yanga maana sasahivi mnabebwa na marefa tu uto hamna maajabu

  • @user-ip4ie7pt6i
    @user-ip4ie7pt6i หลายเดือนก่อน

    Uyu mpumbavu nini kwani Yanga hawakunyimwa goal na penalty

    • @f.a6043
      @f.a6043 หลายเดือนก่อน

      Ilikua ni penalt yako 🐸🐸🐸👈🏽😂😂😂

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 หลายเดือนก่อน

    Unaongelea penati yenu ile ya yanga hujaiona mchambuzi mkundu

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 หลายเดือนก่อน

    Simba ni hatari

  • @bestel321
    @bestel321 หลายเดือนก่อน

    wewe sio friji bovu bali ni Ubongo mbovu.

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 หลายเดือนก่อน

    David PASCO mkundu wako,gamondi alikua anamfokea reefa kwa upumbavu wake.ndo mana marefa wenu FIFA haiwatambui.hujui hata kutangaza Mpira ww mkundu mnafiki

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx หลายเดือนก่อน

    Acha ukuma

    • @allymnyama1386
      @allymnyama1386 หลายเดือนก่อน

      Ww ndo uache ukuma

  • @BayekeFarijala
    @BayekeFarijala หลายเดือนก่อน

    hivi mkono ukizidi siyo offside?

  • @user-uw5oh5yy5m
    @user-uw5oh5yy5m หลายเดือนก่อน

    Friji bovu bro hauna jezi nyengine tofauti na hiyo!!??

  • @RahyaMuhsin-i5h
    @RahyaMuhsin-i5h หลายเดือนก่อน

    5+2+1=8