Shekh nakufahamu vizuri sana kwa elimu yako ukitaka kuelewa vizuri somo hili USOME ELIMU YA NYAKATI ZAMWISHO (ISLAMIC ESCHATOLOGY BY SHEIKH IMRAN HOSEIN)
Moses was the prince of Ethiopia for the most part of his life. Ethiopia,sudan,libya,Egypt and Israel zote zimekuwa nyumba moja. Utawala mmoja wa black hebrew israelites
Katika mikataba kati ya muingereza na mataifa ya kiarabu sikusikia ukitaja mkataba wa mwaka 1919 kati ya muingereza na taifa la Iran uliotiwa saini na aliekuwa waziri mkuu wa Iran kwa wakati huo, Vesik Al Dowleh, na muwakilishi wa uingereza Lord Curzon hata ingawa haukuwa mkataba wa himaya lakini ulikuwa wa kisiasa, kivita na kibiashara. Jee haukujua au uliuacha kwa kusudi? Tunatoka wapi, tuko wapi na tunaenda wapi (vipi).
@alwiyiynmission2820 ukimsikiza mtu anaposema kitu msikize anasema vipi sio tu anasema nini kwani mtu asemapo kitu huwa ana agenda ficho. Hiyo ndio sababu nimequote
Kulingana na historia Jacob kabla aende Egypt alikua anaishi canani,sote tunajua Jacob ndio baba ya Israel, wakati walikaa Egypt 400 yr ilibidi warudi canani kwa uongozi wa musa
Waphilist ndio wapalestina ,ukisoma kitabu cha mwanzo wakati Abraham alikufa walianza kufunika visima ambavyo Ibrahim alichimba ,isac akaanza kuvuchimbua upya
Capital city of kings david ilikua Jerusalem according to history, David was ajews, where were philistine those day?ukitoa historia ya Palestine ongeles ilo
Maalim...umetufundisha somo kubwa sana kwa maana asilimia kubwa waelezaji wengi hua hawasomi historia na kufanya uchunguzi wa kindani zaidi.....umetuelimisha na kufunua akili zetu ...kiujumla Waarabu wenyewe wameyatimba kisha Waneuchuna Kimyaaa
Hao ni gcmg wanajita God call me God astafirullah we run the Jin like a dog sisi tunafahamu lakini tuko na Azawajal Alhamdulilah wana mwisho wao lazima sisi tuweke siku tuwe sote kwa pamola tuseme lahaula walakuwata illah billah lialiyu liadhim tutashinda hiyo dua imetoka Mbingu ya saba ndio silaha yetu kuliko bom lolote dunia in shaa Allah heri Asalam aleykum
Nilichojifunza kutoka kwa Masheikh wa Kishia hawa ndugu zetu walibobea mno ktk Masomo ya Historia ukiwaskiza vitu wa navyo ongea Ukiacha ushabiki Utajifunza kitu
Tv Iman tuleeteni watu Hawa acheni kutuletea mawaidha yasiyo eleweka Mimi ni msikilizaji wenu sana sio shia lakini ukiwasikiliza washia sio tuwe mashia lakini tupate faida hizi
Elimu ya msingi sana hata hapa Tanzania hatujui Historia ya nchi yetu kabla ya kuja kwa mkoloni tulikuwa na Uwezo gani kiasi kwamba wakatuchukua utumwani kwanini tumekuwa tegemezi hata kwa teknolojia ndogo ya kutengeneza sindano ya kishona nguo. Je siku wakizuia bidhaa zao tutaishije?
Daaa ustadhi apewe muda wa ziada kabisa,hata hayo mavipind mengine yasiwepo apewe vipind kushika nafas yake ,maana hii ni elimu kubwa na hatuwez ipata kwingine Zaid ya wazee wetu hawa wenye upeo mpana
Saingine kama huna la kusema la maana ni bora ufunge mdomo wako ku type ujinga......wewe maishani mwako umetoa ilmu gani kusaidia jamii au watu tu katika familia yako ?
Walahi maneno ya sheikh hyu yananikumbusha mzee mwalimu wetu nasheikh wetu .Ba salehe nampaka sauti namapito yake yanafanana .Allampe umri mzee wetu hyu na sheikh .maalim .ba salehe ampe pepo pamoja nasi Ameen
Daa ustadh kapiga kwenye mshono, ALLAH akupe umri mrefu Na mwisho mwema maalim
Hii niliona tiktok nikasema naenda you tube kuangalia Ma Sha Allah❤
Mashallah,Shekh hayonimageni tulikuabadotumelala hatujuiloloteila kusoma hatutakisema imeelewekasa twaomba uendeleekutusomesha mzeewetu,Biindini Llaah.
Deep good content.Very intellectual.Thank you very much
BarakAllahu feek❤
MASHAA ALLAH haya ni madini ya hali ya juu ALLAH akulipe kheri sheikh Stambuli
MASHALLAH nimekuelewa
Asante sana hii ni Elimu nzuri sana
MashaAllah. True, umenena!
The best ever
Naam,MashaAllah hiz elimu zatakiwa kwa muda huu
Shekh nakufahamu vizuri sana kwa elimu yako ukitaka kuelewa vizuri somo hili USOME ELIMU YA NYAKATI ZAMWISHO (ISLAMIC ESCHATOLOGY BY SHEIKH IMRAN HOSEIN)
Ni darsa ya kiswahili au kingereza?
Napataje Kaka natamani huyu awe mwalimu wangu
maashaallah twataka kuja kusoma shkh twakupataje
Huyu sheikh anapatikana wapi?
Mungu akujalie maarifa na hekima zaidi na zaidi shehe
Sheikh Masha Allah gawa elimu darasa kubwa sana
Mashaallah
Allâhu Musta'an.
Mzushi utamtambua na maneno yake huwa huchanganya ukweli na uzushi..
Ubarikiwe sana
Kindly share this content ❤
Maneno mazito yanaingia akilini na yanatulia mashallah allah akuweke na akupe afya yes you are a teacher mashallah
Ulikuwa wap ?? Mashaallah
Umeeleweka sanaaaa.
Taifa teule
Mwenye kujua huyu sheikh anako patikana
Kenya
Mashallah
Masha Allah
Asante sana maalim*inshallah
Mashaallah Elmu Bahar..!
ALLAH YUSALLIMUK! /MAY ALLAH KEEP YOU SAFE !...AMEEN YARRAB. BIG RESPECT BIG BROTHER. !
In every platform, whether TikTok, Instagram, Telegram.....
Great idea
Mashaallah. ALLAH akuzidishie.shekh
Naomba nipate namba ya huyu sheikh
Sheikh umenifungua UBONGO.
Yuko na library yake kilifi Kona ukitoka ukitoka Buxton hapo Kona kilifi dini zote zaruhsiwa kuingia ni Bure kusoma nibure kuliza maswali nibure
Asalaam Alaukum Sheikh. Sali langu ni, Wayahudi original walifikaje Ethiopia?
Huko ndiko kwao. Hawa Yahudi Wazungu walijitia kwenye Uyahudi; hauwahusu kamwe.
Moses was the prince of Ethiopia for the most part of his life.
Ethiopia,sudan,libya,Egypt and Israel zote zimekuwa nyumba moja.
Utawala mmoja wa black hebrew israelites
Kwa kweli kizazi chetu ni wavivu wa kusoma
Katoka Mombasa sasa amefika Dar.....Kuku lala kipanga yuwaja !!! unaedhani anajenga, ndie khasa anaebomoa!
6:17 unakusudia nini wewe ukisema haya katika coment hii
Asente kwa ushauri nasaha na elimu endelevu
Katika mikataba kati ya muingereza na mataifa ya kiarabu sikusikia ukitaja mkataba wa mwaka 1919 kati ya muingereza na taifa la Iran uliotiwa saini na aliekuwa waziri mkuu wa Iran kwa wakati huo, Vesik Al Dowleh, na muwakilishi wa uingereza Lord Curzon hata ingawa haukuwa mkataba wa himaya lakini ulikuwa wa kisiasa, kivita na kibiashara.
Jee haukujua au uliuacha kwa kusudi?
Tunatoka wapi, tuko wapi na tunaenda wapi (vipi).
IRAN SIO MWARABU.
Kama ALIKUA anataja Mikataba kati ya Waarabu na Muengereza,
WAIRAN SIO WAARABU
@alwiyiynmission2820 ukimsikiza mtu anaposema kitu msikize anasema vipi sio tu anasema nini kwani mtu asemapo kitu huwa ana agenda ficho.
Hiyo ndio sababu nimequote
Sheikh wa kwanza kumsikia akiongea kuhusu the khazarian empire.
Hebrew israelites hv bn black people.
Majority in south and west africa.
Mola mlezi ampe uhai zaid tunufaike na madini yake
huyu pia sheikhe -waswahili wamekwisha
Na ww pia unaweza kua shehe. Hakuna katazo
Shia wana elim nyingi na kubwa sana sema ahlu Sunnah tunawatenga awa jamaa lakini tungekaa nao pamoja uislam Afrika mashariki ungekua
Elimu kitu kingine na itikadi ni kitu kingine , huwezi kusema kuungana baina ya mkristo na muislam (mfano) maana itikadi tofauti
Sheikh imran hossein too
Huyo si shia lakini ni mwanahistoria
soma uujue kua shia sio uislam
Haki na batili hua havikai pamoja
Ndiomaana mohammad bin siiriyn alikataa kuwasikiliza watu kama nyinyi munaona kila mtu afanye bid,aa atakayo
Kwani Ushia na Uyahudi una tofauti ?
Kwani Abdullah bin Sabai Sio Myahudi !
Kulingana na historia Jacob kabla aende Egypt alikua anaishi canani,sote tunajua Jacob ndio baba ya Israel, wakati walikaa Egypt 400 yr ilibidi warudi canani kwa uongozi wa musa
Waphilist ndio wapalestina ,ukisoma kitabu cha mwanzo wakati Abraham alikufa walianza kufunika visima ambavyo Ibrahim alichimba ,isac akaanza kuvuchimbua upya
Capital city of kings david ilikua Jerusalem according to history, David was ajews, where were philistine those day?ukitoa historia ya Palestine ongeles ilo
Baadaye ndio waisrael wakamuasi mungu wakapelekwa mateka babiloni, hekalu la Suleiman ikabomolewa na vyombo vikachukuliwa ,
Mkuki kwa nguruwe ni tamu ila kwa binadamu ni uchungu. Let the terrorist (hamas) be served what they wanted.
Mzee stambuli umekufaa na ushia looo hasara
hee
U Shia bado upo ,tukisoma vizuri Quran wako sahh kuliko ss . Tusome tuelew ,tuna sambaratishwa bila kujitambua
Huyu Baba kama anavitabu naomba kununua
wasomi
97 asilimia yote ni kweli kabsaa
Maalim...umetufundisha somo kubwa sana kwa maana asilimia kubwa waelezaji wengi hua hawasomi historia na kufanya uchunguzi wa kindani zaidi.....umetuelimisha na kufunua akili zetu ...kiujumla Waarabu wenyewe wameyatimba kisha Waneuchuna Kimyaaa
Hamna lolote jipya kwa waislaam hapo sisi hatuongelei Uarabu sisi tunaongea uislaam ipo tofauti kubwa kati ya Uarabu na Uislam
I was born Christian but I know this history that's why I do not agree with Israel at all
Kindly read or listen to the audio
"THE CURSE OF CANAAN"
By Eustace Mullins
You are not yet know anything,kaa utulie.
Hao ni gcmg wanajita God call me God astafirullah we run the Jin like a dog sisi tunafahamu lakini tuko na Azawajal Alhamdulilah wana mwisho wao lazima sisi tuweke siku tuwe sote kwa pamola tuseme lahaula walakuwata illah billah lialiyu liadhim tutashinda hiyo dua imetoka Mbingu ya saba ndio silaha yetu kuliko bom lolote dunia in shaa Allah heri Asalam aleykum
Alafu nmefurahi alipo taja dola alafu na Mtu kijifutua kwapa hewni😂
Panafricanist yoyote lazima atetee haki
Mzee mengine uwongo mtupu muogope Allah
Nawewe tupe ulicho nacho basi
@@Mrishodelbusi55 usinielewe vibaya ndugu yangu huyu mzee mengi ya uongo na fitna tupu
@@selemankishema5780 Mmmmh chuki bunafsi hiyo
Mzee huyu ni shia
@@batashqiraa9936 ndio maana
Historia ta Palestine na waisrael ni ndefu sana ,izo nyakati , Palestine ilikua philistine,kumbuka Goliath alikua mu Palestine, akauwa na daudi
Hii ilitakiwa aisikie mwalimu Daniel, kibaraka wa nchi ya Israel!
kwani daniel yuko israel
Tatizo lako tu ww ni shia ni sawa tu na zayuni
Allah atahukumu kati yake na ww ni nani yupo katika haki kwa hilo ulilosema na kuitikadi dhidi yake juu ya Ushia
Twamjua ni mshia naam lakini ww umeleta ilmu gani kuendeleza jamii mbele au ni chuki tu
Itikadi haitukatazi kuchukua Elimu. Coz anacho zungumza hafundishi ushia bari ni History .
Nilichojifunza kutoka kwa Masheikh wa Kishia hawa ndugu zetu walibobea mno ktk Masomo ya Historia ukiwaskiza vitu wa navyo ongea
Ukiacha ushabiki Utajifunza kitu
Tv Iman tuleeteni watu Hawa acheni kutuletea mawaidha yasiyo eleweka Mimi ni msikilizaji wenu sana sio shia lakini ukiwasikiliza washia sio tuwe mashia lakini tupate faida hizi
Daahh ningependa kuhushuria niwapi ulipo,,,na pia je cc wakristo na nyie waislam tunatofauti kwa mujibu wa imani tofauti ni nini
Elimu ya msingi sana hata hapa Tanzania hatujui Historia ya nchi yetu kabla ya kuja kwa mkoloni tulikuwa na Uwezo gani kiasi kwamba wakatuchukua utumwani kwanini tumekuwa tegemezi hata kwa teknolojia ndogo ya kutengeneza sindano ya kishona nguo. Je siku wakizuia bidhaa zao tutaishije?
Na nyie mliotawaliwa na Wakikuyu mnafanya nini. Usilete fitna!
Babu nataka niwe mwanafunzi wako
Daaa ustadhi apewe muda wa ziada kabisa,hata hayo mavipind mengine yasiwepo apewe vipind kushika nafas yake ,maana hii ni elimu kubwa na hatuwez ipata kwingine Zaid ya wazee wetu hawa wenye upeo mpana
Mrongo ni usioelewa
Suleiman Hujaelewa
Haya tupe elimu yako wewe. Acha udwanzi kutukana watu wenye Elimu kama hii. Hata ktk familia yako hakuna hata mmoja mwenye Elimu kama hii fyuuuuuuu!
@@AlwassaKaran
Leta ukweli wako sasa wewe tukisikie. Acha kuvamia vitu usivyo vijuwa we endelea kula maharage na kitimoto yako ulale.
Saingine kama huna la kusema la maana ni bora ufunge mdomo wako ku type ujinga......wewe maishani mwako umetoa ilmu gani kusaidia jamii au watu tu katika familia yako ?
Tupishe kidogo unatuziba