Mchungaji umetubariki sana kwa ushuhuda mzuri,barikiwa sana,he is doing better than those who studied theology.❤🎉 Uyu mchungaji hakujiita,aliitwa na Mungu🙏
Amen Amen 🙏 Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu. Mwijilisti Mungu awe pamoja nawe na akutumie kwa viwango vya juu... ni mwaminifu kwa walio waaminifu... Mungu akubariki sana na akutimizie yote unayoyaomba ili uweze kuendeleza injili.
@@bedykedy3428 we mpumbavu kwel iv kwanza w n nan nikujue zaid maan kama n Mkristo hausomi neno la Mungu kwenye Biblia ni nan alitokewa na Mungu tofaut na malaika?
Ushuhuda mzuri ila Mungu ni mmoja tu. Hakuna Mungu Baba, Mungu Mwana wala Mungu Roho Mtakatifu. Ila tunatambua Mungu aliye Baba, Mwana wa Mungu na Roho wa Mungu yaani Roho Mtakatifu
@@LadislausOdilo msikilize upya halafu tafuta palipo andikwa Mungu Baba,Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Hakuna isipokuwa Yoh 1:18 ambayo ni tofauti ya tafsiri ya kiingereza kwenda kiswahili. Ambapo katika kiingereza pameandikwa Begotten Son siyo Mungu Mwana. So,yatupasa tuelewe Neno siyo maneno. Barikiwa sana.
PROMOVER TV', Mungu awabariki mno kazi mnayofanya ya kuganga mioyo yetu kupitia shuhuda za watumishi mbalimbali,,,,,,,.
Mchungaji umetubariki sana kwa ushuhuda mzuri,barikiwa sana,he is doing better than those who studied theology.❤🎉 Uyu mchungaji hakujiita,aliitwa na Mungu🙏
Ee Mungu naomba unisaidie nife katika Kristo, nizishinde tamaa za dunia.
Amen
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akutie nguvu Mtumishi ña akuongezee Maarifa nà Hekimà kila iitwapo leo
Eeeeh, yesu wangu niokowe ilinipate kushinda tamaa za duniani..
Amena sana wafumu Awa wametutesa sana ata mimi nilikwenda kwaho lakini niuhongo tu MUNGU babwana wetu YESU KRISTO atusamee kabisa
Mungu wetu atukuzwe milele
Amen,nimebarikiwa sana na ushuhuda huu 1&2!mbarikiwe wana Promover, love from Kenya 🇰🇪
AMINA AMINA. Asante Sana maana tunaingoja ushuhuda huu kwa hamu na gamu. Jina la Bwana Yesu Kristo Mfalme Litukuzwe Milele na Milele AMINA.
Amen nimeongezeka na ushuhuda yako mungu kweli haaji mja wake.ningependa uniombee nahitaji mtoto
Nipigie nikuombee
Mungu azidi kukutia nguvu
Amen BWANA awabariki sana promover TV pamoja na mtumishi Lucus
Mungu akubariki kwa kusema ukweli zakayo alirudisha mara dufu kwa hivyo tenda wema mara dufu zaidi
Amazing transformation from this testimony
Mungu awabariki, tunaendelea kujengeka katika imani ya bwana wetu Yesu Kristo kupitia shuhuda mbali mbali mnazozirusha
Karibu sana kenya
Amen Amen hakika Mungu ni mwema na mwenye upendo barikiwa sana watumishi Mungu aendelee kukutia nguvu
Freely given Freely give true gospel,God bless you and grant your wish
Tunashukuru
Amen Amen 🙏 Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu. Mwijilisti Mungu awe pamoja nawe na akutumie kwa viwango vya juu... ni mwaminifu kwa walio waaminifu... Mungu akubariki sana na akutimizie yote unayoyaomba ili uweze kuendeleza injili.
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Mungu na Mimi unikumbuke
Asante ubarikiwe sana,Mungu akuinue sana mtumishi wa Mungu
Karibu Kenya sana watumishi wa Mungu
Mungu ni mwema wakati wote.
Haleluya haleluya Utukufu kwa Kristo Yesu
Amina mtumishi wa Mungu kwa ushuhuda mzuri.
Amen and amen 🙏🙏
Amen Amen
Amen ubarikiwe sana
Karibu Kenya Mchungaji useme nasi ili wakenya tujue ukweli na huu ukweli utuweke huru.
Ww hakuna mtu ambaye amemwona Mungu akaishi yaan mtu akimwona Mungu anakauka papo hapo maana Mungu ni mkuu sana..
@@myahudioghujafosiwa kuamini amini unavyoamini
@@bedykedy3428 we mpumbavu kwel iv kwanza w n nan nikujue zaid maan kama n Mkristo hausomi neno la Mungu kwenye Biblia ni nan alitokewa na Mungu tofaut na malaika?
Amiina
Amen
Watumishi Mungu awabariki sana naomba ya simu please
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu haujambo za huko naitwa mchungaji Lucas magoko
Tupo pamoja
Vpikipiki ni pesa gapi za kitazania mtumishi?
Kwa huku tz two millions
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu haujambo za huko? Mimi ni mchungaji Lucas magoko nakusalimia sana.
Ushuhuda mzuri ila Mungu ni mmoja tu. Hakuna Mungu Baba, Mungu Mwana wala Mungu Roho Mtakatifu. Ila tunatambua Mungu aliye Baba, Mwana wa Mungu na Roho wa Mungu yaani Roho Mtakatifu
Uelewa wako ndo umetofautisha alichokisema lakini ulichokimaanisha ni kile kile na yeye alichokimaanisha pia
Nimebarikiwa sana
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu umenifariji nilikwa na mawazo mengi yanapunguwa
@@LadislausOdilo si kweli,sikiliza kwa umakini
@@LadislausOdilo msikilize upya halafu tafuta palipo andikwa Mungu Baba,Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Hakuna isipokuwa Yoh 1:18 ambayo ni tofauti ya tafsiri ya kiingereza kwenda kiswahili. Ambapo katika kiingereza pameandikwa Begotten Son siyo Mungu Mwana. So,yatupasa tuelewe Neno siyo maneno. Barikiwa sana.
Amen Amen
Amina Amina Sana mtumishi wa Mungu