Karua, Wamalwa hawatashiriki mazungumzo yaliotarajiwa kuanza leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Hakuna mwonekano kwamba mazungumzo ya kuleta uwiano nchini yataanza kama yalivyoratibiwa, kwani hakuna maandalizi yoyote yamefanyika kuashiria kuanza kwa shughuli hii iliyotarajiwa kufanyika kwa siku 6 kuanzia leo. Sasa ikibainika kuwa wengi walioalikwa bado hawajapata taarifa ya ni lini na ni wapi mazungumzo haya yatafanyika, huku muungano wa maaskofu wa kanisa katoliki ukiwataka vijana kuyapa mazungumzo nafasi.

ความคิดเห็น • 10

  • @Mboki2
    @Mboki2 หลายเดือนก่อน +4

    Karua is a GEM

  • @jamesmbugua1881
    @jamesmbugua1881 หลายเดือนก่อน

    I support you on this ,,no doalogue needed at all

  • @danielmutia5467
    @danielmutia5467 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto has no respect for dialogue. No dialogue.

  • @lenah449
    @lenah449 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍karua..no dialogue

  • @wycliffe2023
    @wycliffe2023 หลายเดือนก่อน +3

    Shame on you Catholic. We are not idiots.

  • @isaacmunyoki6420
    @isaacmunyoki6420 หลายเดือนก่อน

    Katoliki wamekula mulungula keep off

  • @bonifacewachira2080
    @bonifacewachira2080 หลายเดือนก่อน

    Katoliki mkikula mshibe acheni kututqpikia takataka yenu.
    Karua hawa watu hakuna ya kuongea nao wakubaf

  • @michaelmunyao-ce3pc
    @michaelmunyao-ce3pc หลายเดือนก่อน

    Mazungumzo ya nini sasaà?

  • @usiniletee
    @usiniletee หลายเดือนก่อน

    Hawa molesters wa vitoto wanaongea nini. Mtu ameuwa mtoto wako eti dialogue ishia wewe