Kama binadamu wangelikua na uwezo wa kuandika maisha yako upya basi wengi wangelitamani kukuandikaa maisha ya injili,yenye furaha na baraka mingi kutoka kwa Mungu..Wapendeza sana katika kuimba nyimbo za injili.
Wema ni akiba, nyimbo yako ina maadili na inatufundisha kutenda wema na pia kuweka tumaini kwa mungu bila ya kukata tamaa. Barikiwa sana The African princess
Nandy tatizo unajua sana jaman.....Na history ya hio nyimbo inafundisha utabaki kuwa juuuu NANDY wakimambele ww sio watanzania tyuu....Me nakupenda sana ubarikiwe dada anguuu
Mimi nampenda Zuchu alafu nampenda Nandy na sina team coz mi mtanzania .. Coz when they're doing good they make me proud being Tanzanian here I'm nd wherever i go.. Nd I'm very happy to see people form other countries love our music nd our musician it's a big honor for the national... 🇹🇿 keep ur head up Nandy 💯 together we can 💪🏿 i will be so happy if will hear u got a collaboration with Zuchu one day .. 🇹🇿🇰🇪🇿🇼🇿🇦🇹🇬🇸🇳🇸🇸🇳🇬🇺🇬🇨🇩 Africa unite💪🏿
Nzr saaana tatizo mm sikuelewagi uko kwenye bongo flava au upo kwenye nyimbo za injili ,? Nakupenda nyimbo nzr saaaaawna😘😍😍😍😍makopa kopaaa kama yoteee😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Tenda wema na wew ulipewe mema 😍 Tuishi kwa wema jaman huwez kujua nan n msaada wako wa baadae just imagine wasinge msaidia chakula huyooo dog hiyooo siku hospital ingekuwaje duuh Mungu tufunze ktenda wema
Mrudie Yesu maa yeye ndp kila kutu kwetu .achakumfurahisha shetani kakupa mume mzuri mtoto mzuri pesa zipo nini kingine wataka zaidi ya kumpa shukurani Mungu
Nady okoka tu sijui huko ulifataaa nin 😂😂 mpka nimeupenda huu wimb 💖💖 okoka 2 Mungu anakupenda dada ye2 . Kwel bongo huku hakufaii kwel suree hapa nakubali
First time nilipoona hii nyimbo wala sikuhangaika nayo but today mpaka nimelia nilipousikiliza hakika kimbilio letu ni kwa Bwana we have to worship Lord forever
#Nandy!!!! Nashukuru Mungu kwa atua mpya ambayo amekupea, kwani lazima uchekwe n'a binadamu lakini ngangania sana mwito huu. Hakika Mungu atakushika mkono wake wa nguvu, ili huduma hii inonge mbele na kuzisaidia nafsi nyingi zilizo vunzika. From Congo , muzipee likes Nandi kwa huduma hii
Nandy una kipawa cha kumuimbia mungu wako...ingia gospel..i believe thats wea ur calling is...ministering to people through music...u dont know how many souls youve touched by making music like this....Mungu na akubariki..
Oooh hongera mtumishi wa Mungu.. Ahsante Yesu maana nyimbo hii imefanyika baraka kwangu na kwa wengine pia Mungu aliye hai akutunze na kukikuzi kipawa kilichoko ndani yako kwaajiri ya faida ya Ufalme wa Mungu..Rum 10:9,10,17..Kut..20:1-3. Barikiwa dadah..
Amina dada tunashukuru ubarikiwe sana uhendeleye kumuhimbiya mungu dada ndo unastahili mbyahulimwengu avikufanani ata kidogo dada uyo niushauri wangu tu wewe nimuimbiji gospel music
Umeimba gospel hadi leo siku ya 3 haijafika hata 300k viewers ,ila sasa ungeweka kama ile.LEO LEO ungekuta tayar inazo 1M ,... Mungu ni wetu sote ,tumuabudu kila wakati
Kusaidia ni tendo la huruma na ni baraka kubwa endapo utamsaidia mtu mwenye uwitaji utazidishiwa kila wema utendalo kwa mtu hata kama so leo basi kesho tukumbuke wema ubalipa😍😘#nandy
Hapa ndipo panapokufaa kwa ushauri wangu kwako achana na nyimbo za dunia mtumikie Mungu kwani Mungu amekujalia kipaya na pia ameweka huduma kuu ndani yako ichochee karama ambayo Mungu ameiweka ndani yako. Nyakati tulizonazo nazo ni za mwisho dada! Mungu alikomboe taifa lake
Hakika nimebarikiwa kwa mana hadi muda huu "MUNGU WANGU" umenipa kibari bado naimiliki pumzi 🙏🙏🙏🙏.Tusha sana Nandy ujumbe mzuri sana , idea ndo umeuwa balaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Congratulation nandy keep on trusting in jesus........ You have moved from one level to another may God bless you so much....singing to Christ is so swt
Nandy there's something God has put inside you. As some gospel artists have abandoned the gospel it's my prayer that God is going to raise many vessels and Nandy you're one of the vessels.
Waooo n kat yav2 nlvyokua navsublia kwaham dada nandy may God bless u more success much love2u u have killed it i realy love dis song❤❤💯 so beautfull song i like it
One thing that I know, Nandy is a great gospel singer and she's going to bring many to Christ. Just watch and see...I'll witness this great transition!!!
Shalom, Dada kweli umeweka nadhiri. Yakumuwabudu MUNGU milele basi Fanya ivyo ushuda. Muku kwako. Iko mbele. Yako amen. Ni muchungaji bulambo nikiwa. Mombasa kenya
Tunaopenda nandy awe mwimbaji wa gosple
Wimbo n mzuri ubarikiwe nandy
hakik
Daah hii nyimbo imenifanya nifurahi yaaan hiii nyimbo kali sana aiseee kama unampenda nandy na unampenda Yesu aliyefufuka kwa ajili yako gonga like☺☺☺
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
Walai she fits in gospel
Nice
Nimejifunza kufanya mazuri kwa kila mtu Asante yesu kwa fundisho lako kupitia mtumishi wako
Bongo falava unaweza na gospel unaweza. Official Andy upo juu saana. Wanaomkubali Mandy gonga like hapa
Kama Umebarikiwa kama Nandy, tuonyeshe ❤️❤️❤️❤️
Wacha itambeee
Jamani Nandy okoka tu uingie kwenye gospel Una kitu cha MUNGU ndani yako hii nyimbo imenibariki hongera na asante
Mungu akuzidishie siku na baraka,Katka maisha yako yote ,naomba like zako nandy
Nandi Leo sijachelewa ..kazi nzuri Kama wewe wa 🇰🇪 nipe likes za Nandy
Waooooh 😘
Waooooh 😘
Hiii
th-cam.com/video/AafVSFV13lwv/w-d-xo.htmlb
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
Aksante sana kwa wimbo...haahaaa waniponya mie...sitakuacha milele.Amina !
Nandy qkiiingia katika gospel anaeza fanya vizuri sana kama unamkubali gonga like
Exactly
Kama binadamu wangelikua na uwezo wa kuandika maisha yako upya basi wengi wangelitamani kukuandikaa maisha ya injili,yenye furaha na baraka mingi kutoka kwa Mungu..Wapendeza sana katika kuimba nyimbo za injili.
Very true, she is magnificent in gospel, #Nandy you should consider sing gospel frequently
#Radiokanjo ,,,,Nakubali yuko vizuri sana kwa nyimbo za injili
Kweli kabisa kaka...100000000M support kutoka 254 KENYA
Daah!!! Mpaka nmeishiwa cha kusema!!! Kiufupi #Nandy huyu ndio namjua mimi
Baada ya kusikiliza huu wimbo wako nimeamua kuokoka,,Asante Yesu kwa mtumishi wako HUYU🙌🙌
Hongera mpendwa kwa kumpa Yesu maisha yako
😂😂😂🙏🙏👏👏
Aminaaa
I hope sio jokes
😂 huwa nafurahi sana moyoni nikoliona watu wanamrudia MUNGU
Bora uhamie huku uachage kuimb zile nyimb nyengin big up nandy 😘😘😘
Dada angu nandy rudi nyumban kumenogaaa,,,Yesu anakuhitaji umtumikie yeye,,, kwa wimbo huu bwana atafanya ktu ,god bless you
Wema ni akiba, nyimbo yako ina maadili na inatufundisha kutenda wema na pia kuweka tumaini kwa mungu bila ya kukata tamaa. Barikiwa sana The African princess
Wimbo huu umenifunza usikose kumsaidia mtu ili siku moja Mungu atakulipa panapo majaliwa
Ubarikiwe Dada ila Rudi kwenye injili itapendeza zaidi
Nandy tatizo unajua sana jaman.....Na history ya hio nyimbo inafundisha utabaki kuwa juuuu NANDY wakimambele ww sio watanzania tyuu....Me nakupenda sana ubarikiwe dada anguuu
Yaani wakenya tuko kila mahali imagine.....like
Ukiimba nyimbo za gospel unanibariki san na unapendezea sana kumtumikia Mungu kwa hicho kipaji,,,tunalioona hili kama mm tukutane kwenye coment
That's true ,no doubts
That's true ,no doubts
th-cam.com/video/An3TTcRB-9w/w-d-xo.html
Amini kwamba
Very true
Jmn jmn God bless you Dada😘😘😘I Loved the story na Nyimbo is Perfect
Wanibariki🙌🏽...sitokuacha milele , wanilinda Mie sitakuacha milele ...umenivisha baraka ✨.Nilipo mie na wewe upo 🤗.
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
Huu wimbo 😘😘 princess nandy congrats💯
Enjoying kutoka 🇰🇪
Surely hii nyimbo inanipa makumbusho makali sana...nikiwa martant word na mke wangu 😲 🙏🙏 Mungu ni mwema
Mim ni Mwislam lakin hii song imenigus much love Nandy 🥰🥰from Burundi
Mimi nampenda Zuchu alafu nampenda Nandy na sina team coz mi mtanzania .. Coz when they're doing good they make me proud being Tanzanian here I'm nd wherever i go.. Nd I'm very happy to see people form other countries love our music nd our musician it's a big honor for the national... 🇹🇿 keep ur head up Nandy 💯 together we can 💪🏿 i will be so happy if will hear u got a collaboration with Zuchu one day .. 🇹🇿🇰🇪🇿🇼🇿🇦🇹🇬🇸🇳🇸🇸🇳🇬🇺🇬🇨🇩 Africa unite💪🏿
Amen. From Rwanda 🇷🇼❤️😢
Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️
Pia Nawe
@@rahabwaseykarim1507 Shukran 🙏🙏
Haki ubarikiwe
Pia nawe bro
Pia nawe bro
Finally the video is out,I know one day this girl will sing for God fully
@gadson35287am from ke,in regards to what u have said,i have noticed she has this attachment to God ni vile anaifichanga kiplan.ama aje stesh
My prayer too such angelic voice👌👌👌❤❤❤
@@shickysshicky1745 t'will be my happiest day manze.
Mwanzon kabla ya mziki alikuaga nimwana praise kanisan
Yeah, in some interview she mentioned that she was brought up as a christian. Atarudi nyumbani where she belongs
Ameen...Mungu akubari na akuinue...na umshike,, Yesu Kristo na mwokozi wa maisha yako,, Akuinue zaidi ...Kwa kumuabudu
Woooh wimbo mzuri sana my dadaa
Nandy ita kuwa vizuri Sana uki amua ku mu tumikiya Munguuuuuuu una sautiiiiii nzuri sana
Nzr saaana tatizo mm sikuelewagi uko kwenye bongo flava au upo kwenye nyimbo za injili ,? Nakupenda nyimbo nzr saaaaawna😘😍😍😍😍makopa kopaaa kama yoteee😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Tenda wema na wew ulipewe mema 😍 Tuishi kwa wema jaman huwez kujua nan n msaada wako wa baadae just imagine wasinge msaidia chakula huyooo dog hiyooo siku hospital ingekuwaje duuh Mungu tufunze ktenda wema
Moto Sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪haki nipeeni likes za Nandi
Mrudie Yesu maa yeye ndp kila kutu kwetu .achakumfurahisha shetani kakupa mume mzuri mtoto mzuri pesa zipo nini kingine wataka zaidi ya kumpa shukurani Mungu
Nady okoka tu sijui huko ulifataaa nin 😂😂 mpka nimeupenda huu wimb 💖💖 okoka 2 Mungu anakupenda dada ye2 . Kwel bongo huku hakufaii kwel suree hapa nakubali
The song has spoken to me am from the hospital to see my dad naomba mungu amponye cku moja turejee nyumbani sote Thank you Nandy
From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May he get well sooner
Thank you my dear
In jesus name its well with him
Imeandikwa kwa mijeredi yake umepona, amini atapona kwa jina la Yesu
Hii ni nyimbo inanibarki SaaAAAN 🙏🙏ooh MUNGU nilinde mm na kizazi changu mlinde baba yangu huko alipo hakika wewe ndie mwenye kujua kesho yetu
Anyone supporting this talented girl from Kenya gonga like
th-cam.com/video/AafVSFV13lwv/w-d-xo.htmlb
She’s Tanzanian
Since when Nandy is Kenyan?
She is from Tanzania.
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
😂 😂 😂
We love you mamah....all the way from Kenya...malkia mwenyewe
Unapendeza ukimtumikia Mungu dada,wacha akuinue na azidi kukubariki kwa uzuri huo na sauti umebarkiwa❤️
First time nilipoona hii nyimbo wala sikuhangaika nayo but today mpaka nimelia nilipousikiliza hakika kimbilio letu ni kwa Bwana we have to worship Lord forever
Team nandy gonga like hapa kwa kazi nzuriii
#Nandy!!!! Nashukuru Mungu kwa atua mpya ambayo amekupea, kwani lazima uchekwe n'a binadamu lakini ngangania sana mwito huu. Hakika Mungu atakushika mkono wake wa nguvu, ili huduma hii inonge mbele na kuzisaidia nafsi nyingi zilizo vunzika. From Congo , muzipee likes Nandi kwa huduma hii
Mimi si nmesema na nina sema tena Hakuna kama Nandy... African Princess gonga like kama unamkubali
Yupooo. Pouwa Sana
Nandy una kipawa cha kumuimbia mungu wako...ingia gospel..i believe thats wea ur calling is...ministering to people through music...u dont know how many souls youve touched by making music like this....Mungu na akubariki..
exactly
Ubarikiwe kwa wimbo wako mzuri wenye darasa ndani yake nakutakia Kila raheri zije nyingine nyingi zenye ujumbe wa mandhari hii♥️♥️♥️♥️🕷️🕸️🕸️🕸️🕸️🙇🙇🙇🙇
Love you Nandy 🍎😍 ukiimba nyimbo za injili unakua very emotional 🙏
Exactly ❤️🙏🙏
Nandy tupe gospel nyingine tena mwaya.. Nzuri sana hii.
Kabsa yan
Walai tena anafaa ata aanze kuimba gospel🤗🤗💓
@@roselinekerubo5321 Kweli anafaa sana
Cicta nandy huu wimbo umejitahid sana afu unanigusa sana chapili video imeendana na wimbo ulivy mungu akubaliki sana
Wimbo unabariki sana umeniliza. Una kitu cha Mungu ndan yako waweza okoa roho za watu wengi.baki huku huku Nandy.
True...
Wanilinda miye nitakuabudu milele .. Nandy thanks for a great song 🎧❤️💕
Oooh hongera mtumishi wa Mungu.. Ahsante Yesu maana nyimbo hii imefanyika baraka kwangu na kwa wengine pia Mungu aliye hai akutunze na kukikuzi kipawa kilichoko ndani yako kwaajiri ya faida ya Ufalme wa Mungu..Rum 10:9,10,17..Kut..20:1-3.
Barikiwa dadah..
Amina dada tunashukuru ubarikiwe sana uhendeleye kumuhimbiya mungu dada ndo unastahili mbyahulimwengu avikufanani ata kidogo dada uyo niushauri wangu tu wewe nimuimbiji gospel music
Awww that Remix of Alice Kimanzi #Moyo wangu wa kutamani inaleta raha sana😍😍😍🔥🔥🔥🥳🥳
You also felt it.... Was awesome
Umeimba gospel hadi leo siku ya 3 haijafika hata 300k viewers ,ila sasa ungeweka kama ile.LEO LEO ungekuta tayar inazo 1M ,... Mungu ni wetu sote ,tumuabudu kila wakati
Kizazi hiki ni cha nyoka ndo maana hizo za dunia zina likes nyingi ndani ya masaa na hii ya Mungu haina.
my thoughts too,may God guide her
Kaxi ya shetani ni ya haraka na haina ufahamu but ya mungu ni pole pole and original dada umenigusa
Mm nimefungua kwakua nimeona ni Gospel
Nandy mfanyie Mungu kazi amekuteuwa..kipaji cha kipekee.
I love your voice Nandy. Much support from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kusaidia ni tendo la huruma na ni baraka kubwa endapo utamsaidia mtu mwenye uwitaji utazidishiwa kila wema utendalo kwa mtu hata kama so leo basi kesho tukumbuke wema ubalipa😍😘#nandy
Nikweli kabisa km harmonize alivyo msaidia Angela
Hapa ndipo panapokufaa kwa ushauri wangu kwako achana na nyimbo za dunia mtumikie Mungu kwani Mungu amekujalia kipaya na pia ameweka huduma kuu ndani yako ichochee karama ambayo Mungu ameiweka ndani yako. Nyakati tulizonazo nazo ni za mwisho dada! Mungu alikomboe taifa lake
Nandy dada angu karama unayo kubwa sana unafaa umwimbie Mungu dada huu wimbo kila siku lazima ni usikilize.
Unapendeza zaidi hivi kuliko duniani
Mm pia
Yan iyo nyimbo imeniingia sana moyon dada nakusifu uko vizuli sana na kazi yako. Kaz njema
Nandy Mungu anakupenda!!!!so mtumikie yeye pekeeee'''''
Couldn't help noticing Alice Kimanzi's lyric and melody "..moyo wangu wa kutamani ewe Baba nafsi yangu yakulilia.."
I do love that song of Alice wooiiih 🙏🙏🙏
Amen
Huu wimbo unagusa sanaa😤🤧. Km na we umeguswa km mm like hapo
Adi machozi yametililika asee Mungu akubariki kwa wimbo mzuri sana🙏
Hakika nimebarikiwa kwa mana hadi muda huu "MUNGU WANGU" umenipa kibari bado naimiliki pumzi 🙏🙏🙏🙏.Tusha sana Nandy ujumbe mzuri sana , idea ndo umeuwa balaaa🔥🔥🔥🔥🔥
Welcome to gospel music mama,God loves you
Yaaaani mdogo wangu imba gospel kwakweli unapendeza zaidi...
Kama mnamkubali NANDY shusha like zako na comments
👋
You are great
th-cam.com/video/AafVSFV13lw/w-d-xo.html
Si mkubal ahamie gospel mazima ,maana haielewek anatuchora
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
For this reason you were born to glorify God with your voice.
🙏🙏🙏❣
Nimaombii yangu kua kuanziaa hv Sasa uanzeee kuimbaa gospel...maana unanibalik kweli kweli
All people from Tanzania show some love here💜💜💜💜
Huku ndiko nyumbani kwako Mamaa Njoo Mapema Ukiimba hizi tunabarikiwa Saana MUNGU Kulinde na kukutunza Kipenz Chetu
Mungu akubariki kwa huu uwimbaji mzuri dada mimi napita tu wimbo zako ila nlijaribu nisikize huu wimbo kweli Unakaa poa ukiimba gospel
Congratulation nandy keep on trusting in jesus........ You have moved from one level to another may God bless you so much....singing to Christ is so swt
Keep it BBY u can even be a gosple musicians good job🤗🤗🤗🤗am blessed
Safi sana Nandy hapa nakuelewa sana aisee tuandalie nyingine unabariki watu wewe mtu hujui tuu
Nandy there's something God has put inside you. As some gospel artists have abandoned the gospel it's my prayer that God is going to raise many vessels and Nandy you're one of the vessels.
I am proud of you Daughter of God...Your voice is very great when you sing for the Lord your God my sister..
Wow, what a beautiful song it made me cry. 🇲🇿❤️😍😭
This song reminds me nikumbushe cover.nandy kenya twakupenda sana
Nandy wakenya twakupenda sana karibu gospel industry unafanya vizuri sana
The song is just above the sky. Fly Nandy with God, he will give you all you have ever wanted
God bless you, please release more gospel songs my dear
Barikiwa Sana Nandy.. Wimbo mazuri Sana.... Hongera
Wa kusoma comment as we watch pigeni like❤😍
th-cam.com/video/AafVSFV13lwv/w-d-xo.htmlb
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
th-cam.com/video/8bs_9VGV_0k/w-d-xo.html
Woyooo
Daaaàah ur the first nandy
Waooo n kat yav2 nlvyokua navsublia kwaham dada nandy may God bless u more success much love2u u have killed it i realy love dis song❤❤💯 so beautfull song i like it
Mungu azidi kukutunza, hakika huu ni ujumbe mzuri saaana na unagusa mmnoo!!!
Asante Mungu ,Asante Yesu kwakweli kwanamna unavyonitendea katika maisha yangu sitakuacha milele ,.thanks Nandy nice song
Nandy outdid herself🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼♥️♥️♥️...this song is amazing
Imeweza mbaya,ila usituache yatima tena, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko ndani
One thing that I know, Nandy is a great gospel singer and she's going to bring many to Christ. Just watch and see...I'll witness this great transition!!!
Amen
It is tru
Nandi my dear mgeukie mungu umuimbie saut nzur amekupa umuiimbie yey sio kuiimbia dunia plz
Nilipo mie na ww upo bwana ...Andiy umefanya vema sana
Powerful song dear be blessed aseee #WANIBARIKI
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
th-cam.com/video/An3TTcRB-9w/w-d-xo.html
Comedy tz
All surpport from kenya i love u my kenyan ppl 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ngoma hii imeniguza moyo...namsogelea mungu zaidi.
Mungu Wabariki, Yesu Wabariki. AMEN.
Ameen
Amen
Waow I can't stop watching and listening to this song, surely wanibariki, be blessed nandy
th-cam.com/video/Vnso1zH4F5Q/w-d-xo.html
Nakupenda sana mungu azidi kukubariki kwenye kazi zako dada ang🙏🙏🙏🙏🙏
Shalom, Dada kweli umeweka nadhiri. Yakumuwabudu MUNGU milele basi Fanya ivyo ushuda. Muku kwako. Iko mbele. Yako amen. Ni muchungaji bulambo nikiwa. Mombasa kenya
Bando zipo juu sana dada tunashindwa kuangalia nyimbo hadi mwisho
Weka wifi kwa nyumba