I decree abundance of blessings upon you in the mighty name of the Lord Jesus Christ. Numbers 6:24-26 The LORD bless thee, and keep thee: The LORD make his face shine upon thee, and be gracious unto thee: The LORD lift up his countenance upon thee, and give thee peace. You have been a blessing to me, may the Lord Jesus Christ be ablessing to you. ❤❤❤
Mutumishi nimeenda studio zaidi yatatu lakini nimeshidwa kuimbavizuli natamani ungenisaidia mi nandoto yakuimba muziki wowote hatakwaya nikifundishwa nitajuwa
Shalom mtumishi wa mungu hongera kwa kazi mm naitwa nuhu nipo mbeya shida yangu kubwa nashindwa kujaza mziki na piga tu chord za kawaida nisaidie ili nijue kuutengeneza mziki ambao umekamilika mwalimu
Asante sana mwalimu kwa mpangilio wako mzur ninaimani hata Mimi nitajua. Namna ya kupangilia sauti vizurii Mungu akubaliki
I decree abundance of blessings upon you in the mighty name of the Lord Jesus Christ. Numbers 6:24-26 The LORD bless thee, and keep thee:
The LORD make his face shine upon thee, and be gracious unto thee:
The LORD lift up his countenance upon thee, and give thee peace.
You have been a blessing to me, may the Lord Jesus Christ be ablessing to you. ❤❤❤
Asante sana mwl wetu kwa huu mpangilio mzuri wa sauti.
Amen
Uko vizuri kijana. Mungu akupe maarifa zaidi
Ubarikiwe saaaaana umejibu na kunifundisha kitu kikubwa kilichokuwa kikinichanganya
Darasa zuri sana hili. Zidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu.
Asante nimejifunza vyema naamini nitakua mzuri sana funzo hili
Barikiwa 🎉
Je unapatikana wap
Verry nice bro thank's
I had to subscribe .thanks
Blessings 🇰🇪 nimejifunza mengi.
Neema ikutoshe
Amen
you are the best
Sawa mtumishi nami na taja sana wihimbaji
Naitaji mawasiliano.. unasema namba zinapita lakin sizioni
Unasema kweli miye nilikuwa sijuwi Tete mesha sahuti muzuri lakini nilikuwa na fatikiya sawuti yakowo adi namiye Nisha juwa mungu Wang Akubariki
Asante sana Mwalimu uko sawa kabisaaa
Umenibadilisha sanaaaaahh mung akubalik daaaaaahh
Asante sana kwa hili somo
Naomba uanzishe group la WhatsApp kwa heshima ❤
hata vocal yakooo iko smooth mkuu
Thanks for this be blessed
Very nice bro
Bro,like yu really need to give a whole performance on that song 'Moyo Wangu'
Thanks brother be blessed
Kaka nimekuoata vzr uko bomba sana
Thanks brooo may i God bless you more nimelearn kitu apo thanks alot
Aminaaa
Nimefurahi sana MUNGU Akuinue zaidi
Upo vizuri kaka
Nakuelewa sana natamani sana kujua muziki
👋👋Ubalikiw sanaa unanisaidiya sanaa we love you in 🇧🇮
Asnt,nimeipenda
Asante. Nilihitaji somo hili.
Ubarikiwe sana
Amina
Amena sana unge tusaidia kupanga watu wa tatu wahimbe pamoja kiongozi
Amina mtu wa Mungu Mungu atatuwezesha kufanya hivyo
Shukran sana
Barikiwa sana kaka Mungu akutunze
na Mungu akuongezee baraka
Amen brother❤❤
Ubarikiwe Sana kaka
Amen unapatikana wapi
Asante baba Rebecca. Wewe ni wa baraka. Mungu akutende mema kwa familia yako
vp mtumish baba Rebecca
Barikiwa
Bro upo vizuri sana
hello. natumai hamjambo. swali langu ni bado mimi sijajua kupanga sauti kupitia kwenye keyboard nisaidie tafadhari
Its wonderfull I liked alot
Blessed 🙌
Hongera sana kwa kipindi kizuri sana kaka
God bless you, for this
Thanks nimejifunza kitu
Barikiwa sana mtaalam
Amina sana mwl wangu
Sawa mwl, nimekuelewa
Ongera sana ndugu mafundisho ni mazuri,ninachangamoto ya kugundua sauti izo tatu(yaani ya 1,2,na ya 3 kwenye guitar, msaada wako
BWANA YESU ASIFIWE, Naomba utuanzishie group la whatsapp la kujifunza kuimba kama ukipata kibali
Asant kwamahelekezo 😊
Amina
MUNGU akubariki sana
Umenipa mwanga sana mwalimu
@@abelmwakalinga2305 Amen
Nimeilewa sana kaka.
Pamoja sana MUNGU akulind
God bless you
Kaka asante xana sauti ni changamoto kwenye uimbaji kabisa
Asante sana
Nakupata bro Naomba namba
That song plz in full performance, God bless you brother
Kaka naomba utoe video jinsi ya kupga huo wimbo hapo
Asante Sanaa mkuu
Ameen...
kaka naomba namba yako unitumie tuongee
GOOD WORK I LIE MUSIC
amen
Mzee kachukue Kaz/kipindi media yoyote mbn vocal nilikaaa Sanaa limejaaa lote
🤣🤣🤣 nitafanya hivyo
Asante sana kaka
Naeza kupata aje bro
Asante
Tunataka namba zako wengine ni ma learner
🥰🥰
Shikamoo kaka kwa naitwa given masud nipo mkoa wa songwe naomba naitaji nijue kutengeneza kodi kwenye f" nifanyaje kak samahni kwa usumbufu
Mutumishi nimeenda studio zaidi yatatu lakini nimeshidwa kuimbavizuli natamani ungenisaidia mi nandoto yakuimba muziki wowote hatakwaya nikifundishwa nitajuwa
Nisaidie Kwa njia ya Whatsapp kaka
unaweza kutufunza jinsi wanavyimba flat voices?
Brother nakakujifunza
How to set hiyo keyboard nifunze plz
asante sana
Hallo kaka nami huwa nachanganya sauti san
Bwana asifiwe natamani kujifunza
Mwalimu naomba namba Yako naitaji kujifunza zaid
Naomba kuwa mwanafunzi wako kwa njia ya mtandao
Karbu mkuu nicheki kwa +255717143547
Shalom mtumishi wa mungu hongera kwa kazi mm naitwa nuhu nipo mbeya shida yangu kubwa nashindwa kujaza mziki na piga tu chord za kawaida nisaidie ili nijue kuutengeneza mziki ambao umekamilika mwalimu
Wewe kweli ni mwalimu. 👏👏
Napenda kuimba ila sauti ya tatu lakini siifahamu jinsi ya kuimba
In need pliz
Nimeisubiria hii kwa Hamu.shukurani
Nakupataje kaka
So tunatumia triads kutofautisha
Unapatikana mkoa gan nimekupenda nijifunze
Ndugu yangu nakukubali mno
Mwalm nilikua natamani kujua jinsi ya kujua kuimbia biti nikiimba najikuta namba ofu beet
💯💯💯
Hey brother nakupataje kaka unifundishe
Nimefurahi kwa ufundishaji Wako nimzuri mnapatikana wapi? watumishi wa wa Mungu.
Mbona mimi sioni hizo namba zako, nahitaji sana
0717143547