Usife kabla ya wakati bali uishi miaka mingi ulitumikie kusudi la Mungu kupitia wewe kabila za dunia ziinuliwe kwenye huduma hii ya uimbaji, God bless you kwa kazi nzuri popote ulipo Mungu akutendee zaidi na tofauti ya unavyoomba Mungu wa mbinguni akupe kibali machoni pake na kwa wanadamu roho ya kujiinua ndani yako Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai aikomeshe wewe upungue yeye aongezeke katika huduma yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
Following you from Kenya! What a powerful session bro! You are really empowering many! May God increase your ministry to continue blessing many! I'll be following you all the time
Rafiki yangu Kenani Mungu akubariki sana moja ya vitu vinavyonitatiza katika uimbaji ni kupangilia sauti lakini katika clip hii nimepata kitu. Aisee uko vizuri mtu wa Mungu tuko pamoja nitazidi kufuatilia tutorial zingine ili nipate kuelewa zaidi.
Kazi nzuri ,Mungubakubariki kwa Huduma hii,Mimi by Nature nimeimba tangu mtoto,Naomba namna kuwasaidia waimbaji wanaotaka kuimba kwaya kutofautisha sauti Bila vyombo mziki
Unachofanya ndiyo harmony kaka. Harmony (mwafaka) ni kufanya sauti zaidi ya moja kulia pamoja kwa mfuatano sahihi wa Kodi (chords progression). Hongera sana kwa kuelezea na teaching aids nzr
@@wendelinmahumba8826 Upo sahihi kabisa ila kuna zaidi ya hapo, yani harmon haishii kuimba sauti zote kwa mara moja bali hio tulio fanya hapo ni aina moja wapo ya harmon so tutatazama ingine kipind kijacho lakin nashukuru pia kwa maelekezo yako
Kiukweli mwalimu ukovizuri Mungu azdikuku ongezea viwango vikubwa zaidi
Usife kabla ya wakati bali uishi miaka mingi ulitumikie kusudi la Mungu kupitia wewe kabila za dunia ziinuliwe kwenye huduma hii ya uimbaji, God bless you kwa kazi nzuri popote ulipo Mungu akutendee zaidi na tofauti ya unavyoomba Mungu wa mbinguni akupe kibali machoni pake na kwa wanadamu roho ya kujiinua ndani yako Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai aikomeshe wewe upungue yeye aongezeke katika huduma yako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻.
@@BàrakaHañje-y1n Amen amen
Asante kaka..have learned something new 🎉
wah!!! we give God praise the lesson's are lit 🔥......
hongera mkuu kwa ufundishwaji wako,,God bless you
@@SamsonSephania-s9j amen
Upo vizuri. Sema hujaunganisha na sauti ya 4 Ili tupate muunganiko
i appreciate what you're doing
be blessed Mr
@@HezroneRobert amin
Following you from Kenya! What a powerful session bro! You are really empowering many! May God increase your ministry to continue blessing many! I'll be following you all the time
Kenan meshack, rebeca kenan. . Wowww
Rafiki yangu Kenani Mungu akubariki sana moja ya vitu vinavyonitatiza katika uimbaji ni kupangilia sauti lakini katika clip hii nimepata kitu. Aisee uko vizuri mtu wa Mungu tuko pamoja nitazidi kufuatilia tutorial zingine ili nipate kuelewa zaidi.
@@nyenyeshuli4218 asante sana sana mtu wa Mungu
Barikiwa sana kaka kwa mafundisho mazuri ya sauti.
@@IbrahimIddy-ll6mm asante sanaaa
Yaani hapa tcha nmekuelewa kwa urahisi sana,Mungu akupe maisha marefu
@@isaacisaya3113 Amina amina nashukuru sana
Salute mtu wa Mungu kazi nzuri nitakutafuta kunakitu nataka unisaidie mtumishi
@@johnmatiku5979 amen karibu
Asante saana Mungu Akubaliki saana ❤
@@aimen5584 Amen
Nimejifunza Jambo. Asante sana mwalimu
Amen
UBARIKIWE SANA MTU WA MUNGU YOU ARE THE BEST
@@Daudmponzi Thanks alot
Asante sana ndugu.Unafunza kwa utaratibu mwema sana.Mungu akubariki
Mkuu wewe ni wakiroho!!!! Mungu akuinue sana mkuu. pianist wengi anaga kuwa kiroho kiivyo ndio apo tunakwama Mungu atusaidie .
@@josephpeter8511 Amen
Inafurahsha na inaimarisha,, ni jifunze kinanda saaa
@@emmanuelmpr9084 Karibu
Naendelea kubarikiwa na huduma yako nzuri brother,.. ubarikiwe mno kwa darasa zuri mno
@@elamnabugare8487 amen
Hakika nabarikiwa sana na mafunzo yako Mungu akubariki sana
@@samlaizer3363 Amen
Nimehangak sana kuelewa ila nimeelewa sasa nashukuru mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
@@legera63 Amenp
Kaz nzuri. Huduma ya kujifunza mzki inapatkana
Kabisa ipo
Mungu akubark nwl,wangu kiukweli nafanikiwa pakubwa sana
@@VicentDioniz-v3p Amen amen
Mungu akubariki nimekusudia kujifunza mengi kutoka kwako
@@alfredkalinga9829 ameno
Kazi nzuri ,Mungubakubariki kwa Huduma hii,Mimi by Nature nimeimba tangu mtoto,Naomba namna kuwasaidia waimbaji wanaotaka kuimba kwaya kutofautisha sauti Bila vyombo mziki
@@magrethmkemwa9287 karibu
Naelewa kabisa kaka , kazi nzuri hii Mungu akubariki pakubwa.
@@shadrackodhiambo1471 wn
Mungu akubriki uzidi kutufunza Sisi tunaokuja🙏
@@ALFREDWAO Amen
Congratulations mtumishi..
I love your worship touch 🎉🎉🎉
thanks
Kazi nzuri sana Mungu azidi kukutofautisha
Asante sana mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana kwa mafunzo mazuri unayotowa
thanks,God bless you
Ahsante! Sauti ya nne vipi mtumishi.
@@amosethantheking8815 🤣🤣 niliisahau yani ndo unanikumbusha
@@eaglesrecacademy3424 kweli kaka?
Amen. Barikiwa sana ndugu.
@@ombenikyando9512 amen
Mungu akubariki sana brother kenaan
@@KambaleMagherya-hs1td Amen
Mungu akkubariki mtumish❤
@@ShadrackAliko amen
It's my first time na nimependa hii charnel
Asante I will be following
May the good Lord Bless you bro, i like the way you arrange the vocals, anyway nitakutafuta, all the way from Kenya
@@IsaiahFredrick-rx4pm Amen
Well done
Barikiwa mwalimu kwa elimu hii
@@dibrojoseph686 Asante sanaaa
Ubarikiwe mtumishi
Kazi yako njema kaka Mungu akubariki sana
Amen
Asante Mwalimu
Nakupenda kwakunifundisha mimi ni Patrick kutoka goma congo
@@MunguikoPatrick assnte
Very very simple technique to master vocal
@@shallomelias80 amen
Nakufatilia mwalimu
Kazi safi kaka Mungu akubariki sana
Asante
Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri kaka
@@lemoma1994 amwn
Nice work big up
Duuuuh....hii ni extraordinary Mwl 🙌🙌🙌
@@calvinlema4043 Thanks
Mungu akubariki sana
mungu akubariki mtumishi
Ubarikiwe mtumishi
That's very good
Thank
Darasa zuri sana nimelipenda sana
@@georgetennyson Asante sana
Nabarikkiwa sana
Mimi naipenda,Mungu akubariki Teacher,naomba unisaidie na lessons zingine kunako Whatsapp
Give me the full song I love it😊😊
@@benardonyango5888 ok
HAPO UNAPO IMBA YOU ARE GOD KWELI UPO SAWA
@@yonazimpombe1160 Amen
Mbona unamashwali mbona mtumish
Mungu akutie nguvu mtumishi
@@ElishaMlengera-l5m Amen
Leo ndo nimekuelewa vizuri
@@JaphethCharles-iw4ty 🤣🤣 asante
Ubarikiwe
Barikiwa sanaa
@@barakakilagi848 aminaaa
Naomba kujua sauti ya tatu ndio gani,,,but before that support my song please🙏🙏
Ni tenor
Hi plz TH-cam name
@@ApostolKenedyOyata imbayi ivy
@@danielmrombo thank you be blessed 🙏🙏
Kiongozi shukran kwa madini. Hicho chombo kina keys ngap nione kama nawezapambania kombe nikipate?
kazi nzuri kaka
nimebarikiwa sana na ufundishaji wako wa sauti
Nimeelewa sana nashukuru sana mwalimu ila naomba nipate utaratibu nijiunge na madarasa
Nichek kwa namba hizo
Mbona sauti ya 3 kama ya kwanza hapo?
Asante sana mwalimu kwa mafundisho yako
Hahahha safi saana kaka nimependa nilikuwa natafuta kitu kama ik for long
@@rubenpeter-k6x asante sana
Ubarikiwe sana bro
@@GoodluckSimwaka aminaaa
God bless you brother
Asante nimepata kitu
Barikiwa brother
You have a good vioce
Asante sana.
Aiseeeeee nachanganikiwa kweli jamaniiii 😂😂😂😂😂 but I trust nitakuwa sawaaa Kwa hilooo
@@MarryKennedy-bw2xe Usiwaze ni mdogo mdogo
Natamani kujua zaidi
Asante Mwalimu 🫡✨
@@stephenebaraka2075 Amen
Bwana YESU Asifiwe brother.. Mungu akubariki kwa kazi nzuri.. ila Naomba unijulishe hio "we praise you" imeimbwa na nani Please 🙏🙏
Kaka barikiwa sana nimeelewa San
@@sulupeacecharles1397 Amen
Ubarikiwe!
I'm learning
mafundisho mazuri sana
@@juliusthegreat3622 amen
natamani sana kupiga vyombo
MUNGU akubariki sanaa sanaaa kaka
Bless you kaka
😂nimeinjoy somo 🎉
Jamaniiii hizo Namba hapo ndo za mtumishi auu
@@MarryKennedy-bw2xe kabisa
Barikiwa sana rafiki, unapatikana wapi kwa hayo madarasa ya face to face
@@danielezekiel1363 Daresalam kitunda
Uko vizuri kaka
😂
Kiukweli mimi nahamu Sana yakujuwa kumba
Hongera sana sana nakuombea huduma hii iendelee usiishie njiani tutasunscribe tu na kukujazia watu ..coz nmebarikiwa
@@jamesmelack9634 amen
Upo poa sana
Kk kiukweli nabarikiwa sana nq wewe
@@isackjackson Amen
Noted sir
@@HILARYLEIMOOJA-gh3cl Thanks
Nice session
Be blessed
Barikiwa sana kaka nimeelewa
@@geofreykamwela asanteee
Good ❤❤❤
Unachofanya ndiyo harmony kaka.
Harmony (mwafaka) ni kufanya sauti zaidi ya moja kulia pamoja kwa mfuatano sahihi wa Kodi (chords progression).
Hongera sana kwa kuelezea na teaching aids nzr
@@wendelinmahumba8826 Upo sahihi kabisa ila kuna zaidi ya hapo, yani harmon haishii kuimba sauti zote kwa mara moja bali hio tulio fanya hapo ni aina moja wapo ya harmon so tutatazama ingine kipind kijacho lakin nashukuru pia kwa maelekezo yako