S01E11 | SAUTI YA MUZIKI (DO RE MI FA SO LA TI DO) | KIPINDI CHA 11 CHA MUZIKI | Mwl. Alex Manyama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 78

  • @gabriellyimo409
    @gabriellyimo409 3 ปีที่แล้ว +5

    Aaah nimeenjoy kinyama.. Mwalimu anaeleweka sana

  • @JulietWerimo
    @JulietWerimo ปีที่แล้ว +2

    Hello natamani kuimba sana

  • @MichaelNikodem
    @MichaelNikodem 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mwl kwamala yakwanza kukufatilia nimependezwa sana naelimu unayoitoa natamani kujifunza kwako

  • @anthonymrosso718
    @anthonymrosso718 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa somo nipo Mlandizi nahitaji kusoma

  • @victormwafrika
    @victormwafrika 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mkuu.. Mungu akuzidishie kwa unaeneza elimu kwa wengi....

  • @reganimussa1608
    @reganimussa1608 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimetafuta sana masomo haya Mungu awabariki

  • @orgenesslema8768
    @orgenesslema8768 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mwalimu kweli unachokipawa cha kufundisha.shida yangu ni Rythim.nisaidie

  • @bernadettemwongeli6182
    @bernadettemwongeli6182 2 ปีที่แล้ว

    I love it mwalimu...heko kwako. Mungu akulinde

  • @wakaxentertainment6156
    @wakaxentertainment6156 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana mwalimu bado nazidi kufwatilia hili darasa kila epsod mungu azidi kukupa uzima

  • @RambatiOscar-x7q
    @RambatiOscar-x7q หลายเดือนก่อน

    Hongera mwalimu

  • @dominicsomola402
    @dominicsomola402 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongera MWALIMU...
    Nakupata...
    Mungu AKUBARIKI

  • @revocatusassey2507
    @revocatusassey2507 ปีที่แล้ว

    Sio tu unaujua mziki bali unakipaji kikubwa sn cha kufundisha. Barikiwa sn mwl.

  • @clarencewilbat8598
    @clarencewilbat8598 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika umenifungulia dunia ya kuupenda mziki ubarikiwe

  • @JUBILEAmani
    @JUBILEAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani kujifunza
    Zaidi🎉

  • @EzekieliPreygod
    @EzekieliPreygod 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepeda Sana jinsi unavyo fundisha

  • @efraimisack8592
    @efraimisack8592 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalimu,ila naomba mawasiliano yako tafadhari

  • @ursulamalamsha7016
    @ursulamalamsha7016 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu big up sana. unaeleweka vizuri sana. 🙏🙏

  • @innocentmmandago3029
    @innocentmmandago3029 3 ปีที่แล้ว +2

    Tuko pamoja, kaka. Mungu akubariki.

  • @EmanuelMarco-yq6qe
    @EmanuelMarco-yq6qe ปีที่แล้ว

    Mwalimu Asante kwa kaz nzuri na maarifa mazuri

  • @Ricky-140-junior
    @Ricky-140-junior 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mwalimu...ninajua muziki sasa lililokuwa tamanio langu kwa muda mrefu sana 🙏

  • @gasperysanga7426
    @gasperysanga7426 2 ปีที่แล้ว

    Mkuu upo vizuri nakuelewa

  • @youngmuxh2231
    @youngmuxh2231 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu akubariki kwa kutupa hi elimu

  • @johnasumani3888
    @johnasumani3888 ปีที่แล้ว

    Uko vizur mwalimu

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 10 หลายเดือนก่อน

    Waooo somo zuri sana

  • @wenceslaushhindo8387
    @wenceslaushhindo8387 2 ปีที่แล้ว

    Tumsifu Yesu christu naomba mazoezi mbali mbali

  • @MaryMboje-wd6kx
    @MaryMboje-wd6kx 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @thadeokamilembe8935
    @thadeokamilembe8935 3 ปีที่แล้ว +2

    Upo vizur mwali nazdi kukufuatlia

  • @IsaacKimtai-jj6sd
    @IsaacKimtai-jj6sd 7 หลายเดือนก่อน

    Umefanya kazi nzuri, asante sana

  • @KondaMasanja
    @KondaMasanja 8 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe

  • @JOHN-PETER.
    @JOHN-PETER. 3 ปีที่แล้ว

    Kaka nimependa sana Unavyo fundisha Mungu akubariki sana

  • @posianoonespho1726
    @posianoonespho1726 3 ปีที่แล้ว +1

    Habari ya utume mtumishi!
    nakufatlia sana mwalimu ila sioni tena vipindi vyako mtumishi,

    • @theservantmedia7566
      @theservantmedia7566  3 ปีที่แล้ว +1

      Vipindi Vipo, Ingia The Servant Media Andika Mwl. Manyama au andika MUIKI

    • @posianoonespho1726
      @posianoonespho1726 3 ปีที่แล้ว

      @@theservantmedia7566 asante sana

  • @atukelyemabena2578
    @atukelyemabena2578 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mwalimu

  • @peterlulu8639
    @peterlulu8639 3 ปีที่แล้ว

    Thanks, hongera kwako mwalimu

  • @florajames3197
    @florajames3197 2 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa saana mwalimu

  • @graysonjackson3758
    @graysonjackson3758 2 ปีที่แล้ว

    I andrestand it

  • @DEOGRATIASJUMA-kq7ud
    @DEOGRATIASJUMA-kq7ud 10 หลายเดือนก่อน

    Nice class

  • @BarackAndrew-fk2tf
    @BarackAndrew-fk2tf ปีที่แล้ว

    Mpo vzr

  • @erickstanford1236
    @erickstanford1236 2 ปีที่แล้ว

    Milio so mchezo 🔥🔥🔥

  • @angellindemsuya5214
    @angellindemsuya5214 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana nimeielewa sana

  • @chungwasingers
    @chungwasingers 2 ปีที่แล้ว +1

    I'm so 🙏

  • @kitoabu1744
    @kitoabu1744 4 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa kipindi

  • @izzo_boy
    @izzo_boy 2 ปีที่แล้ว

    Kazi poa san

  • @richardjoel5965
    @richardjoel5965 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother

  • @gabrielmwasenga2812
    @gabrielmwasenga2812 2 ปีที่แล้ว +1

    Good sir

  • @kunbertmagumbila9
    @kunbertmagumbila9 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa xn hicho kipindi

  • @Mlunja
    @Mlunja 3 ปีที่แล้ว

    Ooooh bs nimeona marekebisho😁

  • @fidelcastrocastrofidel5097
    @fidelcastrocastrofidel5097 2 ปีที่แล้ว

    unisaidie nifunde iyi

  • @MwinjilistiMartiniMwita
    @MwinjilistiMartiniMwita ปีที่แล้ว

    Sawa kaka

  • @FridaKanje
    @FridaKanje 4 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @JUBILEAmani
    @JUBILEAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Natamani kujifunza
    Zaidi🎉 0:37

  • @orafumakaza7437
    @orafumakaza7437 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki mwalimu tunakuelewa

  • @elishaathanas6380
    @elishaathanas6380 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mkuu

  • @ignaskagoye7430
    @ignaskagoye7430 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @purityleshaule5537
    @purityleshaule5537 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Alex that is my big problem solfa notation

  • @danielntereba
    @danielntereba หลายเดือนก่อน

    Mwalimu nataka unisaidie wimbo furani hili nione kama nimehelewa

  • @MansolyJuma
    @MansolyJuma 9 หลายเดือนก่อน

    Kwenye izo alfa beti kumbe zinaweza ukijirudia malalamiko mbili zaid

  • @nicholasmutuku1603
    @nicholasmutuku1603 ปีที่แล้ว

    Mimi nimesoma muziki lakini milio inanishinda lazima kutumia kinada

  • @tengeli-nyaganimwasamila4896
    @tengeli-nyaganimwasamila4896 2 ปีที่แล้ว

    Najifunza huku nikiwa Nacheka pia

  • @kaduboii3397
    @kaduboii3397 ปีที่แล้ว

    Tuna kupataje

  • @victorlyimo8573
    @victorlyimo8573 3 ปีที่แล้ว

    Tuko moja kwa moja toka mbingq

  • @kwirahosetv5020
    @kwirahosetv5020 ปีที่แล้ว

  • @victorkongolo6141
    @victorkongolo6141 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @JoshuaSilingoi
    @JoshuaSilingoi ปีที่แล้ว

    kaka naomba unifundishe kuimba kwa usazahaa

  • @rehemalucas6669
    @rehemalucas6669 ปีที่แล้ว

    Naomba msaada ,nifanye Nini sauti yangu isikwame?

  • @Mlunja
    @Mlunja 3 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa SOMO vizuri, ubarikiwe sana mwalimu, but hapo majina ya note yameandikwa Saba na umepuliza chupa nane mbona Hilo jina la not ya nane haalijaonekana kwenye ubao hapo?

  • @fredrickeustard7441
    @fredrickeustard7441 ปีที่แล้ว

    Umenifumbua akili

  • @mushimartin4472
    @mushimartin4472 2 ปีที่แล้ว

    Naomba unisadie nataka kujifunza not

    • @richiemwaz
      @richiemwaz 2 ปีที่แล้ว

      Niko kenya na nafrahia sana somo lako

    • @chauladavid105
      @chauladavid105 2 ปีที่แล้ว

      Mwalimu uko vizuri ume nirudisha Dalasani

  • @MAKOYEJOHN-wp8jo
    @MAKOYEJOHN-wp8jo หลายเดือนก่อน

    Bwana anatenda

  • @wakaxentertainment6156
    @wakaxentertainment6156 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana mwalimu bado nazidi kufwatilia hili darasa kila epsod mungu azidi kukupa uzima