Rafiki yangu Daudi, MUNGU akujalie sana. Tayari nami nimeanja mafunzo ya kinanda kwenye huu mutandao wa TH-cam. Mambo Yana tembea sambamba. Mimi niko DRC pa BENI town.
Asante sana, MUNGU akuriki kwa kazi nzuri unayo. Kwa kweli wewe ni mwalimu muzuri sana🙌🙌🙏 Sasa inawezekana kuwa mwanafunzi kupitia mtandao? Asante 🙏🙏🙏🙏
Funzo zuri sana. Ila jitahidi kuwaambia wanafunzi vidole viwe vinakaa kwenye hizo buttons za kinanda. Unapoclick kwenye C ukienda D basi kidole kilichoclick C kisiinuliwe sana juu. Kinapaswa kuwa kama kimelala kwenye C hata kama hakipigi. This will reduce mistake in playing
asante kwa huo umbali umetuleta, sasa naomba utuelekeze namna ya kuviweka vidole vyote ukitumia mkono wa kulia na kushoto kwa (upamoja) tafadhali katika minor chords
Nimependa Sana mafundisho yako,, ningetamani kujifunza pamoja na wewe Kama itawezekana unisaidie mawasiano yako
Habar kaka,ahsante kwa somo,samahan naomba kufundishwa na wewe ntakupataje
Asante mwalimu kwa elimu yako nzuri juu ya kujifunza kinanda.Hakika uko vizuri nitaendelea kukufuatilia zaidi nifundishe napenda sana kinanda.
Napenda sana mziki kama unaweza kunifundsha tafadhal unipe mawasiliano
Ambao tunajifunza wakati hata kinanda hatuna gonga like
Njoo nikupe
🤣🤣🤣🤣
@@galaxyikanda usinipe niuzie
😂😂🙌🙌
Najifunza kimoyo moyo😀😀😀
Asant Mwalm wangu nimekupata vizuri
Ubarikiwe mwalim uko vizuri sana
Nimewafuatilia wengi wanaofundisha online. Hongera naona unaeleweka na hauendi spidi kama wanavyofanya wengine. Karibu Mpwapwa bro
Mungu akubariki mafunzo yako ni mazuri sana🎉
Mwalimu hatamimi napenda sana nitakupataje niwemwanafunzi wako
Nimfurah San kwa som zur naitaji name kujua Piga kinanda
Aisee brother MUNGU AKUBARIKI SANA nafuatilia najua ntaelewa tu huko pamoja nazid kujifunza hapa ndugu
Rafiki yangu Daudi, MUNGU akujalie sana.
Tayari nami nimeanja mafunzo ya kinanda kwenye huu mutandao wa TH-cam.
Mambo Yana tembea sambamba.
Mimi niko DRC pa BENI town.
Nakupata vizuri brother
Asante sana kwa Elimu nzuri japo Mimi nilikatisha bila kujua. Mungu akubariki pia
Barkiwa sana mtumshi wa Mungu natamani kujifunza sana
Tengeneza group mwl.
Asante sana, MUNGU akuriki kwa kazi nzuri unayo. Kwa kweli wewe ni mwalimu muzuri sana🙌🙌🙏 Sasa inawezekana kuwa mwanafunzi kupitia mtandao? Asante 🙏🙏🙏🙏
Naitwa Andrew pande za songea nami napenda nijue kupiga kinanda bila Shaka kwako ntapata kujua kaka nahtaj Masada wako
Ubarikiwe bt me ningependa zaid kuwa pamoja nawe katka hili niwezekuwa mwanafunz wako
Asante sana kwa moyo wako mwema. Kweli wewe sio selfish, unajali mwengine.
Mungu akupe nguvu
Naomba kujua kinanda kama chako shingapi
Nimeelewa Sanaa mtumishi
Funzo zuri sana. Ila jitahidi kuwaambia wanafunzi vidole viwe vinakaa kwenye hizo buttons za kinanda. Unapoclick kwenye C ukienda D basi kidole kilichoclick C kisiinuliwe sana juu. Kinapaswa kuwa kama kimelala kwenye C hata kama hakipigi. This will reduce mistake in playing
Mimi najitahid lkn natumia kwenye simu ila naweza mkono mmoja
Amina ,,nahitaji kinanda used jmn
Asante sana kwa moyo ulionao kaka Daudi. God bless you soooooo much!!
Di
kamira ingekaa kwa mbele yako vidole vionekane fresh
Mungu akubariki sana
Mwalimu upo wapi
Naomba namba zako na sehemu unakopatikana
asante kwa huo umbali umetuleta, sasa naomba utuelekeze namna ya kuviweka vidole vyote ukitumia mkono wa kulia na kushoto kwa (upamoja) tafadhali katika minor chords
Mwl tunaomba display Namba kwa ajili ya mawasiliano
Be blessed ❤❤
Nimependa darasa lako kwakweli Nina shauku ya kujifunza hii kitu
Ubarikwe San mtumish wa mung
Jamani mimi ninafundishwa kuchanganya mikono yote miwili nashindwa kabisa
Nahitaji kijifunza zaid
tunaweza kukupata wapiii mwalimu
ASANTE SANA. NIMEPATA KITU.THANKS
najua kusoma nota tena sana ila shida kupiga kinanda mkono wa kushoto mgumu sanaaaaa
Tatizo lako n dogo
Kaka naomba kuja mafunzoni nitumie unapopatikana namba zangu ni 0754 530151
MUNGU AKUBALIKI SAANA MUPENDWA,MIMI NAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU NA MUNGU ATAKUBARIKI
Well done
Napenda sana hiyo unapatkana wapi
Kaka angu unaelekeza vizuri sana... Naamin nitajifunza kupitia mfano wako
Nmependa sana nataman kupga kinanda kwel kaka
amen asante kwa somo mungu akubariki
Shule nayo hiko wapi and be blessed so much my brother
Mungu kubariku
Asante Sana mm nahitaji KUJUA sana
Nimeipenda sana hii kipindi
Mtumiahi unapatikana wap
Kaka napenda xan
Kazi nzuri, najikaza kujifunza
nipo kenya fanya mpng na no yko
À santé kwa mafunzo sa sa nauliza kama kunavitabu kuhusu kinanda? Nakusikia toka drc kongo
vip hivi kunashure ambalo linafundisha piano Kama lipo naomba munipe namba
This is awesome. Thank you very much.
Bro uko mkoa gn
Amen😊😊
Nikiwepo mimi
Dalasa liko wapi mkuu Nataka nije
2024 tupo apa
Master tunakusubiri sana kwa masomo ya kinanda
Ntumie namb zako ,
Mnapatikana wapi
Naomba namba zenu
Naomba namba jamani
Nimeipenda sana hii
Huku mtandaoni nimehanhaika kutafta waalimu lakini kupitia wewe now nasonga na nimejua mengii
Nataman njifunze
Nakupata wapi maana napenda kupiga kinanda tangu utoto wangu lakini sijaoata mwalimu
Una patikana wapi mwanangu anataka kujifunza kupiga kinanda
iko vizurii
nimefurahiaaaa sanaaa
Mbona hujaweka namba za sim
Me nataka kujifunxa
Asante kwa somo
Mwalimu nakutafuta mnoo
Brother unapatkana wap uje unifundishe kwa gharma yoyte please
Nimekuelewa kabisaa
Unapatikana wap nijifunnze
Nomasanaa
Nisaidie namba
Ahsante sana mtumishi!
Mbona huzingati namba za vidole unapigi kienyeji
Namiss 2 lkn sijui l hope so nitajua
Kuna vinanda aina ngapi??
Napenda kujifunza kinanda!!!
nakuelewa sana kaka Mungu akubariki
Ubarikiwe sana kaka hangu
Unapatikqna wapi naomba namba
Bro nakuomba ombi langu kwako napenda sana sana kupiga kinanda nahitaji mawasiliano yako ILI tu ongee zaidi naomba na mungu atakubariki ukinisaidia
KAKA DAUDI MAGINA UBARIKIWE SANA... NIWACHACHE WENYE MOYO KAMA WAKWAKO KUFUNDISHA WENGINE
Shukrn san kk sehm ya Kwanza tamu san
Sans
Mawasiliano
Sasa kaka unapatikana wapi
Nitakupataje nitumie namba yako