ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hivi sisi tunajiamini nini wakati wamekuja kutuletea fujo pale. Ona Leo tu wamenaswa wameshaanza kuloga.
SIMBA NGUVU MOJA😂😂😂😂❤
Kaka kisugu na kukubali sana wape dawa hao nyuma siyo mwiko tena nyuma kuna liwa tu sasa
Mnawachekea hao wanakuja wanamwaga vimaji siyo maji hayoo tunajiziuka navyoo baada ya kuvifanyia mchakato wa haraka
Brother kisugu usisumbuke na hao yanga soka limewashinda na kama limewashinda ni bora waombe kujitoa kwenye ligi
Nani kafungua maji?
Washa kosa lakufanya
Siyo maji hayo ni mtego.
Nim zee saidi huyo ndoo alisema
Kisugu 😅😅😅 mzaramo Ana mdomo sana aisee
Kisugu mbona unavunja mbavu watu wewe