Kumbe huyu dada aliolewa na Mchungaji,bwana ni mwema,napenda nyimbo zake japo amepotea sana kwenye uimbaji siku hizi,nakumbuka miaka 3 iliyopita alikuja kanisa la moro mjini,nyimbo zake zilinibariki,"Machozi yangu"
Great, you did it, be blessed, it's really heart touching song with a wonderful message.Only God can uplift us without counting our weaknesses, it's high time to surrender our needs and dids to him, the lord.
Wapendwa wangu katika kristo kazi Yenu ni njema sana, Mungu aendelee kuwapa maono na njonzi kubwa kwa ajili ya kazi yake 🙏
Barikiwa sana Familia ya Pr. Jonas Mungu awa inue zaidi kwenye kazi ya injili kupitia nyimbo
Mtumishi urudie na mhola ninge.Barikiwa sana
Mfike mbali tunawaombea mnoo
Keep it up! Mungu wa mbinguni azidi kuwainua my cousin
Amen wimbo mtam mnoo
Amina. Ubarikiwe Glory
Waoow madam glory ubarikiwe nimekumbuka wimbo wako WA nlikuwa ndani ya chombo,,, kipind hicho ulipokuja parane Kwa extravaganza jmn be blessed dad❤
Congratulation , may Lord bless you
Barikiwa ❤
Kazi njema...Mungu azidi kukuinua na kukutumia
Congratulations my dear
Mungu aendelee kukutumia na kukubariki pamoja na familia yako
Hongera Kwa huduma nzuri Kwakweri MUNGU akubariki sana 🙏
Powerful song 💪 may God bless you
Kumbe huyu dada aliolewa na Mchungaji,bwana ni mwema,napenda nyimbo zake japo amepotea sana kwenye uimbaji siku hizi,nakumbuka miaka 3 iliyopita alikuja kanisa la moro mjini,nyimbo zake zilinibariki,"Machozi yangu"
songeni mbele
Ubarikiwe dada Groly..nawapenda saana❤
Great, you did it, be blessed, it's really heart touching song with a wonderful message.Only God can uplift us without counting our weaknesses, it's high time to surrender our needs and dids to him, the lord.
Barikiwa sana mama mchungaji
Barikweni sana wana wa Baba
Ameeen🎉 🎉Jina la Bwana litukuzwe
Amina sana. Endelea kumtumikia bwana Kwa kalama uliyo nayoooooo
Ameeen
Aminaaaaaa
Amina
Nyimbo zinanibariki sana sana
Mungu awabariki sana sana
BWANA awatunze watumishi wa MUNGU Ili tuzidi kubarikiwa nanyi na awape yote muyaombayo.
Amen ubarikiwe pia
Amen ubarikiwe pia
Ameen
Bwana awabariki Sana watumishi
Ubarikiwe
Uende mbele zaidi.
Hallelujah hallelujah hallelujah
Ameen❤
My favorite song ❤
Yu Hai Pugu Seco,Mmoja Wapo ,Endelea kumtukuza Mungu Mbarikiwe Waimbaji Mgali Vijana hata Uzee Msiache Kuimba❤❤
Ameen hallelujah !
Amina Yesu Sema Nao,
Tunaitaka Mhola ninge katika ubora huu❤
😂🤣🤣🤣🤣 Ombi lako limepokelewa Mtoto wa Mungu.
Wimbo mkubwa sana ❤
Ameen Hallelujah !
Ameen