nitapata wapi mziki wenu tafadhali.naomba kununua Kanda.kwa garama yeyote!.....pia kuna wimbo Fulani niliona kwa tv..kuna Jambo gani gumu....mlioimba nimetafuta nisipate, dah!kazi yenu safi zaidi..yanisongesha karibu na mbingu.mbarikiwe sana wapendwa.
Nyimbo tajika Sana za Sauti ya jangwani .hakika Ni Tamu Sana kama Kuna moja ya Sauti ya jangwani nmeitafuuta Kwa muda mrefu bila mafanikio.. Waenda Nanna hivi.naombaa Mungu niwe miongoni mwa Washington.nimwone Musa ..nimwone Elijah..nimwone Adamu aliye chanzo cha wanadamu.nikiipata hio! Mungu atapata sifa zake amin
Asante sana kwa wimbo huu... maana umenisongeza karibu Bwana wetu yesu kristo. MUNGU AWABARIKI nyote
Waimbaji hongela kwa ujumbe kazi ya Mungu mmekamilisha yetu masikio
Barikiweni sana kwa nyimbo zenu
Mbarikiwe Sana mungu awalinde❤
Hallelujah
Ee bwana nihurumie😥🙏
Huu wimbo huwa unaniliza unanibariki sanaaa nimeutafuta sanaa Fatima nimeupata mbarikiwe sanaa
🙏
Unanibaliki sana mungu awabaliki sana
Napenda sana hizi nyimbo zakale zikona imizo
Very nice song mbarikiwe
Mbarikiweni. Wimbo unatia fora sana
This song totally consumes my heart and makes me feel the need to repent every time of my life. Barikiweni sana sauti ya jangwani.
Waimbaji mbarikiwe,kutoka Haydom-manyara William cresent kirway.12-12-2020 Neno lafanya kazi hadi mwisho wa uhai wetu,mungu uwe nasi mda wote.
Nyimbo nzuri Sana bwana awabariki sana
kweli mungu ni mwema wakati wote mbarikiwe jangwani kwa nyimbo zenu
Mungu awabariki kwawimbo mzuri ❤❤❤❤❤❤
sauti nzuri tu... ujumbe wa kipekee, kongole
Mbalikiwe sana kwa huu wimbo niwimbo ambao nikiuskriza huniwe sana rohoni
Hatimae nimeupat huu wimbo baad ya kuutaft kwa takriban mwaka mmoja sas mwenyezi mungu aweze kuwabariki
Weka mokozi yesu umeniita kwa TH-cam.tafhali juu napenda Sana.
Totaly very touching
Mungu ni mwema
Nimeutafuta sana
nitapata wapi mziki wenu tafadhali.naomba kununua Kanda.kwa garama yeyote!.....pia kuna wimbo Fulani niliona kwa tv..kuna Jambo gani gumu....mlioimba nimetafuta nisipate, dah!kazi yenu safi zaidi..yanisongesha karibu na mbingu.mbarikiwe sana wapendwa.
Kwa gharama yoyote
Inafungua mbingu.very very powerful worship
Amina,Mbarikiwe,Nawa miss sana,Bwana Aturehemu
Barikiwa sana.
Mubarikiwe sana watumishi wa bwana tunawapenda.
This is the prayer Christmas ought to pray. The song unemotional. Weldone.
L
Mungu awabariki jangwani
My god bless nyimbo nzul san
Bwana unihurumie
Aise wimbo huu umenitowa machozi Mungu awabariki,
Nime wekwa huru❤
Mmenibariki sana pia Mungu awabariki sana
Good song
Nyimbo tajika Sana za Sauti ya jangwani .hakika Ni Tamu Sana kama Kuna moja ya Sauti ya jangwani nmeitafuuta Kwa muda mrefu bila mafanikio.. Waenda Nanna hivi.naombaa Mungu niwe miongoni mwa Washington.nimwone Musa ..nimwone Elijah..nimwone Adamu aliye chanzo cha wanadamu.nikiipata hio! Mungu atapata sifa zake amin
Wimbo mzuri wa toba
very blessing song..Mat God bless you
I totally love this song.
Akamba representatives
Such a blessing song
Narudi tena jangwani,kwa mara nyingine naomba,wimbo wa, Daniel na usiku wa manane duniani
Jojiana nchamajojiana
Amen 🙏
Thanks for servants of Lord through your song, also I need get the song "Daniel in the holl's lion please'
Amenaaa
Hakika Bwana nimwokozi wetu sisi wadhambi.
Asante sana kwa nyimbo nzuri mungu awabariki Sana jangwani nizipenda Sana nyimbo zebu zinaujumbe mzuri Sana
nice one, can somebody help me with the link of the song "mwokozi yesu uliniita nami nikaitika" sauti kutoka jangwani, Dar es salaam, will be grateful
Umeimbwa na Sauti ya jangwani SDA Tanzania
Mungu aendele kuwa tia nguvu siku za uhai wenu
Mungu aendelee kuwatimia watu wake kwa kazi hii ya injili
saut ya jangwan
Be blessed sana
Jangwani mpeni hai mchungaji gidioni tulikuwa nae huku katolo
tuma hizi nyimbo kwenye hii album.
Kwaya nayopenda
Hosanna hosanna Alléluia Amen
Actualy No any body who is perfect
Worship song
Na wayohana kukatwa kichwa
Ntautafta ntaweka
@@openmindtv4673 amen
@@openmindtv4673 vipi hujaupata tuu,maana hata mimi nahitaji sana
@@mtumishitv3210 jmatano utakuwa hewani
machakos town choir;YOHANA KAKATWA KICHWA
Hakika bwana ni mwema wakati wote,tujitakasaseni kwa kipindi hiki kifupi tulicho nacho
Amina
Tuma zingne hizi nyimbo za jangwani
Ok barikiwa ntafanya hivo
Mh 2:05
Christians and not chrismas.