daaah hii nyimbo nliisikia mwaka 2017 nikiwa kidato cha tano handeni tanga,,,nliguswa sana na hii nyimbo ilikua nyimbo yang ya taifa kipindi kile nikapoteza memory card but jina la hyu msanii nlilishika then nliutafuta sna huu wimbo leo 2022 nimeutafuta nimeupata daaaah siamini,,,ubarikiwe glory nataman niongee mengi ila ntazidi kukufatilia mungu akubaliki saaanaaaaaaaa
Barikiwa sana groly kwanyimbo nzuri mana zinanibariki Sanaa nakumbuka sabato ya mtata wa wazo hill Marobo uliimba Hadi machozi yakatutoka barikiwa sana
Ubarikiwe sana...
Barikiwa Dada Glory kwa Kazi nzuri
Barikiwa Sana glory
nimesikiliza nyimbo nyingi, lkn nyimbo zako zinanishangaza sana! nyimbo zako zimevuviwa! elekea kanani
Amen Amen
Natamani tukutane kanani ya mbinguni dada yanguu
Nimebarikiwa mnooo
daaah hii nyimbo nliisikia mwaka 2017 nikiwa kidato cha tano handeni tanga,,,nliguswa sana na hii nyimbo ilikua nyimbo yang ya taifa kipindi kile nikapoteza memory card but jina la hyu msanii nlilishika then nliutafuta sna huu wimbo leo 2022 nimeutafuta nimeupata daaaah siamini,,,ubarikiwe glory nataman niongee mengi ila ntazidi kukufatilia mungu akubaliki saaanaaaaaaaa
Asante Sana ubarikiwe
Mungu akubariki groly
Dada unajua kuimba hakika
Sifa na utukufu ni Kwa YEHOVAH.
Ubarikiwe piah dada yangu unajua kuimba mno 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana ...endelea kumtumikia mungu hatimae asubuhi iliyo njema tukutane kanani iliyoandaliwa na mungu
Amina
Barikiwa sana groly kwanyimbo nzuri mana zinanibariki Sanaa nakumbuka sabato ya mtata wa wazo hill Marobo uliimba Hadi machozi yakatutoka barikiwa sana
Sifa na utukufu ni Kwa YEHOVAH.
Kwakweli nasogezwa karibu na Mungu Kila siku ninaposikiliza nyimbo hizo.Mungu akusaidie nakukujaza roho mtakatifu zaidi na zaidi
Ameen ubarikiwe sana
Barikiwa kwa ujumbe mzr kweli tumekaribia nyumban
Ameen
Barikiwa sana mamy groly Mungu awe nawe katika huduma hii nzuri ya uimbaji
Ameen Ahsante Rafiki zangu wote.
Yan kwanza mavazi yako tu yanavutia sana glory kweliii ww ni mbarikiwaaa
Utukufu hallelujah!
Inatoa machozi hakika
amen ubarikiwe
Hallelujah, Mungu akuinue zaidi
Keep going
Ubarikiwe nimeupenda huo wimbo
wimbo huu kila nikiusikiza natafakari safari yangu ya mbinguni. Barikiwa sana Glory
Be blessed kaka Jeremiah
Be blessed dadaaaa
Mungu awabariki wote wadau
Kwakweli mungu akutie nguvu mtumishi nataman kuwa mwimbaji kama wewe
Heey am deeply touched with "machozi yangu" you seem so real dear
Be blessed dear Daisy
@@GloryLyimo You too dear one
@@GloryLyimo nakumbuka nilikuwa nawe kwenye msiba wa mama mika natamani kupata contact zako
May the almighty God bless your ministry and keep you safe til the end of the journey.
Amen Amen
Nzr barikiwa
Nataman xana nipate mawacliano na wewe nijue Zaid mwanzo wako ulikuwaj glory
Yako hapo kwenye Chanel "ABOUT". Barikiwa
Nabarikiwa Sana
Ahsante sana Mungu akubariki
Love u my dear sister
Glory, Umebarikiwa Mtu wa Mungu. Kazi zidi kuifanya uwabariki wapenzi wa Mungu na kuwaonyesha njia ya kweli kupitia nyimbo ...
Barikiwa sana kamanda wa Yesu
Dada.hongera.sana nyimbo.zur.sana
barikiwa sana Dada Glory
Mungu akutie nguvu Glory Mtumishi wake!
Ubarikiwe sana dada kwa wimbo mzuri.
Ubarikiwe kaka
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu, MUNGU akubariki Sana dada.
Barikiwa zaidi Sophia
Nimebarikiwa nilipousikia kwa mara ya kwanza hadi leo wimbo huu. Songa mbele mpendwa wengi tumepitia njia kama yako.
Blessed
Nzuri mpendwa barikiwa sana nabarikiwa na nyimbo zako
Amina barikiwa sana kwa nyimbo zako,ufike mbinguni
Ubarikiwe mpendwa
🎉🎉🎉🎉🎉
Very nice song
Mungu akubarik
Barikiwa Dada yangu ningependa kujiunga na wewe
Mbona nikidownload zinagoma nitumie safari yangu
Hongera sana Mungu akubariki sana
Nzuri dada ubarikiwe sana
Mungu aibariki sana kipaji chako cha kumtumkia Mungu. nabarikiwa sana na nyimbo zako maana unaimba uhalisia big up
Thanks Pr.Warumbe
Daaar grory uko vizur mdogo wangu unakiti chako mbinguni
Ameen hallelujah
Hii nyimbo narudia kila mda
Ubarikiwe Dada Linda
Touching song,
Nice song almighty God bless you
Yaani dada.sauti.yako.niyakipekee.unaimba.mpaka una.ungusa moyo.wangu
Sifa,utukufu na shukrani ni kwa JEHOVAH.
Dada una sauti jamani
Utukufu kwa Jehovah
@@GloryLyimo naomba nyimbo zako zilizo kwenye audio tafadhali 0693641660
Nitumie ujumbe kwenye WhatsApp namba ziko hapo chini.Barikiwa
Barikiwa nzr
Mungu akutie nguvu katika safari kaanani.ameeen
Mungu awabariki wote
Asante dada yangu, its very amazing and glorifing song
Ahsante kaka Emmanuel Jambo
Ahsante kaka Emmanuel Jambo
Amen
Hivi ww ni mpare wa wapi dada tujuane pls
Mbona ukidowload zinagoma? Au nitumie
Dada xory nakuomba unipe namba yako mungu akubariki sana
Amen.+255753296951/+255657126811
Nisaidie namba yako mtumish
0753296951/0688047199