Habari Mathayo! i hope your fine...Umeuliza kama kwenye sentensi yako 'She has came'' utakuwa umekosea, Ndio sentensi hiyo ina makosa... Unatakiwa kusema She has COME! kanunitunayotumia hapa ni HAS\HAVE + PAST PARTICIPLE sasa kwa kiingereza neno COME ni tata kwakuwa linabaki kuwa Come likiwa kwenye past partciple tofauti na vitenzi vingi. Natumaini nimekujibu
@@mohdaly2941 Hi there! From the look of things, you're English is not that bad. I would like you to give more details though, as to which area would you like to improve! Is it about speaking, listening, writing or reading? From there I could be in a position to offer a very practical advice.
Nimependa😂❤❤😢unafundishavzuri😊😢
Nashukuru sana
ahsantee kwa somo, lkn bado future tense bado sijaiona
Kazi nzuri asante
Asante mwalimu kwa somo La tenses kidogo nimepata mwanga
Karibu sana na hivi karibuni nitaweka Somo jingine la "Future Tense "
Mwalim nakupataje
@@tabithawarioba1496 Nitumie text WhatsApp 0627669420
Mwalìmu hutufundishe polepole Hill niyelewe asante.
MASHA ALLAH
Leo nimeelewa Vzr hizi TENSES maana da mtihani huu
Nimependa❤
I'm learning from you sir
Up vizur bro
Asante sana, Karibu ujifunze nami kila upatapo fursa
Nitakufatia ishaallah ..ninae teacher mwengine dorithine pia lkn na wewe ni mkali
asante mwalimu kiukweli unafunza vizuri nimekuelewa sana, ila nahitaji kujua kingereza unaweza nisaidia zaidi plz
Nitafute WhatsApp 0627669420
Unafunza vizuri ila unaenda haraka jaribu kwenda pole pole
Jaman teacher natka kukijua kiingerez unanisaidiaje???
Asante mwl naomba unisaidie namba yako
Nitafute WhatsApp 0627669420
Nzur sana
teacher naomba uipost na future tense nimekipenda kipind chako
Nitaileta
Am your new student
I'm glad you're here! You'll learn English and achieve your goals.
TUNAOMBA MUENDELEZO
Karibu! Nitaleta hivi karibuni
sawa tuna subiri kwahamu
@@English_bora
Wao
Welcome!
Nice
Bona unafuta haraka maandishi yanayotokea kwann usi
Pause ili mtu aweze kuyasoma vizuri
Why? have you used come!, but you ought to use came like that she has came already!??
Mmi nataka maneno magumu kidogo sentence zangu please
Nataman nijuw kigeleza
Karibu sana hapa Darasani Online utajifunza Kiingereza Kwa Urahisi sana
💯
asante sir
Mwalimu naomba kuuliza hivi tofauti kubwa kati ya present Perfect na simple PAST ni nini? Zinanichanganya
Sorry teacher nahitaji kujua lkn sikupati Whatsapp
Hello WhatsApp 0627669420
Naomb yako plz
Teacher sorry can help you no
0612817681
I am learning English
Cheers!
Naomba number yako mwalimu
Thanks so much teacher I'm here learning.. Do you unagruop la wasap?
Mwalimu hiz zinanichangany iz
Nifanyeje nozielewe hizi maana nikifumdiahwa napata kizunguzunga zinanivuruga mnoo.. Teacher nahitaji namba zako au kituo chako cha kufundishia
Karibu sana nitafute WhatsApp 0627669420
hivi nikisema she has came.. nitakuwa nimekosea mwalimu.. maana kwenye have tumetumia I have taught..
Habari Mathayo!
i hope your fine...Umeuliza kama kwenye sentensi yako 'She has came'' utakuwa umekosea, Ndio sentensi hiyo ina makosa...
Unatakiwa kusema She has COME! kanunitunayotumia hapa ni HAS\HAVE + PAST PARTICIPLE
sasa kwa kiingereza neno COME ni tata kwakuwa linabaki kuwa Come likiwa kwenye past partciple tofauti na vitenzi vingi.
Natumaini nimekujibu
Teacher even me I want to know English language
You're here at the right place. Follow me and you'll know English.
You can decrease money
Naitaji kuwa mwanafunzi wako
WhatsApp 0627669420
@@English_bora
Asante San
Naomba msaada wako namba yangu hii watsap 0717380352
I'll give you a phone call!
Usijikune pua unafelii
Asanteh kwa ushauri wako Yunus, nitaboresha maana mazoea hujenga tabia.
I want know English well how can I do?
@@mohdaly2941 Hi there! From the look of things, you're English is not that bad. I would like you to give more details though, as to which area would you like to improve! Is it about speaking, listening, writing or reading?
From there I could be in a position to offer a very practical advice.
Teacher I need your number kindly advise. Me
Moh'd can you help me
Tunaomba link ya whatsap
0627669420 Whatsapp
Kama un DARASA naomb niunge mwalimu