ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Na mimi mwalimu naomba nijiunge pia katika darasa nijifunze kingereza
Mwalimu natamani sana kujua kiingeleza
❤good teache
Mwalimu habali ya uzima natumaini uko sarama me pia nataman kujiunga na darasa lako unifundishe nipate kujua kigereza
Natamani san kjua english teacher sjui nifanye nini ila nahs ww ni walimu mzuli natumai tajua kupitia ww🙏🙏
Asante sana mwalimu,kwa kunielimisha, nafurahia sana hiki kipindi
Tunajivunia kwako kwa sababu ww ni mwalimu mzuri sana mungu akubariki ninakuelewa sana unavyo elewesha upo maskini sana Tena sana
Mwalimu upo poa yan unaeleweka asante
Teacher uko vizuri ❤❤
Na Mimi pia teacher napenda kujifunnza kiingereza
Safi sana mwalimu nimependa sana kujifunza hata mimi
Habari ticha naomba kujifunza kinge Reza kwako naomba uniunganishe na namba yako ❤
Allah akupe maisha marefu sana mwalimu wangu.
Asante Mwalimu
Asante Sana ubarikiwe
I'm proud to be your student from ilala Islamic ❤
Shukran sana mwalimu
Naomba na mm mwalim uniunge kwenye ngurpu naitaji kujua kingeleza
Good Teacher
Shukrani sana
I wish a long life teacher and God bless you
Naomba nijiunge
Jaman namm naomba nifundishe
ما شاء الله ، والحمدلله nime pata nilichokua nakitafuta
Mwalimu mzuri sana😂
Mungu akubariki sana
KAZI nzuri sana 🎉🎉
Uko vinzuri my teacher
Mwalimu upo vizurina😮😮😮😮😮
Good presentation
Nimelipenda SoMo hongera sn my teacher
Nashukuru Sana mwalimu jamani MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA
mwalim naomb namb yak
Unafundisha vizuri mi
May God bless you my teacher
Mwalimu na Mimi pia nahitaji kujifunza
Namba mwalimu
Mashallah 😊
Jmn napenda pia kujifunza mwalim niunge na mm kwenye gurup lako 🙏
Natamani kujifunza pia mwalimu
Mwalimu samahani naomba unisaidie aspect zake za tense
ssalaam alaykum maashaa allaah mwalim allaah akuzidishie elimu ili uzid kutufundisha naomba nami uniunge kwenye hilo group
Namba naomba
Nataka kujiunga na darasa lako shekh
Habari nawezaje kujiunga kwenye darasa
Aisee nilikuwa nakudhalu lkn leo nimekukubali sna
Tunapataje namba ya whatsap kwa masomo zaidi
kwakweli darasa nimelipenda
Habar na mimi nataka uniunge kwenye darasa lako
Samhn mzee wangu vp ilo darasa la WhatsApp unalipia ?
Please tunaomba na darasa la parts of speech
Namba Yako mwalim
Niunge kwenye group teacher please help me my teacher
Nimekuona leo uko mwalimu muzuli nataka nikufuatilie
Naitaji kujiunga kwenye darasa lako
Ticha nahitaji kujifunza kingereza kwako pliz naomba uniadd kwenye group lako
Mimi ndio kabisa sielewi😮
Asante nawezaje kumpata namba zako
Naomba uniuge
Natamani kuweza lakin nashinda kabisa yaani😢
Mungu akubariki asante
Mwalimu nataman kujua sana kingereza naomba Kama una group la WhatsApp uniunganishe
Unapatikana wap
Niung kwenye group au nipate namba
Asnt San natamani San kujua
Najivunia kuwa mwalimu wangu pale Temeke(Shammar)
mtaa wa magore, kuna vijana wake akina seif
Natamani kukijuwa kama una group la whatssap naomba uniunganishe
Teacher unapatikana wap niambie please
❤❤❤❤
❤❤❤❤ maashaallah 🤗😘😘 mwali wetu
Asnte
Naitaji kujiunaga na darasa namba techer
Nambangu hiyapo niunge kwwnye group mwalim
Nitapataje namba
Tuna faidika, ambo hatukupata nafasi ya kwenda shule, tuna hitaji darasa zaidi unapatikana wap?
I can be your English teacher Naeza kuwa mwalimu wako wa kiingereza Njoo inbox... 😂
Nitumie namba yako
Nipe namba wasp
Naomba namba zako za wsp
Naomba namba yako mwalimu
Nataka kujua English vizur
Do you want to learn English Wataka kujua kiingereza Naeza kuwa mwalimu wako mzuri😊
Sir namba ya wasap
Nifanye k2 gani ili na mimi nikijue kingereza
Naomba unisaidie
Mniunge
Asee unasomesha vizuri snaa.yani nimeelewa Leo tu nizunguka kwingi snaa swala la tensi
Nahtaj kujiung na darasa lako
Tupo pamoja Mwalimu hii nimeidownload kabisa
Shukran sana mwalimu Mungu akubaliki 🙏
Abuu naomba unisaidie jinsi ya kudownload
@@OmanOman-yk8kldownload hd Vidmate alafu ingia huko utadownload vzr tu
Asante mwl naomba namba yako
0658871113
Dah! Asante Ustadh mwl wangu wa language form v na vi pale Chang'ombe. Msalimie Hussein wa reception.
@@richardreuben3222 😄 Huseni yuko Goba Secondary, mwalimu sasa.
@@USACAUDIOVISUALMATERIALS Mimi pia ni mwl wa language mwaka wa 10 sasa. Ustaadh ninakushukuru na nitakutafuta.
@@richardreuben3222 Wow! Uko wapi?
Namba mwalm ya whatsapp
Anaomba namba zako za WhatsApp mwalimu
Naomba uniunge

I can be your English teacher
Naeza kuwa mwalimu wako wa kiingereza
Njoo inbox... 😂
Nitumie namba yako
Nipe namba wasp
Naomba namba zako za wsp
Naomba namba yako mwalimu
Nataka kujua English vizur
Do you want to learn English
Wataka kujua kiingereza
Naeza kuwa mwalimu wako mzuri😊