KUHUSU SOMO LA UNYAKUO WAKRISTO WA KIZAYUNI ( CHRISTIAN ZIONISM) WAONGO SANA TUWE MAKINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Video from Nabii Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 21

  • @omaar5693
    @omaar5693 9 หลายเดือนก่อน +1

    wanaopigana ni wakristo au waislamu???
    mi naona wakristo wanasapoti magogu...

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 10 หลายเดือนก่อน

    Sio bishop anayesema hayo....
    Ni Yesu ndiye aliye sema..." Mmoja atanyakuliwa na mwengine ataachwa....".
    Aliyekufa katika Kristo ana uhai....sio uhai wa kufa kimwili....ni.kiroho anamaanisha.
    Wewe MUISLAMU lazima uelewe jambo moja....
    Injili ya Kristo umesitirika kwa hao wanaopotea...
    Maana huwezi kumfundisha Mungu kwa Hekima ya kidunia zaidi ya hekima ya kimbinguni.
    Usitumie ufahamu wako....Tumia Roho wa Mungu utazijua siri zake.

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 10 หลายเดือนก่อน

    Hujui kitu...unafundisha kwa uelewa wako....unadhani kuwa mwalimu wa historia, ndio kunakufanya udhanie kule kuteuliwa hutokana na wingi wa ufahamu.
    HEKIMA ya Mungu imepita ufahamu wote wa kibinadamu...
    Yeye ndiye uitaye kila kitu kwa jina lake....kwasababu ndiye Muumba.

  • @jacobtandila2019
    @jacobtandila2019 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda kicheko chako😅😅

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 10 หลายเดือนก่อน

    ✅✅❤

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 10 หลายเดือนก่อน

    Unakaa kimya sana mtumishi wa MUNGU. Mara nyingi napiga simu yako haupokei. Tafadhali nahitaji kuunganishwa kwenye kundi lako la WhatsApp

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  10 หลายเดือนก่อน +1

      Nitumie sms WhatsApp +255714750521 tutawasiliana mpendwa

    • @erickrakitic9113
      @erickrakitic9113 9 หลายเดือนก่อน

      @@nabiiilyaaseliya2551 🙏🙏🙏

  • @madindangonde4044
    @madindangonde4044 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @johnjulius6986
    @johnjulius6986 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli naona maajabu ya MUNGU....hata wewe unayejiita NABII ELIYA...unamshangaa KRISTO anaposema "Mmoja atatwaliwa na mwengine ataachwa...😂😂.
    Unafundisha habari za Mpinga Kristo wewe atakaye kuja tawala YERUSALEM...
    Maana sisi tuliokatika roho tunatawala na BWANA SAYUNI....,.
    Na ISAYA ametabiri ujio wa mashahidi wa MUNGU....kule NYIKANI.
    kutakuwa na njia kutoka SAYUNI hadi NYIKANI ambapo.BWANA wa MAJESHI ataletwa HEDAYA na watu warefu na laini, watu watishao tangu mwanzo.

  • @stephenmaina4406
    @stephenmaina4406 10 หลายเดือนก่อน

    Ni ukweli lazima kila mmoja ajaribiwe imani yake kupitia thiki kuu kama mitume

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 หลายเดือนก่อน +1

      Nawewe usidangajike hili li jamaa siyo mkiristo halafu wala siyo mkiristo ni tapta wa hatari tangulini mwislamu akawafundisha wakristo

    • @AlieMdogo-oi6il
      @AlieMdogo-oi6il 10 หลายเดือนก่อน

      Mm hua simuelewag huyu mtu,nikama kigeugeu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 หลายเดือนก่อน

      @@AlieMdogo-oi6il asee nikwambie kitu huyu jamaa ni she wa kislamu lkn anawashwa sana na biblia kamaanataka ukristo akabatizwa Ili majini na ushetani umtoke kichwani Ili atuhubirie injili ya Yesu

    • @AlieMdogo-oi6il
      @AlieMdogo-oi6il 10 หลายเดือนก่อน

      @@robertphilip385 haelewekag ila tumuache mungu atamnyoosha

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe siyo mkiristo achakutuposha ww pambana na korani Yako ikupeleke jehanam

    • @williamshitobelo6433
      @williamshitobelo6433 10 หลายเดือนก่อน +1

      Bwana Robert ni ipi Criteria ya kumjua huyu ni mkristo na huyu siye?? Ama wewe ndiye mwenye Hakimiliki ya Ukristo ??

    • @OmarOmar-vf9dv
      @OmarOmar-vf9dv 10 หลายเดือนก่อน

      Tumekuelewa yahudi

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 หลายเดือนก่อน

      @@OmarOmar-vf9dv sawa arabica

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 10 หลายเดือนก่อน

      WAGALATIA MMEPATIKANA NABII WENU HUYO 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 10 หลายเดือนก่อน

      @@williamshitobelo6433 weniwalewale mjinga huamini Kila neno