YOHANA 16:7 MSAIDIZI HAPA NI SINAI YA ARABUNI SIO ROHO MTAKATIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 18 วันที่ผ่านมา

    Sio mtume Mohammad ni Mjumbe wa agano aliyeinuliwa siku ya Bwana Ufunuo wa Yohana 1:9-10. Na hapo walipoketi hao waislamu sio ufalme wa Mungu hapo.

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 19 วันที่ผ่านมา

    Nabiii nilikua naomba utupe elimu ya majina 28 ya barhatii msaaada chonde chonde nko nje kidogo ya maaada

  • @AlimachiusFaustine
    @AlimachiusFaustine 18 วันที่ผ่านมา

    Hiv wewe unachekesha ngoja nije nikufundishe alaf unafanya. Mambo ya uongo unajua ety waislam wasikutenge acha ubishoo , acha kudanganya mchana mpaka tunakucheka kama umelewa unayoyaongea au is like your in dream,so bora toka hewan maana yaan siku hix umepinda sana wewe,furahisha waislam ukatae kuwaambia ukweli kuwa kristo ndo njia pekee ya uzma sis tumekuwa uko in islam but jesus saved us from such evil religion.iwont speak alot one day iwill teach you the true God not allah , Allah can never be god and his Mohammed,all of them are satan.

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 18 วันที่ผ่านมา

    Jifunze kwa Mjumbe wa agano, hujui kweli ya Mungu, msaidizi alikuwa anawaambia wanafunzi, baada ya kuuwawa wanafunzi ukaingia uasi, mpaka siku ya Bwana yaani miaka elfu moja iliyoanza tokea mwaka elfu mbili, Mjumbe wa agano ndiye anayewahakikishia habari ya dhambi hukumu na haki. Ndiye Eliya wa sasa Isaya 42:9.

  • @LukmanShiyths
    @LukmanShiyths 19 วันที่ผ่านมา

    Yesu atarudi mara ngapi? Kwa kuwa anakuja kuangamiza dajjal na yajuj wamaajuj ilhali kulingana na ufunuo wa yohana yajuj na majuj wanavamia miaka elfu moja baada ya dajjal?

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 19 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo...huwezi changanya dini ya kiislamu na ukristo...huyo msaidizi bado ni ROHO Mtakatifu...

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 19 วันที่ผ่านมา

    unaogopa kusimama na njia moja kisa utatengwa na uislamu😅😅