MAANDAMANO CHANZO NI DEMOKRASIA. HUU MFUMO UTATUMALIZA WATU WA MUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @gmichael465
    @gmichael465 9 วันที่ผ่านมา

    mhubiri wa kweli katika ufalme wa mungu katika dunia hii lazima uchukiwe... lakini sauti ya mungu acha isikike hakuna wa kuzuia..amani ya mungu iwe nawe.🙏🙏

  • @AberiPetro
    @AberiPetro 9 วันที่ผ่านมา

    Hapo uko sawa tatizo umimi umewazidi kilamtu anaongea kwakuonesha ufaham wake na hayuko tayali ku ungana na mwenzake mngesha mshinda shetani kwasababu mko wengi wenye uelewa huo ilasasa Tama zenu nitatizo

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 8 วันที่ผ่านมา

    Mchungaj umenena ya kweli ila hizi ni siku za mwisho watakuwa na macho na maskio lakini hawataona wala kuskia ila sasa tumekuwa na machawa ambao wapo ccm lengo ni matumbo yao sijui kama wanahubili kweli kanisan na watu wapo wanatoa sadaka na hawatetei waunga ccm tu.

  • @OSCARMWAIBAMBE
    @OSCARMWAIBAMBE 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna Mungu hapo unachokitafuta utakipata njaa n mbaya sana

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 9 วันที่ผ่านมา

    Samtime inaongea facts

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm 10 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri kwenye mambo kadhaa,ingawa kuna sehemu huwa unapotea.

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 10 วันที่ผ่านมา

    Boc wangu nakupa 1000 kabisaa

  • @Ba63828
    @Ba63828 10 วันที่ผ่านมา

    Kabla ya kuja biblia na quran tulikua na utawala wetu chini ya machifu. Hatuhitaji
    Quran wala biblia peleka huko zikamalize vita Middle East. Mzee the word democracy is made up of demos = people and kratos = power. Katika hilo neno hakuna demon = shetani. Acheni kupotosha wananchi.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 10 วันที่ผ่านมา

      Huna ufahamu, Mungu alianza kuabudiwa kabla ya kuja biblia, utawala wa machifu wa kutoa kafara na kutambika haukuwa mzuri hata kama tulikuwa tunajibiwa mahitaji yetu, maana neno la Mungu linasema wakati ule wa ujinga Mungu alizifany kama hazioni na pia Mungu huwanyeshea mvua wema na waovu

    • @Ba63828
      @Ba63828 10 วันที่ผ่านมา

      @@FridayMwassa I'm atheist so keep your god to your chest.