JESHI LA TANZANIA LAWAWASHIA MOTO M23 BAADA YA WANAJESHI WA TANZANIA KUUAWA, M23 YASONGA MBELE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 เม.ย. 2024
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Hongera sana jwtz kwa ukakamavu,,,Joseph kony atataga ipo sku,,,,mungu awalinde makamanda wote,,mbele kwa mbele nyuma mwisho,
😂😂😂
Africa bana Yan Mwafrika anamua mwafrika tunashangilia... niujinga mkubwa sana huu
Tuwashe moto ,adui amepata nguvu ,hamna kurudi nyuma moto kwa moto ,lazima m23 walipe kwa walichofanya,haiwezekan kamanda kupigwa na mgambo.
Hapo tena sio kulinda aman askar wapambane live bila hvo ni hatar kwa walinda aman
Ushauri wangu kwa jeshi langu au makamanda wangu wa j w t uko tupo kwakulinda amani sio vita ila kama wanataka mwiba uwachome tukiwashe ao m 23 mazohea yamezidy wazi makamanda wangu kama vp tukiwashe
Bila shaka wewe ni mwanajeshi au ushawahi pitia mafunzo ya kijeshi
Tunashangilia mwafrika kumuu mwafrika kwa masilahi ya wazungu... Ni ujinga mkubwa sana
Wakat mwingine kunakauli kinyume unaambiwa aman Ila ukishaingia uwanjani akili kichwan mwako
Nyie tupen abar za uwongo tu,Ila uko sio pazur ata kidogo achen tu jaman paskien tun,tunaa ambiw jesh letu lina pigana na m23 ila Mambo ni Siri kali ile Kongo,Siri ya mtungi aijuae kata,Mungu tu awabarik wanajesh wetu japo wanatumikia viapo vyao
Jeshii letu tz malizeni wote awo amani iwepo
JESHI LA TANZANIA LA EAWASHIA MOTO M23...hapo mnasema M23 wamesonga mbele...kama haitoshi tumepoteza askari wetu🥲🥲
Jifunzeni kuandika vichwa vya habari...
Tumepoteza makamanda wetu na tumerdi nyuma nyie mnasema tumewawashia moto🥲🥲
Tunapigwa na kitu kizito, 🤣🤣🤣
Kwa walikuwepo 1978,na 1979 wanajua kabisa vita kama kuna njia nyingine ya kufanya kurejesha amani itumike vita mbaya sana
Shida hawatak jeshi lipigane Et kulinda Amani Aman gan wakati mnapigwa makombora jwtz ingieni rasmi hakuna cha kulinda Amani ni kukichagua mwanzo mwisho Hadi wakae tena kagame ndo gaidi mwenyewe huyu auwawe
Kdwani vp wapiganaji wettu wanauwawa na waasi harafu wanaangaliwa tu km vp wanajeshi wetu warding kwann wauwawe na waasi harafu waachwe hvhv hao m23 inaniuzunisha kwa kweli
Ni muda muafaka wa kuiangamiza Rwanda tusipoteze muda hata sekunde moja
Niko pamoja nawewe iyo Luanda iangamizwetu na umoja waafrica iteketezwetu na nyukiria
Uyo Onesphore sematumba kwanza yaonesha anauasili wa Rwanda na ukifuatilia maongezi yake ayapo sahihi na anapingana na kauli sahihi ya serekali
Miye ni serge nikiwa South Africa kwa nini wanajeshi hawapambani?
Wazalendo😂😂😂
Mungu BARIKI Africa
Mungu alisha maliza kazi ya kuibariki Africa. Ila afrika bado tunautete utumwa kuna mwafrika an muua mwafrica kisa barak za Mungu ni ujinga mkbwa. Mm ningekuwa Rais kamwe nisinge peleka Watu wangu huko kwa kisingizio cha Amani
god be with you soldiers
Loooo Mungu aepushe mbali na umwagaji damu pia na mauji ya raia wasio hatia jamani
Kwa iyo inamaana apo sadc inapambana na taifa la ruanda na m23 was cngo c ndio .Kama ni hivyo ihisheni kikao ruanda na sadc na je ruanda haipo sadc?
Rwanda haiko SADC
KWa iyo ruanda anasaidia waas ili iweje .ebu tufafanulieni apo
Wengine wapendwa wetu wapo huko na hatuwapati online hivyo waliouwawa mngeweka picha jaman
Kwan si wapambane au mbona sielewi hapo wanalindaje aman yan wanatakiwa wapambane wawaondoe kama buki nafaso wenzao
Dah kwakweli cjui ni kwnn waafrika tunauwana wenyewe kwa wenyewe
Kwa nini wa congomani upumbafu umewazidi?,serikali yote ya kitshekedi yote wamo ndani ya hiyo siasa ,sababu wafanya siasa wote wanafaidika na vita hivyo katika ulimwengu huu wale hakuna mtuu mpumbavu Kama mucongomani.
Jaman yaan
Mama angepekeka full mkoko, halafu tuingilie Rwanda Yani tuanze kuwasaka kuanzia Rwanda
Acha bangi haujui unacho kisema kunywa kahawa kijiweni tu.
Hao m23 wasituchezee niwakuuliwa tu
Mama lusu mambo yaishe kama dada arivyo kimbia muji
warudishe nyumbani watu wetu bhana
hawa watangazaji ni vimeo, watu wako kwenye vita kwanini wanatoa habari za kinaga ubaga, hii channel inafanya makosa saaana, huwezi kueleza kila kitu kinachojiri kwenye uwanja wa vita, vita ni propaganda hii inapunguza morali kwa wanajeshi walioko nyumba na kuwatia woga
Unataka tudanganywe sasa?
Unapoamua kupigana uwezi kupata faida tu. Mfano Rashia na ukeren ata kama kila nchi imepata asala.Muimu kujadiliana akuna kisicho wezekana.
Watupeleke na wastaafu wa national service tuna maajabu kibao tuwafanya hamna.
Wanajeshii watanzania kwendeni Rwanda tukamarize kazi mapema tuludi nyumbani
Jeshi la Tanzania 🇹🇿 maybe likaue wa zanzibar uchanguzi una o Kuja ruawanda number 2 Kenya number 1