URUSI NA BELARUSI WAJIWEKA SAWA TAYARI KWA VITA YA NYUKLIA, WAANZA MAZOEZI MAZITO YA NYUKLIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2024
- If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
COPYRIGHT VIOLATION
For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.
Mungu yupo macho halali. Wacha na wao waangamizane kwa mamilioni. Wanazinyanyasa sana nchi za wengine na hasa Palastine.
Mashoga watumiwe mzigo
Hata mpeleke vibeku Ukraine ni sikio la kufa-----. Putin forever ❤️
Putini hajatumia silaha .Sasa ndo anataka kutumia silaha.nalazima .wamaharibi waanguke mungu hayukopamoja na mashoga.
Putini piga mashoga wote wasokuwa na aibu
Mashoga mtanyooka tuu mbwa Kala mbwa hii timu putin tubarikiwe
Tumia nyuklya dunia imekuwesha hawatakuhishimu hao
very good
Hakuna suluisho zaidi ya nyuklya
urusi level yake ni ujerumani awezi kushindana na Marekani
Putin ❤❤❤❤❤❤
Putin piga hao manyan'gau,mungu akupe nguvu nyingi.
Kumbe mnajua kuwa urusi siyo taifa kubwae!!!
Very good putin
Yani huyu jamaa nawazaga tu Vita hakuna kingine 😒😏😏😏
Mashoga wameungana wana et umoja wakujihami
Mm nilitarajia baada y ussr kuvunjika wangejipanga
Alaf mmoja wao acmame man to man wazichape na urusi
Kuuumbe bado marenda yantolewa
Mikwala hiyo, hawezi kupiga nyukria Huyo, atasambaratishwa Mara moja, kila nchi tajili, INA nyuklia😅😅
Yani raia wa ucrein wakatafute hifadhi inchi yao imeuzwa na itabaki mashimo
Yaani hiyo ni ulaya yote hyo ni hatari tusiombee kabisa
Putin kama putin
Mwamba putin
Hakuna vita ya Nuke hiyo mikwara tu 😂 Kila mtu anaiogopa Nuke
Viva mweshimiwa putin uraaaaaaaaa
Uongo mtupu 😂
Vladimir Putin akifanikiwa kutatua mzozo wa Ukraine bila vita ya nyuklia atakuwa taifa kubwa Duniani
Kwani anaetaka vita ni yy wapo tunawajua wanavitaka Eti kwa kua wanaingiza pesa wamezoea lkn M'mungu kawawekea mwisho wao.
Aaaaah! Akifa ptn je
Ptn akifa je
Huo umoja wakujihami kwa mrusi ulianzishwa kbl ya putin
U.S.A na NATO Kuchelewesha Silaha Pale 🇺🇦 Ukraine ni Moja Ya Mbinu Za Kivita watu Hawaelewi na Hawajiulizi "
Unaposema usa na mato wamanisha nn
Km hujui uliza
Nato nimuungano wa nchi 27 zilioungana kujihami na mrusi
Baaba ya kuona kwa nchi moja moja hawamuwez
Na ktk izo nch 27 usa ni mmoja wawanachama na ndio kiongoz wa nato
Kwn toka mwanzo silaha za toka wap
Mbinu hutatuliwa kwa mbinu., kama hadi wew msukuma mshamba umehisi ni mbinu, mrusi ndo hajaelewaa?
Ptin😂😂😂😂wamchongo mbona mkwala2 kalibu ukione😂😂😂😂😂😂 USA Alisha kwambia
Anachokifanya putin ni nchi gan amabayo anaweza kuifanya
We nae Akili Huna na inaelekea akili ni ya chekechea bado.
Msihangaike nahili shoga nalijua kitambo sana
Yn,nakumbuka akina s.husain,F.castro lkn waliachiwa muda tu wakajimaliza,hata ptn muda wake unajulikana
Huenda unaongelea kwenye makalio chizi wewe
Uongo mtupu 😂