Majaliwa Amekiwasha Mwanza | Atumbua Wawili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli mji wa mwanza unanuka taka za chooni kila wakati zinatiririka bara barani Kenyatta Road, pamba Road zote zinatoa harufu mbaya. Kila baada ya siku 3 maji taka yanatiririka barbarani hakika tunavuta hewa isiyo safi. Tusaidie baba

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sikuzote ulikuwa huoni miaka mingapi watu wanalalamika Kila Kona ya nchi

  • @user-hm8yt9ol4c
    @user-hm8yt9ol4c 2 หลายเดือนก่อน

    Kama nyinyi viongozi mnafanyiana hivyo kibaya zaidi Waziri mkuu wanashindwa kukuheshim je, sisi watu wachin tutasikilizwa na nani??

  • @easymapetv
    @easymapetv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Work it harder