Kuota Na Nyanya Ina Manisha Nini? +254706945821

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 82

  • @irenechome859
    @irenechome859 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifuwe mchungaji mimi naishi maisha ya shida sana ju Kila nachofanya hakifanikiwi na hata nikipata mchumba uhusiano unaisha hivyo tu bila kujua leo nimeota nachuna nyanya nyingi sana

  • @Martina-t4p
    @Martina-t4p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifiwe, tafsil zako huwa znanigusa sana mtumish niombee

  • @AlaphatSophia
    @AlaphatSophia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifiwe mm mtoto wangu ataki shule na usiku waleo nimeota nyanya na vyakula nilivyo kula mchana sijui kuna maaana gani na mahusiano yangu hayadumu na nimekata tamaa kila kitu akina uzao nikipata kaz silipwi sipend

  • @josephsteven-x3h
    @josephsteven-x3h 2 หลายเดือนก่อน

    Nakupata vzr..... Joseph kilimanjaro

  • @JoanpetershayoPetershayo
    @JoanpetershayoPetershayo 21 วันที่ผ่านมา

    Mm niota mbonga Majani ya mbonga na nyanya ila maana yake siijuii

  • @bonnyxaverino112
    @bonnyxaverino112 4 หลายเดือนก่อน

    Amin❤

  • @EsterMtanga
    @EsterMtanga 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe...nimeota nipo kwenye makaburi mengi ya watoto mapanda mbegu za nyanya

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi
    Nimeona tomate za kuwiva ila zilikuwa zimekatwa vipande vipande maana yake nini

  • @MarcelMichael-c1z
    @MarcelMichael-c1z 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen naomba niombee mtumishii

  • @InnocentDirtBike-tz3th
    @InnocentDirtBike-tz3th 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi niliota Nina chumba nyanya na Kuna vijana wawili wakawa wanapita na wakiwa Wana nipa Salam mala mbili mbili

  • @TitusSirombi
    @TitusSirombi ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimebariwa sana b blessed

  • @StellaMshani
    @StellaMshani 3 หลายเดือนก่อน

    Amen🇲🇼

  • @linkafedha2573
    @linkafedha2573 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Mm nimeota navuna nyanya na mtu mkubwa sana serekalini baadaye akaniuliza naendeleaje...nikamjibu siendelei powa maisha na ngangana bt nashuruku mungu ni mzima

  • @Rashidi-b7u
    @Rashidi-b7u 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe nini mana yakuota una gawa nyayna

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu Asifiwe naomba uniombee Niko na pumu yanisumbua naomba niombee

  • @halmashekalage2318
    @halmashekalage2318 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @AlaphatSophia
    @AlaphatSophia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahan baba nimeota nyanya na nimeota vyakula na watu wana sukana

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 ปีที่แล้ว

    Ameeeen napokea

  • @lydia7859
    @lydia7859 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @inongee1141
    @inongee1141 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN🙏🙏🙏

  • @zenaahmad-ki7wu
    @zenaahmad-ki7wu 5 หลายเดือนก่อน

    🎉❤❤🙏

  • @MarcelMichael-c1z
    @MarcelMichael-c1z 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen!!!!

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nmeota nmeota nyanya nyingi

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu mtumishi nimeota nimokota pesa nyingi za Kenya na tz nikaona nyumba ya matope nikasema nitabomoa hiyo nijenge nzuri zaidi

    • @revpeternjihia
      @revpeternjihia  8 หลายเดือนก่อน

      Utafaulu na kuwa na maendeleo mazuri maishani.

    • @khadijaacute
      @khadijaacute 5 หลายเดือนก่อน

      mchungaji me mara nyingi naota nipo maeneo ya sokon namsaidia mama kuuza genge sokoni xa xijui inamanixha nini pia huwa naota akiwa na mtot mdg na hata mtot mdg pkease naomba unijibu

  • @priscillahmutemi4683
    @priscillahmutemi4683 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @VictoriaLuoga
    @VictoriaLuoga ปีที่แล้ว

    Baba bwana Yesu asifiwe mimi nimeota mama yangu ndo alikuwa anavuna akaniletea nini maana yake plzzzz naomba kujua

  • @angle3600
    @angle3600 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @JonathanJackson-kp6gs
    @JonathanJackson-kp6gs 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu ASIFIWE Mtume Jackson nimeota nimeletewa nyanya tatu kwenye bakuli lenye maji, nyanya mbili zimeiva na Moja nimbichi.

    • @Neema-q3b
      @Neema-q3b 4 หลายเดือนก่อน

      Nataka unisaidie namaombi nasikia mkono wa uma

  • @FrankworldwideTV
    @FrankworldwideTV หลายเดือนก่อน

    Niliota shamba kubwa la nyanya nikavuna kidogo na nikaacha mavuno shamani ili kesho nirudi nivune zote ndio nibebe zote ila krsho yake nikakuta mazao yote yabeibwa ila niliowaona wezi wangu nikawapiga na picha hii ina maana gani walikuwa na pikipiki nikapiga picha na prate namba za pikipiki zao

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimeota nakata nyanya kipande kimoja kimoja nachovya kwa chumvi nakula iko na maana gani?

  • @sarahamosi5464
    @sarahamosi5464 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mtumishi mimi nimeota nampa mtu nyanya

  • @elizaClaus-wk5kw
    @elizaClaus-wk5kw 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota nimeenda kuchuma nynya zuri shambani. Zimeiva. Kwenye shamba la Kaka pia naye ananisaidia kuchuma

  • @gladysmuthoni4011
    @gladysmuthoni4011 ปีที่แล้ว

    Napokea katika njina la yesu nimrvunguriwa usiku waleo nimeota na nyanya lakini mutumichi wa mungu nimevunguriwa

  • @jacintamengese8641
    @jacintamengese8641 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @martinehussein7261
    @martinehussein7261 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @AlaphatSophia
    @AlaphatSophia 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa sophia samahan naitaji maombi yako

  • @firstlady9848
    @firstlady9848 หลายเดือนก่อน

    Niombee mtumishi nimeota nyanya leo

  • @MiriamMasero-qm7ov
    @MiriamMasero-qm7ov 7 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Miriam KUTOKA Tz.jana niliota nachuma nyanya nyingi Sana, zimeivakila shina Lina karibu ya nyanya 20, yaani zimezaa sana.nn MAANA yake.

  • @Henrich-l5k
    @Henrich-l5k 27 วันที่ผ่านมา

    Mimi nimeota navuna nyanya

  • @MaryJohn-vx4sw
    @MaryJohn-vx4sw 8 หลายเดือนก่อน

    Ukiota unampa mzmz mwenzio nyanya ambo zimeoza af nje zp nyny nzma

  • @ImaniMfugale-hy6tm
    @ImaniMfugale-hy6tm ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota nimechagua nyanya zangu zikachukuliwa na mtu mwingine nikakasirika sana

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeot na brend nyanya yan nazisaga

  • @DulaYanga
    @DulaYanga 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nmeota nkilisha mtoto wangu nyanya

  • @EmilyHadija
    @EmilyHadija 2 หลายเดือนก่อน

    Uwa unadanya kwengine

  • @nickomtweve5748
    @nickomtweve5748 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @Beatriceanyangu
    @Beatriceanyangu 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe kwa majina ni beatrice anyangu nimeota nimepoteza simu nikatafuta kwa nyumba sikupata hiyo wakati nikatoka kwa nyumba kwenda kwa cousin hiyo wakati nilikuwa na nyanya hazija iva mama mwingine akaniomba nyanya nikamjibu hazijaiva Akasema nisaidie tu nikampea nyanya mbili yenye ilikuwa imetoboka na yenye haijatoboka nifafanulie mutumishi

  • @siliviamakanga4400
    @siliviamakanga4400 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi mimi nlikua muuzaji wa nyanya na nkaacha, sasa huwa naota nko sokoni nnauza nyanya inamaanisha nn

  • @MildredShinali
    @MildredShinali ปีที่แล้ว

    Niliota nikienda kununua nyanya lakini sikuchukua Kwa sababu ilikua Iko mahali chafu

  • @fadhilaburuhani1774
    @fadhilaburuhani1774 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimekuta nyanya zimengatwa na panya hapa napotunza ndani kwangu

  • @KijomboMwaipula-zc6ti
    @KijomboMwaipula-zc6ti ปีที่แล้ว +2

    Unachelewa Sana mtumishi kutoa tafsili mifano mifano mingi kulifkia lengo

    • @fatmaseif2600
      @fatmaseif2600 ปีที่แล้ว +1

      Yan ata mim nilikua natka kusema Yan mtu unasikiliz mpk unaboreka

    • @matondodaud
      @matondodaud 5 หลายเดือนก่อน

      Ni vema achelewe na atoe mifano mingi ili tuelewe. Muhimu hapa ni kuelewa siyo kupata majibu ya jujuu .ubarikiwe mchungaji kwa kufafanua kwa mifano. Mungu akubariki sana

  • @aminamsangi-fj3fm
    @aminamsangi-fj3fm ปีที่แล้ว

    Mimi kilamara naota nauza nyanya sokoni inamana gani

  • @queenowino9236
    @queenowino9236 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @irenefranco3315
    @irenefranco3315 ปีที่แล้ว

    Je ukiota umeona nyanya shambani nzuri then nikatamani nichume lakini nikaogopa nikaona niende kumtafuta anayeuza aniuzie inamaana Gani hiyo???🤷

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 2 หลายเดือนก่อน

      MUNGU anakufundisha usichukue kitu Cha mtu bila kuomba kwa mwenyewe

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi mimi niota nauza nyanya na maindi nini

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 2 ปีที่แล้ว

    Naitwa Jacklin hua naota nalala kaka wamume wangu alafu nimeota napasuka viganja vya miguu Kama vizaka vikubwa

  • @kristinaf4365
    @kristinaf4365 2 ปีที่แล้ว

    Bwana asifiwe niliota nyanya mingi hinamanisha nini

  • @salesiamutegeki1951
    @salesiamutegeki1951 2 ปีที่แล้ว

    Mi nilota najisaidia nyanya maana yake nn

  • @PaulChalress-ke9rq
    @PaulChalress-ke9rq ปีที่แล้ว

    RICHI

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi 8 หลายเดือนก่อน

    Naitwa TOFILA inyasi niombee pumu mtumshi

    • @SaraGrace-be4ur
      @SaraGrace-be4ur 5 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe Sana Mtumish Nimepata kitu

  • @ireneshabani7775
    @ireneshabani7775 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi mm nimeota naona mufuko kubwa ya karanga ila nikaanza kula nyingine naweka mufukoni

    • @shamsaabdalah7038
      @shamsaabdalah7038 ปีที่แล้ว +1

      Karanga ni ugomvii utagombana eidha utaona ugomvii

  • @linkafedha2573
    @linkafedha2573 ปีที่แล้ว

    Nahitaji maombi naota ndoto mbaya sana za kunirudisha maisha yangu nyuma na naona mtu wa familia kwa hizo ndoto zangu.

  • @AlaphatSophia
    @AlaphatSophia 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mm mtoto wangu ataki shule na usiku waleo nimeota nyanya na vyakula nilivyo kula mchana sijui kuna maaana gani na mahusiano yangu hayadumu na nimekata tamaa kila kitu akina uzao nikipata kaz silipwi sipe

  • @TitusSirombi
    @TitusSirombi ปีที่แล้ว

    Mtumishi nimebariwa sana b blessed

  • @gladysfatuma3558
    @gladysfatuma3558 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @fatmahamis3838
    @fatmahamis3838 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @eunicemitsanze2611
    @eunicemitsanze2611 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @divinahkemunto9056
    @divinahkemunto9056 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @issakatoto9653
    @issakatoto9653 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mercymjunior9684
    @mercymjunior9684 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @RadiyaHassan-m7g
    @RadiyaHassan-m7g 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 2 หลายเดือนก่อน

    Amen