JAMAA ALIYETAKA KUMUUA MAMA'KE na KUMTUPA BUZA - MAMA KAOKOTWA AKIWA wa 'MNYAMA' - YUPO HOI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • JAMAA ALIYETAKA KUMUUA MAMA'KE na KUMTUPA BUZA - MAMA KAOKOTWA AKIWA wa 'MNYAMA' - YUPO HOI
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 88

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +4

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 4 หลายเดือนก่อน +13

    Poleni sana.mungu ampe shifaa mgonjwa apone arudi nyumbani salama.aweze kutoa ukweli wote

  • @sarahdarous2172
    @sarahdarous2172 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kwan huyo mama alikua anaish wapi?kwaiy alikuja kumtembelea mwanae ndio akamzuru !mbn km sielew hii stor kwaiy mtu namwanae walijifungia ndan au !

    • @mishigwan6598
      @mishigwan6598 4 หลายเดือนก่อน +1

      Na mm nimejiuliza hili swali

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 4 หลายเดือนก่อน

      Wanazingua wanajua wenyewe wanachokiongea

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 หลายเดือนก่อน +13

    Subhanallah, mungu atunusuru na vizazi vyetu vijavyo inshaallah. Amin 🤲🤲

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 หลายเดือนก่อน +10

    Subuhanallah Allah ampeshifaa alone kwaharaka. Watotohawamtihani unaangaika nae kumbe ndiyo aduiyako😢

  • @user-gb1hn5ml8y
    @user-gb1hn5ml8y 4 หลายเดือนก่อน +8

    Tumkumbukeni mungu hii yote kwa sababu tume sahau Kua mungu yupo

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 4 หลายเดือนก่อน +3

    God is always Good. Tumuombee Mama akae sawa kiafya

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mtihani
    Mungu tuongoze ktk kukuabudu na kufuata amri zsko

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 4 หลายเดือนก่อน +1

    SUBHANA-ALLAH !. MU'NGU !.. ATUSTIRI NA WATOTO WETU. YARAB ! 🙏🙏😭😭

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu vizazi vyetuy vimeharibikiw unampiga mzazi inalillah wainaillah rajiuna

  • @sunwizy608
    @sunwizy608 4 หลายเดือนก่อน +4

    duh pole mama

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mtangazaji punguza Mihadarati 😂😂😂

    • @annamussa185
      @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa huo mdomo tu unamjuwa😂

    • @GoldenchipsChips
      @GoldenchipsChips 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @user-nd8gg4ig7m
      @user-nd8gg4ig7m 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂tena

    • @estertiffa-ew5id
      @estertiffa-ew5id 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂khee

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 4 หลายเดือนก่อน +8

    😮Duu Mungu amponye uyo mama

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 4 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah uyo mama mzima duh angemuwaisha mapema hofu ya damu ilimjaa mpaka kaenda kumtupa kumbe angemuwaisha hospital tu😢😢😢

  • @user-vq1qx1dr4e
    @user-vq1qx1dr4e 4 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani mnaotaka kumuona mtuhumiwa kwasasa au kumuona mgonjwa naomba tuwe na subra kutokana na hali ya huo mama alookotwa nayo haongei wala bado hajapata ufahamu vizuli hivyo basi taalifa zaidi.titazipata kwa daktari na yeye mwenyewe tutamuona inshallah hivyo tuzidi kumuombea dua afate nafuu na mtuhumiwa yuko muhimbili akiwa chini ya uangalizi wa askari hivyo tusubili na yeye apone tutamuona kesi ikifika mahakamani asanteni

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p หลายเดือนก่อน

    Jaman

  • @user-je8hj2fv1q
    @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

    Tumevamiwa hatujui tu,roho za ushetani yesu tuondolee,tumechoka, na matukio mbona zamani hakuna,tumemkasirisha Mungu wetu, Ndio maana anaacha matukio yatokee,turudini kwa Mungu 😭😭😭

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamn Jamn 😢 vijana wanatafutwa utajili kwaharaka

  • @NuruBomba
    @NuruBomba 4 หลายเดือนก่อน +2

    Innalilah wa innalilah rajiun

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 4 หลายเดือนก่อน +5

    watu wanachanganyikiwa na content kwa sasa hapo hosptal wala hatumuonn hyo mama wala mtuhumiwa hatumuon ni waongo sana

    • @ramaMuhomba
      @ramaMuhomba 4 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli usiwe kama hamnazo

    • @ShakiraMuhammed-lu3cr
      @ShakiraMuhammed-lu3cr 4 หลายเดือนก่อน

      Ww muogope mungu ww kama kweli unamuogopa mungu njoo moi muhimbili alafufu uliza utaambiwa

  • @ShakiraMuhammed-lu3cr
    @ShakiraMuhammed-lu3cr 4 หลายเดือนก่อน

    Apana mama alifata nguozake kwa mwanae alizituma akiwa kijijin ndoyakamkuta hayo

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ndiy watot wenu wakium sasa mnayemtak wa ukoo we watot wakium hapan Mim jaman sasa hiv awajuw ndug wala mam wala bab pole mam mung akusaidiy upon harak

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 4 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli hapana wa kiume duh. At least wa kike ingawa sometimes nao wanaweza sumbua ila Bora wa kike angalau

    • @madamehatibu9324
      @madamehatibu9324 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama Mungu ndo kakupa hao uwatupe?

  • @zalbak2738
    @zalbak2738 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaji unatuzungusha banaa mara kafa mara mnyamaaa

    • @ShakiraMuhammed-lu3cr
      @ShakiraMuhammed-lu3cr 4 หลายเดือนก่อน

      Hata sisi tulijua kafa kumbe alizimia mbaka leo hajapata fahau

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน

    Kama hajafa Alhamdulilah sema tunahitj kujua kiundan zaid

  • @alhajiiddi7250
    @alhajiiddi7250 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa anatakiwa na yeye ANYONGWE mpaka kufa.

  • @solangebagal149
    @solangebagal149 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ana kuona

  • @MuniraAme-pb7pg
    @MuniraAme-pb7pg 4 หลายเดือนก่อน

    Allah atustiri na wazazi wetu na watoto wetu😥so sad

  • @user-lt7yx2ms7h
    @user-lt7yx2ms7h 4 หลายเดือนก่อน

    Innalillah Wainna ilayah Rajiun sijui tunaelekea wapi

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 หลายเดือนก่อน

    Nasubiri muendelezo inauma sana jaman😢😢😢😢😢😢

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi story za uwongo na kuwadanganya watu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nikiki munapata dhambi

  • @HamisiRamadhan-sw7xy
    @HamisiRamadhan-sw7xy 4 หลายเดือนก่อน

  • @CalmGlassRose-oy3qv
    @CalmGlassRose-oy3qv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaj asaiv unakonda alafu unapotez muonekano, ni kama kuna ulevi unatumia

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 4 หลายเดือนก่อน

      Walimwengu hahaha

    • @user-je8hj2fv1q
      @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

      😂tena kilevi chenyewe smart guine,

    • @user-je8hj2fv1q
      @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

      Maana ilo jishavu,lilivyovimba,pombe tupu

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ivi daa kuna poli 😢😢

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu tuhurumie 😢😢

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona anayesimulia hana uwazi? Kama kuna kitu anaficha!

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 4 หลายเดือนก่อน

      Yy ameadithiwa hakuepo eneo la tukio

  • @rogatussimon4876
    @rogatussimon4876 4 หลายเดือนก่อน

    Kuzaa so kupata

  • @user-je8hj2fv1q
    @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani hii Tanzania kuna rahana gani? Inayotutesa nakuwaingia watu hata usiowazania kufanya mauaji, jamani ivi wenzangu hamjagundua haya,tuombeni sana iyo roho yaushetani itutoke,sio kawaida, matukio yamakuwa Mengi sana tofauti na nchi za wenzetu jirani zetu

  • @halimamohd5132
    @halimamohd5132 3 หลายเดือนก่อน

    Fatumalashi

  • @TedyMayunga
    @TedyMayunga 4 หลายเดือนก่อน +1

    ijaman

  • @user-hn6dm3ev5p
    @user-hn6dm3ev5p 4 หลายเดือนก่อน

    Asa apo aliekufa ni nani kati ya mama na mtoto

  • @user-ee9my3ye2o
    @user-ee9my3ye2o 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wengi wagumu sana kueleza matukio

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu kime jificha kipo nyuma ya pazia

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni waongo tena hawafai

  • @salmahanai
    @salmahanai 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka napenda sana utangazaji wako

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 4 หลายเดือนก่อน

    Ni uongo.

  • @AnifaAssumane-d5m
    @AnifaAssumane-d5m 26 วันที่ผ่านมา

    Vp

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 4 หลายเดือนก่อน

    Heeeeh

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 4 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji maswali ovyoo

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 4 หลายเดือนก่อน

    nyie hawa wajinga hujawsshrukia kua ni mchezi wa kutafuta kiki mtandaoni??aliye washtukia hawa wajinga wa kutumalizia mb ahe hapa.

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 4 หลายเดือนก่อน

    Sihaba kumbe hajafa

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi kiki tu kwann hatumuoni mgonjwa walamkija

  • @user-bs2nr7gz5p
    @user-bs2nr7gz5p 4 หลายเดือนก่อน

    Hh

  • @MahraMohamed-ok3tx
    @MahraMohamed-ok3tx 4 หลายเดือนก่อน

    Msifikili kila hbr bc niuwongo

  • @user-je8hj2fv1q
    @user-je8hj2fv1q 4 หลายเดือนก่อน

    Tumevamiwa hatujui tu,roho za ushetani yesu tuondolee,tumechoka, na matukio mbona zamani hakuna,tumemkasirisha Mungu wetu, Ndio maana anaacha matukio yatokee,turudini kwa Mungu 😭😭😭