@@J_Pabloescobar0806 hatuwezi hata kidogo kwasababu hii nisawa na bajeti ya hii nchi yetu mara zaidi ya elfu 5. Kaka acha kuwa mjinga. Hii kitu haiwezekani ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano. Hahahahahahaa!! Bwege ww!!
Shetani ananguvu kweli yakuwapoteza watu Kwenda kwa mungu wao amewafulahia achotaka yeye waludi wamkute amewachukia ndio maana anajitahidi sana kuwapoteza na anafanikiwa
Kwahiyo mnataka mseme kama tukiandaa sasa hivi Tanzania nzima tunakuwa maskini zaidi ya sasa hivi na tunaowaona matajiri kwa sasa wanafilisiwa wote wanakuwa km sisi 😂
Mimi naitwa djuma mturunho naishi marekani nilikuwa naombi mtufanyiye makala 360 yakuhusu mtu kupata visa kwenda kuona mashindano yakombe ladunia
Obrigado pela informação. SnS
Tanzania itakuja kuandaa 2100
Mtu anaweza kufanyeje au mtu kwenda kwenye mashindano yakombe ladunia anatakiwa awe navigezo vipi
Dahhhh hapana hatuwezi jmn, aise hizi pesa ni mingi mbaya mbovu!!! Trilioni 553? Wowwwwww inatisha kwelikweli.Tanzania hapana hatuwezi kwakweli.
hatuwezi kwakweli hatuweeeezi
Tunaweza
@@J_Pabloescobar0806 hatuwezi hata kidogo kwasababu hii nisawa na bajeti ya hii nchi yetu mara zaidi ya elfu 5. Kaka acha kuwa mjinga. Hii kitu haiwezekani ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano. Hahahahahahaa!! Bwege ww!!
Shetani ananguvu kweli yakuwapoteza watu Kwenda kwa mungu wao amewafulahia achotaka yeye waludi wamkute amewachukia ndio maana anajitahidi sana kuwapoteza na anafanikiwa
Na Mungu anafanya nini shetani anapofanikiwa ama ndio Mungu anashindwa?
Tanzania labda tuandae mashindano ya mbio za mwenge hivyo vingine tuwaachie FIFA
Tutaandaa tu siku moja, ingawa itakuwa ni kwa kushare na nchi nyingine kama ilivyo kwa hii AFCON
Thubutu tutaweza wapi
Você é linda
✌️👍👊.
Kwahiyo mnataka mseme kama tukiandaa sasa hivi Tanzania nzima tunakuwa maskini zaidi ya sasa hivi na tunaowaona matajiri kwa sasa wanafilisiwa wote wanakuwa km sisi 😂
Kuna sauti kaka
Everdd
Urusi 2018 Qatar 2022 kwani Qatar iko bara gan na Urusi bara gan Kama bara moja haliwezi kuandia kwa mfurulizo!?
Ni Mabara mawili tofauti hayo
URUSI NI ULAYA QATAR NI ASIA
Urusi ni ulaya na Qatar ni Asia...
LABDA KAFIKIRIA QATAR NI CROATIA 😂😂😂😂😂😂😂
@@salimmalaka256 🤣🤣
Mtu anaweza kufanyeje au mtu kwenda kwenye mashindano yakombe ladunia anatakiwa awe navigezo vipi
PASSPORT NA FEDHA.