Solidarity Forever (The DARUSO Documentary) (2021)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024
  • MAELEZO YA KISWAHILI:
    Solidarity Forever (The DARUSO Documentary) ni makala iliyoandaliwa na Paschal Rutagwerela na inaangalia kwa undani siasa na vimbwanga
    vinavyozunguka uchaguzi wa viongozi wa DARUSO ambayo ni Jumuiya maarufu ya
    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
    DARUSO inajulikana kwa misimamo
    yake inapokuja kwenye maslahi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu, hali ambayo miaka ya nyuma iliwaweka viongozi wake matatani.
    Mahala hii pia inaangalia uzoefu wa uongozi alioupata Happy Sanga anapomaliza muda wake kama Makamu wa Rais wa DARUSO kwa mwaka 2020-2021.
    ENGLISH SYNOPSIS:
    Solidarity Forever, an original documentary from Paschal Rutagwerela takes a deeper and inside look at the politics and drama around the annual election of DARUSO leaders.
    DARUSO is the famous, and sometimes considered infamous student's organisation of the University of Dar es Salaam, often known for its confrontation with the authorities.
    The documentary also gives a personal reflection on leadership experiences for Happy Sanga, the 2020-2021 DARUSO Vice President.

ความคิดเห็น •