SIMANZI : MCHUNGAJI ATUPIWA VYOMBO NJE NA KUPEWA MASAA MANNE KUONDOKA K.K.K.T USHARIKA WA ISUBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 111

  • @DicksonSufiani
    @DicksonSufiani หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabarik sana Wana kwaya vijana

  • @bumimsojo5359
    @bumimsojo5359 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu awakumbuke watu wa Mungu mliomuhifadhi Mchungaji

  • @husseinnkuna4260
    @husseinnkuna4260 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana waliomuhifadhi huyu mchungaji japo hatuyajui kwa undani ila ni jambo jema sana japo mm ni muislam ila wamepinga ubaguzi big up sana kwa wote waliomuhifadhi mchungaji

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwaya ya fimbo ya Musa Mungu awabbariki sana mtabarikiwa Zaid zaid

  • @allykingo3558
    @allykingo3558 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze Mch kwa jina lako la utani Mjerumani asante kwa Hekima. Asante vijana na Kwaya ya fimbo ya musa

  • @eliambembela2364
    @eliambembela2364 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki Sanaa kwani mlicho kifanya kwa mungu hakitapungua daima maishani mwenu hkika mungu awabaliki Sanaa kwaya kwani mnafaa kuigwa zaidi ya aslimia 💯

  • @eugenyraphael4334
    @eugenyraphael4334 ปีที่แล้ว

    Pole mchungaji,siamini kuwa bado kuna ujinga kama huu tens!!!,du imenihuzunisha sana

  • @despinamdende9651
    @despinamdende9651 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana Mchungaji. Mungu akutie nguvu na uvumilivu. Usikate tamaa.

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijasikiliza upande wa pili, lakn kwa vyovyote vile hiki kitu itawaletea laana. Hongeren sana mliomuhifadhi mtumishi wa Mungu.

  • @rehemachipwaza5907
    @rehemachipwaza5907 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana baba Mungu akupe umri mrefu

  • @neemaevance80
    @neemaevance80 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki San vijana wa fimbo ya mus

  • @emanuelmassawe1984
    @emanuelmassawe1984 2 ปีที่แล้ว +5

    Mchungaji kuna jinsi mungu anaitaji akutumie kwa njia nyingine

    • @Varryverry
      @Varryverry 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

  • @nebartmwakibinga7064
    @nebartmwakibinga7064 2 ปีที่แล้ว

    Pole saana pastor Yesu akutie nguvu saana imeniuma mno maana kukufanyia wewe Leo kesho zamu ya mwingine Yesu akusaidie

  • @elizabethsikaonga1607
    @elizabethsikaonga1607 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana kwaya ya Fimbo ya Musa.mbarikiwe sana sana..

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Mchungaji. Mungu ana kusudi lake

  • @irenemwakisunga1359
    @irenemwakisunga1359 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mchungaji achelewi Wala hawahi lipo jibu siku moja litajibiwa.

  • @saramss7262
    @saramss7262 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mchungaji ni Sauti ya Mungu Hapa Dunianii msipende kuwagusa Watumishi Cha Moto kipo njiani muwacheni MUNGU Mwenyewe aukumuu

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji pole sana Mungu akutunze Usiogope

  • @dhahirimufukile4094
    @dhahirimufukile4094 2 ปีที่แล้ว

    Mungu yu pamoja na ww Baba mchungaj

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wabariki vjana ipinda

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 2 ปีที่แล้ว

    Pole kwa yote mchungaji wangu,Mungu akutunze ktk Hali yoyote,

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aktunze baba,,hizi niciku zamwisho jmn watu mnachukua atua yakfukuza mchungaji !!!! Mmmh Mungu anawaona

  • @esnathmwangupili6796
    @esnathmwangupili6796 2 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kusikia hii mpya,simama na Imani yako mungu yupo atakusimamia

  • @rosewoiemitau8376
    @rosewoiemitau8376 2 ปีที่แล้ว

    Kila jambo utendeka kwa wema kwa wampendao mungu usijali mtumishi wa mungu endeleea kumuamini mungu tu

  • @osianamwabuka2321
    @osianamwabuka2321 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa Mungu hali hii ya mgogoro unaoendelea, nimpango wa shetani, hata Kama mtumishi amekosea kumfukuza mtumishi ni laana kubwa Sana, ninyi si zaidi ya Daudi aliyeogopa kumuua Sauli japo alikataliwa na Mungu, aliheshimu mafuta ya utumishi, subirini laana , afadhali mwingie kwenye Toba.

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa kweli mwisho umefika mnamfukuza mchungaji?

  • @johnkyashama2299
    @johnkyashama2299 2 ปีที่แล้ว +4

    Hichi kitendo walichokifanya vijana ni kitendo kibaya sana dunia ya sasa inahitaji maridhiano au suluhu. Vijana mkatubu mapema hii dhambi itawala mbeleni

  • @kristiankitali5505
    @kristiankitali5505 2 ปีที่แล้ว

    Haya.mambo yataleta laana sana kwenye jamii yetu, kuwafukuza watumishi wa Mungu

  • @elizabethsikaonga1607
    @elizabethsikaonga1607 2 ปีที่แล้ว +4

    So sorry pole sana mtumishi wa Mungu.Jipe moyo
    Yana mwisho.Vumilia.

  • @stellahzacharia8743
    @stellahzacharia8743 2 ปีที่แล้ว +4

    Kweli Ni Siku za mwisho mpaka hatua ya kufukuza watumishi wa Mungu hata Kama amekosea inafaa matengenezo sio kumfukuza hakuna aliye kamilika wote tuko duniani tunapita Mubarikiwe mlio mhifadhi mtu wa Mungu tuache ukabila kwenye kazi ya Mungu Yesu alitufia sote msalabani angechagua kabila yamkini Mimi na wewe tusingekuwepo pole Mtumishi wa Mungu na familia yako Mungu hatakuacha atakuinua Tena kwa Neema yake

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapa Kuna shida ya kiroho Kwa washirika tena shida ni kubwa sana hawana Mungu kbs hawa mioyoni mwao yani hata wanasiasa Wana uzalendo na utu lkn sio hawaa

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji usiogope Baba,Mungu u pamoja nawe,walio kutolea vitu nje wajitafakari Mara 2,na wasihi vijana wenzangu msitumike vibaya,mtaja humia

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikwe sana watumishi,wanakwaya wa Usharika wa Ipinda Fimbo ya Musa

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki kwaya ya fimbo ya Musa mchungaji Mungu hatakuacha kamwe uwe na moyo mkuu mtetezi wako you hai

  • @edakiputa1108
    @edakiputa1108 2 ปีที่แล้ว +1

    Waumini konde,acheni vita hiyo,vijana nawaomba msitumike vibaya.tubuni,hii si kazi njema mbele za Mungu na Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo kwaya ya fimbo ya musa km jinsi walivyojiita bac MUNGU wa mbingu&Nchi awabarik

  • @julianagowele9163
    @julianagowele9163 2 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu zangu waumini wapi tunaenda. Tunaacha kuabudu na kumshukuru Mungu kwa mengi anayotutendea lkn tumebaki kupigana wenyewe kwa wenyewe. Mungu atuepushe jamani

  • @thomasjohn3499
    @thomasjohn3499 2 ปีที่แล้ว +1

    VIJANA KAMA VIJANA KWAYA YA VIMBO YA MUSA MMETISHA SANA DUUH HIYO NDIYO IMANI. SAFI SANA AMFADHILIYE MTUMISHI HUYU AMEMSITIRI MUNGU MWENYEWE.

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 2 ปีที่แล้ว

    Pole mchungaji, lakini hongera Kwa hekima

    • @elishamwanfinga1505
      @elishamwanfinga1505 2 ปีที่แล้ว

      Ukikutana na mchungaji kama ELISHÀ MWANFINGA utajuta kuwa msaliti jambo hilo siwaumini tu kunanguvu auasi kwenye kanisa hilo

  • @kauryatechnical993
    @kauryatechnical993 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @ezramasawe8021
    @ezramasawe8021 2 ปีที่แล้ว

    Hakika nimeumia sana

  • @miketzee806
    @miketzee806 2 ปีที่แล้ว +1

    KKKT kumevamiwa na majini gani

  • @gracetamson1209
    @gracetamson1209 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU in mkuu atawainua tena

  • @rechomethod8288
    @rechomethod8288 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji anatabasamu la kweli, kaza mwendo.baba.mosesi.kulola.mwenyewe.alifungwa.gerezani.lakini.hakumuacha.mungu

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 2 ปีที่แล้ว

    Izi ni nyakati za mwishi neno ra mngu Rina sema watu watajipenda wenyewe usi Kate tamaa

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Waumin hao wanapepo tena ipo cku MUNGU atawajibia

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 2 ปีที่แล้ว

    Duh!!! Kuna vurugu sana sana!!!!

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 ปีที่แล้ว +1

    Afu ili kanisa la kkkt kimekuwa na mgogoro sn mjitasmini

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo kubwa la KKKT kuna ukabila na siasa Pole sana mchungaji

  • @mdimumdimu7143
    @mdimumdimu7143 2 ปีที่แล้ว

    Dhambi KKKT waliyoifanya miaka ya 2000, kule Mwanga, ya kuleta vyombo vya Dola kanisani, kuwapiga watu, kuwabambikia kesi.... Haitaliacha Kanisa salama. Negotiation iliyofanyika 2012/13 haikuleta amani mioyoni mwa waliumizwa. Laana inalitafuna kanisa letu.

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Baba MUNGU atakusaidia huyo Mwaikali cjui kavamiwa&shetan gan ila MUNGU ndo anajua yote

  • @anatolimayot8409
    @anatolimayot8409 2 ปีที่แล้ว

    MUngu akulinde mchugaji

  • @angelibrahim5539
    @angelibrahim5539 2 ปีที่แล้ว

    Kwanini iyi tabia ya kufukuza wachungaji ni mbaya Sana usiukumu kabura uja ukumiwa

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 9 หลายเดือนก่อน

    Kitendo kilichofanywa na hao vijana waliomfukuza Mchungaji si cha Kikristo. Ona huyo kijana aliyeathirika kwa kukosa mtihani wa moko.

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Kwaya hiyo MUNGU wa mbingu&Nchi awabark wanakwaya hao waliokuhifadh

  • @ntanduagnes9744
    @ntanduagnes9744 2 ปีที่แล้ว

    Musa Njagamba

  • @mtumplole2155
    @mtumplole2155 2 ปีที่แล้ว

    Nyie washirika mtapata laana kubwa mno tena kuliko mlivyo wahi kusikia mmediriki kumfukuza mtumishi wa MUNGU? Laana ijuu yenu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni vijana wa fimbo ya MUSA NA MUNGU AWASAIDIE NA MUZIDI KUMUANGUKIA YESU ILI MFIKE MBINGUNI

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 2 ปีที่แล้ว

    Siku za mwisho hizi

  • @merryluzwilo2866
    @merryluzwilo2866 2 ปีที่แล้ว

    Ole wao wachungaji waovu wimua mnatupeleka wapi ss kondoo wenu Kama ninyi mnawekeana majungu

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 ปีที่แล้ว

    Ila KWA nyakati mbaya Sana hizi tuludi KWA MUNGU ILI YY AKAE NDANI YETU Ila tukae mbali na dhambi jehanamu ipo hii dunia tunapita tusijisahau

  • @ainesndubula8361
    @ainesndubula8361 2 ปีที่แล้ว

    Du kwani kkkt ndo itakayo wapeleka mbinguni

  • @neemaikram9603
    @neemaikram9603 2 ปีที่แล้ว

    Ubaguziii

  • @jacksonjonathan2262
    @jacksonjonathan2262 2 ปีที่แล้ว

    Mch ubarikiwe sana naomba namba yako

  • @mambomseto7701
    @mambomseto7701 2 ปีที่แล้ว

    Mjitahidi kubalance story.

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la KKKT ni kuongozwa na wanasiasa.

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว +1

    UKRISTO NI BIASHARA TENA INALIPA KULIKO BIASHARA ZOTE

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 2 ปีที่แล้ว

    Jaman wana KKKT mnann nyie?

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 2 ปีที่แล้ว

    Mathayo 11:28

  • @tumainirkyando8128
    @tumainirkyando8128 2 ปีที่แล้ว

    KANISA LA KKKT LIMEINGILIWA NA MASHETANI MAUGOMVI KILA SEHEMU ! MUNGU TUNAOMBA ULIOKOE HILI KANISA ,

  • @imanimwaipopo6149
    @imanimwaipopo6149 2 ปีที่แล้ว

    Fimbo ya musa na kwaya ya vijana Mungu awabariki sana kwa sadaka hiyo

  • @fedamwakalobo2484
    @fedamwakalobo2484 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole mchungaji kaka angu

    • @mwalukasaaizaki1822
      @mwalukasaaizaki1822 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu zangu Kwaya ya Fimbo ya Musa na Vijana Ipinda, tunashukuru kwa kumhifadhi Kaka yetu Mchungaji Mwanyemanie Mungu awakumbuke.

    • @happymwakibete7599
      @happymwakibete7599 2 ปีที่แล้ว

      Mungu awabariki sana kwaya ya fimbo ya musa na vijana kwa kitendo mlicho fanya,, kkkt pepo la kuwafukuza watumishi wa Mungu limeibuka hebu tubuni makosa yenu kabla ya kiama kufika mtajibu nini cku ile ikifika? Mumemuumiza sana Pastor na mmemdhalilisha kwa unyanyasaji mlo fanya naamini Mungu atamlipia,,

    • @eliphasikitomary3702
      @eliphasikitomary3702 2 ปีที่แล้ว +1

      Apandacho mtu ndicho atafuna

    • @uzielkalungwa5490
      @uzielkalungwa5490 2 ปีที่แล้ว

      Kwaya huo ndio wito mlioitiwa mtafika mbali Sana kwenye huduma

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 2 ปีที่แล้ว

    Majaribu hutupandisha ngazi zaidi jipe nguvu

  • @janet7740
    @janet7740 2 ปีที่แล้ว

    Usijali ata Jesus alipitia mengi na wengine wengi walioubiri neno. Ole wao laiti wagelijua. Wageodoka wao wakakuacha hapo

  • @amissemwenetombwe9752
    @amissemwenetombwe9752 2 ปีที่แล้ว

    wajama wabaguzi saana!!!

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu yangu mwantemani pole na maamzi ya kishetani ya hao vijana wa kanisa ambalo umehudumu kwa mda sasa hivi wanyakuyusa nani kawaloga maana kufukuza wachungaji ambao hawana nasaba ya eneo husika hayaja anza leo wala sio kkkt tu hata moreviani iliwahi kutokea kama hayo.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huko kwetu kuna nini? Ni tamaa au nini?

  • @daudimdete8671
    @daudimdete8671 2 ปีที่แล้ว

    Najikuta Nazimia Moyo . Ila Kwa ya Fimbo ya Musa MUNGU azidi Kuwabariki mfanyike Nuru. Na kweli isiondoke kwenu nyote Dah!!!! ila MUNGU Mwema sasa ndio tunajua nini Tunakifanya na Pepeto lipo kazini

  • @merryluzwilo2866
    @merryluzwilo2866 2 ปีที่แล้ว

    Pia kanisa la kkkt mnatakiwa mtubu tena Sana kwanikanisa hilo limekuwa na sifa ya kugombabana viongozi kuna shetani gani kaingia kkkt

    • @matildamwakatuma1206
      @matildamwakatuma1206 2 ปีที่แล้ว

      Ole wao hao wawafukuzao watumishi wa Mungu

    • @matildamwakatuma1206
      @matildamwakatuma1206 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu awabariki vijana wa fimbo ya Musa ,kwakumuhifadhi mchungaji ,Bwana awabariki sana .Mungu ni mwaminfu

  • @musamwanji4389
    @musamwanji4389 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli sijawai kuona hali Kama hizi ni Mara ya kwanza

  • @angelambwambo2903
    @angelambwambo2903 2 ปีที่แล้ว

    Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa

    • @rebecashumbi3450
      @rebecashumbi3450 2 ปีที่แล้ว

      Yesu anarudi kila mtu atatoa hesabu ya maneno na matendo pia Mchungaji ameajiriwa na MUNGU sio watu mmemgusa MUNGU kwy mboni ya jicho lake tubuni

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 2 ปีที่แล้ว

    Hii vita na Wachungaji na waumini itawAtafuna tu..kutwa kuwachambua Watumishi wakat nyie ndio shida

  • @malupex6299
    @malupex6299 2 ปีที่แล้ว

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...

  • @African511
    @African511 2 ปีที่แล้ว

    Tatzo ni sadaka,ukiwakazia wapigaji kanisani hawa manyang'au wanakufanyia zengwe wakristo badilikeni sasa hivi makanisa yamekua chanzo cha mavuno ya pesa za waumini maskini

  • @ev.eliezangiruketv8902
    @ev.eliezangiruketv8902 2 ปีที่แล้ว +2

    KWAYA YA FIMBO YA MUSA NA VIJANA USHARIKA WA IPINDA, MUNGU WETU WA MBINGUNI ATAWALIPA KWA KAZI NJEMA NA SADAKA MLIYOITOA.

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 ปีที่แล้ว

    Akuna marehemu.kwakafiri yyt tumia neno hayati tuu..kazienu kuibia wezenu hl zao tu.hahahahaha.

    • @JJ-fb9jp
      @JJ-fb9jp 2 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh viby hivo ndugu

    • @zahorsalum4976
      @zahorsalum4976 2 ปีที่แล้ว

      @@JJ-fb9jp ubayake nn.

    • @praygodmtera9907
      @praygodmtera9907 2 ปีที่แล้ว

      Unalolote udini unakutesa

    • @zahorsalum4976
      @zahorsalum4976 2 ปีที่แล้ว

      @@praygodmtera9907 mm napenda sn dini yangu maana haipendi dhulma.

    • @praygodmtera9907
      @praygodmtera9907 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zahorsalum4976 Haipendi zuluma kivip mim najua ndo dini inayo jiona ya haki kuliko dini zote na endelea tu kuamin kama mtu asie muislam ni kafir

  • @verrynicemushi2563
    @verrynicemushi2563 2 ปีที่แล้ว

    Ee MUNGU warehemu watu wako

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 2 ปีที่แล้ว

    Udunia umeingia Kanisan EMBU VIONGOZI WA KKKT INGILIENI KAT