Mmmh wachungaji maasikofu na wKilisto jamani tumwabudu MUNGU HAYA MATAKATAKA HAYA NI YA NN KAMA SIO KUTAKA LAANA ??? mmmh tutubu dhambI na kuacha tuache uhuni huu kwani tumesahau KUWA Kuna kufa na KWENDA jehanamu KWA watenda dhambI???
Jeshi la Polisi likachote wahuni hao wote pamoja na Mch Mwaikali..wanayofanya ni Jinai kamili,Kama Mch Mwaikali anapenda sana Uaskofu akaone namna jasho na damu linavyotoka kuanzisha kanisa, asidandie vitu.
Huo Ni ukorofi Kama mwaikali Ana taka anzishe kanisa lake si kuleta mgogoro ndani ya la la makanisa la konde halisi iliyo anzishwa na bb Askofu mwakagali tangu mch samweli mwakipunda mwaikali mwaikali Jenga kanisa lako na wachungji wako na wafuasi wako
Walio taka kutuvunjia iman zetu wameshindwa saiz hali ni mzur mungu mwema ❤❤❤❤
Mungu atamlaani huyo anayetawanya kondoo wa KKKT
Shetani ameamua kucheza na makanisa.lkn ameshindwa kwa jina la yesu.
Mwabuduni mungu msiabudu dini wala maandishi
Jamaa ameongea point sana
Mwaikal ana laana
Mmmh wachungaji maasikofu na wKilisto jamani tumwabudu MUNGU HAYA MATAKATAKA HAYA NI YA NN KAMA SIO KUTAKA LAANA ??? mmmh tutubu dhambI na kuacha tuache uhuni huu kwani tumesahau KUWA Kuna kufa na KWENDA jehanamu KWA watenda dhambI???
Jeshi la Polisi likachote wahuni hao wote pamoja na Mch Mwaikali..wanayofanya ni Jinai kamili,Kama Mch Mwaikali anapenda sana Uaskofu akaone namna jasho na damu linavyotoka kuanzisha kanisa, asidandie vitu.
Saza waka kusewelesa chiuta mmm
Wito siyo kazi ndogo, kama Mungu amekuita lazima akupe na namna ya kupata eneo la kuabudia, otherwise huo ni uasi.
Dawa ni kuachia kila kitu unaenda kuanza upya labda kama uwekezaji ulikuwa binafsi
KKKT ifutwe tanzania
Mwaikali na kundi lake wakajenge majengo yaooo jaman wanadhani kazi nyepesi
Kanisa langu jaman tunaenda wapi etii
Huo Ni ukorofi Kama mwaikali Ana taka anzishe kanisa lake si kuleta mgogoro ndani ya la la makanisa la konde halisi iliyo anzishwa na bb Askofu mwakagali tangu mch samweli mwakipunda mwaikali mwaikali Jenga kanisa lako na wachungji wako na wafuasi wako
Afungue kanisa lake !
Huyo askof mshenz sana
Mwaikali amepotoka, arudi kwa Mungu wake akatubu. Na kama anaanzisha Kanisa lake akajenge majengo yake.
Usihukumu usije ukahukumiwa wewe
Aanzishe LA kwake na majengo yake
Majengo ni Mali ya kkkt, mwaikali ni msomi ,atafute majengo yake na hilo kanisa lake anachofanya ni criminal
My people are dying b'se of lack of knwlegde.. Oh God forgive us..
Hivi, vyombo vya
Dola wanaona hao watu? amepatakana kiongozi aheshimiwe na wote,saa Ni wakati wa kuwa nyooosha.
Ila wanawake bwana!
Wanajichanganya hawa
Hii ng'ombe ingefungua Makanisa yake
Mmmmh
Hivi Serikali haiwaoni hawa Vibaka wanao lazimisha vurugu mahakama imewakataa wao wanang'ang'nia
ukiambiwa umlete kibaka unamjua wewe, mwaikali kachaguliwa na mungu labda hao wengine ndo vibaka upo
Tatizo wanaropoka tu hawajui hata chanzo
.