MTOTO WA KISUKUMA AMKOSHA RAIS SAMIA KWA KIPAJI CHAKE, APEWA KIBUNDA CHA BAHASHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2023
  • MTOTO WA KISUKUMA AMKOSHA RAIS SAMIA KWA KIPAJI CHAKE, APEWA KIBUNDA CHA BAHASHA
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 145

  • @MonicaMussa-gy6nb
    @MonicaMussa-gy6nb 8 หลายเดือนก่อน +3

    Haya ndo mambo ya kufundisha watoto sio kuwafundisha mambo ya ovyoovyo tuu big up mwanangu

  • @KipolomaHasani
    @KipolomaHasani 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana mtoto ningekua na maisha mazur ningekuwezesha upo vzr sana

  • @user-rj4yq3bm1t
    @user-rj4yq3bm1t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera san mtot mung akutimiziye ndot zak Masha Allah❤❤

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 8 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations keep it up good job 🎉❤❤❤

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nakushukuru sana Wasafi kwa kunasa kipindi hiki.pia waalimu wote mlioshiriki kunuandaa mtoto huyo.

  • @severinekatumo2871
    @severinekatumo2871 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Rais Mama Suluhu.Naona umemsahau mpishi wa hao watoto yaani Mwalimu

  • @izaquiobernardo9025
    @izaquiobernardo9025 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sensacional, tô muito emocionado pelas crianças discursando na presença de sua EXCELÊNCIA presidente Samia suluhu

  • @SaraAfricanus
    @SaraAfricanus 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nice🎉

    • @SaraAfricanus
      @SaraAfricanus 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤

  • @user-eq4us3qk1l
    @user-eq4us3qk1l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mkerewe🎉

  • @sanurahimid1833
    @sanurahimid1833 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda sana ubunifu mzuri sana

  • @munaomar1755
    @munaomar1755 6 หลายเดือนก่อน

    Nawapa hongera saana kw juhudi zao zote MashaAllah uuu.

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 5 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AWAONGOZE❤❤❤

  • @bittemsigwa2031
    @bittemsigwa2031 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana mtoto uko vizuri

  • @mkanaonlinetv2994
    @mkanaonlinetv2994 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto yupo vizuri sana na inawezekana ana mambo ya ziada ya kuendelezwa

  • @munaomar1755
    @munaomar1755 6 หลายเดือนก่อน

    Allah awabariki hao wtt na awazidishie kw kukariri kla jmboo.na mma samia suluhu hassan mungu akujaze kla LA kheri.

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sana Raisi wetu
    Kuwa opendo wako Kwa jami
    Wote bila kujali nafas Yao ya maisha

  • @EstherDor-dk1pi
    @EstherDor-dk1pi 6 หลายเดือนก่อน

    Naipenda tanzaniya mimi mungu jaliya congo yangu neema

  • @zubedadello9117
    @zubedadello9117 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana

  • @user-px7ef5oc2x
    @user-px7ef5oc2x 11 หลายเดือนก่อน

    Mama yangu you deserv that, love you dk samia

  • @user-oh8oe7zy6z
    @user-oh8oe7zy6z 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu amjaalie

  • @onestartz
    @onestartz ปีที่แล้ว +1

    Safiii Sana👏👏👏

  • @stanfordrobert7677
    @stanfordrobert7677 ปีที่แล้ว +3

    Sema huyo dogo asiyeongea mfupi kuliko wote (kulia) ni star xn😄

  • @user-uy2nt9wp1v
    @user-uy2nt9wp1v 7 หลายเดือนก่อน

    Hongela sana kikana kwakipiji chao

  • @user-dd8jg8gn3v
    @user-dd8jg8gn3v 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo

  • @user-sc7sn6ux2v
    @user-sc7sn6ux2v 10 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎉

  • @user-tk4vn5ed8n
    @user-tk4vn5ed8n ปีที่แล้ว +1

    Wallaahi nimivutiwa na alichokifanya mama yetu Rais wetu bi Samiyya ...❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LendaMwanga-wm6xb
    @LendaMwanga-wm6xb 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @niyonzimasimeon1823
    @niyonzimasimeon1823 9 หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @bama9271
    @bama9271 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mtoto amelipwa!!!!

  • @NeemaPeter-xo5tz
    @NeemaPeter-xo5tz 10 หลายเดือนก่อน

    😘😘🥰🥰🥰😍😍

  • @user-tn4rz8dr6m
    @user-tn4rz8dr6m 11 หลายเดือนก่อน

    Hiyo mtoto ni vizuri aendelezwe Ana Jambo la ziada

  • @user-ee2mi6xw9g
    @user-ee2mi6xw9g 11 หลายเดือนก่อน

    Moto ni mhaya

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 ปีที่แล้ว +2

    Ww unajua mafanikio au unaropok😮😮😮..sema kamekaririshwa maskin

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      Fanya kazi dear huwezi letewa kula kwako na hawezi maliza maendeleo Yote pekee

    • @francismndeme6032
      @francismndeme6032 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @sophialusonzo3594
    @sophialusonzo3594 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi mjinga eti nalia na sijui nalia nini watoto wapo vizuri sana hao

    • @user-vu8rs9sj4z
      @user-vu8rs9sj4z 3 หลายเดือนก่อน

      Inalia kw furaha madame wangu %

  • @user-xs7bw2im8h
    @user-xs7bw2im8h 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani mngu awabariki hao wtt kipaji Chao kiendelee

  • @user-qq6mv6vh3e
    @user-qq6mv6vh3e 11 หลายเดือนก่อน

    Hii imeenda kbx

  • @user-si2uz3zg2m
    @user-si2uz3zg2m 11 หลายเดือนก่อน

    mtoto balaa sana

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 ปีที่แล้ว +1

    Siyo msukuma motor ni Mkerewe

  • @KirangoJoseph-pm7ww
    @KirangoJoseph-pm7ww ปีที่แล้ว

    Mama mwenyewe hachekiiiiiii

  • @FrolaMpagike
    @FrolaMpagike 3 หลายเดือนก่อน

    Upo vir😅

  • @user-rv3it6oh8i
    @user-rv3it6oh8i ปีที่แล้ว +1

    wasafi munadanganya huyu mutoto ni mkelewe halafu nyinyi munaandika musukuma 2:09

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 11 หลายเดือนก่อน

      Ni wasukuma me na ona wasukum Wana kua hiv

  • @user-pq9oy3tc7y
    @user-pq9oy3tc7y 6 หลายเดือนก่อน

    dg janj up vzur

  • @singanoabbas669
    @singanoabbas669 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏

  • @hassankaka
    @hassankaka ปีที่แล้ว

    Duh nomakweli

  • @danimark3300
    @danimark3300 ปีที่แล้ว

    Tatizo lako wewe unaumwa u.t.i kila mwezi na bado umekomaa na mfumo wako wa kunywa maji kikombe 1 kwa siku, umechoma sindano, umemeza vidonge lkn kesho tena unayooo🤔🤔🤔🤔 umejitutumua umetumia dawa ya asili umepona/hujapona lakini hata ulaji wako ni wa kisasaa Chipsi/kuku wa kisasa, soda, juisi za kiwandani na hujali kabisaa chakula cha asili,, ndugu yangu jirekebisheee.
    chunguza mfumo wako wa maisha na urekebishe mapungufu uliyonayo utakuja kunishukuruu, usipojirekebisha nimekaa pale nakusubiri uje utumie dawa ya Stopper,
    Stopper ni dawa ya asili yenye kutibu hormone imbalance, UTI sugu, fangasi sugu za ukeni, kutokwa uchafu sehemu za siri, kuwashwa sehemu za siri, chango, Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa na wakati wa hedhi, kukosa ute wa mimba na kushindwa kushika ujauzito, kukosa hamu ya tendo, inasaidiaa pia kubana ukee na kuongeza joto Ukenii.
    Stopper ndio suluhisho pekee la changamoto hizo, utaipata kwa 15,000 tuu, karibuu.
    kujifunza zaidi tembelea page yetu ya instagram
    instagram.com/jproducttz?igshid=ZGUzMzM3NWJiOQ==
    Tunapatikana
    Dar es salaam -Buza 0719021558

  • @user-nm4zi2iv8h
    @user-nm4zi2iv8h 9 หลายเดือนก่อน

    Tangu enziza za kenyatta , moi, kibaki, uhuru, hadi Leo ndio sirikali inatunyanyaza no no we are not happy kama jamii ya maa community.

  • @kadushimediatz
    @kadushimediatz ปีที่แล้ว +2

    Njaaa mbayaa Sanaa inakutia ujasiri😂😂😂😂 big up

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 3 หลายเดือนก่อน

    Matumizi mabaya ya muda,watoto wanakaririshwa kila kitu,ndiyo maana tunaambulia kupata viongozi wa hovyo hovyo ,hawa uwezo wa kiungozi,kutwa nzima kusifia na kupotosha.Mama katoa pesa kwa ajili ya ujenzi barabara.Aibu kwa Taifa.

  • @user-lg7tm9jx2b
    @user-lg7tm9jx2b 9 หลายเดือนก่อน

    Ata Mimi nimeumia kuona vipaji vya watoto

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mjukuu wetu. Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza Amina

  • @honorathakileo1181
    @honorathakileo1181 8 หลายเดือนก่อน

    Hizo Kaniki vipi jamani 😮😮

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 หลายเดือนก่อน

    Kama ngoma za mizimu vile?

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 ปีที่แล้ว +3

    Wasukuma mnatubeza tu ila tunatisha👏👏👏👏

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว +15

    Mpaka machozi yamenitoka mtoto mashaallah ana kipaji cha kukariri

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 7 หลายเดือนก่อน

    Haukuwa upole katika jambo ispokuwa hulipamba jambo hilo🎉

  • @MageDeogratius-rz6sw
    @MageDeogratius-rz6sw 10 หลายเดือนก่อน

    Syo mskuma hyo bna ni mtto wa u.k moja mskuma kweli awe jasili namna hiii🤣🤣🤣awe bna hongera katoto upo vzri

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 ปีที่แล้ว +2

    Wamemhalibu na wanamharibu mtoto.Anaongea vitu ambavyo havijui,U tafikiri wakoloni walivyokuwa wanataka babu zetu wasifie hadi vinyesi vya wakoloni

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 9 หลายเดือนก่อน

    Wakerewe au Wasukuma?

  • @user-dz3jx2wm3v
    @user-dz3jx2wm3v 3 หลายเดือนก่อน

    ukipewa uongozi utaweza au unajuwa kukosoa 2

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mtoto MUNGU akutimizie ndoto yako Na mdogo wako. Waoooo waooo

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂 toto mlipewa sh ngapii , msiniulize kama hainihusu

  • @simonchabara2464
    @simonchabara2464 10 หลายเดือนก่อน

    Oh yec nimeenda sana ....big up Mkerewe...bhwachatata

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 3 หลายเดือนก่อน

    Vp wadudu kwani wao wanàsemaje😅😅😅😅

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 4 หลายเดือนก่อน

    Daaa nimeliya mpaka kichwa kinauma

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 8 หลายเดือนก่อน

    Watoto wadogo kuwacheza coma ni kuwaharibu Bora mashahiri tuache Mila potovu mtoto kuimba na kuvaa vinyago hatari kuharibi watt

  • @user-eq2nq6os7v
    @user-eq2nq6os7v 11 หลายเดือนก่อน

    Congratulations ❤❤

  • @jacquelinelukumay9535
    @jacquelinelukumay9535 11 หลายเดือนก่อน

    Safi mtoto kiboko

  • @faridaaloyce4330
    @faridaaloyce4330 3 หลายเดือนก่อน

    Lakini ajira hakuna hata kama kuna vyumba vya madarasa

  • @josephmasanja8584
    @josephmasanja8584 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanini usukumani tunapenda uchafu kuwa eti ndo umaarufu ktkt ngoma!!!!???? Uchafu ni ujinga jananiii!!!!!!

  • @joycekaguo8476
    @joycekaguo8476 ปีที่แล้ว

    Ameweza

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 ปีที่แล้ว

    Mna mpongeza alafu mkitoka nje mnasema vibay kwann msimwambie ukweli hali ngumu mtaan

    • @samwa9496
      @samwa9496 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe piga kelele kwa upande wako watu wengine wanaporomosha majumba

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว +1

    Kataja sifa za JPM .Hawa watu wa mwanza .🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @simonchabara2464
    @simonchabara2464 10 หลายเดือนก่อน

    Faida ya kula samaki hyo

  • @erickdeus4177
    @erickdeus4177 ปีที่แล้ว

    Halafu huyo sio mtoto wa kisukuma ni mkerewe sikia tu ata lafudhi ya matamsh yake

  • @nasraomar3701
    @nasraomar3701 ปีที่แล้ว

    Sijaona hatalamana

  • @user-zb4pc6pe7c
    @user-zb4pc6pe7c 11 หลายเดือนก่อน

    Jaman kijana nimeipeda san hyo

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +5

    Daah nimejikuta tu machozi yananitoka wallah 🤔😂😂

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k ปีที่แล้ว +1

    Watoto wanawaza njaa.wote shida,mtu mzima unasifiwa na watoto waliokaririsuwa,na wewe unafurahi.CCM lao kubwa ni kusifiana.

    • @samwa9496
      @samwa9496 11 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo umechukia

    • @mariamponera6386
      @mariamponera6386 10 หลายเดือนก่อน

      ulizana wewe hata kama amekarieishwa ikumbukwe hata kukariri nacho n kipajo

    • @tezrantangeki5845
      @tezrantangeki5845 8 หลายเดือนก่อน

      Hata kama wamekaririshwa lkn huoni uwakilishi mzuri ns kujiamini kwa huyu mtoto!
      Sema tu una kachuki na kawivu labda!!

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js ปีที่แล้ว

    Mmmhhhhh

  • @user-xd9ye7wk6c
    @user-xd9ye7wk6c 10 หลายเดือนก่อน

    Hao wanamatwi hizo kaniki vipi jamani

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 10 หลายเดือนก่อน

    Promotion kibaaaaooooo, huku jahazi linasombwa na vimbunga kibao.

  • @yusufsadic2930
    @yusufsadic2930 7 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kuon watoto wa hao wanaojit viongoz wanakat viuno mbele yawat ujinga mkubwa san viongoz mtaendakulizwa naujingwenu hu

  • @user-xz2wq7ie8t
    @user-xz2wq7ie8t 7 หลายเดือนก่อน

    Ayat nyerere

  • @user-dz3jx2wm3v
    @user-dz3jx2wm3v 3 หลายเดือนก่อน

    jitaid muwe na fadhila

  • @fidisonbiseko7674
    @fidisonbiseko7674 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukerewe matwi gacharo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 ปีที่แล้ว

    Ila wanawake du!hawajawahi kuwa na aibu hata kidogo🤔🤔🤔🤔 ni mwendo wa kukata mayenu🤣🤣🤣🤣

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 ปีที่แล้ว

      Ndo asili yetu wa Africa wewe wa ulaya huwezi kuelewa

  • @user-ku7zp2ds4o
    @user-ku7zp2ds4o 10 หลายเดือนก่อน

    UBATILI NA KUJILISHA UPEPO. TUBUNI NA KUIAMINI INJILI YA YESU KRISTO PEKEE KWA MAANA UFALME WA MBINGUNI UMEKARIBIA

  • @user-ls2nq2eq3l
    @user-ls2nq2eq3l 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona machozi yananitoka!

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 ปีที่แล้ว

    Mtoto kasema ni mkerewe sio msukuma

    • @michaelemanuel3132
      @michaelemanuel3132 ปีที่แล้ว

      Sio kaz za Rais Samia izo!! Acheni uongo na njia za kujitafutia umaarufu izo kazi za hayat Magufuri!! Hongera zake zimwendee na zimfikie popote alipo japo nayeye tulisema hafai katika utawala wake.

  • @matthewpaddy6444
    @matthewpaddy6444 10 หลายเดือนก่อน

    Ni wa ukeleweni sio usukumani😂 hongereni sana

  • @NickolasMgandi-nc4vd
    @NickolasMgandi-nc4vd 5 หลายเดือนก่อน

    Danlowad

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 11 หลายเดือนก่อน

    Dogo ana kipaji cha kumeza yaani huyu ukitengeneza mlungula anauchana dk mbili keshakarrir

  • @ayoubdallu4476
    @ayoubdallu4476 ปีที่แล้ว

    Kuwa uyaone

  • @MasaluPetro
    @MasaluPetro 11 หลายเดือนก่อน

    Hogela Sana edelea

  • @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
    @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt ปีที่แล้ว

    Kanda yaziwa Kuna vipaji

  • @MwemaSaid
    @MwemaSaid 23 วันที่ผ่านมา

    Zuch

  • @EvaSadala-vv8jn
    @EvaSadala-vv8jn 8 หลายเดือนก่อน

    Ningekua na ww hapo mtto ninge kuzabia kibao elim Bure unajua tunapita mangapi wanstupa watto mbari huko ambako hata serikal haipo kurudisha pesa nyingi nafasi wanauza huyu nae umbwa nyie sijui majitu ya wapi nyie

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Hivyo mlivyo mtakufa bila nguo

  • @jenniferzakaria3884
    @jenniferzakaria3884 10 หลายเดือนก่อน

    Hata siwez Bora nikalime bustan tu

  • @maxiellmillians9pl278
    @maxiellmillians9pl278 ปีที่แล้ว

    Dogo mkelewe huyo