Huyu Mama nimpole sana tena sana tumpende wote kwaujumla iliaweze kuchapa kazi kwa bidii, angekuwa mtu mwingine angefukuza mkuu wamapolice TZ nahao majambazi Traffic police ambao walikuakazini usiku huo. No one like Mama samia" JAH bless🙏
Ukumuelewa mama Samia, haya matukio ni kabla ajawa Rais wa Jamhuri but she was a big officer WA state capable to drive her car on her own, but watu wa kawaida tunateseka na traffic officers.
Maneno ya busara na hekma kutoka kwa Rais wetu na mama yetu SSH, Allah akupe afya njema na akupe umri mrefu inshaa Allah, Nakupenda sana mama ❤ hii video imeniuma sana eti "waarabu" kwahiyo angelikua mwafrika yasingetokea hayo wala kauli hizo za kibaguzi na ukabila!!, waarabu ni ndugu zetu na tunawapenda sana, wewe unaewachukia utajua mwenyewe, huwapunguzii chochote. Mama piga kazi, wabaguzi wapo tu, hata ukiingia mitandao ya jamiiforum n.k wapo tu, sisi ndugu zako tuko nyuma yako inshaa Allah, Allah awe nawe ❤
Hawa jamaa huwa wanatusi mtu kwa aina nyingi tu, kama mgogo, atatusiwa, mhaya, muchaga, mmakonde, mpemba na nk, what they really need is money/rushwa, shame !
Maaasha Allah mama nakukubali sana umekuwa msfahmilivu tangu zamani maskini walikubagua ila leo umefika mahali Mungu aliamua ufike. Hongera sana nakupenda sana na nakukubali kinowmaa
Rais wetu mungwana sana M/mungu ametaka kukuonyesha hali halisi ya askari unaowaongoza na dhulma wanazo zifanya kwa raia spat picha hali ingekuaje rais wa nchi angelikua mbabe
Tunachojifunza hapa ni nini, baadhi ya trafic officers ni wa hovyo sana na hawajitambui, wala rushwa na mkubwa serikalini au mtu anaefahamika anaweza kuwa favoured but watu wa chini wengi wanateseka na kunywimwa haki na thamani ya utu.Jeshi la police linahitaji maboresho zaidi ili liendane na wakati . Asante Rais wetu mpendwa kwa kulijuza jeshi letu.
Hapa unaweza kujifunza mengi kupitia hii story,kwanza ni jinsi ya uendeshaji mbovu wa taasisi hii,pili ni harufu ya rushwa iliyokithiri na tatu ni uwajibikaji mdogo na uvunjwaji wa sheria,mm nilishangazwa majizi niliwaona trafic ni viumbe wazito sana wao wapo kuangalia magari yenye makosa tu kuna mama anakatiza kwenye congestion badala wamsaidie yaani kama hawaoni vile wanasumbuka na fine za kijinga tu
Kiukweli Trafiki wanakera sana Hasa huku Kigoma. Gari YANGU ilisajiliwa kufanya biashara, hivyo basi nilivyochelewa kupata Plate number nyeupe nilipigwa faini nikakubali na huku nina risiti za kulipia hizo Plate number. Nilivyoenda kuuliza jamani hizi Plate Number zinachelewa nafanyaje sasa wakaniambia mwambie Dereva wako atembee na risiti za malipo ya Plate number kwenye gari, Nikasema sawa, ruhusa nimeipata leo, kesho narudisha gari barabarani tu nakamatwa na kupigwa faini tena, na WAKATI wao ndio waliniruhusu kuingiza Gari barabarani, Wanakera sana,kwa kweli wanakera.
Mheshimiwa Rais Mamaetu kipenzi chetu kiukweli wewe ni Muungwana sana na kiukweli unahitajia heshima kubwaa lkn watu walikua hawajakuelewaa! Mungu akulinde na akupe Afya njema ya kuliongoza Taifa letu la Tanzania Mungu Ibariki Tanzania Ameen!!!
Safi sana mama, nimependa busara yako, hao askari wana tabia chafu sana. Hua wanatumia nguvu kuliko akili. Bora nawe ulishapitia hayo, hawana akili wala ustaarab hata kidogo
Dennis kadhr from.Nakuru city Kenya 🇰🇪🤭🥰🥰🇰🇪 we need you to.also talk this sense to.Kenyan police your our leader in Africa sote HE HON President Samia Hassan Suluhu🔥🔥
All praise President Nwalimu in his blessed memory and prayers to these current presidents to carry on and no to always be carried away by crowd laughters.
Kabisa mimi nilishawahi kutembea nchi mbalimbali lakini sijaona ma police kama wa tzt haswa pale sumbawanga ni wizi tupu lakini afadhari Na rais yamemkuta
Laiti ningalikuwa Mtanzania.Kenya,hio police station cjui ka ingebaki,all police officers w'd be fired. Mko na bahati majirani. Watching from the United States
Asante ,mama,kiukweli,baadhi ya polisi,sii wote,kuna baadhi yao,ni hatari kweli,akikumata anakuwekea bangi alafu anakwambia,ngoja uone Kama hii kesi utatoboa.huku kitaa polisi hawapendwi wanaonekana ni maadui kinyume na kazi yao na pia wanatumika kisiasa.hatari,Asante mama kwa kulijua Hilo mapema.kunahitajika rifomu kubwa ndani ya jeshi la polisi.
It's not our fault mum it's the Orders and rules we as Citizens we have to follow then northing is Easy..inshort it's Complicated.. good thing you know how to follow thenm kudos Mum look at you Now You're the Boss.#Tanzaniamoja.
Hiyo mama iliyokukuta ww hatamie iliwahikunikuta hivyohivyo hawana lugha za kingwana kabisa badala wao wawe msaada Wao ndio shida hamna anaowapenda labda awe na masirahi nao.
Lugha zao kweli mbaya sana. Na kuwaita watu waarabu sujui wahindi ndio kauli zao. Sasa uarabu na uhindi umekhusi nini kutajwa, hata kama umefanya kosa, kwani kabila ndio lilofanya kosa. Waache hizo kauli, hebu wafundisheni adabu kidogo kuheshimu watu.
Sahihi ni ivyo alivyoambiwa Mheshimiwa Rais yeye mwenyewe kaambiwa ivyo na inabidi kiukweli kuweka sheria Askari akikuletea lugha mbaya unakua na haki ya kumshitaki kwanini lkn wanakua na Viburi ivyo???
Mimi nauliza police waliambiwa kuwa FUSSO na CENTER azirusiwi kupita mbele yao? Hata uwe umekamilika lazima wakuzingue tu. Ndo maana tunatembea usiku mara nyingi sisi wenye hizo gari make mchana wanaboa sana hata jamaa
Afadhali wewe Mama Samia ulikua unajulikana na hawo ma boss. Mimi nimejuta jamani na hawa police. Sitaki niyaseme hapa. Ila wapeni elimu ya ki psychology wafanye kazi yawo vizuli.
Huyu Mama nimpole sana tena sana tumpende wote kwaujumla iliaweze kuchapa kazi kwa bidii, angekuwa mtu mwingine angefukuza mkuu wamapolice TZ nahao majambazi Traffic police ambao walikuakazini usiku huo. No one like Mama samia" JAH bless🙏
C 2napenda kaz
Usitufokee na usitulazimishe kumpenda
,,ukimpend ww inatoxh..😂
Unaumwa we kama unampenda bas kausha sio unaanza kupayuka
Ukumuelewa mama Samia, haya matukio ni kabla ajawa Rais wa Jamhuri but she was a big officer WA state capable to drive her car on her own, but watu wa kawaida tunateseka na traffic officers.
MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MAY ALLAH GIVE YOU MORE YEARS TO LIVE ALLAHUMMA AMEEN.
Aamin
Mash Allah
Ameen
Mama umeongea point kubwa Sana kutoka oman mama fanya kazi mashaallaah
Ucjali bro tutalifanyia Kazi apa Kazi💯 kwenda mbele tu!! 😜
Watanzania mnabahati sana huyu Mama nimkarimu kiasi kisicho mithilika la sivyo jeshi zima la polisi lingehara kwa maamuzi yake("watching from🇰🇪")
Mandongabondia
Bondoa
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu kama hautojali
Maneno ya busara na hekma kutoka kwa Rais wetu na mama yetu SSH, Allah akupe afya njema na akupe umri mrefu inshaa Allah, Nakupenda sana mama ❤ hii video imeniuma sana eti "waarabu" kwahiyo angelikua mwafrika yasingetokea hayo wala kauli hizo za kibaguzi na ukabila!!, waarabu ni ndugu zetu na tunawapenda sana, wewe unaewachukia utajua mwenyewe, huwapunguzii chochote. Mama piga kazi, wabaguzi wapo tu, hata ukiingia mitandao ya jamiiforum n.k wapo tu, sisi ndugu zako tuko nyuma yako inshaa Allah, Allah awe nawe ❤
Hawa jamaa huwa wanatusi mtu kwa aina nyingi tu, kama mgogo, atatusiwa, mhaya, muchaga, mmakonde, mpemba na nk, what they really need is money/rushwa, shame !
Vicheko
Salute,
Tujifunze kitu hapo wewe polisi angalia kauli na vitisho hunaye mtisha leo hujui kesho yake atakuwa nani.
Kwa kweli shida tu!
Kweli uwa wapuuz Sana awa jamaa
@Angelina meki wewe ikiwa una mambo ya ufuska kauze uko uko kwa wenzio usituletee sie mambo ya Kisenge senge apa fuck off!!!
Wana bahati sikuwa Mimi baada yao kuniweka kwenye mmbu na wao wangeipata pata POLICE WASINGEKUWEPO TU TUKABAKI NA JESHI
Maaasha Allah mama nakukubali sana umekuwa msfahmilivu tangu zamani maskini walikubagua ila leo umefika mahali Mungu aliamua ufike. Hongera sana nakupenda sana na nakukubali kinowmaa
Pole sana Mama yetu ndiyo Askari Traffic wetu wanaotusumbua mitaani hao
Huyu Mtu yeye anasema taratibu hila Anajua Mengi Sana Moyoni mwake...Bravo Samiath Suluhu Hassan.Songa mbele Usiogope.
Rais wetu mungwana sana M/mungu ametaka kukuonyesha hali halisi ya askari unaowaongoza na dhulma wanazo zifanya kwa raia spat picha hali ingekuaje rais wa nchi angelikua mbabe
Asante mama..afadhali umeyaongea yatasaidia ktk jeshi la polisi ktk kujitekebisha
Mimi kweli kweli unawajua wao wao kasheshe hawa jamani ukikutana nao hawana mchezo afadhali uwajua ubarikiwe Rais wetu
Yaani mama Samia ndivyo walivyo kabisa afadhali umepitia kuwajua bila kuambiwa
Trafick wabogo wanakera wengine cio wastarabu kabisa mwez uliopita wameniandikia fain nipo na jeneza naenda kubeba mwili hospital kisa buku
@@gideonmwenda2959 😂😂😂😂😂😂
That soft spoken meaning laden SWA is poetically heavenly
Hongera Sana Malikia Samia Kwa KAZI nzuri Rais wetu kipenzi
Tunachojifunza hapa ni nini, baadhi ya trafic officers ni wa hovyo sana na hawajitambui, wala rushwa na mkubwa serikalini au mtu anaefahamika anaweza kuwa favoured but watu wa chini wengi wanateseka na kunywimwa haki na thamani ya utu.Jeshi la police linahitaji maboresho zaidi ili liendane na wakati . Asante Rais wetu mpendwa kwa kulijuza jeshi letu.
Nakupenda sana kiongozi wangu Mama angu kipenzi Mama samia suluhu Hassan. Mungu akuzidishie hekma na busara nyingi kama Suleiman love u Mama
Mama Mungu akukinge na ajali za roho na mwili ,unaongea point sana
Hapa unaweza kujifunza mengi kupitia hii story,kwanza ni jinsi ya uendeshaji mbovu wa taasisi hii,pili ni harufu ya rushwa iliyokithiri na tatu ni uwajibikaji mdogo na uvunjwaji wa sheria,mm nilishangazwa majizi niliwaona trafic ni viumbe wazito sana wao wapo kuangalia magari yenye makosa tu kuna mama anakatiza kwenye congestion badala wamsaidie yaani kama hawaoni vile wanasumbuka na fine za kijinga tu
Nam mheshimiwa mama samiya mola akuhifadhi akupe afya nzuri ni fahim,kutoka kenya
I love you 💖 my mum
Kama umewaona askari wamepeana tano😀 baada ya mama kusema aliambiwa hao mbu hawana shamba waache wale.......like kwa sana🔥🔥
Love u so much my mama president♥️♥️♥️♥️♥️
Kiukweli Trafiki wanakera sana Hasa huku Kigoma.
Gari YANGU ilisajiliwa kufanya biashara, hivyo basi nilivyochelewa kupata Plate number nyeupe nilipigwa faini nikakubali na huku nina risiti za kulipia hizo Plate number.
Nilivyoenda kuuliza jamani hizi Plate Number zinachelewa nafanyaje sasa wakaniambia mwambie Dereva wako atembee na risiti za malipo ya Plate number kwenye gari,
Nikasema sawa, ruhusa nimeipata leo, kesho narudisha gari barabarani tu nakamatwa na kupigwa faini tena, na WAKATI wao ndio waliniruhusu kuingiza Gari barabarani,
Wanakera sana,kwa kweli wanakera.
Wanakera kinoma
Hawa jama mm nasema balabala yakwenda mbinguni ingepita kwetu wangenikoma
Kweli kwa kweli Wana kera ila kweli biblia inatwambia mxamehe 7x70
Wanazingua
Mama your humility is good for the country. But the people in uniform need more training on how to conduct themselves
Ni kweli tena warudishwe shule kbs
Kumbee mama anajuwa kuekti kama Raiaa, Allah amuhifadhi 🤲🤲🤲🤍💯
Leo mama umesema labda sasa wataweka ubinadamu kidogo🙏 asante mama yetu 🙏🙏🌺🌺🌺
Mama Leo umesema ukweli
Mheshimiwa Rais Mamaetu kipenzi chetu kiukweli wewe ni Muungwana sana na kiukweli unahitajia heshima kubwaa lkn watu walikua hawajakuelewaa! Mungu akulinde na akupe Afya njema ya kuliongoza Taifa letu la Tanzania Mungu Ibariki Tanzania Ameen!!!
Inafurahisha na kusikitisha vilevile!
Safi sana mama, nimependa busara yako, hao askari wana tabia chafu sana. Hua wanatumia nguvu kuliko akili. Bora nawe ulishapitia hayo, hawana akili wala ustaarab hata kidogo
Shule Yao ndo hiyo waliofeli shule wanatumia nguvu kuliko akili Wana maneno mabaya Sana busara hekima hawakupewa kabisa
Ni mwafrika akipewa cheo kidogo hawatumii kutoa huduma bali kunyanyasa wananchi. Hi tabia iko kila pahali kwanza hi Kenya wacha tu.
Dennis kadhr from.Nakuru city Kenya 🇰🇪🤭🥰🥰🇰🇪 we need you to.also talk this sense to.Kenyan police your our leader in Africa sote HE HON President Samia Hassan Suluhu🔥🔥
Just imagine if the bosses didn't know her.
Mama yetu ana busara sana. Mungu akusimamie Rais wetu, watu wanaumizwa San katika mambo mengi hali ya kuwa wao hawajui.
Words of wisdom mama💪🏿
Mama Wona Sikuzote Madereva Tunanyanyaswa Sana Barabarani 🙏♥️🇹🇿
😂😂😂vizuri hakukuachia,sababu kama alikuachia angeachia wengine wale wanavunja Sheria,inafaa upandishie huyo karao cheo
Kama wameweza kumfanyia Boss wao hivi.,.
Wwngine watakua kweny hali gan😁😁😁😁
Hongera. Kaka. Kwa mvi. Zako
Police wanacheka! Ni mbaya Sana,uonevu wa police ni mkubwa Sana waonye mama.
Wanacheka mpaka wanasalimiana ina maanisha ata haiwaumi hata kidogo
Hawana adabu!!!
Sasa Walie?
This is touching, it's high time we need to change for things to go well
Mama samia kanichekesha kweli...Daah,, "kuwa mbu hawana shamba, duuh..Jamani ndo polisi wetu hawa
🤣🤣🤣👍
Kwani wanashamba?
@@kishingokishingo1840 Mbu hua wanapendaga majani!!
Kuua Mbu inamaana zalau iyo!
Huku Kenya raise hutembea na.convoy nzito...police bosses ndio huwa kwenye guard ...walahi kidudu mtu hawezi mfikia...pole maa. . you're very humble
All praise President Nwalimu in his blessed memory and prayers to these current presidents to carry on and no to always be carried away by crowd laughters.
I wish you were our president mama much love from kenya 🇰🇪
💛🧡💯
Mhnhnh
acha ujinga
Mwalimu nyerere was absolutely right...tanzania talking about tribes....what tribes got to do with citizenship...if you are tanzanian...
Hawana shamba hao acha wale 😂😂😂
Hawana shamba wacha wale Mama 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤.I Love you Mama.
Baadhi ya police Wana ubaguzi Sana hasa wakiona wanzibar anatuona sisi washamba sana
Walizani yeye ni barawa ya somalia.aw Malika Mohamed ndogo wake
Cool emissions
Duuuh Pole polisi walikuwa hawakujui wewe ni nani?
Wameingia cha kike 😂😂😜
Kwa JPM ilikuwa hamna nani wala nani?
Ni kitambo sana. Hakujigambia cheo!
@@mwana4599 Unayumba. Wakati wa JPM alikuwa hatembei bila king'ora. Hiyo ni kitambo kabla ya kuwa makamo wa rais!
Sas kam ni nan askamatwe police walifanya kaz yao nawao mm naona saw tu tukamatwage ss tu😂😂😂😂😂
Mashallah 🤲🤲🤲🙏🌹❤❤❤❤❤
Mama ametumia siasa kubwa
Ongea sana mama Samia suluhu mungu aendele kukupanguvu zakuongoza inchi vzr
Kabisa mimi nilishawahi kutembea nchi mbalimbali lakini sijaona ma police kama wa tzt haswa pale sumbawanga ni wizi tupu lakini afadhari Na rais yamemkuta
Mama Anahuruma Hakumfukuza Huyo Askari Alie Mkamata
Angelikua Mwanakwenda Zake Angekua Ameshamfukuza Kazi
Yaani umeongea ukweli mama! Yaani shida kidogo ya kuonya tu lkn utasumbuliwa hata siku nzima
Eeh I imagine uhuru kenyatta afanyiwe ivi waaaah eeeeeeeeeh ongera tz
Hapo ndo utajua mtu baki atazidi kunyanyasika tu mwenye cheo na fedha ndo atathaminiwa, ila Kwa Mungu uwe na fedha uwe hauna sote tutakuwa sawa tu.
Kwa kweli
Laiti ningalikuwa Mtanzania.Kenya,hio police station cjui ka ingebaki,all police officers w'd be fired. Mko na bahati majirani.
Watching from the United States
Wanatumia nembo ya jeshi vibaya, mama Samia kumbe unawajua hao vizuri. Duh sio poa hata kidogo.
Sheria ifanyiwe marekebisho, police Wana mamlaka kubwa Sana znazoumiza raia Kwa upande mwingine,
Goodest, mama tunaomba sana mradi wa umeme wa Rufiji uendelee!
The fast women in the ward mama Samia chapa kazi kiongozi
Rais SAMIA jaribu kusikiliza kilio cha mtumishi wa mungu MBALIKIWA MWAKIPESILE MBEYA ISYEISYE MAANA ANAHAKI YA KUSIKILIZWA KAMA LAIA WA TZ
Asante ,mama,kiukweli,baadhi ya polisi,sii wote,kuna baadhi yao,ni hatari kweli,akikumata anakuwekea bangi alafu anakwambia,ngoja uone Kama hii kesi utatoboa.huku kitaa polisi hawapendwi wanaonekana ni maadui kinyume na kazi yao na pia wanatumika kisiasa.hatari,Asante mama kwa kulijua Hilo mapema.kunahitajika rifomu kubwa ndani ya jeshi la polisi.
Umefanyiwa wewe Samia ambaye historia imesimama nawe, wasiojulikana wana hali gani.
Wako sawa wanafanya kazi yao hongera kwa hao asikari
Imani....ukweli na busara nimeiona kwako mama yetu...mungu akutangulie
It's not our fault mum it's the Orders and rules we as Citizens we have to follow then northing is Easy..inshort it's Complicated.. good thing you know how to follow thenm kudos Mum look at you Now You're the Boss.#Tanzaniamoja.
Eti warabu hawa wamezidi. Kwani mwarabu sio binadamu!? Kweli mama ubaguzi hautakiwi nchi hii.
Kwani Raus ni mwarabu?
Watz tunatofautiana kwa rangi, kwa kabila, kwa jinsia, kwa dini, kwa vyama, lakini sisi sote Watz... Tuheshimiane, jamaani ! Mungu ibariki Tz
Si wanaangalia Rangi wao wanajua nani mwarab nani sio mwarab??? ndugu ilo sio suala apa kinachoongelewa ni Ubaguzi sio chingine au una lako na ww??
Doria yapolice wakikukamata umepakiza mshikaki ujuwe pesazitakutoka nirushwa
Ewalaaa mama Samia umeona apoe. Hatupendwi Zanzibar naneno muarabu niuadui kwahao wenzetu.
Mpaka nimependa manake yanatukuta kila siku hatuna pakuyasemea ukienda kusemelea polis unapewa kesi kubwa zaidi
Raha sana kiongozi ukiwa kujulikani kwa sura maana unagundua madhaifu mengi ya viongozi wengine. Kwa sababu wanafanya bila ya kujua wewe nani.
I love you Maman Samia suluhu 💕❤️
Mama kazi njema
How comes police wasimamshe President?? Hao waende nyumbani
I think before she became head wa state.
Umshukuru mungu ww upo serikalini upo na vyeo vyako sasa uliza lahiya wako 😭😭😭😭
yaani kwamba maafisa hawamjui Rais? mbona ajabu hii!!
Wakati huo hukuwa Rais ndiyo Maana ,🤣🤣🤣🤣 ,Kwakweliii pole mama
Mbu nao wanahitaji kuishi ila ........😂😂😂😂😂😂alafu gari yenyewe ilishagongwa nyuma 🥴🥴🥴🥴
😂😂😂😂 Allah akujalie afya njema Inshallah
NAMUOMBA M/MUNGU AKUTIE NGUVU NA AKUONDOSHEE MARAZI.NA AKUPE UFAHAMU KATIKA UONGOZI WAKO WA KILA SIKU.INSHALLAH.
Our own president should hear this....we are going through alot...
yes muda mwengine hekma kwa kila mtendaji wakazi.
Hiyo mama iliyokukuta ww hatamie iliwahikunikuta hivyohivyo hawana lugha za kingwana kabisa badala wao wawe msaada Wao ndio shida hamna anaowapenda labda awe na masirahi nao.
Mie yashanikuta alafu kweli kabisa wana Ubaguzi mkubwa Siku wakiamka nao ikiwa ndio wamekerwa uko alipotoka hasira yake yote ata kumalizia ww!
Hii nchi kuilewa inatakiwa uwe punguani kwa kweli ,juzi wamesema wanataka askari ambao walipata ziro na hiyo ndio outcome ya ziro.
Mamangu naanza kukuelewa sasa,bola ulivoanza kuwatambia mapema hao hizo tabasamu zao wakikitana na mwananchi had rushwa.
Lugha zao kweli mbaya sana. Na kuwaita watu waarabu sujui wahindi ndio kauli zao. Sasa uarabu na uhindi umekhusi nini kutajwa, hata kama umefanya kosa, kwani kabila ndio lilofanya kosa. Waache hizo kauli, hebu wafundisheni adabu kidogo kuheshimu watu.
Sahihi ni ivyo alivyoambiwa Mheshimiwa Rais yeye mwenyewe kaambiwa ivyo na inabidi kiukweli kuweka sheria Askari akikuletea lugha mbaya unakua na haki ya kumshitaki kwanini lkn wanakua na Viburi ivyo???
Asante mama...Kenya twawapeda.
KAZI NI NDOGO TUU, VUNJA JESHI LOTE LA POLISI ULIUNDE UPYA, LINA MAASKARI HOVYO KABISAA SIJAPATA WAHI ONA
Aah polisi wamezidiiii kila mtu anajikutaga ana sauti na mamlakaaa,full uonevuuu wale watu🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️
Polisi wa sasa wanajali watu wenye pesa kama ww nimaskini siku ikatokea bahati mbaya unabahati
Mimi nauliza police waliambiwa kuwa FUSSO na CENTER azirusiwi kupita mbele yao? Hata uwe umekamilika lazima wakuzingue tu. Ndo maana tunatembea usiku mara nyingi sisi wenye hizo gari make mchana wanaboa sana hata jamaa
sio fusotu coster na hice ata kama ilikua kalala ataamka2
Waambie mama.,uonevi umezidi ,mafuta alikuwekea wakati wa kukurudisha
Safi sana wanakera sana hao kosa la kukuonya kesho usirudie wanakomandi sana
GOD BLESS OUR POLICEMEN, WE LOVE THEM
Nice melody🎉🎉
Hawa jamaa bwana 😂😂😂
Afadhali wewe Mama Samia ulikua unajulikana na hawo ma boss. Mimi nimejuta jamani na hawa police. Sitaki niyaseme hapa. Ila wapeni elimu ya ki psychology wafanye kazi yawo vizuli.
I love mama.kenya tungefuta kazi mpaka mkuu wa askari hio wilaya yote😅😅
Kumbe mama ni mwarabu 😂😂😂