Mie naumwa na titi Halina tezi Wala dalili ulizozitaja..Huwa likiuma naumwa upande mzima Hadi mkono..Hadi skio Hadi jicho...yaani upande mzima ..Kila nikienda hospital nafanya vipimo ila hakuna kinachoonekana ..na hili titi Huwa ni dogo kuliko mwenzie na halijaagi maziwa sana wakati wa kunyonyesha..
Mm change motor niliyonayo ni chuchu kutokea viupele vidogovigo na maumivu makali nitatizogani nisaidiwe?
Na mm umwa na moja naskiya uchungu alafu kwa niple kando nimeona ikona kama thundo naomba ushauli
Hbr dada mi ziwa langu lina buja ndan ya km linachezacheza ila haliumi