@@Dully-p6c Hapana ni ugonjwa unaosababishwa na Kula na kunywa pia mifumo mibaya ya hanasa inayo athiri mwili na kufubaza seli za mwili. Pita youtube kwenye page hii yangu utajifunza
Nuh makob jitahid kunywa maji kwa wingi vile usitumie vyakula vya uwang na mafuta pendelea kula mboga mboga kwa wing na bamiya kwa wingi Inshallah gazi itatoka na ujitahid kufany mazoezi
M nikua nakula.mchele mbichi ndio nikapata kisukari na situmii dawa kila wakati namaliza hata miezi mbili sili dawa. Najinyima tu kula vitu vya sukari na kula sana situmii dawa ila maumivu ya kiuno na mgongo ndio naskia sana pia,,, nilienda spitali nikapewa dawa za maumivu nilika maumivu ya pungua lakini bado tatizo lipo na niko inchi ya inje
Ok
daktari upo vizuriii.... asanteee sana
Mungu atusaidie nimeenda kupima juzi nikakutwa na sukari Mungu aseme namaisha yetu
Pole sana Mungu atakujaliya
Barikiwa sana doctor
Asanteee dokta
Asante dokta
Sahihi doctor vyema
Naomba kuuliza. Je kisukar kinaweza kuambukizana kwa njia ya damu?
@@Dully-p6c Hapana ni ugonjwa unaosababishwa na Kula na kunywa pia mifumo mibaya ya hanasa inayo athiri mwili na kufubaza seli za mwili. Pita youtube kwenye page hii yangu utajifunza
Ahxante daktari kwa elimu nzurii xnaaa ,nlikuahidi daktari ntakjaa kukupa zawadi kwanii umetuokoa wengi xnaa kwenye swala la Lixhe!!
Je??doctor mkojo ukiwa na ladha ya chumvi au sukar unadalili katika hilo la kuashiria diabetes?
Ss kisukari akiwezi kuisha
Allah atujalie salaam dadali zote hizo zilinipat na saiv nnayo sukar ila Allah atuzidishie uzima Inshallah
Niliwah kusoma comment yako mda ulisema umewezakudhit sukar yako
@@zainabusaidy3614
A Alayykum ndio nimeizibiti sukar alhamdulilah situmii daw ila na hesabik ni mgonjwa wa sukar
@@zainabusaidy3614 Inshallah
@@zainabusaidy3614 dad bora nitafute wew maaan sijui upo wapi nimeeka namba naon sijaipat bor nichek wew+96893278748
@@zaheernakhwa903 eeee m pia nina sukari situmiii dawa kabisa labda nile keki
Mm Nina joto la miguu na maumivu ni kisukar dokta
Mimi pia ganzi huwa inanitokea ila nilienda kupima kisukari sina hadi macho yanauma inaweza kuwa nikisukari
Probability ya kupata kisukari ni kuanzia miaka mingap doctor?
Nikiamka asubuhi, ninapoweka ninapokanyaga kwa Mara ya Kwanza nahisi Kama ganzi kwenye kisigino mguu wa kulia. Naomba ushauri Dr
Nuh makob jitahid kunywa maji kwa wingi vile usitumie vyakula vya uwang na mafuta pendelea kula mboga mboga kwa wing na bamiya kwa wingi Inshallah gazi itatoka na ujitahid kufany mazoezi
Piga simu au whatssap nikusaidie +255 628317970
M nikua nakula.mchele mbichi ndio nikapata kisukari na situmii dawa kila wakati namaliza hata miezi mbili sili dawa. Najinyima tu kula vitu vya sukari na kula sana situmii dawa ila maumivu ya kiuno na mgongo ndio naskia sana pia,,, nilienda spitali nikapewa dawa za maumivu nilika maumivu ya pungua lakini bado tatizo lipo na niko inchi ya inje
Maumivu ya misuri sio dalili ya kisukari!?
Ni ndio