MCL DOCTOR: SIO KILA UVIMBE, MAUMIVU KWENYE TITI NI SARATANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

ความคิดเห็น • 104

  • @rachelrodgers4398
    @rachelrodgers4398 2 ปีที่แล้ว +6

    Mimi napata kichomi kwenye titi maumivu makali adi nyuma ya mgongo shida itakua nini?

  • @Tatu-b9p
    @Tatu-b9p หลายเดือนก่อน +1

    Ak doctor ata mm huwa naumwa na matiti sana mpka huwa yananipa hofu

  • @JudithMbinga
    @JudithMbinga 6 วันที่ผ่านมา

    daktar mimi ziwa langu la upande wa kushoto ukikama linatoa majimaji ya rangi nimekutana na daktar bingwa wa wanawake naambiwa hakuna tatzon ila likianza linabwita

  • @AbuuKasimu
    @AbuuKasimu 7 วันที่ผ่านมา

    Mm dokta nna uvimbe kwenye ziwa kwa pemben karbu na kwapa ndan ya ziwa kuna km kikokwa lakn hakiumi siskii maumivu nna waswas

  • @happysamwel7569
    @happysamwel7569 ปีที่แล้ว +3

    Doctor me ninauvimbe kwanye titi sisikii maumivu yoyote

    • @LilianJaphety
      @LilianJaphety 6 หลายเดือนก่อน

      S ndio amesema uvimbe mgumu ambao hauna maumivu n dalili ya kansa...nenda hospital

  • @MoroVeo-u1w
    @MoroVeo-u1w 17 วันที่ผ่านมา

    Doctor mimi niko na uvimbe kidogo kwa titi la kulia sijui nifanye aje uchungu kidogo

  • @Nasramuddy
    @Nasramuddy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi titilangu moja linawasha sana alaf ili vipele nini shida

  • @mathamainda4839
    @mathamainda4839 2 ปีที่แล้ว +1

    Samaani mi natatizo LA kujaa Maziwa ninapokula tuu chakula hilo husababishwa na nini na sijawahi kuzaa na kunawakati ziwa LA kushoto linakuwa na maumivu makali sana na kunakuwa na uvimbe mgummgum ukiyashika wakati mwingine ila nisipokula au Nikola maramoja kwa Siku yanakaa vizur tuu

  • @azizaramadhani3227
    @azizaramadhani3227 หลายเดือนก่อน

    Mimi naumwa ziwa Moja laupande wakushoto Alina siku maharumu nishapima salatani lakini mungu kajalie sn laalina uvimbe naili nyama aliumi linauma kwandani ss sasaivi linauma pk najiisi limevimba ila nishainda ospitali wanasema liko kawaida meza dawa zamaumivi ila linanipa mawazo sn

  • @SalmaKhamis-pm2wi
    @SalmaKhamis-pm2wi 4 หลายเดือนก่อน

    Mm doctor ziwa la kushoto kubwa la kulia kiasi tu pia linatabia kutuma chini ya ziwa la kushoto afu miaka mingi tu lipo Hilo nn tatizo Ila sijazaa sijaolewa Nina miaka 38

  • @halimahamis6624
    @halimahamis6624 3 ปีที่แล้ว +2

    Naweza kupata no za sm

  • @MariamSekwao
    @MariamSekwao 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi yanaumaga yote nikikaribia kuingia kwenye siku zangu sasa linauma moja la kushoto

  • @MesiaLusekelo
    @MesiaLusekelo 3 หลายเดือนก่อน

    Dokta Mme wang anajisikia maumivu makari sana katika ziwa rake rakushoto amepema anatumia dawa rakini Kuna mda rinamuuma pia Kuna mda harimuumi jee shida Ninini dokta

  • @AnuciataCornel
    @AnuciataCornel 4 หลายเดือนก่อน

    Nimekupa vizuri dk .binafsi nina umri 51 .
    Napata maumivu makali lakini si kila siku .lakini dk pamoja na kuwa na umri huu bado napata hedhi.naomba ushauri wako hasa kwa maumivu haya ya ziwa wakati mwingine yanauma yote.

  • @AishaAbubakar-mo7gl
    @AishaAbubakar-mo7gl หลายเดือนก่อน

    Doctor naomba namba yako

  • @HildaKoka
    @HildaKoka 5 หลายเดือนก่อน

    Mm ziwa moja limekua kummbwa nyingne dogo tatizo nn😢

  • @ramadhankabelwa3933
    @ramadhankabelwa3933 4 ปีที่แล้ว +2

    Nahitaji namba yako doctor Kuna mama yangu anauvimbe chini ya titi au unapatikana wapi nimlete

  • @habibajuma723
    @habibajuma723 5 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana mdogo wangu uko poa

  • @meiyamsellem5280
    @meiyamsellem5280 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba no doctor

  • @SubilaAthuman-c1w
    @SubilaAthuman-c1w 5 หลายเดือนก่อน

    Doctor me nina uvimbe ila una maumivu kwa ndani

  • @ElizabethMkembela
    @ElizabethMkembela 5 หลายเดือนก่อน

    Doctor naomba unisaidie namba yako nikuelezee shda yangu

  • @fatumahamis4257
    @fatumahamis4257 4 ปีที่แล้ว +1

    Daktari Naomba namba yako tafadhali

  • @bitemoses4102
    @bitemoses4102 ปีที่แล้ว

    Je uvimbe uo uwa unaendlea kukua kwa muda gani iko kiuvimbe kinakuwa au kinabaki vile vile ?

  • @Cendrenne
    @Cendrenne ปีที่แล้ว

    Mimi yangu yanafijika kwa chuchu je nitafanyaj

  • @emmamahenge7138
    @emmamahenge7138 6 ปีที่แล้ว +11

    Dokta mim yangu yanawaka moto tatizo nin

    • @nururajab8031
      @nururajab8031 5 ปีที่แล้ว +1

      Na Mimi yangu yawaka moto cjui ugonjwa gn huu

    • @luyaamatho9580
      @luyaamatho9580 3 ปีที่แล้ว +1

      Mm mwenyew dada yaniuma mpk nakosa raha

    • @mohamedmputa2111
      @mohamedmputa2111 3 ปีที่แล้ว +3

      Mm mwenye yanawasha na maumivu had kwapan

    • @fzafza6746
      @fzafza6746 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani mm pia yananiuma mpaka mgongoni wakat mwingine daa

    • @omanoman4313
      @omanoman4313 2 ปีที่แล้ว

      Shoga. Umetumia. Dawa. Gani. Nijuze. Ya kwangu. Yanawaka. Mboto. Kwandani

  • @getrudakaka9703
    @getrudakaka9703 ปีที่แล้ว

    Docta mm nina uvimbe nmegundua tang 2019 lkn haukui mpk sasa na hauumi je ni saratani au..??

  • @bevelmwangi6701
    @bevelmwangi6701 16 วันที่ผ่านมา

    Yangu inaima

  • @mossikombo959
    @mossikombo959 8 หลายเดือนก่อน

    Dokta mm naomba namba za simu

  • @zulfashed5746
    @zulfashed5746 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mwanaume je!?? Akiwa n uvimbe na maumivu kwenye ziwa je ni saratani!??

  • @Pihansmo
    @Pihansmo 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zako plz

  • @amirimohamedi392
    @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว

    Wanyonge teafaa mm fanya msaada mm twapigwa tarehe mahosptlin mm kwa Hali zetu ngumu watoto tuta waacha yatima mm Samia tusaidie mm katezi yashingo yanatumalixa hasa hapamkoa was yanga mm fanya Iman yako mm samia

  • @chubakakabanja9981
    @chubakakabanja9981 ปีที่แล้ว

    Nikiwa icini DRC. nakufwata.

  • @tunumakila2220
    @tunumakila2220 3 ปีที่แล้ว +4

    Mm chuchu yangu moja inawasha sana,alafu Nina kauvimbe kadogo mno hakaumi

  • @LucyPaschal
    @LucyPaschal ปีที่แล้ว

    Mimi kuchoma choma dokta

  • @neemaomari9462
    @neemaomari9462 2 ปีที่แล้ว

    Mimi na maumivu ya matiti yanamwezi sasa nisaidie nifanyaje

  • @lightnessmtei-qr7ih
    @lightnessmtei-qr7ih 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi napata mauvimivu makali sana kwenye titi la kushoto na nimepima nimeambiwa halina shida lakini
    maumivu ni makali sana naomba ushairi zaidi

  • @periaphilip6421
    @periaphilip6421 3 ปีที่แล้ว

    Asante doctor umenitoa kweny hofu ila nina swali

  • @Tobby-v9d
    @Tobby-v9d 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks advice

  • @annasigoma6069
    @annasigoma6069 3 ปีที่แล้ว

    Asante doctor mi nasikia dalili moja je ikiwa ni moja ina maana ni yenyewe?

  • @catheminja276
    @catheminja276 2 ปีที่แล้ว

    Jaman Mimi nimejifungia 2017 ila ad sasa nikibisha ziwa moja linatoa mazwa mazit yananuka san

    • @shemsasaid384
      @shemsasaid384 ปีที่แล้ว

      Me pia bado yanatoka ila hayanuki

  • @mathamainda4839
    @mathamainda4839 2 ปีที่แล้ว

    Naomba na namba yako

  • @schanaali1856
    @schanaali1856 4 ปีที่แล้ว

    Dokta naomba namba yako nikupigie

  • @mariamukasyupa2782
    @mariamukasyupa2782 5 ปีที่แล้ว +4

    doctor uwe unaweka namba za simu!

  • @yaasirjaafar9463
    @yaasirjaafar9463 6 ปีที่แล้ว +3

    Docta mimi ninamuasho kwenye titi siku nyingi tatizo nini

  • @raudhanaly1352
    @raudhanaly1352 5 ปีที่แล้ว +1

    asante

  • @deborabwire3580
    @deborabwire3580 ปีที่แล้ว

    Samaahani dokta mi Nina ndugu yangu alijifungua mtoto ila ameugua titi limevimba na lonamuuma sana na ukilibinya panabaki kama vile pamebonyea tatizo ni Nini naomba unisaidie

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Ameenda hospital

    • @deborabwire3580
      @deborabwire3580 ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx alishapona ila Kuna uvimbe

    • @deborabwire3580
      @deborabwire3580 ปีที่แล้ว

      Uko ndani ya titi

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      ​@@deborabwire3580alishapona kafanya tena au

  • @happynesstesha4572
    @happynesstesha4572 3 ปีที่แล้ว

    Doctor Mimi ni mjamzito wa miezi 9 na ninamaumivu ya matiti yangu pia imeambatana na uvimbe

    • @arodyndena8972
      @arodyndena8972 3 ปีที่แล้ว

      Hayo maumivu umeyapata tangu mimba ikiwa changa au?

    • @happynesstesha4572
      @happynesstesha4572 3 ปีที่แล้ว

      @@arodyndena8972 doctor nimeyapata mwezi huu wa 9

  • @amirimohamedi392
    @amirimohamedi392 3 ปีที่แล้ว +1

    Eemungu madktari tusidien eemgu tezi itatuws mama Samia Hali ngumu wange tuna kufa tinapigwa tarehe tu mahosptarin kwa umsikin daa mm samai tufikirie wsnyonge

  • @jacrinejohakim2803
    @jacrinejohakim2803 4 ปีที่แล้ว

    Asante doctor

  • @jonathanoscar6169
    @jonathanoscar6169 4 ปีที่แล้ว

    Doctor mm mjamzito ila matiti yanawasha na yanatoa maziwa

    • @imakulathamgimba5351
      @imakulathamgimba5351 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni kawaida my dia maziwa yanatoka kwaajili ya uandaaji wa chakula cha mtoto

    • @shanisuleiman7824
      @shanisuleiman7824 ปีที่แล้ว

      Jonathan si mwanamme🤣

    • @catherinebarn1493
      @catherinebarn1493 4 หลายเดือนก่อน

      Hivi Doctor watu wana kuomba namba umenyamaza. Kwa nini uliamua kuelezea such a deadily desease. Unatufanya tuishi kwa hofu. Vjzuri kuwasikiliza watu ni njia ya uponyaji

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +1

    Nn sababu za saratani yAtiti ili tujiepshe nayo??

  • @zalfahydar6211
    @zalfahydar6211 6 ปีที่แล้ว +3

    Docta mim nanyonyesha nauvimbe kwenye tit

  • @ashrifaabdalla4712
    @ashrifaabdalla4712 2 ปีที่แล้ว

    Doctor m.nimefamy kijiuvimb kweny chuchu kinaum.kwa mbl.ila ziw haliumi

  • @rugemalirakamgisha1543
    @rugemalirakamgisha1543 ปีที่แล้ว

    Dokta jaman me binti wa miaka 19 nina uvimbe kwenye titi, ety matumizi ya lotion yana weza sababisha saratan

  • @adamhamid2330
    @adamhamid2330 3 ปีที่แล้ว +1

    tunaweza kupata namba yako kwa maelezo zaidi

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว

      Mm nauvimbe kwenye mkono nilie nachoma pegan ajili ya mimba aasa nasikia paanauma

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani kwa kweli

  • @hildashoo968
    @hildashoo968 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mimi nina kauvimbe chini ya Titii alafu nakuwa na kichomi kwenye ziwa

    • @swalizuriweetthomas4343
      @swalizuriweetthomas4343 3 ปีที่แล้ว

      Ulienda kucheck wakasemaje

    • @hildashoo968
      @hildashoo968 3 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa ni fibroadenoma ila kwa sasa nilisha fanyiwa Operation niko powa

    • @azizakipanya7103
      @azizakipanya7103 3 ปีที่แล้ว

      @@hildashoo968 ulienda hospital gan mimi pia ninao juu ya ziwa

    • @nycsemu5090
      @nycsemu5090 ปีที่แล้ว

      @@hildashoo968 ulienda hospitali gani

  • @happyswai2106
    @happyswai2106 3 ปีที่แล้ว +8

    Mimi dokta napata maumivu pemben yaziwa lakin napata maumivu mpa kwenye mkono mzima

  • @roxanapeter783
    @roxanapeter783 6 ปีที่แล้ว

    Mimi pia nanyonyesha na uvimbe

    • @ntulichanyatarimo4756
      @ntulichanyatarimo4756 ปีที่แล้ว

      Kama mwanamke ambaye ametolewa kizazi inakuwaje anaweza kupata maumivu

  • @ngaghekamwelaikamwela9319
    @ngaghekamwelaikamwela9319 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaa xante docta

    • @zamdamatovorwa3939
      @zamdamatovorwa3939 4 ปีที่แล้ว

      Docta mimi mjamzito ila nasumbuliwa na maumivu ya ziwa ila kwamaelezo zaidi naomba no yk plc

    • @magretumkumbo2261
      @magretumkumbo2261 4 ปีที่แล้ว

      Docter naomb no yko plz

  • @zuujuma2314
    @zuujuma2314 4 ปีที่แล้ว +3

    Dokta mimi nanyonyesha ninakauvimbe kwenye titi

    • @hamisakheir3301
      @hamisakheir3301 3 ปีที่แล้ว

      Doctor mm sijaolewa bdo ila ziwa linauma ,hpo vipi

    • @reginahandasoni2413
      @reginahandasoni2413 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako me mnamaumiv ya matiti kwa mdamref kdg

  • @majaliwajames9633
    @majaliwajames9633 ปีที่แล้ว

    jamani mm limevimba kwa ndani Kuna kitu ndani kinauma Kama jipu bile