Maiti ya mwalimu yapatikana mtoni Kisii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @alicesereti1574
    @alicesereti1574 3 ปีที่แล้ว +8

    Kenya kenya yetu 😭😭😭😭Sasa tunaelekea wapi aky??? Mungu tumekosea wapi???

  • @franktemu1774
    @franktemu1774 3 ปีที่แล้ว +2

    naona malaika wa mauaji kaitawala Dudinia na Ashindwe katika Jina kuu la Yesu hana mamlaka yeyote juu ya maisha yetu na maisha ya jamii zetu

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungueee nyosha mkono wako Kenya yetu watu wanangamia kila uchao, watoto pia..... Kenya hatuna aman kabisa... Mauaji yamezdi

    • @charlesjan3005
      @charlesjan3005 3 ปีที่แล้ว +1

      kweli ...its too much... i think community based counselling should be offered soon. guys are devilish acts these days..God have mercy

    • @rosekadzokadzo1401
      @rosekadzokadzo1401 3 ปีที่แล้ว

      @@charlesjan3005 yes indeed

  • @philosophertax6417
    @philosophertax6417 3 ปีที่แล้ว +3

    "hatuna la kufanya.....tunaomba tu serikali iweze kufanya"...🤔🤔🤔😆😆😆😆😆😆🙏🙏😭

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 3 ปีที่แล้ว +3

    Poleni Sana, kwann watu wanauwa wengine kweli this to much everyday kiling

  • @allanuslwena8585
    @allanuslwena8585 3 ปีที่แล้ว +1

    Polisi Kenya, ongezeni juhudi katika kulinda RAIA wenzetu wa Kenya.

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 3 ปีที่แล้ว +4

    Wenye walifanya hii kitendo mungu anawaona so sad😭😭😭😭

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 3 ปีที่แล้ว +4

    Dunia inaisha soon only we are waiting tarubeta tu

  • @joycechege5071
    @joycechege5071 3 ปีที่แล้ว +2

    Kenya kenya kenya .....mauaji kila siku ........

  • @annnjoroge5088
    @annnjoroge5088 3 ปีที่แล้ว

    Tumekataa hii roho ya kumwaga damu kila siku
    Nchi ya kenya inataka maombi ya kuodoa hii laana ya arthi kukunywa damu za watu wasio na hatia
    Utiwa mavuta wa mungu kazi kwenu sasa akoeni hii nchi ya kenya kutokana na raana ya vifo 😭😭😭😭😭😭🙆🤦🏻‍

  • @haronobuya4676
    @haronobuya4676 3 ปีที่แล้ว

    Naye uliyefanya hivyo, njia ni hiyo hiyo

  • @TOH-Entertainment-Club
    @TOH-Entertainment-Club 3 ปีที่แล้ว

    Wawawawaw Kenya where are we heading to too much killings.😭😭😭

  • @yunestongi2643
    @yunestongi2643 3 ปีที่แล้ว

    My Kiswahili teacher rionsoti pry 😭😭😭😭😭😭rip Mr evans 😭😭😭😭

    • @yunestongi2643
      @yunestongi2643 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @sharonnasambu6753
    @sharonnasambu6753 3 ปีที่แล้ว

    Turehemu mungu wanguuu

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 3 ปีที่แล้ว

    Kenya yetu, mungu tusaindia anyway it's too much 😭😭😭🙏 to bear. Kila siku mauanjii

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 3 ปีที่แล้ว +1

    *Kenya ni visanga after visanga hili likiisha lingine labisha*

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana 😭😭

  • @thevineyard7149
    @thevineyard7149 3 ปีที่แล้ว +1

    Alitole wakafara na wachawi

  • @wesmaelijah8460
    @wesmaelijah8460 3 ปีที่แล้ว

    Kenya yetu haki mungu tuokoe

  • @joshuanzuki1591
    @joshuanzuki1591 3 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @joycemuiru1797
    @joycemuiru1797 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip. Mwalimu.

  • @lydiahmogire4518
    @lydiahmogire4518 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip omwalimu 😭😭

  • @dafineever584
    @dafineever584 3 ปีที่แล้ว

    Aiii mimi nimechoka sasa na hii dunia kwa mambo nionayo

  • @hylinekimto2379
    @hylinekimto2379 3 ปีที่แล้ว

    Rlp😭😭😭😭

  • @simpsonisoe8994
    @simpsonisoe8994 3 ปีที่แล้ว

    Bibi amefanya hiyo kaZi

    • @khaldn7409
      @khaldn7409 3 ปีที่แล้ว

      Jicho kavu ni kama

  • @violetchris2749
    @violetchris2749 3 ปีที่แล้ว

    Rip mwalimu Evans

  • @evangelistemily1000
    @evangelistemily1000 3 ปีที่แล้ว

    Wakisii ni watu wabaya sana

    • @moureennjenga5570
      @moureennjenga5570 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini na hizi visa ziko kila mahali nchini. Why kukashimu community mzima.

  • @puritymureithi2704
    @puritymureithi2704 3 ปีที่แล้ว

    P

  • @puritymureithi2704
    @puritymureithi2704 3 ปีที่แล้ว

    L

  • @joshuanzuki1591
    @joshuanzuki1591 3 ปีที่แล้ว

    So sad