Hali ya taharuki yatanda kijijini jogoo kaunti ya Kisii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Mwili wa manamke mmoja aliyeuwawa huko Kisii umesalia kwenye makafani kwa miaka mitano kufuatia switafahamu inayoendelea katika kijiji cha Jogoo viungani mwa mji huo. Kwa mara ya tatu sasa, Polisi walilazimika kurejesha mwili huo mochari baada ya wanakijiji kukataa uzikwe.

ความคิดเห็น • 6